
Mara nyingi ikitokea super star fulani akatokea mahali,mashabiki au wapenzi wa chochote anachokifanya(iwe sinema,muziki nk) hupenda kujipatia japo nafasi ya kupiga naye picha kwa minajili ya kuweka kumbukumbu na mambo kama hayo.Kama inavyoonekana pichani,mashabiki na wapenzi wa 50 Cent waliopata nafasi ya kuwa karibu naye hivi majuzi jijini Dar,walikuwa na shauku ya kupiga naye picha!Go 50!
Feedback / Comments
31 Responses to “50 CENT,LET’S TAKE A PICTURE PLEASE!”
Leave a Reply


sending...
Nafurahi kusikia kwamba 50 Cents kaondoka salama bila kuibiwa kitu kwani Lost Boys walitokwa pete na Shawn Paul naye alilalamika eti kaibiwa sijui blueberry sijui simu, sijui iPOD,sijui…
Anyways, that was nice
mi nadhani ni ushamba tuu,lkn si mkatazi mtu kupiga picha na ma super star.
Duh kweli c mchezo!!!
Aiseeee Kinje inaonekana alisukuma sana watu ili na yeye atokeee! That means yeye u-superstar wake ni bongo tu, ila 50 Cent tambarare kote! Eti wajameni?
nilijua tuu,kinje hachezi mbali
Kinjendoyupikati ya hao?
Minimemjua B12 tu!
haha kinje kichwa kwenye kona kule nimecheka…sasa ushamba wa kupiga picha na celebrity ni nini hasa?watu nyie ndio acheni ushamba..haya mambo kawaida..mbona hata maraisi wanapigwa picha ikulu..kumbukumbu,aint nothing wrong with that..straight up hustler!
nathani hilikuwa poa tu kwani hapa zurich kasha kuja kama mara tatu ni mara moja tu nilikwenda kumuangalia ni msic wa watoto kwani mf nyingi mimi mtu mzima halafu aniambie mf alfu nipigie kelele ya kushangilia way
hii kali..
tutafika tu
wABONGO KWA USHAMBA JAMANI, SASA HIYO MIBICHWA MIKUBWA YA NINI, TOEKEBI HAPA WAUZA SURA FISADI. KINJE NAYE KILA SEHEMU YUMO,
huyo freedom atakuwa mkenya maana kiswahili yake haijanyooka sawa sawa
peace nawe umoooooooooooo!
Inapendeza kwani dunia ilisikia jamaa wakiwa bongo ni sehem ya kulitangaza zaidi na zaidi TZA yetu
safi wandaaj
chafosa chai godai
NYIE MSIPENDE KUONGEA SANA HAWA JAMAA KUPIGA NAO PICHA POA TU KWANI WEWE UNAETOA MAONI UNGEPATA FULSA YA KUPIGA PIGHA NA 50 UNGEKATAA ,50 NI STAA HATA HAPA STATE WATU WANATAFUTA NAFASI YA KUPIGA NAYE PICHA NA HAWAIPATI NI NI WAMAREKANI
MSIONGEE SANA KOKOTE STAA ANAFAGILIWA MBONA WATU HAWATAKI KUPIGA PICHA NA BABA YOKO MZAZI AMBAYE NI MTU MUHIMU KWAKO
Dan, Kinje maana yake ndo hicho kimiwani kilichotokeza kwenye nywele za huyo mwanadada mwenye RED.
freedom pliz acha pumbaa… mr.nice miziki ya watoto ile kuku kapanda baiskeli,ila mibaba mijitu mizima ndio inajaaga kwenye shoo zake..toka lini shoo za watoto ziko usiku wa manane..embu pliz acheni pumba
nelly asante sana,na mie ndilo nililokua nasema pale juu..ujue watu wanapenda sana kuponda…’oooh ushambaaa’,'oooh wabongo bwana’…ivi we ungekalishwa pale,ungekataa kupozi!?embu tuache ushamba wa kucomment mambo ya ajabu jamani
hhahahaha!pure wabongos!daaamn!let d man breathe!haha!nd yap atleast he left wthout bein robbed….wen he was in angola he got robbed on d stage!damn!
