MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

Umekuwa ukifuatilia maendeleo ya muziki uitwao wa kizazi kipya kwa muda sasa.Umeshuhudia wasanii mbalimbali wakiingia,wakatamba au kupotelea hewani.Lakini je umekuwa ukitunza kumbukumbu zako?Kama jibu ni ndio, unaweza kukumbuka(na kukumbusha wenzako) kuhusu kilichokuwa kinatokea katika picha hiyo hapo juu? Ni wasanii gani ambao unaweza kuwatambua katika picha hii?

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

11 Responses to “DOWN THE MEMORY LANE…”

  1. Comment by J Bigy on April 29th, 2008 10:34 pm

    inspekta na sir nature ndo nawafahamu. Ila inspekta alivokaa sijui picha imemtoaje huku kwa chini. Nadhani labda ni mkao tu.
    Wanaume Oyeee!

  2. Comment by Zyb on April 30th, 2008 1:34 am

    Siku hii NADHANI ni ileeeeeeee ya uzinduzi wa albam ya UGALI ya NATURE BOY.

  3. Comment by Belo on April 30th, 2008 4:54 am

    INSPECTOR HAROUN
    JUMA NATURE

  4. Comment by sally on April 30th, 2008 5:44 am

    Nimemuona hapo Juma Nature Inspect Haruni au (Babu) wenginge sijawajua vizuri.

  5. Comment by sweetoh on April 30th, 2008 8:07 am

    Juma Nature & Inspector Harun a.k.a Babu na wasanii wengine wakila Ugali katika uzinduzi wa album ya UGALI ya Juma Nature.

  6. Comment by Kaka Poli on April 30th, 2008 8:11 am

    Hapo nawaona nguli wa muziki wa kizazi kipya Insp. Harun (Haruna Kahena), mtaalam wa maneno ya uswahilini yenye mchanganyiko na kindengereko na uzaramo (wa pili kulia), akiwa na Juma Kassim (Juma Nature) wa tatu kutokea kulia. Hapa chakula wanachokula ni ugali, na hii ni katika kuunogesha wimbo wa “ugali” ulioimbwa na Juma Nature katika Albamu ya Ugali (kama sijakosea.

    Ahsante kumbukumbu hii kaka

  7. Comment by DUNDA GALDEN on April 30th, 2008 10:42 am

    Ugali huo ni siku ya uzinduzi wa chakula bora chenye uwezo wa kipekee UGALI,Hpo J.Nature,I.Haruni sikosei
    Chafosa chai goda

  8. Comment by kwerekwere on April 30th, 2008 11:28 am

    kutoka kulia kiboya aka mzee wa sauz / juma nature/ insp Haruni huyu kiboya tumemfukuza sauz hahaha leo meneja wa tmk wanaume lol

  9. Comment by Elly Mwambene on May 2nd, 2008 2:45 am

    Back days mkubwa,enzi hizoo za Ugali,Nature akisimama kama solo Artist akiwa na swahiba wake,Inspector Haruni,”Babu”

  10. Comment by Mzee wa Kibosho on May 5th, 2008 4:50 am

    Duh mshikaji umenikumbusha mbali mtu wangu. Mambo ya “ugali” hayo wakati wa makamuzi ya albam ya UGALI ya Sir Nature. Namnyaka saana huyo sir Nature na Inpector Haroun. enzi za TMK wanaume Family

  11. Comment by mambo on July 24th, 2008 7:17 am

    Tatizo hili kundi linahusudu sana misosi any way mizik yenu naipenda sana hasa zile za zamani kama jinsi kijana anavyobadili tabia,inaniuma sana,gheto,na sitaki demu.

Leave a Reply