Comments on: KWA KINA NA PROF.JOSEPH MBELE

By: Alex GN
Yeah, kitabu kimeenda shule haswa,maana ukisoma utajikuta kama upo Marekani na kama upo huko utajiona kama upo Afrika. Na kinakubadilisha tabia fulani fulani ambazo ulikuwa nazo na isitoshe ni kama umekaa na mwandishi anakusimulia hadithi. Huwezi kukiacha chini na utakirudia kila mara, mwenyewe nimeshakisoma mara tatu. Asante.

By: Joseph Mbele
Ndugu Alex GN, shukrani kwa kumbukumbu zako kuhusu tulivyokutana pale Lion Hotel, Sinza. Nategemea kitabu umeridhika nacho.

By: Alex GN
Ni saa sita na dakika ishirini ya Afrika ya Mashariki,tarehe 26August,jua likiwaka utosini nikiwa nje ya Lion Hotel,Sinza. Nimesimama takribani dakika kumi na tano, namuona dada mmoja mcheshi na Mzee ambaye ana mvi kiasi, haikunichukua muda kumtambua baada ya kumuona ndani ya BC si mwingine ni Prof. J. Mbele. BC asanteni sana kwa kunikutanisha na huyu Prof. ana kwa ana nakuongea naye mawili matatu, kumbe yupo vekesheni fulani hapa bongo. Sababu ya kukutana nae ni kwamba niliagiza kitabu chake cha Africans Americans Embracing Cultural Differences kupitia kwa Dada Siya ambaye namba yake niliipata hapa hapa BC. Nashukuru sana wabongo tujisomee tuache longolongo….!!!

By: Alex GN
Imenigusa mno na yote aliyosema Prof, lakini je ni watu wangapi wanasoma haya mambo ambayo ni muhimu sana katika jamii?? Ni wangapi wana uwezo wa Internet?? Kwa hapa Tanzania maduka ya vitabu ni issue… unaweza kutafuta kitabu wiki nzima na ukija kukipata bei yake mpaka ufanye kibarua mwaka mzima ndio ununue je kwa style hii tutafika??  Hapa Tanzania wasomi na watu maarufu ndio wanaongoza kuwa na bar badala ya Shule na taasisi za kuelimisha jamii basi ni bora wangekuwa na Internet cafe ingeeleweka japo kidogo,naomba BC Kila mdau utakaye mhoji awe Mwanamziki au yeyote yule muulize, “Umewahi kusoma kitabu gani?” iwe Novel au la..! usikie habari yake. Naomba Mungu atusaidie naamini tutafika tu.

By: muze alick
hongera mr mbele,umeainisha mambo machache muhimu. hayo yaliyosemwa na dulla nayo yana uzito. nahisi nyerere anapaishwa sana kuliko uhalisi wa mambo kana kwamba `without him tanzania would not have reached where it is today’ , hiyo si kweli mambo yangekuwa tofauti n huenda angavu kuliko.citations ,references za nyerere zimezidi na pengine nikutafuta ujiko tu,tanzania ina thinkers wengi tu. wanazuoni wengi wanaulimbukeni ndio wanatumikia hao mabepari na kuwaacha wabongo wanataabika. ulizia copy ya hicho kitabu ?muda wa maneno hatutaki we want mtu mwenye matendo  kama hugo chavez afrika.

By: any
Box linachosha jamani. si mmeona wenyewe.

By: hombiz
Hongera Prof kwa maoni yako muhimu ktk kujaribu kuchangia hoja muhimu ktk kuleta maendeleo ya kweli hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Na mimi nakuunga mkongo kwa kusema kuwa ili Taifa la Tanzania liendelee linahitaji mambo yake aliyovyokwisha tanabahisha mwalimu wakati wa uhai wake ambayo ni kama ifuatavyo: watu,ardhi siasa safi na uongozi bora. Lakini kwa uchambuzi wangu wa haraka haraka nikitazama vipengele hivi vinne naona vinahitaji marekebisho makubwa ili ndoto ya mwalimu ya maendeleo iweze kutimia.

1. Watu ambao ni watanzania wapo wa kutosha kuchapa kazi kwa nguvu zote na kuliletea taifa maendeleo. Lakini tatizo watu hao wamegawanyika kwenye matabaka ya walionacho(ambao ni wachache na wanaoishi kama wako peponi kwa kulihujumu taifa lao)na wasionacho ( ambao ndio wengi na wanaotaabika kila kukicha tena wengi wao wakiishi kwa kipato cha chini ya shilingi elfu moja kwa siku.

2. Ardhi tunayo tena yenye utajiri wa kila namna. Lakini tabaka la walionacho wanahujumu utajili wa ardhi yetu kwa manufaa yao binafsi. Mfano mzuri ni uingiaji wa mikataba mibovu ya madini na kasha nyingine kibao zilizowahi kutikisa tanzania kama ile ya Roliondo.

3. Siasa safi Tanzania hakuna. Siasa chafu ndio zimeshamili. Viongozi ambao ni tabaka la walionacho, wanatumia madaraka yao kuwahubilia wananchi uongo ili kuwadumaza ili wao waendelee kulididimiza taifa kwa ufisadi wao uliokithiri.

4. Uongozi bora. Swala hili ni kama ndoto za alinacha kwa Tanzania. Kama siasa safi hakuna, uongozi bora utatoka wapi?. Viongozi wote wametolea macho tamaa ya mali. Imefikia hatua raisi anafanya biashara akiwa Ikulu huku akibariki msululu wa mienendo ya kifisadi ichukue nafasi. Sasa huo Uongozi bora utatoka wapi? Kinachonishangaza mimi ni kwamba inakuwaje Watanzania wenzangu mnawachagua viongozi hawa wabovu na kuwaweka madarakani?

Kwakweli kwa mtazamo wangu mimi naona Tanzania haitaendelea mpaka kiwango cha wasomi kiongezeke kwa kiasi kikubwa nchi nzima na hasa vijijini ambako mpaka leo uwepo wa wasomi ni kama nyota ya jaha. Wananchi wengi wanaburuzwa tu kwakuwa wengi wao ambao ni walipa kodi na wapiga kura, hawana elimu ya kutosha kuchanganua mambo.  Fikilia asilimia 60 ya wantanzania ingekuwa ina elimu na uelewa ule walionao Dr Slaa, Mh Zito Kabwe, Dr. H . Mwakyembe, Prof J. Mbele, na wengine kama hao, Tanzania ingekuwa wapi leo hii?.

By: Khamis Mwili
Prof,heshima yako.

Kwa kweli umenigusa sana ulipoongelea suala la mavazi yetu sisi vijana.Kuanzia leo naacha kuvaa “kata k”.Umenigusa Prof.

BC..mungu awajaalie na kuwazidishia.Asanteni

By: Michelle
adullah u don’t know what you’re talking about, may God help you, so that you wont carry bombs coz you’re real scared of me. take care man.

By: Mswahilina
Gervas, inaonekana huku kwa Prof. umejitahidi sana kunyoosha kiswahili chako. Big up mwanafunzi wangu.

Na wewe Saidi Situ, Mbona unaleta tena ‘Udini’ huku kwenye hii blog. Kumbuka kuwa Hizi Imani tulizonazo tuliletewa na Waarabu na Wazungu, zisitufanye tunyanyapaane.