
Wengi wenu mlimsikia kwanza alipotoka na kibao chake kiitwacho Cinderella.Kibao hiki ndicho kilichobeba jina la albamu yake ya kwanza ambayo bado anatamba nayo.Anaitwa Ali Kiba,kijana mdogo tu ambaye hivi sasa anaelekea kuzidi kupaa katika kuzikonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Miezi michache iliyopita aliruhusu single yake nyingine ya Mac Muga iende hewani.Kibao hiki ambacho ni miongoni mwa vibao matata vilivyomo ndani ya albamu ya Cinderella kimepikwa ndani ya G-Records ya jijini Dar-es-salaam.Kisikilize kwa kubonyeza player hapo chini.Albamu ya Cinderella inapatikana mitaani.Jipatie nakala yako.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Pichani ni Ali Kiba(katikati) akiwa na wazazi wake nyumbani kwao maeneo ya Kariakoo jijini Dar.
Photo courtesy of MichuziJr.
Feedback / Comments
84 Responses to “MAC MUGA KUTOKA KWA ALI KIBA”
Leave a Reply


sending...
Good luck to you
I hope hii picha ni ya siku nyingi maana dogo una mafanikio, sasa watengenezee wazazi nyumba hiyo kama hii picha ni ya sasa. Ona rangi inabanduka ni wazi inahitaji marekebisho.
Mziki wako ninaukubali nakutakia mafanikio mengi. Katika miziki yote napenda ule wa nichum umetulia.
“Jipatie nakala yako….”BC mmeanza matangazo ya biashara!?
Wee Mchangiji sijui mchangiaji hapo juu…kwani kuna ubaya gani kwa BC kukuambia jipatie nakala yako?Wabongo bwana…tunapenda vitu vizuri lakini tukiambiwa kununua,tunaruka vibaya sana!!! Halafu sidhani kama kuna ubaya wowote BC wakiweka tangazo lolote la biashara hapa…isitoshe washaweka siku za nyuma matangazo kibao.Umetokea wapi weye?
Safi sana kijana huko juu. Keep it up umegusa wakina mac muga wengi.
lyrics za nyimbo zake ntapata wapi? Kuna mtu anajua website ambayo inatoa lyrics za miziki ya bongo tu?
Its great really, mwenyewe nikipata sehemu wanauza..nitanunua.
Keep up the good work kijana.
Bless you!
sina lolote la kuongeza ila kukutakia mema na mafanikio. endelea kutupa mikwanja ya nguvu.hongera ali Kiba
Upo juu Ally Kiba MAC MUGA IMETULIA
He is so HOT! Na mahewa zake zime tubamba sana nairobi. ukitaka kujua aliye vuma huku, ni lazma matatu ibatizwe jina la msani. AK ana 4 nairobi
Great work Kiba!!
nilijua mac muga ilishatoka zamani kumbe ndo imetoka? Baada ya kusikia njiwa nikafatilia miziki yako nikapata naksh naksh na Cindelera, i love ‘em songs and listen to ‘em as often You real put a lot of work on your music especially those 2 songs and it’s obviously noticed, keep up
nilikuwa dar dec nikatafuta collection yako stores sikupata nikampa contract mjasiriamali mmoja kanibania lots of your songs including macmuga sorry you might not wanna hear this but i needed these songs. hakijaharibika kitu weka CD sokoni tutakusapoti
Keep on pushing dont relax it aint over, tuko pamoja!
Bro nakuaminia, kamua zaidi na zaidi, ila hayo makochi na mapambo ya home yabadilishe mwana huu si wakati wa mijiua ya plastic na makochi ka hayo chakarika tengeneza home dingi na maza waone kuna kitu kinapatikana kwenye bongo flava
yaan napenda sana kusikiliza nyimbo za huyu kijana keep it up kijana.
