Comments on: MUAFAKA ZANZIBAR;DEMOKRASIA AU KITENDAWILI?

By: mvuviwakale
SIO KWAMBA WANZANZIBARI WANATAMANI KILA KUKUICHA WAGOMBANE, BALI NI UFAKARA NA HALI NGUMU YA MAISHA INAYOWAKABILI KILA UCHAO, UKWELI HALI HII IMESABABISHWA NA UTAPELI NA ULAGHAI WA TANGANYIKA KUIHODHI NA KUINYONYA ZANZIBAR ISIENDELEE KIMAENDELEO, HAPA HAKUNA MUUNGANO BALI NI UBABAISHAJI, NA PICHA NJE KWA WASIOKUWA NA MACHO WALA AKILI YA KUFIKIRI. SISI KIZAZI KIPYA TUNATAKA MABADILIKO NA MASLAHI KWA WANZANZIBARI HATUTAKI PROPAGANDA ZA UAFRO-SHIRAZI NA UHIZIBU HIVYO VIENDELEE KUWA HISTORIA YA MASHULENI NA SIYO ITUMIKE KAMA FIMBO YA KUWATAWALA WALIO WENGI KWA MANUFAA YA WACHACHE.

KIZAZI KIPYA TUNAHITAJI DIRA MPYA YA SIASA BORA NA SI BORA WANASIASA WABOVU WANAOJALI MATUMBO NA FAMILIA ZAO.

TUNAHITAJI MUAFAKA UTAKALETA MAENDELEO KWA WANZANIBARI SIO KWA WAJANJA WA MRIMA NA WACHACHE WATAMANIFU…………………..

By: Mzalendo
Pamoja na kuwepo michoro au deals kwa mambo mengi ya wanasiasa lakini sisi tunaorizika kuwa waTz tunazo sababu za kimsingi kujadili masuala kama ya muungano n.k.

Mimi naishi nje na nyumbani na nina watoto sio raia wa bongo lakini ninaona umuhimu wa kuwa na kwetu sehemu ambayo unakuwa huru kupangilia maisha yako. Ninakutana na baadhi ya jamaa “walowezi”maisha wanayoishi ni kama ng’ombe wa kufugwa yaani unaishi kwa maslahi ya tajiri wako.

Nyumbani tunayo matatizo yetu ndio maana tunatumia fursa kama hii kujadiliana mambo muhimu yanayowezekana kutatuliwa. Sio sahihi kufikiri tuko hapa kukaragabao na kukimbia nchi yako kwenda kufanywa kuwa kama ng’ombe wa kufugwa, ndio jambo la maana kwetu kitaifa.  Kama kweli watu kama Seif yuko pale kusaidia jamaa zake kupata maslahi kwa njia ya ukimbizi, hilo ni suala la mslahi ya wachache. Sioni tofauti ya kufanya hivyo na kukubali kutawaliwa yaani kuwa chini ya ukoloni. Kama ni kweli inanifanya nikubaliane na mawazo kuwa Seif alitaka visiwani wajitawale na kuwa chini ya koloni la warabu kama historia ilivyokua.

Ni upumbavu kuikana ardhi yako kama maliasili na kukimbilia kwa matajiri kupewa uraia na kufanywa kama ng’ombe wa kufugwa. Ebu ndugu zangu tujifunze kwa yanayotokea zimbabwe kwa suala la ardhi kati ya wazawa na waamiaji. Tunachoshindwa kukiona ambacho matajiri wanakikodolea macho, ni ardhi tuliyopewa na Mungu. Hata hao mataifa makubwa matajiri walitokea huko tuliko lakini jitihada na mapinduzi ya viwanda n.k. vimewafikisha walipo leo. Sasa hivi wanajitanua kimataifa kuwa na ardhi ya kutosha kupanua wigo wa unyonyaji. Walipata upinzani kwa waona mbali kama akina nyerere, lakini hivi sasa wanapata upenyo kupitia wachache waliokubali kuishi kama ng’ombe wa kufugwa.

