Comments on: TUNAPOMKUMBUKA SHEIKH ABEID A.KARUME

By: salim
ni kweli tuna haja ya kuwaenzi waasisi walioisaidia nchi yetu kuwa huru.wasiojua umuhimu na uzito wa amani ndio hao miongoni mwao wanaochochea mchafuko wa amani wengi wakidai kuwa njia mbadala ya kupata haki ni kuleta migomo na vurugu zisizofaa. wanadai eti viongozi ni wala rushwa. wakipewa wao nafasi hiyo wataiba kuliko hawa wa sasa chondechonde jamani kuna tofauti kati ya uhuru na umasikini. keep it up tanzania.

By: Mfenesi
Ukweli usiopingika nikua Mapinduzi ya Zanzibar yalikosa muelekeo na kutokana na hayo ndio mwisho yaliopelekea Karume kuwawa, iwe Macomrade ndio waliomuua, au Mr. X au yoyote yule Karume alikuja kudhalilisha Wa-Zanzibari kuwapa Ratili moja ya mchele, unga, na sukari kwa mtu mzima na watoto nusu ya hiyo, nchi iliingia dhiki na watu kufungwa na kupotea na sio hayo huku Karume akificha mamilioni ya fedha ambayo wanawe ndio wakaja kuyafanyia biashara. Wengi wanamfanya Karume ni Nabii lakini Karume alifanya unyama mkubwa. Aliweka Kuadi ambaye kila siku akimtaftia wanawake kwenda kustarehe nao. Nchi ikakosa muelekeo, Zanzibar kutojua inapokwenda na Nyerere kwa kuutaka Muungano alijinymazia kimya. Karume aliwapoteza kwa sababu ya wivu au kutojiamni wenzake walioshiriki kikamilifu katika hayo yanayoitwa Mapinduzi, akiwemo Hanga, Twala, Athumani Sharifu, Saleh Sadala, Jimmy Ringo na wengi wengineo. Hao hadi leo aulizwe mwana ASP yoyote yule atuambie kisa kilichowafanya wauwawe, hutopata jawabu. Watu kama Said Washoto, Seif Bakari, Yussuf Himidi, Kaujore, Ibrahim Makungu na wengineo wakikamata wanawake kwa nguvu na kujistareheea walifilisi maduka ya watu kwa kukopa bila ya kurejesha fedha na kuuharibu kabisa uchumi uliokua umejengeka. Zanzibar ndani ya mwanzo mbaya ndio ulioipelekea kua ni kisiwa kimoja kilicho taabani na kukosa maedndeleo na kila kukicha kua kinarudi nyuma. Karume sio shujaa kama inavyoelezwa, bali ndio alioipeleka pabaya kisiwa cha Zanzibar.

By: medi
Mimi nipo Upande wa msema zous..Umenimaliza haswa Mungu akubariki..

By: salum
mimi nipo upande wa bablii.asate bablii kwa kusema ukweli.wapingao hawajui historia.nahisi bora wakati wa sultan kuliko huu wakati wa luasa,,,,,,,,,,,,haahaaaaaaaa

By: Zous
Salamu kwa wote.

Kabla ya yote napenda kumkosoa Bablii kwamba kitabu cha ‘UKWELI NI HUU” kimetungwa na mzee wetu wa kizanzibari ambaye anaishi nchi za falme za kiarabu anaeitwa Bw.Aman Thani na hakuwahi kuwa kiongozi katika SMZ bali ni mmoja katika vijana wa enzi hizo wenye nafasi za juu katika chama na serikali iliyoongozwa na HIZBU.

Haya na tuendelee.

Opinions nyingi zimetolewa hapo ziko nnazo zikubali na nisizo zikubali.Kuhusu kifo cha karume ni kwa sababu ya Uunguja na Upemba hicho nakataa katu! au tofauti hasama ya uarabu na uafrika ndio uliomtoa roho karume pia sio kweli.