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh Noma ppl!!!………….watu walijifanya 2!!! damn em all..check dat lady wit her one eye ball out nd nose Aibu2!! kudanaki!! u can’t even see 50cent’s face watanzania mbwana naa!…………………………nd DAmn i wish i was there..:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S:S
Stay Fly Ya’ll..Nd Lov all of u watanzania wzangu!
Asanteni mliotangulia, unajua watu wengine wakishapanda pipa kwenda majuu wanajiona wao basi tena hata kufa hakuna, tena hamna lolote hana chochote, wabongo washamba kitu nyie ndio washamba wa mwishoooo tena wa kutupa kabisa mnanikera kweli, superstar ni superstar tuuuu mbona we watu wasiombe kupiga na wewe picha achani hizooooooooooooo, nasema tena acheni hizoooooooooo
nanatbr uko sawa…..hao wengine hapo juu ndo wanajifanya wanaandika na vizungu vya kimarekani wameshajiona wamenoa,kwani tatizo lipo wapi hata mtu akionekana nywele tu…mbona tunaangaliaga vya majuu pia watu wanavyopagawa kwa masupa star ije kua hapa..tena huko huko marekani na uingereza mlipojaza nyie wabeba box
Ah ahh ah Wajemeni ,
Watu mmejiachia weee lakini ukweli uko pale pale KinjeKitile na watanzania wenzake wamephotoa na senti hamsini…Ila kusema kweli wanaoekana walihangaika sana kupata hiyo picha,mcheki kinje na huyo binti wanyuma yake maana wamenyanyua shingo na mimacho wametoa…lakini mwisho wa siku WAMEPIGA PICHA NA 50 cent ….
mh,nyie wengine embu ongeeni english,hizo lugha zenu zingine sijui ndio za wapi..slang zimepitwa na wakati!!!..
Kupiga picha celebrity ..si ushamba hata hapa Hollywood watu wanauwana kupiga picha na watu kama hao sasa nyie watu wa UK wakina binti mzuri .. ndio washamba ..
Acheni kelele watu..50 cent is a big start..period. Hata wamarekani wanamshabikia hivyo hivyo tu kwa hiyo sione tatizo lolote kwa wabongo. Labda watu yanawasumbua hamjapiga picha nae….Lakini wamarekani would have done the same thing sio issue ya ushamba.
50 cent anaonekana kachoka kwenye hiyo photo , Africa kweli nishai! nadhani sio ushamba kupiga picha na superstar yakawa tu hayo jamani.
ajabu na kweli, wengine wamepanda ndege kewnda america kuishi karibu na mastaa na hawajawahi kusimama hata mita mia moja karibu nao, hawa wapo bongo na wanagusana vikwapa na senti hamsini.
WE POT, SASA USHAMBA WA WATU WA UK KAMA ‘BINTI-MZURI’ NI UPI!?!?!?UNAJUA UNACHOONGEA DOGO,AU UMEJISIKIA KUROPOKA..KWA SABABU KAMA AKILI YAKO INAFANKSHEN VIZURI UKISOMA HUKO JUU UNGEONA KABISA NIMESEMA SIO USHAMBA..NA WE ULIOKO HUKO HOLLYWOOD (DOUBT KUBWA KWANZA!!) USHAPIGAGA PICHA NA NANI!?!?!…EMBU TUWEKEE TUKUONE BASI,SIO UNAFURAHISHA DOMO BILA KULIPWA..USIDANDIE DALADALA KWA MBELE BWANA,UTAGONGWA TUKUZIKE KISUTU!
mmh wabongo tunang’aa sikumtambuia fifty 5 ni yupi hapo.hadi nilipoangalia kwa makini sana na isingekuwa kichwa cha habari cha picha,mmh ingekuwa vigumu.thats nice!!
Acha ujinga wewe yani hata kisingeandikwa kitu usingemjua 50cent ni nani?
uongo mtupu!