
Anaitwa Sofia Kessy.Kipindi anachokiendesha kinaitwa Afrika Bambataa kupitia Clouds FM kuanzia jumatatu mpaka Ijumaa saa moja mpaka saa tatu usiku akishirikiana na DJ wake Mohamed Ally aka 2 Short.Afrika Bambataa ni kipindi ambacho kimejikita katika muziki wa kiafrika na mambo ya kiafrika.
Feedback / Comments
17 Responses to “AFRIKA BAMBATAA”
Leave a Reply


sending...
Huyu dada ndiye atakaye kuwa Meneja wa kwanza mtanzania wa Mwanamuziki anayekuja kwa kasi wa Kidemokrasia ya Congo Blanchard De Plaizir ambaye anatarajia kufanya ziara mbalimbali, kwa bahari zaidi angalia Bongo5.
Big Up Dadaa.
Nilipokuwa nyumbani enzi zile nilikuwa nasikiliza sana kipindi cha huyo dada kimetulia lakini je ameolewa maana ana kajimvuta usoni mwangu
chafosa chai goda(Darwin)
Big up kwa kuitunza hiyo nachuro colour yako…yup anakamvuto flani kakiafrika.
Ni kweli anaonekana ana mwonekano wa kiafrika japo sijamwona mzimamzima.
Nadhani Dunda wawezapata contacts zake.
Mwanamke Umependeza, hala hala mabazazi
Jalali nampongeza, aliokupa huo ujuzi
Kipindi chaliwaza, kwa mziki uso ajizi
Sophia kesi umependeza, uendeleze chako kipaji
Vipina weza kuwa malenga?
Mhhhhhhh, mashalah, Mungu kakujalia
Such a cute girl, keep that natural baby girl!!!
Ebwana dada angu wewe ur ar legend!!!! yani dada angu duh ebwana weee! Hongera sana tena sana na za kutosha, yani uko full kama ni mwanamke wa kweli namba 1, maana Iyo kazi yako kama angekuwa mwanadada mwingine angekuwa kasha ji painting usoni kwa kuwa eti ni mtangazaji, lakini wewe unaheshima zote za mtoto wa ki Africa dada ngu, kaza buti na umshirikishe mwenyezi mungu katika maisha yako na kazi zako za kila siku. Kazi njema
wewe uko hot!!! very cracking.
Big hug
Shairi safi kaduna ila naona vina na mizani imekupiga chenga kidogo. Kila mstari unatakiwa kuwa na silabu kumi na sita tu, nane kwa kila sentensi.
umependeza.
We binti kweli unapendeza lakini wengine hatujui jinsi gani ya kusikiliza kipindi chako. tufanyaje kuweza kupata kukuona au kukusikiliza unapokuwa kazini kwako? maana wengine tuko mbali na hatuna hata web site ya ku enjoy kama wengine wanavyo furahi kukuona. Have a nice day
wala usipate tabu kumsikia kwani uko nchi gani? fungua bongo5 live clouds fm utampata hakika ni binti wa kiafrica kuanzia sauti rangi ya ngozi na kilakitu unadhani?? hakukosea Baker kuwa wangekuwa midada mingine ingesha jipaint ila huyu dah hongera sofia usije ukaharibu rangi yako kisa umaarufu mungu kakujali kipaji inshalah akujalie maisha marefu.
GAL, UR HIGH PLZ KEEP IN RESPECTING UR SELF DON’T BEHAVE NASTLY LIKE OTHER CEREBRITIES, BIG UP MAMA
waungwana mimi nataka contract za huyu Ant
dah si mchezo huyu dada tayari nimeona mambo yake na nimesikia yuko juu sana ni meneja wa Blanshard De plaizir si mchezo bint mdogo kuwa meneja wa msanii wa nje ya tanzania mungu akuongoze utafika mbali hala hala na wanafiki na wenye chuki lakini pia nakushauri kama mdogo wangu usijiingize kwenye magenge ya mashankupe wanao jidai maarufu mamaa love u sana tu.
dah jamani tupeni habari kamili na contact zake anaweza kutusaidia na sie wasanii wa tz jamani kweli dada unakipaji napenda unavyoendesha kipindi cha Bambataa hapo Radio ya watu unatugusa kwakweli hongera mama sisi mashabiki wako tupo arusha jamani tukumbuke.
Nakumbuka sana tulipokuwa wote Moshi kwenye radio moja ya kidini kwani ndipo ulipoanza kuonyesha kipaji chako hiki,mshukuru sana Mungu kwani bila pale nyota yako labda kisingeonekana.
Nakupenda sana na naipenda kazi yako kwani tupo sambamba.
Tulikula wote unamkumbuka Hilda, Ndamalya,Josephine,Haika na wengine.
hongera sana dia.
mtoto, umependeza sana, natamani nilete mahari sasa hivi