Kwanza ningependa kuanza wakati wa chaguzi za miaka 1961 ambazo ndizo zilizowavuruga Wazanzibari kwa ujumla hadi hii leo naandika hiki kiji comment.Muingereza aliuona mwanya mzuri sana wa kutaka kutawala visiwa vywa Zanzibar kwa kuwabagua Wazanzibari kwa kuchochea Uarabu na Uafrika na kulikua hakuna uhasama wa Upemba na Uunguja kwa wakati ule hilo mtambue vilivo!

Well..alichokifanya(muingereza) ni kuona wengi wa Waunguja HALISI ni wenye kua na elimu na kujua nasaba zao atleast kwa miaka 120 iliopita ambao ni mchanganyiko ya waarabu wazawa wa Unguja na Waunguja ambao tunawaita au kujiita watu wa mashamba kama vile makunduchi,kizimkazi,tumbatu ..nk na hao wanosema chama cha hizbu ni cha waarabu basi wafuatilie kwa undani sanaa mana mwenyekiti wa chama Al marhum mzee Vuai kitoweo hakua muarabu alikua ni mzanzibari mwenye asili ya shambaa.

Then kuna Wazanzibari wa kuhamia ambao wameishi zanzibar si zaidi ya miaka 60 kwa kipindi kile cha miaka ya 60.Sasa tizama wengi wa hao wenye kujiita wana mapinduzi na nasaba zao au kama kuna evident report inayosema kwamba mama au baba zao waliishi au kuwazaa wao zanzibar.Nawataja baadhi ya famous revolutionaries.

1)Kaujore,2)Mfaranyaki,3)Saidi Washoto,na huyo fisadi al-khassah John okelo kama iko evidence inosema kama wazaliwa wa visiwa vya zanzibar na mfano mzuri mbona Okelo baada ya mapinduzi alipoanza kujilimbikizia masifa kama yeye ndio Raisi mbona Karume na watu wake walimtoa katika visiwa vya zanzibar na akina kaujore baada ya kupata uchizi kwa kuua watu bila ya sababu mbona alikimbilia mabara (mrima) kusiko julikana?!

Then namsema Karume sasa lakini qabla ya hapo mimi binafsi ni mjukuu wa Afro shirazi kwa upande wa mama na Hizbu kwa upande baba ila kwa kipindi hiki sina chama mana zanzibar inakanganya na nitaitoa sababu baadae.Niliwahi kukaa na great grand father wangu sijui nimuite vipi kwa kiswahili na aliwahi kunitamkia binafsi na Mungu shahidi wangu “Abedi ni mdogo wangu anakuja Unguja namuona hivi” na mpaka leo ukiuliza wapi kazaliwa jibu hakuna!!!

Turudi kwenye point.So wingi wa hawa Wazanzibari wa kuhamia walikua sio wenye kua na uwezo wa kifedha wala elimu kwahiyo waliishia kua makuli na mabaharia kwani kwa wakati ule Zanzibar ilikua bado ni maarufi katika trading in east Africa and every part of the world.Ndio hapa baada ya Wazanzibari halisi kutaka kupewa nchi yao kutoka chini ya mikono ya Muingereza ndipo Mama(Queen) akasema divide them and rule them lakini kwa nguvu za Mungu muweza zika FAIL!Baada ya Hizbu kushinda chaguzi za 1961 ndio Mama akaanza mbinu za chini kwa chini za ku-introduce divide them and crash them,hii haijulikani ila kwa wale waliowahi kufanya kazi za ukachero mana hadi leo zanzibar inasumbuliwa na divide them and crash them ambayo Nyerere ameirithi kutoka kwa Waingereza.Nyerere alikua na Tanganyika tayari baada ya 1961 na hadi leo kuna watu wanojua kwamba makubaliano ya nyerere na waingereza kupeana madaraka it was of Christian religeous agreement na zanzibar ilikua more than 99.3% Islamic state ambayo waingereza hawakuipendelea kwa wakati mwingi so nyerere was a secret weapon of the British.End of 1963 to beginning of 1964 i call this period a critical period for a devine change to Nyerere.Mikutano mingi ilifanyika kipindi hiki baina ya Nyerere na Karume huko ikulu za Tanganyika.Them Abdurahman babu akiwa na na agenda zake za kikoministi akaona aunge mkono mzee nyerere na karume kwani hakumjali karume kwa vile hakuwa msomi na mwenye hikma alimjali sana karume nakuuogopa ujanja wake kwa vile alijua vyema(Babu) kwamba Nyerere nia yake ni kuiteka Zanzibar tu!