Mi ni Mkenya aliye Marekani na nimempenda sana Ally Kiba kutokana na sauti yake nyororo na ule wimbo wake wa cinderella. Ningetaka kujua kama ana website yake ama myspace. Tafadhali
Mate i left the country just last year,the same year at the end i went back n found Ali Kiba’s spectacular musics like Nichum,Macmuga and Nakshnaksh,men they realy touched the proper place.Ali kiba naikubali kazi yako.Sina mengi ila kila la kheri kwa kila chema katika shughuli zako
Mwana umewanyamazisha wengi,tuko Uk ila mambo yako tunayapata pitia youtube.Ehh bwana ukijiweka sawa tutembelee na sisi tukupate stejini.kijana kipaji unayo,na pia naweza sema umetulia kwenye utungaji wako.Twangoja nyingine mpya kazi yetu kununua na kuzisikiliza tu.Huna kipingamizi.kila la kheri
kijana mziki wako umetuliaa hasa ,tungo zimeeenda shule hasa,We are big fans
usilegeze speed!
what up nigger ALI, I REALLY LIKE UR MUSIC JUST B’COZ OF UR VOICE UR SEXY BODY ED EVERYTHING IN U.AM A KENYAN BUT RIGHT NOW AM IN aMERICA. WUOLD U LIKE 2 CHET WIT MI PLIZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!!!!
Uko juu Ali Kiba nafagilia nyimbo zako hasa ule wa njiwa, big up brother.
Ali Kiba nimeizimia sauti,ungekuwa mme wangu ungetakiwa uniimbie mwimbo kila siku kitandani! endelea ivyo ivyo lakini sauti yangu ni nzuri zaidi lol
keep it up
we love u here in belgium
holla
Am a kenyan chick but i love ur voice,ur body structer and ur songs realy drive me crazy.i always make sure that i listen to ur songs b4 the day Ends.Gd work kiba!! and God bless ur parents.
mac muga is the best song,from the beat to chores
Nifanyapo kazi za mikono hasa surgery,hupenda kusikiliza muziki wako,kwani umetunga kwa umakini na hunipa fikra zaidi.Ninakubali kazi yako hususani mac muga.
Bro, uko mbele ka mfuko ya shati, Hakuna atakaye kufikia, nime attend show zako na nimebambika vinyama kwanza na ile song ya Mac Muga na Nakshi, cheers
CONGRATS ALI!!!!!! MAC MUGA HUNIPEA FUNZO SOTE AFRIKA KUSINI TWAKUPENDA
JAMAA UMEIVA MBAYA SOON UTAUNGUA EEEEEEE!!!!!!!!
Ali Kiba ya realy working hard.We really appreciate ya singles Nichum,Macmuga,Cinderella,Nakshnaksh and Njiwa.Ya really rocking down there mate,um really amazed with the tune and sweet melody of ya songs.Keep it up we are waiting for ya in the Uk,
hey maze,u roc bna,kwanza mac muga song ,imetukill vibaya.nway peace out.u have a blessed voice,keep gooooooooooooooooooooooooooooooooooing!!!!!!!!!!!fred.
Yani kiba!! u can come to Nairobi na ukose kuni show ,na vile mi ukubaiyanga tu hizo single zako.Ama uko na manzi?.Basi huyo ana bahati kama ya mtende,tell her to hold u vi tight coz aki slide tu,i’ll overtake her.But am sure si msupuu kama mimi.i love u guy
Omg, Ali kiba is so original, endelea kutupa mambo mazuri mazuri, Mac Muga nyimbo bomba sana yani nimejazika sana, i wish i could get the lyrics niimbe mpaka basi!!! Mungu akubariki na kuendelea kutunga nyimbo nzuri nzuri zaidi, baaden!
Mac Muga…. A good song with the right tone and educative lyrics!
just wanna tell ya how much i love your music. i was born and raised in Uganda, so its good to hear a young man from my hometown doing it big. i moved to the Untied States whn i was a kid, so i really don’t knw how to write in Swahili, sorry for tht. but i wish you luck in your music and life. also to all the other African musicians out there. hope to hear from you.
muh muh muh luv to ya
shela
Omg, ur stuff is a kind of an espacially african flow,i like tha very much, the tunes an ur emotional voice hit me, iam waitin for ya beats in Germany.Good bless ya voice an songs,gooo on.
Hey ali k, I am ur diehard fan & u 4eva hav my love & support, keep doing ur thing & know that u r bongos finest, according to me….. love u big, may God bless u BIG. Kila la heri Ali kiba, May u go the highest u can & feel the deepest u can.
mungu akubariki.
Congrats Mr Ali, I am your biggest fana s yet – keep doing your thing Mungu akubariki sana na wazazi wako.
Can’t wait for the next album
Hey guy!!!Your song is very nice,your so great!!!!God bless u man!!
I just want you to know I luv your song, especially the new ones you came with this year. I’m in America, but I spend half of my day to listen to your songs. You have a fabulous voice. Don’t give up. God Bless you, Ali.K. I love you Dude!!!!
can someone please show me where I get the lyrics to this song?
