Pichani ni mrembo Flaviana Matata(Miss Universe Tanzania 2007) akiwa nchini Denmark ambako ameenda kutembea na pia kufanya usaili na mawakala mbalimbali wa nchini humo wanaojishughulisha na masuala ya uana-mitindo.Flaviana anatarajiwa kurejea nchini wiki hii.BC inamtakia kila la kheri Flaviana katika juhudi zake za kupata deal za kimataifa katika modelling.Kwa picha zaidi za Flaviana akiwa nchini Denmark click on more.

 

Once a model,always a model.
Flaviana and her friend in Denmark.

Feedback / Comments

47 Responses to “FLAVIANA IN DENMARK”

  1. Comment by anon on February 25th, 2008 8:54 pm

    samahani kukurekebisha kidogo bc:
    sio “MODELLING” ni “MODELING”
    ni hayo tu, asante.

  2. Comment by Kalimah on February 25th, 2008 10:49 pm

    We anon hapo juu…bc hajakosea..wewe ndio umekosea..cheki hapa

    http://dictionary.reference.com/browse/modelling

  3. Comment by noah gondwe on February 26th, 2008 12:55 am

    aminia my sister huko juu

  4. Comment by amina on February 26th, 2008 1:59 am

    huyu anon anachekesha..na haka katoto akamesimama kasilete habari za odemba kwenda kula huko likanenepa

  5. Comment by mama koku on February 26th, 2008 3:22 am

    Hilo ndo tatizo kubwa tulilo nalo watanzania, too much know, kwani kama alikosea kikubwa si kumuelewa? kama ulielewa haijalishi spelling kwani tuko shule? nyie ndo mnaosababisha watanzania wengi wakashindwa kuongea kizungu kwa kuogopa kukosolewa.

    Kilichotakiwa kufanyika ni kumpongez favia kwa ujasiri aliokuwa nao na sio mwandishi ameandikaje, lini tutabadirika?
    mpaka mtu ajute kwa nini amezaliwa tanzania/mtanzania?

    Tubadirike jamani mweeee

  6. Comment by GEORGE on February 26th, 2008 4:44 am

    Hi Flaviana,mimi na Watanzania wengine tunakuombea mafanikio mema.Kumbuka ukifanikiwa kuwa balozi mzuri wa nchi yako.

  7. Comment by Nerra on February 26th, 2008 5:08 am

    Kalimah ua right!

  8. Comment by lyl on February 26th, 2008 6:33 am

    upo juu wangu sio kitoto maana unawakilisha ndugu wacha wanaosema waseme tu ila upo juu yani matawi ya juu

  9. Comment by Bangusilo on February 26th, 2008 7:34 am

    Kila la kheli Matata, Mungu awe nawe, take care and take control and be yourself.

  10. Comment by Chris on February 26th, 2008 9:44 am

    Nashangaa sana leo,yaani hamna hata mmoja alietoa kasoro?Maana kuna watu hawakosagi kukosoa. Basi Flavia atafika mbali sana.

    All the best Flavia,keep wishing u the best always.

  11. Comment by Mwana wa mkulima on February 26th, 2008 9:47 am

    Samahani wajamani, hivi huyu dada anasoma au alishamaliza elimu yake na ana ka-certificate kake somewhere. Sijauliza kwa nia mbaya. Maana siku hizi elimu bwana ndo mkombozi wa kweli. Ingawa pesa na na mengineyo nayo ni sawa ila elimu nayo inalipa

    Otherwise nakutakia mafanikio mema dada na ujitume utafanikiwa,

    Bless you!

  12. Comment by Dumayai on February 26th, 2008 12:35 pm

    inashangaza wabongo wakienda ulaya lazima wapozi kwenye minara au mabango ndio wapige picha. sasa sijui huo urombo au ndo kuonyesha kuwa ulikuwa ulaya.

  13. Comment by 100%Bantu on February 26th, 2008 2:06 pm

    Karibu mdogo wetu.
    Lakini hakuna baridi ya kuvalia hilo jacket.