Chama cha Babu (UMMA PARTY)kilikua na vijana wenye hirmu ya miaka 25-35 ambao walipata masomo ya kutosha na familia zao zilikua zenye kujiweza na wengi wao walikua na asili za kiarabu na kingazija(Comorians).Hawa walipewa mafunzo ya kijeshi kwa siri huko Cuba na kuna evidence wakati wa mapinduzi wacuba walishiriki pia na Che Guevara alikuapo zanzibar kwani wakati huo walikua wamepiga kambi congo.So aloyapanga mapinduzi khasa ni Babu na Nyerere na sio karume ila yeye alikua ni front face na ili ku wash brains za waafrika au ati wanyonge ndio mana walewalio kua na mafunzo hasa ya kijeshi na kupigana hawakuitwa wana mapinduzi isipokua mmoja tu Sheikh Ali Mahfoudh na sababu ilikua ni kwamba kwanini asiwe hata mmoja ya wajuzi wa kijeshi kuitwa mwana mapinduzi na inafahamika kwamba Ali Mahfoudh ndie aliekua kamnda wa hao vijana waliopata mafunzo huko Cuba ambao walijiita comrades(na wao yakawafika yalowafika baadae kuwapa nchi unknowledgables)

Sasa la kujiuliza kwavile tunaishi katika kipindi cha sayansi na teknolojia ni hivi serikali ya Hizbu ilikua haina jeshi mpaka wanyonge wapindue kwa mishale,mapanga na mikuki itaingia akilini kweli?

Silaha ziliandaliwa kutoka mrima na nyerere pamoja na baadhi ya maaskari na hao makomred na wacuba ndio walokuja kupigana na vikosi vya Hizbu huo ndio ukweli na Marhemu Mohamed Shamte aliomba msaada kutoka kwa waingereza waliokua mombasa vikosi vya maji ili kuja kusaidia walikataa katu katu kama vile Zanzibar haikua chini ya common wealth Mungu atawalipa!

Mapinduzi yameisha!..asubuhi nchi iko chini ya Afro shirazi sawa.Sasa hapa ndipo chuki na uchafu wa kila aina ukazidi kua mkubwa.Hao walojiita wanyonge ndio wakaanza kuingia majumbani mwa watu kuzini wake na ndugu za watu kuua vichanga kulawiti waume za watu..kama alivosema mmoja wetu hapo juu ZANZIBAR BADO INATOKOTA INASUBIRI SABABU YA KURIPUKA!..Namalizia hapo during the ero of 1960-late 60s.

Kwenye mwaka 1969 wengi ya wasomi au makomred hawakuwafikiana na mambo alokua akiyafanya karume mana hali ya uchumi ilizidi kuwa ya hini chakula hakipatikani na alikua hataki kupewa ushauri probably may be alijihisi ni mtu wa chini kielimu so alitumia barberic tugh ndio Babu na watu wake wakataka kuandaa mapinduzi mengine mwaka 1972.Babu hakua kama nyerere au karume alikua ni mkoministi with “protocols” nyerere aliiletea Tanganyika uhuru well lakini aliimaliza kwavile hakua na economic knowledge na wala hakutaka ushauri kutoka kwa wachumi pesa zote zimekwenda kusaidia kukomboa nchi jirani leo hao nchi jirani ndio wanatuulia ndugu zetu mfano South Africans shenzi zao.So Babu hakupendelea the ruling system ya Karume mana nyerere ndio aliekua aki control financial support of zanzibar thats why ministry of finance was under Karume himself.Tarehe 7/4/1972 imefika ndio kina Homoud na wenziwe wakavamia ASP head offices lakini Homoud ndiye aliye vuruga mambo mana plan ilikua sio kumuuwa Karume ni kumlazimisha atangaze kwamba nchi iko chini ya mamlaka ya kijeshi na wengi wao ni hao makomred baadhi ni ngugu zetu wa damu.Hamoud had his own agenda hata ingelikua mimi kwa mambo aliofanyiwa ya kuambiwa amuuwe babaake mzazi pasipo kujua ningeingiwa na machungu.Karume kafa kizaa zaa chengine kikazagaa mitaani.Babu akatiwa ndani na nyerere na sio zanzibar jiulize why hapo! na makomred wengi wao wakamalizwa na baadhi yao hata maiti zao hazikuonekana hadi hii leo.Na kabla ya hapo Karume aliwamaliza baadhi ya mawaziri wake wasomi kwa vile walikua hawakubaliani na maamuzi yake.Nitawataja baadhi kwa majina.1)Kassim Hanga(maiti haijaonekana).2)Twala.3)Sheikh Saadallah.4)Dr Othman Sharif hawa wote walikua ni wasomi katika serikali ya Karume.

