
Rais Jakaya Kikwete(kulia) akimuapisha Waziri Mkuu mpya,Mizengo Kayanza Peter Pinda hii leo katika Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.
Picha na MediaWorks News Agency.
Feedback / Comments
2 Responses to “WAZIRI MKUU MPYA AAPISHWA”
Leave a Reply

Rais Jakaya Kikwete(kulia) akimuapisha Waziri Mkuu mpya,Mizengo Kayanza Peter Pinda hii leo katika Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.
Picha na MediaWorks News Agency.
Feedback / Comments
2 Responses to “WAZIRI MKUU MPYA AAPISHWA”
Leave a Reply
Safi sana baba JK na wabunge wote mliokubali uteuzi wa RAIS. Historia imetimia. Sasa MH PINDA kazi unayo tena kubwa sana. Umepewa rungu kubwa. Kitu cha muhimu kwa sasa huondoe U-CCM kwa hao wenzako bungeni kwenye mijadara ya masuala ya utaifa yanapojadiliwa. Pia kwenye CABINET kuwa makini na bajeti zinazotuhumiza wananchi. MUNGU AKULINDE NA KUKUJALIA HEKIMA NA BUSARA KATIKA KUIONGOZA NCHI YETU. AMEN
ahsante sana mh. rais jk kwa kutuletea mtu safi. ni kweli wengi wa mawaziri waliopita walikuwa bado safi rudisha ispokuwa waziri wa fedha, miundombinu na huyu wa biashara take care nao watakuharibia baba . na hawa waliojiuzulu nao wasiteuliwe maana wameshindwa kwenda na kasi yako baba.
ahsante.