  14. Comment by Neema on February 26th, 2008 7:27 pm

    Hee wewe DUMAYAI unayesema wabongo wakienda ulaya lazima wapozi kwenye minara au mabango tena na majumba ni kwamba hilo ni swala la kawaida na la muhimu.

    Ndio maana hata wazungu wakija tanzania wanapiga picha sehemu za pori na mijinyumba yetu ya udongo na mapori, kwa ajili ya kumbu kumbu ya maisha yako, na nadhani ndio maana ya kupiga picha, otherwise nadhani waliogundua camera wangekuwa ni juha kama wewe ambaye unashindwa kuelewa kwanini watu wanapiga picha kwenye minara. sio ushamba wala nini ni hali ya kawaida.

    Anyway sijui wewe upo ulimwengu upi.

    By the way simfahamu huyo Flaviana, ila sioni point yoyote katika coment yako bali ni “VEPOUR”, pengine sio kosa lako, ni upongo umekaa kama jinalako mweyewe, HAUWAZI.

  15. Comment by munier on February 26th, 2008 8:25 pm

    fur inapingwa sana huku na baadhi ya watu, ningeomba asivae tena kwani linaonyesha wazi ni feki, kuambiana ni vizuri wandugu na si kashfa

  16. Comment by KC" Europe on February 27th, 2008 12:51 am

    U’r blessed Flaviana endelea kutuwakilisha uwezo unao vigezo vyote vya modelling unavyo confidence unayo usiwakilize wabongo always fitina na gossip thatz it.
    Karibu London supermodel wabongo wanaongea sana wivu tu sisi tunashindana kichwani na vitendo sio gossip,mbona wanakuiga kunyoa nywele kumbuka walimponda sana Odemba then wakaiga kufunga kilemba style aliyokuja nayo kutoka kwa Benvinda Mundenge.

    All the best Flaviana!

  17. Comment by KC" Europe on February 27th, 2008 12:58 am

    Look that man mambo niliyokuwa nayasema,dumayai na bantu kweli wazee wa fitina Europe sasa hivi freezing mhh fair enough jamani tumpe support sister wetu……..

  18. Comment by LOUISA on February 27th, 2008 2:52 am

    MIBONGO KWA WIVU KAMA NI FEKI YAKE KAMA NI ORIGINAL YAKE SASA WEWE INAKUHUSU NINI AU UNAFIKIRI YEYE HAJUI TOFAUTI .HUYO DADA ALIYESEMA VEPOUR AMENIKUMBUSHA MBALI SANA ENZI ZA BOARDING SCHOOL USEMI HUU FLAVIANA KAZA BOOT PIGA GWARIDE UTAFIKA KUNA RAFIKI YANGU NI RAFIKI YAKO AMEKUPA SIFA NZURI SANA NASIKIA KWANZA UNA ADABU SANA UNAHESHIMU WATU SANA NA NI MSELA SIO MWENYE TAMAA YA HELA

  19. Comment by Chris on February 27th, 2008 4:07 am

    Neema uko rite but u sound very enraged. It looks ungekutana na Dumayai u wud’ve slapped him… hahahahaaaaaa…

    Its true that fotos is all abt kumbukumbu ila pia preferences ya mtu. That’s what Dumayai has to know.

  20. Comment by amina on February 27th, 2008 4:59 am

    KAMA LINAPINGWA?KWAHIYO?ONGEA VYA MAANA WE KAMA NANI

  21. Comment by tatu on February 27th, 2008 6:13 am

    mmmmmmmmmmh langu jicho mkono juu ya shavu langu.

    Hongera dogo inatakiwa uzibe masikio na mdomo ila macho yaone tu.

  22. Comment by Said Situ on February 27th, 2008 6:55 am

    Chekini picha hizo wandugu mtoto kapendeza sio siri. Keep it up. Don’t let loosers tell you otherwise.
    Wahenga walisema mwenye nacho anaongezewa sasa naona siku hadi siku unazidi kuongezewa uzuri tu.

  23. Comment by 100%Bantu on February 27th, 2008 8:12 am

    Flaviana hvor du hen?????????????