No other East African artist has ever impressed me the way you have!!!!! Am in Atlanta, GA. Please do a tour down these sides… We shall support you!! And how/where can I get your CD??????
Aba, I need a website with these lyrics
niaje ali kibs unanibamba mbaya…keep up the good work…love you
mambo mchizi wangu…keep up the spirit and visit me someday..a great fun in nai…love you so so much
Ali vipi!kwanza kabisa hongera kwani ulitukwachu sana kule Nomads Kite.Kip it up boy, tuko na wewe.
Give us wat we dont expekt.
Gd luck in your music
men it is real rockin even my pals like your songs coz they r so nice.tedlee n.b.USA
B BLESSED
were can i get the lyrics?otherwise crazy song.naipenda sana
Hallo Kiba
Your songs are juz to amazing. Keep the spirit up
God bles
i say kiba unaua sana na kibao hicho chako mac muga,yaani hapa kenya ishakua kibao cha kupandisha handas ya miraa.kwangu haswa cha nibamba kinyama……….zidi mtu wangu
hi…kiba
love all your songz and ur voice is amazin….and ur dancing and lyrics are inspiring…..im in da uk soo ur music is spreading…good luck and continue how ur goin….god bless
he is so cute i am telling u i will cry
Hi Mr A.K
Hongera kwa kazi yako nzuri.
I like your songz coz zina message.keep it up boy
pongezi sana bwana Alikiba.Mimi ni moja ya watu wa Kenya ambao wanapenda ngoma zako.Hongera
l like your songs mostly macmuga.Keep it up.God bless.
I like your songs men keep it up.
God bless u men good music
Mac Muga – Ali Kiba (lyrics transcribed by jomet)
Mcheza bongo Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Ukimwona mtu akijinamia kwa
Sababu ya maisha yamchanganya
Chali wangu alizamia
Kuenda kusini mwa Africa
Huku pia akimchanua kwa
Sababu ya maisha aliyofuma
Alikuwa maarufu sana,
Akajiona yeye ndo winner
Kwa kujichanganya na wasichana
Club zote za huko kujulikana
Yeye Mac Muga
Wewe Mac Muga
Ah!
Hii dunia,
Mac Muga huruma!
Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari yote kwa nyumba
Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari yote kwa nyumba
Ona sasa amesharejea, hajui wapi ataanzia!
Hakuna kazi mtu akajinamia
Mac Muga hii ni dunia
Akajichezea, gari ya kutembelea
Shida walimwelezea wasichana,
Na shida zao akawatatulia
Wewe upewe nini Mac Muga
Mungu akupe nini Mac Muga?
Nyumba ulijijengea, foro kuta nyumba
Wewe ndio wewe, wengine fala!
Ah, Mac Muga,
Ona sasa umeshatimua!
South Africa wamekutimua
Na sasa home usharejea
Wewe Mac Muga
Mungu akupe nini Mac Muga?
Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari makubwa, nyumba
Mungusha asumani alipofika South Africa alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari yote kwa nyumba
Ona sasa amesharejea, hajui wapi ataanzia
Hakuna kazi mtu akajinamia
Mac Muga hii ni dunia!
Yipes kana huoni kwa Mac Muga
Woi noma huruma kanyongo’nyea
Afanye nini sasa, cha kufanya
Kila anachachofanya anaona anakosea
Yikes kama huoni kwa Mac Muga
Woi noma huruma kanyongo’nyea
Afanye nini sasa, cha kufanya
Kila anachachofanya anaona anakosea
Akiwa jambazi akili zake zitaishia
Akiwa mwizi anaona atauliwa
Akifikiria kujiua
Nafsi yamzusha basi analia
Wewe Mac Muga!
Mungu akupe nini Mac Muga?
Wewe Mac Muga!
Basi upewe nini Mac Muga?
Mungu alikuzawadia
Sasa ushachezea!
Wewe Mac Muga !
Basi upewe nini Mac Muga?
Mungu alikuzawadia maisha
Sasa ushachezea!
Haya, haya,
Wangu Mac Muga
Msela hao
Wa mpani huna
Wasee wa maskani wanakukimbia!
Mac Muga noma
Hee!