By: Anonymous
Nyie hamuelewi haya mambo ili wapemba waendelee kupata hadhi ya Ukimbizi lazima muafaka ukarogeke. Hivi kukiwa na muafaka kuna mtu ataclaim status ya Ukimbizi wa CUF huko Ughaibuni? Hivi sasa kuna wakimbizi wa CUF Canada, UK na kwingineko, wakati ule wa visa ilikuwa ni kuonyesha kadi yako tu, na sasa wengi wameshapata hata na uraia wa nchi walizokimbilia. Sasa haya mambo ya muafaka bomu, lazima iwe zali tena ili watu wapate kuwa wakimbizi ulaya. Huoni Maalum alivyotimkia majuu kwenda kuweka mambo sawa! Kalaghabaho nyie mnakausha makoo hapa wenzenu wanawapeleka jamaa zao nje kwa tiketi ya ukimbizi. Watu sasa hivi wanaangalia maslahi!

By: Mzalendo
USHAHIDI

Wazanzibari wagawanyika kuhusu mwafaka

2008-04-05 09:35:31

Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar

Maamuzi ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), yaliyotolewa Butiama hivi karibuni na kuendelea kufafanuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho jijini Dar es Salaam, Rais Jakaya Kikwete, bado yamewagawa Wazanzibari.

Wananchi wengi wa kawaida waliohojiwa wanasisitiza kuwa kura ya maoni juu ya serikali ya mseto italeta vurumai na kuvuruga umoja wa kitaifa huku wachache wakiona hatua hiyo ni sahihi.

Nipashe imefanya mahojiano katika maeneo mbali mbali mjini Zanzibar na kugundua kwamba wengi hawakutazamia kama CCM ingekuja na maamuzi hayo na ufafanuzi uliotolewa na CCM bado haujawaingia sawasawa.

Bw. Abubakar Ali, mkazi wa Amani mjini Unguja alisema suala la kura ya maoni si la msingi, na kwamba jambo la muhimu kutekelezwa ni yale yaliyofikiwa na Kamati ya Pamoja ya Muafaka kwa vile yanalenga kutetea maslahi ya taifa.

Alisema inashangaa kuona kuwa NEC inataka wananchi waulizwe kuhusu suala hilo la mseto, wakati kuna mambo mazito ya kitaifa yalifanyika bila ya wananchi kuulizwa.

Alitoa mfano, Rais wa awamu ya pili Zanzibar, Alhaj Aboud Jumbe aliondolewa wadhifa wake bila ya wananchi wa Zanzibar kuhojiwa katika kura ya maoni.

Bw. Mohammed Seif, mkazi wa Kwaalamsha alisema iwapo kura ya maoni itaitishwa itaamsha na kuongeza matatizo ya kisiasa kutokana na ushindani mkali wa vyama vya CCM na CUF visiwani hapa.

“Kuitisha kura ya maoni ni kupoteza muda kinachoonekana ni kwamba wenzetu hawapo tayari kutatua matatizo ya kisiasa yanayojitokeza Zanzibar,“ alisema Bw. Seif.

Mwananchi huyo alisema ni jambo la kushangaza kuona NEC ya CCM inataka maoni ya wananchi kuhusu mseto wakati wadhifa wa Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais wa Muungano ulifutwa bila kukusanya maoni ya watu.

Akizungumzia hatua hiyo, mchambuzi wa masuala ya siasa za Zanzibar Bw. Salum Said, mkaazi wa Malindi alisema tangu mapema hakuwa na imani ya kupatikana muafaka kati ya CCM na CUF kutokana na historia ya miafaka miwili iliyopita.

Alisema tatizo linalokwamisha muafaka huo ni vyama hivyo kukumbatia siasa za historia za Afro-Shirazi na Hizbu na kuacha maslahi ya wananchi walio wengi.

Alieleza kuwa hata kama serikali ya mseto ingefikiwa Zanzibar ingepata taabu katika utekelezaji wa majukumu yake kwa vile kuna watu wanahisi wana haki kuliko wengine.

Kwa upande wake, Bw. Ali Suleiman mkaazi wa Tomondo alisema matokeo ya uchaguzi ya vipindi vitatu katika mfumo wa vyama vingi hapa Zanzibar ni kigezo tosha cha kujua iwapo serikali ya mseto inakuwepo au au kutokuwepo kutokana na tafauti ya kura.