  24. Comment by mtz on February 28th, 2008 12:45 am

    Mie mtasema namtukana but huyu dada atafanikiwa sababu ya hilo fuvu lake. Anaaonekana ‘unique’ kutokuwa na nywele, staili hiyo haipo Ulaya na Marekani.

  25. Comment by TEACHER on February 29th, 2008 7:14 am

    WABONGO SIJUI LINI TUTAACHA KUONEANA WIVU SI NI WEUSI ROHO ZETU NYEUSI MZUNGU AKIWINI ATAWATAARIFU KILA MTU KWA FURAHA NA WATAMFURHIA HATA AKILA VIZURI JANA ATELEZEA WABONGO UTAONEKA UNJISIFU HUYU DADA WA WATU ANAJITAHIDI KUNAWENGINE WANA ONGEA UTUMBO NA KUMLET DOWN MIMI NIMEFANYA KAZI BONGO MIAKA 6 KAMA TEACHER NILIJITAHIDI SAANA KUOGANISE MAMBO MENGI HASWA SWALA LA MICHEZO ROHO MBAYA ZA KUAKATISHWA TAMAA ZLIINIUNGUKA NASHUKURU NIKO DENMARK NAFANYA KAZI/NASOMA NA WADENISH NIMERELAX SAAANA HIVYOO ”’FLVIANA KEEP IT UP MUNGU ATAKUJALIA USIACHOKE KUOMBA MUNGU ZIBA MASIKIO JUA LAKO”

  26. Comment by kino on February 29th, 2008 12:59 pm

    unajua kitu kimoja watanzania, tupunguze wivu na chuki, wenzetu wa nchi zingine hawna tabia kama hizi, mtaendelea kama mkiwa na maisha yenu, sio kufwata fwata ya wenzenu.

  27. Comment by kino on February 29th, 2008 1:10 pm

    punguzeni majungu na maneno watanzania, hamtafika popote, muwe mnawapa wenzenu support sio umbeya na majungu, ni fikra mbovu na potofu.

  28. Comment by kaka on March 3rd, 2008 5:47 am

    Amina wacha hasira ndugu yangu, huyo mtu hapo juu i think anaitwa munier alivyosema hakukosea bali alikuwa anafikisha ujumbe na mimi nimemuelewa.

    Unajua flaviana anaingia kwenye competition kubwa hapa duniani na ni vizuri akawa na watu wa kumu advise. Sasa kama kitu hakipendezi na mtu anapojaribu kueleza watu mnadakia kama kashfa.

    Kwa muono wangu naona ni kweli kwani huku fur haipendwi na mara nyingi watu wa kima cha chini huvaa feki, na hilo linaonekana feki ndio maana akaambiwa na si kwa nia mbaya.

    Hongera sana dada flaviana

  29. Comment by amina on March 3rd, 2008 7:44 am

    we kaka..ye katoka bongo huku hiyo fur hatuvai..nayeye alikua na usongo nayo mwache avae kwani kuna tatizo?na hao agency waliompeleka kwani hawajui hawajaona kama feki au imepitwa?wabongo tumezoea kuvaa feki kwahiyo mwacheni…..angalia nini kaenda kufanya

  30. Comment by jomaeli on March 3rd, 2008 7:53 am

    kwani huko alipoenda hakuna waangalizi yani wenyeji wake si wangemwambi?msijifanye mnajua hakuna cha feki wala original,na kama watu hawayapendi ye ndo keshapenda tena

  31. Comment by TEACHER on March 3rd, 2008 9:41 am

    weeeeeeeeeeee MUNIER acha wivu usitudanganye labda wadanganye waishio bongo. ”FlAVIANA NIKWAMBIE KITUUUU” wabongo/waafrika wengi waishio hapa hawajui kwenda na katalog/kuvaaa Wasikubabaishe keeeeeeeep it up wangu

