Comments on: NINI NA KWANINI?

By: leila shakum
inalilah wa barakhut alhamdulillaaaah na walaanikeee

By: Hurry Vincent
Jambo zima ni la kusikitisha. lakini kitendo cha magazeti kutoa picha ya mtoto aliyechinjwa pamoja na TV kuonyesha ni jambo la kukemewa. watoto wetu mameasilika kwa kuona picha hizo. waziri anayehusika kama hakukemea wala kuona hilo hafai kushika wizara hiyo. alipaswa kukemea na kuviondolea vibali vyombo vyote vilivyo husika kuonyesha picha ya mtoto aliye fanyiwa unyama huo, ili liwe fundisho kwa wote.

By: Edwin Ndaki
Kabla ya yote.

Mwenyezi Mungu ipumzishe roho ya mtoto salome mahala pema peponi.Amina

Watie nguvu,ujasiri wazazi wake na wapendwa wake wote walio katika kipindi kigumu.

TATU:

Ukweli sifahamu nini maana ya uchawi,hivyo sijui hata mchawi na uchawi.(Mtazamo wangu)

MWISHO:

Hilo tukio ni vema vyombo vya usalama vichukue hatua za kisheria.Ikiwemo kuwashirikisha wadau kwa pembeni kuhusu nini kifanyike kusaidia hilo lisije tokeo.

Hapo nime maanisha watu waliobobea katika masuala ya “saikolojia” na wazee wetu wa dini na wazee wa “BUSARA”.Jibu lipo.

Tutafika tu.

Nalaani kwa nguvu zote kitendo hiki.

By: mdunger
Wa TZ lazima tujiulize,kwanza wachunaji ngozi,pili mauaji ya albino na sasa mauaji ya vichanga.Hapa tunahitaji kuwa waangalifu,Tufanye uchunguzi wa kina kwa kutumia njia za kisayansi na kuangalia imani zetu za kiafrika.Kwani tunaweza kufikiri ni ushirikina kumbe sio au ni kinyume chake.Kwa hiyo,Naamini uchunguzi wa police utatupa majibu sahihi.Lakini inatia uchungu sana mauaji ya mtoto Salome.

By: jamy
Mswiba!!! yaani inasikitisha sana, cha muhimu ni kufuatilia alifanya haya mambo na nani ili nawenyewe wachukuliwe hatua, mtoto asiachiwe afungwe maisha.

By: aNASTAZIA
Jamani  hivi   Watanzania tunaelekea  wapi , yani kila kukicha  mambo mengi na ya  ajabu yanaibuka  watu wameloga mpaka sasa  wanaanza kukatisha uhai wa  wengine kwa  faida na manufaa yao. Ikiwa ugumu wa maisha unatumaliza,UKIMWI unatumaliza,Mafisadi halkazarika  je  tutafika jamani? Msongo wa mawazo  na  fikra  nyingi za  mambo ya  kutisha tunayosikia kila  siku unatupunguzia  uhai. Nawapa pole wafiwa  mama na baba  Salome Yohana  Mungu ndio anajua adhabu ya  kumpa Ramadhani kama alishawahi kuumba ni haki yake uuwa  pia.

Nashauri uchunguzi ufanyike wa kina na wahusika  wachukuliwe  hatua za kisheria kwani serikali haiamini ushirikila lakini  upo na  sheria ichukue mkondo wake  laa sivyo tutamalizana  kwa  hizi imani. IMENISIKITISHA  SANA NASHINDWA  HATA KUELEZEA.