Hata hivyo, mfanyabiashara Yussuf Khamis wa soko la Samaki Darajani alisema maamuzi yaliyopitishwa na NEC yanapaswa kuungwa mkono na Wazanzibari kwa vile yanalenga kukuza demokrasia.

“Tupo tayari kupiga kura iwe ya karafuu au nazi muhimu kuondoa shari na kupata muafaka wa maelewano,“ alisema Bw. Khamis.

Akizungumzia hatua hiyo Bi. Shara Maulid wa Kwamtipura alisema inapopigwa kura ya aina yoyote Zanzibar, hujitokeza vurugu, hivyo kura ya maoni inayokusudiwa kupigwa ni kukaribisha vurugu nyingine na ukinzani wa kisiasa.

Alisema hali hiyo hutokana na kampeni ziendeshwazo na vyama vya siasa, ambapo kila upande haukubali kushindwa na kuongeza kuwa hali hiyo inaweza kujitokeza katika kura ya maoni.

Bwana Masoud Othman Said wa maskani ya CCM Wastahamilivu Darajani aliiita hatua ya NEC ya kurejesha suala hilo kwa wananchi kuwa ni uendelezaji wa demokrasia na utawala bora.

Alisema suala hilo lilipaswa kuzingatiwa mapema katika ajenda za mazungumzo, lakini lilisahaulika kwa sababu za kibinaadamu.

Kwa baadhi ya wanachama wa CUF Zanzibar maamuzi hayo yamepokelewa kwa kinyogo kwani walijitayarisha kusherekea serikali ya mseto kwa kununua sare na vyakula.

Wakati huo huo Wazee wa CCM wamempongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete kwa maamuzi yaliyofikiwa na NEC huko Butiama wiki iliyopita na ufafanuzi alioutoa wakati alipoongea na wananchi jijini Dar es Salaam.

SOURCE: Nipashe

By: Jicky MM
VYAMA VYOTE VYA AINA YA KIJAMAA VINA MATATIZO YA KUTOKUWA NA MAADILI. NI CHUI NDANI YA NGOZI YA MBUZI, WANATIA KINYAA KWA KWELI KWA SABABU WOTE NI WABINAFSI NA WAPENDA UFISADI NA UONGO NA UKANDAMIZAJI. ILIKUWA HIVYO URUSI MPAKA WARUSI WALIPONG’AMUA, ILIKUWA HIVYO ROMANIA, MPAKA WANANCHI WALIPONG’AMUA, ILIKUWA HIVYO CHEKOSLOVAKIA, POLAND, N.K. BAHATI MBAYA KABISA VYAMA HIVYO HAVINA AIBU KABISA, WALA HAWAJUI HAKI, UTAWALA BORA, NA ETHICS. NDIO WANOLETA UMASKINI, MAGOMVI, NA SHIDA KATIKA BARA LA AFRIKA. JAMANI HAMUWEZI KUBADILIKA NA KUWA WATU WENYE USTAARABU? MBONA INAWEZEKANA KABISA KUWA NA SIASA ZA USTAARABU BILA UWONGO NA ULAGHAI? ANGALIA MUGABE ANAOMBA ASISHTAKIWE, KWA NINI ANAOMBA HILO WAKATI SIKU ZOTE ALIKUWA AKIIMBA KUWA YEYE NI MZALENDO WA KWELI ZIMBABWE. TUMECHOKA NA UONGO WENU CCM na serikali yenu. SISI TUNATAKA SYSTEM SAFI YA SIASA, UCHAGUZI wa kweli, NA DEMOKRASIA YA KWELI; na uongozi bora serikalini. haiwezekani kila siku na kila issue ya kuiutendaji serikalini ikawa bomu, ufisadi, na hasara kwa wananchi. Kwani ni iwe hivyo kila siku, na mpaka lini??.

By: Amina
We Gorge unasemaje?usituzingue bange unajua?umeamua kututusi ehh sisi wenyewe tunajuana wewe ni mgeni au umeamua kubadili jina kututibua hapa

By: fukara
NDUGU  ZANGU  NASIKITIKA  SANA  JUU  YA  USANII  HUU  UNAO  ENDELEZA  NA  CCM.