Sasa nitagusia kipindi hiki cha uhasama wa CCM na CUF Zanzibar.

Naanza na CCM.

Ukweli ni kwamba CCM Zanzibar hawajawahi kua na ideological thoughts kwamba wao ni CCM ng’o!..kwani inachuki zake toka mwaka 1972 na wanaamini nyerere was a master mind of Karume’s assassination na wakaitilia mkazo pale nyerere alipounganisha vyama 1977 lakini kila mtu alijiogopea na kuchoshwa kwani Zanzibar toka 60s to 70s damu nyingi mno ilisha mwagika.So CCM Zanzibar itabaki kuwa jina tu lakini inside is and still will be AFRO SHIRAZI just so you know! na hilo CCM bara walijue mana mkorogo wa mafuta ya Pemba ndio litakalozaa kimeta chengine kuliko cha 1984.

Sasa nakuja kwa CUF.

Ningependa kuwachambua viongozi wa CUF lakini mikono imechoka na niko kazini nataka kuwahi trein nielekee pangoni kwangu.

Wengi wa viongozi wa CUF walikua ni mawaziri katika serikali za SMZ ambayo inaongozwa na CCM.Sasa tuje sababu ya Seifu na wenzake kama vile kina Soud Yussuf Mgeni Maulidi Makame,Ali Haji Pandu n.k kukiwacha chama just like that.Ukweli Sefu ndio aliye anza haya mambo ya kuuleta UPEMBA na hii naisema wazi wazi na mimi sio mfuasi wa CCM na sitokua hata siku moja.Kipindi yuko waziri wa elimu alikuwa anawapa wapemba scholarships kisirisiri kwenye miaka ya 80 na kweli Wapemba waliitumia nafasi vilivo na wakasoma lakini sijui kwanini mpaka leo wako ovyo ovyo labda wanaogopana kupigana ndumba.Afisi ya waziri kiongozi wakati Sefu ndie waziri wake ilijaa wapemba na makatibu wake.Idara ya ardhi ilijaa wapemba ndio wakawa wanagawana ardhi huko BUBUBU zanzibar ndio pale washamba nao wakaja juu wakashtukia soo na kufatilia,vikao vya waasisi wa AFRO SHIRAZI wakakaa chini na kutuma vijana wao kama kina Nassor Moyo kumfata Nyerere amtoe sefu kwenye system but it wasn’t easy kwavile nyerere alimuamini mno Sefu kabla ya hapo na SIRI nyingi za nyerere bado ziko mikononi mwake(sefu)ndio mana akashindikana kuwa eliminated kwavile they didnt have any idea who else knew ndio mkamuona Sefu anapeta hadi leo na marupurupu wanamlipa anakulala kuku na wanawe then watoto wa wenzake wanakufa kwenye maandamano na wengine wanakatazwa kwenda mashuleni eti hadi KAFU(CUF)iingie madarakani.