By: mazagazaga
Just a TIP to the Police:Huyo kijana aliyekutwa na kichwa asiachiliwe kabisa.Mtoto huyo anatumiwa na watu wazima kabisa wenye akili zao timamu lakini wenye imani za kishetani na malengo maovu kabisa ya kutaka kushindana na Mungu.Siku ile alipokamatwa pale Langoni katika Hospitali ya Muhimbili akiwa amebeba kichwa cha mtoto katika fuko la plastiki(kama sijakosea), Muuaji mhusika mkuu hakuwa mbali sana na huyo mtoto.Alikuwa maeneo ya jirani akiongozana na ye kwa nyuma ili aweze kuhakikisha huyo kijana ataufikisha mzigo huo wa kichwa kule kulikokusudiwa.Huyo mtoto hakuwa anatenda mambo yale kwa ‘Remote Control’ kama wengine watakavyo amini kishirikina.Iwapo wale walinzi wa Muhimbili Langoni waliomkamata yule kijana watabanwa zaidi ili wakumbuke sura walizo ziona pale karibu ya tukio lile,hususan mtu aliyejaribu kuonyesha huruma ya hali ya juu akiomba yule kijana asamehewe kwa sababu ni mtoto mdogo na anatumiwa kishirikina au watu wengine kadhaa,basi msako ufanyike kuwatafuta watu hao hata ikichukua miaka 20.Huyo mtoto Ramadhani kwa kumwangalia tu uso wake akiwekwa chini ya ulinzi akatulizwa akili yake kabisa na asiteswe,asipewe vitisho na apewe kila atakacho kipenda basi kuna uwezekano mkubwa siku moja ataropoka tu kitu(povide key lead or clue) kitakacho wawezesha Polisi wa Upelelezi(Police Detective) wafuatilie ule mtandao na hatimaye kuutokomeza kabisa.Na pale palipokutwa kile kiwiliwili cha yule mtoto Salome,lazima uchunguzi wa kina ufanyike haraka sana kwa kubainisha ni wakazi wepi wa eneo hilo waliotoweka ghafla kuhamia maeneo mengine, au watu wenye sura ngeni walio onekana katika maeneo hayo kwa majirani au kuzifahamu kwa undani taabia za kila mkazi wa eneo hilo lilipo tokea hio tukio. Inaelekea mtoto huyo alichinjwa usiku uleule wa kutoweka kwake na tukio hilo lilifanyika katika maeneo hayo hayo ya jirani. Lazima damu zilimwagika sana baada ya uchinjaji huo na siyo rahisi hata kidogo damu hiyo ikafutwa na kufutika kabisa bila ya kuacha madoadoa. Kwa hiyo kila nyumba katika eneo hilo ipekuliwe na kila kichaka kitakacho tia wasiwasi katika eneo hilo kipekuliwe.Lazima ushahidi utapatikana wa wapi hasa uchinjaji ule ulifanyika kama ni katika nyumba ya mtu au eneo la kichakani.Na tendo hilo lilifanywa na Mtu Mzima kabisa na siyo huyo mtoto Ramadhani.Lakini hiyo haina maana huyo mtoto Ramadhani aachiwe.Huyo mtoto ni hatari sana ambaye hakika hukumu yake ni kifo kwa vyovyote vile alivyo husika.Kama nilivyosema hapo awali,kwamba ili kupata ushirikiano mzuri kutoka kwa Ramadhani asipelekwe mahakamani kwa hivi sasa, atunzwe vizuri mpaka akili yake itulie awe katika hali ya kawaida, chochote atakacho taka apewe, lakini wakati huo huo wale wataalamu wa kudodosa mambo wakiendelea na kazi yao ya kumhoji polepole bila ya papara.Ipo siku ataropoka kitu muhimu kitakacho fichua mtandao mzima wa hao wahalifu. Mauaji ya mtoto Salome bila shaka yalipangwa siku nyingi. Wazazi wa Salome wajaribu kukumbuka ni kina nani waliojaribu kuwazoea kwa haraka katika siku za karibuni pengine itasaidia. Katika matukio kama haya tuzingatie busara za wazee wetu. Mara nyingi ‘Kikulacho ki Nguoni mwako’. Na kwamba ‘Fimbo ya Mbali Haiui Nyoka’. Mara nyingi mtu wa mbali asiyekujua undani wako ni vugumu sana yeye kukudhuru.Atakaye kudhuru ni yule jirani yako au mtu aliyekuzoea na kukufahamu undani wako. Tahadhari, siyo wote majirani zako au watu waliokufahamu undani wako wakawa maadui zako. Lakini pa kuanzia kupapasa nani atakayeweza kufanya unyama kama huo lazima pawe hapo katika eneo la tukio na mazingira yake.Katika tukio hilo tuamini kwanza kwamba halikufanyika kwa imani za kishirikina. Bali waliolifanya ni watu wenye Imani za Kishetani ambao wanataka kushindana na Mungu katika mambo mengi.Kwa mfano,wawe na uwezo wa kufufua  wafu, au uwezo wa kulazimisha matukio ya nchi kulingana na matakwa yao.Inawezekana vilevile kwamba lipo kundi la watu lenye mawazo ya kishetani waliodhamiria kujenga hofu miongoni mwa wanajamii ili kutimiza malengo yao.Au ni mbinu inayo tumiwa na wachawi au waganga wano piga Lamli ili wakuze biashara yao kwa kujenga hofu zaidi katika jamii.Haya mambo lazima yashughulikiwe katika mapana yake bila ya kuoneana haya hata kama mjomba wako au shangazi kahusika.

By: trii
jamani heee yote yameshatokea,sasa tufanyeje ili yasiendelee,mi naamini huyo kijana anatumwa na wakubwa zake,je tufanyeje ili tuwapate hao ,kwa sababu hata wakimuua huyo mtoto tatizo bado halitaisha,wale wanao mtumia bado watakuwa na uwezo wa kumtumia mtu mwingine.kama hawa wachawi wanauwezo kubwa hivi kwa nn serikali isiwatumie kufichuwa mafisadi,walarushw na vimeo vingine huko serikalini????

By: ma'reen
Wewe puza tata ngoja kajamaa kakutokee usiku ndo utajua kama ni compulsive sijui nini!Unashangaa kako pembeni mwa bed milango imafungwa hakajavunja tuone kama utaanza kutafuta kwenye kamusi yako hiyo excessive…!Haka ni kagagula tu, kachawi asilia, ni DAMU YA YESU TU inaweza ku-deal na haya mauzauza otherwise mtakesha bure.

By: Mama wa Kichagga
NB:

Huyo mtoto afanyiwe uchunguzi wa kina ili kuweza kuutambua mtandao wao na serikali iingilie kati ili tabia hii kuweza kukomeshwa!

R.I.P Mtoto Salome