MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

 

Pichani ni Flora Mbasha,mmojawapo miongoni mwa wanamuziki au waimbaji maarufu wa muziki wa injili(gospel) nchini Tanzania. Hapo alikuwa akiimba kwa hisia kali wimbo wake wa “Adui Yako”.

Flora ni miongoni mwa wana-gospel ambao nyimbo zao zinapatikana katika mkusanyiko wa nyimbo za injili ujulikanao kama Halleluya Collection(toleo la nne) kutoka kampuni ya Msama Promotions.Wasanii wengine walio na nyimbo ndani ya Halleluya Collection ni kama vile Rose Mhando, Modest Mogani,Catherine Mchepa,Hosana Group na Amos Muungwana.Collection hiyo inapatikana mitaani.Get your copy!

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

3 Responses to “HALLELUYA COLLECTION”

  1. Comment by Gervas on February 9th, 2008 4:06 am

    Hey, ningependezwa saana ningepata copy moja, sasa ntaipataje hapa India?

  2. Comment by humhrey nyimbo on February 12th, 2008 3:55 am

    namzimia sana na nyimbo zake pia.aongeze bidii

  3. Comment by gaufrid on April 18th, 2010 6:31 am

    KWA KWELI MWIMBAJI FLORA MBASHA NAFURAHISHWA SANA ANAPOIMBA,NI MCHANGAMFU NA NYIMBO ZAKE NI ZENYE UJUMBE WA KUFUNDISHA,HONGERA SANAAAA!PIA MUMEWE KWA KUSHIRIKI KATIKA KUIMBA.KUIMBA UNAMTUKUZA MUNGU MAREA DUFU .

Leave a Reply