
MKURUGENZI wa bendi ya muziki wa dansi ya TOT, maarufu sasa kama T-Respect, Kapteni mstaafu John Komba, amesema kwamba wamefanya mapinduzi ya hali ya juu, hivyo wapinzani wao wakae chonjo kwani wanakuja na ‘spidi’ kali. Kwa undani wa habari hii bonyeza hapa.
Pichani ni Ali Choki ambaye ndio Meneja wa Bendi hiyo inayojulikana kwa jina jipya la T-Respect.Nini maoni yako kuhusiana na bendi kubadilisha majina?Ni kweli kwamba kubadili majina kunaua historia za bendi?
Feedback / Comments
4 Responses to “TOT SASA KUITWA T-RESPECT”
Leave a Reply


sending...
Yawezekana kubadilisha majina wala si kuua historia ya bendi bali ni njia ya kujisalimisha endapo kuna ufisadi umetokea…jina jingine kwa hiyo na kampuni ni nyingine na ukija na jina la zamani hutaeleweka na utabaki kushangaa. Nadhani mmenielewa wadau!
Asalam Alyeikoum
hivi jamani huyu mjamaa anamatatizo? mbona anahamahama sana
hamna kitu hapo..na anapenda majigambo na akifika sehemu yeye awike ndomana kwingine kunamshindaga anakimbia,hawezi kubanana na akina banza stone, halidi chokoraa na wengineo hapa atafit sbbu hakuna wakushindana nae
huyu yupo kama kuku aliyekosa banda