AWALI  YA  YOTE PESA  ZA   WALIPA  KODI  IMETUMIKA  KULIPIA  VIKAO  “FEKI” AMBAVYO  NI  TAKRIBAN 21  KWA  MUJIBU  WA  SEIF  SHARIF’KILA  CHAMA  WAJUMBE  6/6  KWA  MUDA  WA MIEZI TAKRIBAN   14.

YANIN I  YOTE  HII  KAMA  KWELI  WALIKUWA  NA   NIA  NJEMA WANGEPELEKA  KWA  WANANCHI  WAAMUE  WENYE WE .

VILEVILE KAMA  NIA  YA  CCM  NI  NJEMA  KWANINI  WALIACHA  MAZUNGUMZO  YAENDELLEE  KWA  GHARAMA  ZANGU  MYONGE  NA  BADO  HUU  MUAFAKA    WANAULETEA  USANII

TATU  KIKWETE  MSANII   ALIINGIZA  HADI  WIZARA  YA MUUNGANO NAKULITIA  HASARA  TAIFA,JE  KAMA  WADANGANYIKA  WA  Z’BAR  WATAAFIKI  MSETO  NI  DHAHIRI  KWAMBA HATA  KATIBA  ITABADILIKA.

KIKWETE   ANAFANYA  MCHEZO  NA  MAISHA  YA  WATU  TUNAJUA  SOTE  TUTAKUFA    NA  HAKI  ITOLEWE  LA  SIVYO  ATAVUNA  ALICHO PANDA.

WANASIASA  MNAITAFUTIA  MATATIZO  YA  BURE  NCHI  HII  MMESHA  HARIBU  UCHUMI HELA  YA   TZ  HAINA  TENA  THAMANI  ,BALALI  MNAMFICHA  USA  KWA  GHARAMA  ZETU.WATANZANIA  NAOMBA  TUAMKE

NO CCM  2010  NA  HATA IKIWEZEKANA  SASA  HIVI  TUITISHE  UCHAGUZI.

NIMEGUNDUA  UKIONA  KIONGOZI  ANASIFIWA  SANA  HADI  NA  MEDIA    KIONGOZI  HUYO  NIBOMU

By: matty
Wewe George unasemaje???/ sasa ukimjua mwenye blog ili iweje??apange Masharti ya watu wakuingia hapa au umemaanisha nini??

Wewe kama unaona lugha haieleweki ishia kuangalia kisha kula kona.

Na unahitaji kuonana na wataalam wa kiswahili wakukalimanie nini kinaongelewa hapa…Mswahilina uko wapi?

By: GEORGE
hii blog ya wahuni nini mbona hamna hata lugha inayoeleweka mnaongea bila mpangilio ni blog ya nani hiii?

By: mkwanja
THOUGHT OF THE WEEK-WAZO LA WIKI

‘Dont argue with a Fool, people might not notice the difference’.nyingine ni ‘Mjinga wakati wa kwenda, kurudi Mwerevu’.

Sisi tunacho kizungumzia hapa quite frankly, ni kwamba ‘the cherished reputation of CCM here is at stake.The Credibility of the CCM Political Party as a Point of Reference in Africa has been seriously TARNISHED!

Wao CUF they have nothing to loose in terms of Credibilty and Political Repute!Watakacho poteza tu hapa ni kulazimishwa Wasubiri.Lakini Haki ya Mtu daima haipotei bali iyacheleweshwa.CCM kama Kongwe ilipaswa kuona mbali zaidi ya ncha ya PUA yake!Kwani 2010 ni mbali?Kwanini uutumie UPUMBAVU wa watu kujineemesha?Hiyo ni dhambi kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.Siyo wote wanao tambua madhara ya kushika Biblia mkono wa kushoto na Bunduki mkono wa kulia na huku unahubiri neno la Mungu!Laana haiko majumbani tu.Hata katika Uongozi wa Siasa.Angalia Vioja anavyo fanya Mugabe sasa hivi, ulivitarajia miaka kumi na tano iliyopita?Hapa tunaisikitikia zaidi CCM kuliko CUF kama ulikuwa huelewi.In this episode,by the very ‘unwise decision’ to seek pupolar mandate CCM has LOST and CUF has WON.Tunasema hivi Muafaka basi na Hakuna Kura ya Maoni.CCM na waendelee na serikali yao Visiwani.Uchaguzi Mkuu 2010 utaamua, SIYO MBALI!