Mac Muga
Skonde, upige moyo konde,
Mac Muga!
mambo ali am a kenyan lady but recently living in tanzania.ave to tel u dat ur ngomaz r really apreciated in kenya congrats baibe boy for ur swt wak. all am asking is ur 4n no n nothing more.kip it up n still waiting for more.thax
Damm yow alikiba am from somalia liv ing in los angles I luv tha song mac muga keep it u dude you music is tha shiit I hallla
NGOMA WAZIIIMMM, much love ……. yo have pure unadulterated talent
uko poa lakini niaje umenyaa siku hizi. kip it up!
I like that guys move.He knows how to sing.Cheki huko gigaaaaaaaaaaaaaaaaaaagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Kuna vile inanibamba.
That chali is wow!I like his moves.Cheki huyo gigagaga.Yaani kuna vile ananibamba.
Ur lyrics are so damn real,,..endelean vivyo hivyo
Am a die hard of BONGO MUSIC! Congratz sana msela Ali Kiba.
Hii track ya Mac Muga inanishika mbaya mbovu.
Kip up tha “GUD WORK”.
And God bless you abundantly and help you to release more hits!
CHHERS MAN!!!!!
FROM NAI, KENYA.
Kudos to Ali Kiba.
Hii track ni bomba na ilinikwachu videadly.
Kip up tha gud work Ali Kay!!!!!!!!!!
Oya Ali i listened your song and it really taught me some because I am USA right now but your song Mac Muga told me how to be when i will be back Bongo all happened to Mac Muga i dont wanna be happening to me i really heed about that so what i have to say you did grate job mtu wangu make you make song like that bcs i like teaching song like mac mugga
so keep up i am still surport even i am not there.
think every happen to some body can realy come to you
mini kijana kimoja na ujumbe wangu unaelekeya
kwako ali kiba nataka unitumiye e-mail yako kama inawezekana awo yeyote annajuwa e-mail yake anitumiye na ma swali mengi yakuongeya nawe .
u’r so talented,i like listening to your songs especially macmuga na kaka yako pliz come to louiville ky,the next time you tour the UNITEDSTATES so many of us would like to see you on stage for real.WE LOVE YOU.
hey,nimegundua utakua OHIO tarehe ishirini na tatu.ni masaa matatu tu kutoka ninakoishi ican’t wait to see my favourite artist live.all my friends will be there too.
hey bboy keep it up onest i think your really good boy good singee act…
i love your songs boy Ali as i love you to most how you move when your dancing lol you dont even dance harder bout algud looking great
kweri hio niswafi kwe enderea kaka
your girl I in New Zealand lol
Am from Kenya,went to his concert, tell Ali kiba he is a man and a true brother.He is true to what is happening to a lot of young african men when they come here. My bro came to the usa just like mac muga got into to things, and as Ali says mac thought of kujiua, my younger bro did. I cry when l listen to the song but thanks God that Ali is being used to warn other young men. Keep it up ,God bless you and brother Ali live it out is my prayer to you just do not sing it. Its crazy here, warn us in songs, we are listening. LOVE, LOVE YOUR VOICE AND SAY THANKS TO YOUR PARENTS, GOD BLESS THEM TOO. Where can i get you cd/dvd in usa, emai if you can.
Miziki yako ndugu i kibao sana. Mie ni mwalimu wa Kiswahili nchini Kenya na ninawahimiza wasomi wangu kusikiliza miziki yako hasa ‘Mac Muga’ kwani una mafunzo mzomzo. Ali Kiba, jitahidi usiwe kama huyo ‘Mac Muga’
mwalimu Yaddar
hey!!!!!!!!!!!!!! man i love ur songs and i think ur sooooooo cute……..luv u
Mie na mume wngu ni mashabiki kindakindaki wa ngoma zako. heko. Jifunge nira kaka.
napenda nyimbo zako sana.
napenda nyimbo zako
mtu wangu nina kaneno mataka tuongee na ali kiba sijui kama naweza kupata namba zake on E-mail yake
Niaje Ali K.
maze ngoma zako ni moto wa kuotea mbali. especcially hiyo Mac-muga, sisemi kitu. maze congrats keep up. (Fan mkubwa – Kakamega, Kenya)
sio mchezo mgoma kali inafundisha yashotokea na tushayaona
manze mimi ni mkenya na niko china but nakumbuka ngoma yako.kuna gani mpya?hongera
wow ali kiba hongera i like your most of all hadithi
wow ali kiba hongera i like your songs
most of all hadithi