
Tunaendelea na mfululizo wetu wa mabalozi wa Tanzania nchi za nje.Pichani ni Balozi Peter Kallaghe, balozi wa Tanzania nchini Canada. Kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Peter Kallaghe alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari -Ikulu Tanzania.
Ukitaka kutembelea tovuti ya Ubalozi wa Tanzania nchini Canada bonyeza hapa.
Feedback / Comments
8 Responses to “BALOZI PETER KALLAGHE”
Leave a Reply


sending...
Nimefurahi kuona japo sura ya balozi wangu hapa Canada.Mheshimiwa balozi fanya uje kututembelea basi huku New Brunswick ili nasi tujidai.
baba wa rafiki yangu huyu..big up!
huyu Balozi ana mvuto mbona jamani!!!…………………………..mh
inaelekea atakuwa na kazi ya kujua watu aliowakuta.
hongera sana balozi wetu ,pamoja na familia kwa ujumla ,
Tunakupongeza sana,
dada Joy na familia ,mnapendeza sana ,vipi canada hope you are doing all good!
Una mvuto lakini blaa blaa nyingi- huna msimamo! hujiamin! kiongozi aliyekomaa haongozi kama wewe. Unaogopa lawama. Hufai kuwa kiongozi. Kituo Ottawa kinayumba. Dar wanalifahamu hilo! Wanasuburi Tsumani KITUONI OTTAWA.
Uwe na Mipaka! acha mialiko ya kila siku kwenye Vijumba vya watanga wenzako>BAADA YA KULA WANAKUCHORA SANA!
HONGERA WA KAYA
Wish you all the best in your life and family as well, respect and responsibilities is all with you, being a diplomat is not easy, goodluck bro..!!