Comments on: TULIPOKETI NA MOHAMED ABDULRAHMAN

By: Max
Assalaam Aleykum,

Eddy anatoka wapi  Tanzania?

By: Kalyango Siraj
Una historia ya kuvutia Bw Mohammed

By: zanzibar
HUWEZI KUWA MTIIFU AU MUADILIFU KTK TAIFA HILI,,,UNAWEZA KUWA NA VETI VYA KILA AINA LAKINI USIWE MUADILIFU,,,, JE UFANYE NINI UWE MUADILIFU NA MTIIFU KTK JAMII ????

LAZIMA UPITE ZANZIBAR ,,, JE YUPO ANAYE PINGA ?

By: FIRST LADY
Bwana PAUL wacha chuki binasfi haifai, Mohamed Abdulrahman ni mtz tena wa nguvu kabisa,  mimi ni jirani yake hapa sinza na ukipata muda uje tukupeleke hadi kwao.

big up bro M.A. tunawashukuru sana kikosi kizima cha DW kwa kutuwakilisha huko ujerumani na dunia nzima.

take care bro

By: mchana j.mchana wa morogoro tz.
mimi nimefurahishwa na historia fupi ya mtangazaji mohamedi abdulrahman,miminiseme tu kwa uchache kuwa nimwakilishi mzuri wa nchi yetu.ingawa kuna walio mponda nawaombea msamaha kwani hajui walisemalo.pia abbakary liongo na mpa hay kwani inaonyesha wazi tanzania tulivyo na mabalozi wenye kujituma.sio hao tu wapo chipkizi kama Scolastika Mazula.nawaombeni fanyeni kazi kwabidii ili wenye wivu waji nyonge.wenu msikilizaji maarufu wa RW KAZI NJEMAMA

By: Zee la kitaulo
Akhsanteni sana BC kwa kutuletea mahojiano na kutusaidia kupata kumuelewa ndugu Mohamed  Abdulrahman, kwanza napenda kumpongeza  ndugu Mohamed na watangazaji wote wa radio Deutsche Welle kwa matangazo ya wanayoturushia yenye kiswahili fasaha kwa hilo nataka kuwaambia kuwa katika radio zote za nje zinazotangaza  kiswahili wao ni Alfa na Omega. Pili huyu ndugu Mohamed amenikumbusha mbali sana milango ya sabini, anaonyesha ni kweli mtoto wa Dar maana alivyonichambulia timu za zamani Dar,Bendi za muziki na Taarab ukiachilia wanasiasa namvulia kofia. Tatu tukirejea kuhusu mdau anayejiita Poul nadhani huyu bwana ana chuki zake binafsi na roho ya kwanini (kikorosho).  kama anasema kwamba  ndugu Mohamed  si mbongo ni mjerumani, basi hiyo itakuwa ndugu Mohamed ni kwa ajili ya kutafuta maslahi na pia  ndugu Poul ahisi fahari kwa kusikia  ndugu Mohamed  kuwa  ikistaafu anatarajia kurudi nyumbani na nyumbani kwenyewe kijitonyama uswahilini. sio Berlin au Hamburg. nilikuwa namuomba ndugu Poul awe na wivu wa kimaendeleo sio wivu wa chuki na kwa nini nyingi. mwisho nilikuwa na muomba ndugu Mohamed yeye na wenzie wazidi kuturushia matangazo kama kazi wasikatishwe tamaa na kelele za mlango ambazo hazitomfanya mwenye nyumba kukosa kulala.

ni mimi Zee la kitaulo

By: Gabriel Mulamba
Jamaa anayejiita Poul anaonyesha kuwa na chuki. Mimi sijui kama Bwana Mohamed ni mjerumani, lakini kama ni mjerumani kuna watanzania wangapi wenye  kuishi nje marekani, uingereza , scandinavia,ghuba  etc ambao wana uraia wa nchi hizo. Hata watoto wa wakubwa kibao uingereza na marekani wana uraia. Je hilo linawafanya wasiwe watanzania  na mkipitisha uraia wa nchi mbili itakuaje. Poul angalia mbele. jamaa ni kiboko acha  wivu na chuki zizizo na msingi.

By: POUL
Huyu naye ni Bongocelebrity!!!si ni mjerumani huyu,huo utanzania kaupata wapi?????????????

By: Msikilizaji
Deutsche Welle ya akina Mohammed Abdulrahman ipo katika nafasi nzuri ya kuwazidi kete BBC ambao kwa muda mrefu wamekuwa na idadi kubwa ya wasikilizaji – milioni 20 na ushee.

Sababu mojawapo ni lugha mbovu inayotumiwa na watangazaji wake wenye asili ya Kenya au wakenya.Tangu wahamishie matangazo yao ya alfajiri Nairobi kumekuwa na kila aina ya “ubakaji wa lugha ya kiswahili”.

Lafudhi ya ovyo, misamiati duni na mtiririko wa maneno ni wa kubabaisha.Tangu Tido Mhando aondoke mambo yamekuwa yakienda kombo BBC – matangazo ya asubuhi, Dira ya Dunia bado inajitahidi.

Mohammed kaza uzi, hao BBC waendelee na kiswahili chao kibovu – mojawapo ya sifa zao ilikuwa lugha nzuri, sasa kama haipo nani atawasikiliza watu wanaosema jambo moja kumbe wana maana nyingine [kudhibiti na kuthibitisha].

Tatizo la Deusche Welle ni mabahili [flat mean, hawawezi kushindana na bajeti nene ya BBC.Wajerumani hawana hata ofisi kwa waandishi wao East and Central Africka.Pia teknolojia ya kukusanya sauti si ya kisasa.

By: Shekhe Lenu
Yaani leo ndo nimeweka mbili na mbili pamoja. Namsikiliza sana huyu muheshimiwa mtandaoni lakini ndo hivyo nilikuwa sijapata kumtia machoni. Tunaomba na watangazaji wengine pia kama akina Samia Othman…..nk.

Kazi nzuri………..