Comments on: DOWN THE MEMORY LANE;THE BEST PM EVER?

By: HASANI JUMA
Kwa mtazamo wangu Ni vigumu kwa sasa au kwa tanzania ya sasa kumpata waziri mkuu ka sokoine. Kwanza Tanzania ya sasa kupata cheo cha uwaziri si kutokana na utendaji wako wa kazi ila ni kwa gharama gani uliyo jitoa kumuweka kiongozi madarakani iwe ni kwa hali au mali.Pili watanzania tumeondokewa na umoja wa kitaifa kwani mfano leo hii kutokee jambo la kujitolea sithani kuna mtanzania hata mmoja ataweza kujitokeza kufanya kazi bure bila kudai malipo na hiyo ni kutaokana viongozi wetu wanapatikana sasa kubadilisha mioyo ya watanzania na kuwa fundisha wimbo waupendao wao wa WAFADHILI watatusaidia leo hii si jambo la kusha ngaza mwalimu mkuu ambaye ni kiongozi mkuu wa shule kushindwa kuwaelekeza wanfunzi wake wachimbe choo cha kutumia wenyewe mpaka wamsubiri mfadhili awaletee pesa na yote hayo ni mwongozo unaotuletea kukosa WAZIRI MKUU KAMA SOKOINE MPAKA MWISHO WA DAHARI

By: Bigy
Siku zote tunapenda kusikia mambo yasotufanya kufikiri. Likiwa la kufikirisha tunasema “so what”. Anyway tuendelee kuongelea stori kama-”kafumaniwa”, “arogwa” n.k.

By: changalamacho
Juma Ryoba SO WHAT!

By: Juma Rioba
Wanasheria wanaelewa vizuri sana jinsi sheria iliyopitishwa leo isivyoweza kutumika kufanya maamuzi ya mambo ya miaka iliyopita.

Hatahivyo si nia yangu kuongelea sheria.Nachotaka kusema ni kwamba, bila msingi wa watu kama Newton, Galileo Galilei,Socrates, n.k. mawazo endelevu yaliyozaa matunda tunayoyaona katika social science na natural science yasingekuwapo.Huwezi kupata wazo jipya nje ya wazo lililokwishakuwepo tayari.Huwezipata kitu kipya nje ya kilichokuwepo tayari.Hivyo basi,Japo mawazo ya wanafalsafa nlowataja hapo juu hayatumiki kwa sasa kama yalivyokuwa(ukilinganisha na yalivyo sasa), bila hayo sayansi ya jamii na hii ya “asili” isingekuwa hapa ilipo.

Aliyoyafanya Nyerere na Sokoine kwa wakati ule yalikuwa ya msingi mno kwa wakati ule na pia yaliweka msingi wa yanayotokea sasa. Hata Marekani ukiwauliza miaka 10 tu iliyopita walikuwa wapi watakwambia ni tofauti sana na sasa lakini hawawezi kufungua vinywa vyao kusema”yale hayana maana-ni ya miaka 10 iliyopita”. La!Hii ni kwa sababu ya miaka 10 ama 100 iliyopita ndiyo msingi wa ya sasa.Kumbuka ndege(ya kusafiria) ilivyoanza kutengenezwa-utacheka sana-Hivyo basi tusi-judge mambo kwa kuangalia muda huu tulionao. Kila jambo la sasa lina mwingiliano mkubwa mno na jambo lililopita. TV unayoiona sasa, ninakuomba ukasome historia ujue chanzo chake ni nini. Ilianza kama mchezo wa kitoto lakini sasa inaonekana kitu cha ajabu.Miaka 50 ijayo TV hii hii unayoiona ya ajabu itaonekana kitu cha kawaida mno na pengine kisicho maana kwani wakati huo tekinolojia itakuwa juu mno!Je, utasemaje kwa hilo?

Nyerere na Sokoine si malaika walifanya mabovu lakini kimsingi walifanya mambo kuendana na wakati wao.Tanzania ya sasa si Tanzania tutakayokuwa nayo miaka 50 ijayo.

By: Malenga
Faizer, unakaribishwa kwa moyo mkunjufu…Jisikie upo kwenu.

Lugha fasaha hupendezesha, lakini  lugha sanifu hung’arisha zaidi kijiwe chetu hapa BC. Hata hivyo isiwe tija ya kukuogopesha..wewe andika uwezavyo yatakayopinda Kifimbo cheza wa humu ndani atakuweka sawa.

Karibu sana

By: Matty
Faizer Karibu sana!Amina hii welcome Pary itakuwa kwa Dan pale k/nyma darajani sasa nitakuja nimevaa kimin na kitop ili hata faizer aweze kunitambua.

Kekuu usiwe unauliza maswali hayo hapa wageni watakuwa hawapigi hodi tena, ohoooo!

Wewe ndaki haiwezekaniiiiiiiiiiiiiiii x3 bora umemwambia faizer alete kiingilio kabisa ili tukajipongeze kwa Dan darajani k/nyma siku ya kupary (welcome pary) ni lini tena???

Gervas uko wapi?? bado unagema ulanzi tu??

Mswahilina kipende kiswahili tumia lugha fasaha  (what is mchonga meno?)

By: Longolongo
Sokoine alipofarikia aliacha Wake 2 mke mkubwa akiwa na watoto 9 na mke mgodo akiwa na watoto 5.

Ni kweli hakujilimbikizia mali bali alijilimbikizia watoto.

By: Dinah
Nafikiri Salim, Malecela na Msuya ndio walikuwa bora….waliopita sikuwepo waliofuata hamna kitu…..kuna matumaini Pinda atakuwa bora zaidi ya wote….tusubiri.

By: Gervas
Hamna wakumfikia wala kumfananisha na Moringe. Yeye na mwalimu mbali na kutotaka masihara kazini walionyesha maisha ya kutojilimbikizia mali. sokoine alikuwa na suti mbili tu. na alilenga kwa maslahi ya wananchi. with whom can u compare?

By: Edwin Ndaki
RIP kaka  wajina.

Hakika sisi tumashahidi na historia lazima itakulinda na kukutetea kwa jinsi ulivyo simama nasi.

FAIZER karibu sana,ingawa itabidi tukupatie contact za Matty maana ndio muhasibu wetu ili umpatie kiingilio.Number yake ni0756 400 400.

Mwisho..watu wangu woote wa Bc niliwakumbuka,nilikuwa namalizia Pasaka.Si unajua wengine huku Songea,tukianza  kunywa ugimbi hatumalizi kama ule wimbo wetu..tuyamalembe kunyumba mpaka tumale ugimbiii eeee hee eee ..haiwezekaniiii…Teehee..teee eee

siku njema..Nimerudi..Gervas upo wapi..au na wewe umepiga arua ukwayani?