  32. Comment by Rachel on March 3rd, 2008 9:44 am

    Ujumbe huu ni kwako Flavian, umebarikiwa na hapa ulipofikia ongeza bidii hasa katika fani yako iliyokupeleka Denmark. Ushindani ni mkubwa hasa huku Ulaya ila kama umepangiwa na mola kuwa katika soko la huku hakuna atakayepinga na utaweza ingia vyema kwa baraka zote ndani ya soko. Deal zitaongezeka watakaosema watasema na uvumi maneno ya kweli yasiyo na ukweli ila songa mbele na usisikilize la mtu. Endelea kua na adabu, heshima weka mbele kwa rika zote kwani ni kitu cha bure na matokeo yake utayaona. Kua kama ulivyo. Majungu yatakua mengi ila ujue tu ni hali ya kawaida ya wanadamu wakiona umepata hawakosi kuvuruga na kutafuta sababu. Usisahau ulipotoka hata kama vishawishi ni vingi. Mwisho nakutakia kazi njema na mikataba mizuri yenye mafanikio.

  33. Comment by any on March 3rd, 2008 3:11 pm

    What the hell is going on! Denmark hakuna baridi kihivyo this time! nani kasema hiyo! jamani sasa hivi ni Winter kwa kwenda mbele, mwacheni dada wa watu! Pili hivi wabongo lipi jema? last time alitolewa kavaa light jacket nadhani kwa michuzi watu wakaponda ana kajacket kepesi na winter imechanganya! dada wa watu kajikusanya kanunua jacket inayoendana na weather! ooh ni zito sana, ooh ni fake! Kipi bora! flavian fuata moyo wako unavokutuma, advise nyingine humu kama nguvu za giza! sikiliza moyo wako na zile advise za maana! wanaokuponda wengi ni wivu au wako primitive tu hawana lolote! kwenda kwao ulaya hakubadili u primitive wao! period.

  34. Comment by binto on March 3rd, 2008 11:16 pm

    nakubaliana na huyo hapo juu, kweli kama ni baridi anajitahidi hivi watu wanadhani baridi ni kitu kidogo, mtu unajikaza kujikinga nayo, kwa kila uwezo.

  35. Comment by cute on March 4th, 2008 6:16 pm

    Kusema kweli mimi nampenda sana flaviana na pia namtakia maisha mema na maendeleo mazuri in gods name.

    Ila mimi pia sijalipenda hilo jacket na ningependa dizaina wake amuweke kwenye level kama top model koz akivaa vitu vya ajabu anaonekana cheap, huo ni ukweli na si kukashifiwa ile sie watz tunaogopa kuelezwa

  36. Comment by jomaeli on March 5th, 2008 1:59 am

    ahh msijifanye mnajua kapendeza sana

  37. Comment by any on March 5th, 2008 1:34 pm

    Kavaa alichotaka yeye, aidha kwa kupenda au kutokana na uwezo wake! kama hamjakipenda nyie sio shughuli yenu. Hata nyie mnaoponda kwa gear ya kushauri ni uongo tu, hamna lolote, wengi wenu mkiambiwa muweka picha zenu huku mtuonyeshe viwalo unaweza kuta wengi mnao sound mko juu mnavaa malap lap tu, hamna mpya!!!!!!!!!!!!!!!!
    na sasa ivi mjue dada wa watu anasaka wafadhili, ivo vitu vingi huenda anajitafutia mwenyewe dada wa watu! Kama mnataka kumpandisha chat mfadhilini basi mavazi nyie!

  38. Comment by deiz on March 5th, 2008 5:10 pm

    any na wa hapo juu u seem to have lucky of education, u both sound dumb.

    watu wanashauri tu

  39. Comment by Deo Simba on March 6th, 2008 8:55 am

    Labda nichue nafasi hii kukuponeza dada yetu ,lla huyo anayejiita Bantu naomba nimweke sawa hilo koti alilovaa dada yetu hisa sasa huku ndio hasa wakati wake,halfu kumbuka kuwa mtu akitoka africa kwa mara ya kwanza baridi humpa shida mpaka atakozoea ,na imani hata wewe ulikuwa hivyo kwa mara ya kwanza kufika huku sasa usijifanye unijua saaaana ulaya,hapana kwanza kumbuka huyo dada anatumia kipaji chake kufika huku ila wewe nahisi umefika huku kwa pesa za UFISADI FUNGA HILO DOMO LAKO
    ATHENS GREECE

  40. Comment by any on March 6th, 2008 12:30 pm

    Wee deyz apo juu, I agree with you am not that educated. I said what i meant and was just my opinion, so u dont have to worry about it.
    na kuwa dumb, yeah i agree with u, wee umesoma hadi wapi, if i may ask u. did u just see what u wrote! “lucky of education” Go back to school, maana hata ulichoandika doesnt mean what u wanted to tell us! Go back to school if u want, na kama umri umeenda kuna option of evening class. No offense.