Kwa kumalizia solution ya kupatikana PEACE Zanzibar jamani aijuae Mola muweza,shughuli nzito jamani.Msiseme serikali tatu au mseto au white paper.Muhimu kwa Wazanzibari sasa hivi ni kutafuta njia ya kujiamulia mamlaka yake ya kiuchumi na siasa za ndani ikiwa ni CUF au CCM ya zanzibar tukae pamoja kisiwa kimedidimaa na huzuniiiiiii.

Insha Allah kwa uwezo wake Mola atatufikisha.

Amen!

Kama nimekosea au kumuumiza mtu kwa maneno yangu naomba kumradhi.

Zanzibar Forever!

By: castico
Nyie mnaejitia kujuwa historia za Zanzibar toka lini? ikiwa utumwa basi ni nyie watu wa bara ndio mkiuzana wenyewe kwa wenyewe na kukamatana!! Na sisi wakaazi wa Unguja ndio tukikununuweni na kukuuzeni nje ya Zanzibar!! hebu niambieni nani aliopo Zanzibar mwenyewe asili ya utumwa na kununuliwa? hakuna !! Na ikiwa waarabu ndio waliokuwa wakinunuwa hao watumwa, hivyo kweli soko yake wangeiweka ndani ya makanisa? umesikia wapi warabu kuwa wamasihi khasa africa? wacheni kasumba zenu hizo, Zanzibar ina wenyewe !!

By: Mwanamke wa Shoka (UK)
wow…!!…miye historia niliiacha nikiwa form two…ati nikajikita kwenye mchepuo wa sayansi…kule warsaw….ila hapa BC nimepata a full course of history….

thank you ever so much you all wadaus here.

It has been an eye opener….a jaw-moving history session…

truly, reconciliation seems to be a way forward….kama kweli TUNAMCHA MUNGU….

By: mohd
MSAADA KWA ANE FAHAMU

NINAVO FAHAMU MIMI KILA MZANZIBARI ANA KWAO

KAMA MIMI NAISHI MJINI UNGUJA ILA KWETU NI MAKUNDUCHI ALIPOTOKA BABA ANGU NA KUNA KIAMBO CHAO (KIJIJI CHAO)NA FUMBA ALIPOTOKEA MAMA ANGU NA KUNA KIMBO CHAO JE!

KARUME WAZEE WAKE WAMETOKEA WAPI NA VIAMBO VYAO VIKO WAPI? BABA AKE KATOKEA WAPI? NA KIAMBO CHAO KIKO WAPI? NA MAMA AKE KATOKEA  WAPI NA KIAMBO CHAKE KIKO WAPI?

By: zanzibar
NYINYI WATANGANYIKA HAMUJUWI SIASA ZA ZANZIBAR ,TUWAACHIENI WENYEWE PLS

By: junior
waheshimiwa anony na baslali  nashukuru sana kwa michango yenu ambayo kwakweli siyo tu imenitoa ujinga kuhusu siasa za zanzibar bali imeubadilisha mwelekeo wangu wa kuwaona cuf ni washari,waroho wa madaraka nk nk

Lakini ningeomba mrudi tena na mnifahamishe haya yafuatayo

1.Kama mapinduzi ya 1964 yalikuwa ni  ya kumuondoa Mohamed shamte ambaye ni mpemba na nijuavyo mimi ni kuwa huyu bwana alikuwa waziri mkuu.je muundo wa serikali ya zanzibar kipindi hicho ulikuwaje?je kipindi hicho zanzibar ilikuwa ni monarchy na sultan ndiye alikuwa na kama kiongozi wa nchi na shamte ni mamluki tu?Na shamte kama waziri mkuu,je aliwaletea wadhira,manyanyaso nk nk yoyote watu wa unguja?

2.Mnaweza kuniambia kwa nini mwalimu Nyerere alimpenda sana Dr.Salim A.Salim na hata kumpa vyeo vikubwa vikubwa wakati akiwa na umri mdogo tu na hata kumtaka awe Rais wa Muungano mara kadhaa ilihali wajumbe wa CCM zanzibar  hawataki kabisa Dr.Salim awe rais wa muungano?

Ntanguliza shukrani zangu