  41. Comment by simba on March 7th, 2008 5:19 am

    vipi kaka hapo juu hicho kingereza au kiswahili, jaribu kupenda lugha yako kila mtu anajivunia lugha yake sasa hapo juu naomba tafsiri maana,sisi wabongo lugha yetu kiswahili bwana!! tembeeni muone watu wanavyojidaia lugha zao,kuna maprofesa lakini anajua kigiriki tu au kitaliano tu au kispanishi wewe unafikiri mtu akiongea kingereza ndio kasoma?? amka huo usingizi mnono sana!!!

  42. Comment by deo simba on March 7th, 2008 5:28 am

    Dada FLAVIANA kwanza hongera sana hapo ulipofika,ktk sala zetu za kila siku tunakuombea sana, naimani MUNGU atakujalia utafika tu naomba usikatishwe tamaa na maneno ya watu wabongo noi watu wa mdomo tu,kun mtu alisemwa kama MARIAM ODEMBA?? YUKO wapi?? walisema hakusoma mara sijui hivi hao waliofunua MABAKULI YAO MPAKA LEO WANASOTA WAYA HUKO BONGO,
    SASA OMBI LANGU UKIPATA NAFASI PITA HAPA ATHENS GREECE UTUSALIMIE

  43. Comment by deiz on March 7th, 2008 6:57 am

    any, spelling mistake doesnt have to take me back to school as i am way far from that, thanks for the advise but hell no i aint gonna go back.

    One thing i must appreciate from u is your understanding on what i said

  44. Comment by Saidi Situ on March 7th, 2008 11:10 am

    Nimeipenda hii sentensi ya deiz “u seem to have lucky of education”. Very good, Excellent, Brilliant, Superb, Exceptional, Admirable, High quality and an Outstanding line. Keep it up Deiz.

  45. Comment by sammy on March 8th, 2008 5:14 am

    mnaonaje mkiandika kwa lugha ya kiswahili si itapendeza sana jamani??,maana hii sehemu ya watanzania wanaongea kiswahili au siyo ndugu zangu hapo juu najua kimombo kinapanda lakini siyo lugha yetu ni ya waingereza,mnaona hata vingozi wetu hutumia kiswahili kuhutubia ,hata ripoti ya DR MWAKYEMBE ilitolewa kwa kiswahili kila mtanzania ajue ufisadi wa viongozi mnafikiri kamati ya mwakyembe hawajui kingereza ?wanajua lugha zaidi ya kingereza,tena naamini kingereza chao kizuri sanaa kulioko hicho chetu cha mitaani au siyo ndugu zangu wapendwa?? Umoja wa Africa(AU) Wamechagua lugha rasmi ya kutumika kwenye vikao ni kiswahili mjua hilo ndugu zangu?? amkeni basi jamani la!

  46. Comment by binto on March 8th, 2008 5:28 pm

    bc asante kwa habari, watu wanaopenda kuchambuia watu muwe mnafunga midomo yenu, na kuwapa wenzenu moyo na matumaini, acheni wivu mkiwa ughaibuni hamtafika popote nyie na majungu yenu, na wivu.

  47. Comment by any on March 10th, 2008 1:48 pm

    Wanaochambua hawana mpya, aidha ni wivu au wao wenyewe choka mbaya, hawana mbele au nyuma, au HATERS tu, na si zaidi ya apo, aah nimesahau na ulugha ndo unawasumbua. maana wame accomplish mangapi kwa jamii? ziro, bora binti wa watu anajitahidi kwa uwezo alio nao! mpeni support acheni WIVU!

Leave a Reply