Comments on: KIJANA MWANASIASA,JOHN MNYIKA

By: mwanagolani
kuna ishu za haya nakampuni ya recruitment yanaboa mno ww unasemaje ni full ufisadi..plz raise the ishu since nchi zima wana outsource..mm niko kwenye kampuni ya simu na machungu nayaona pia nilifanya na kampuni moja ya recruitment kabla ya kuja hapa voda

By: SON OF DAVID
Mnyika ni kijana wa kileo mwenye uwezo mkubwawa kiuongozi na ataisogeza chadema mbele.

By: joseph
unajua ww kama kijana jalibu kutoa mawazo kama msomo na kama hujaenda shule jalibu kuangalia nn unaandika kwa malengo yapi sio kukulupuka.KUWA MZARENDO HUSIPENDE KUTUMIWA KAMA VIBARAKA NA CCM!

By: ABDALLAH MSANGI
whats up kamanda pole kijana mwenzetu pambana yawezekana nawe ni moja ya wakombozi tanzania usije badilika baada ya bunge kukunogea.Pole sana wana CHADEMA kwa yaliyotokea arusha.ndiyo mana FIDEL CASTRO AKASEMA “revolution is not a bed of rose”so you must to sucrify  yourself to shed the poorer tanzanian in the ocean of natural resourses endoment.

By: JOSEPH MASAJE
Hongera kamanda we ndo twakutegemea kuleta mabadilko na mwenzio JOSEPH MBILINYI A.K.A MR11 SUGU Kazi kwenu mkilizika na umaarufu.Nikamanda kutoka SAUT Tawi la CHADEMA MWANZA

By: Salatiel Chaula
hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Mnyikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

By: Salatiel Chaula
HONGERA SANA KWA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE WETU,KUMBUKA AHADI NI DENI,ZILE AHADI ULIZOAHIDI SIMAMA KIUME KUIBANA SERIKALI ILI UTIMIZE. VINGINEVYO YATAKUPATA YALIYOWAPATA WABUNGE WA CCM NA RAIS WAO.

NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPE UWEZO MKUBWA UWEZO KUWAPA WANA UBUNGO MAMBO AMBAYO HAYAJAWEZEKANA KWA MIAKA 50.

KILA LA KHERI MUNGU AKUTANGULIE ILI KUWEKA NJIA YA DR.SLAA KUWA NYEPESI 2015.

By: Avit
Anaemponda Mnyika eti asilewe vijisifa na kwamba anapayuka tu na umri bado mdogo kwamba anatakiwa awe shule kwanza SIASA badae kwa madai ya kukomaza hoja zake hana busara mtawanyiko ila busara finyu,changa na japo naamini ni mtu mzima akili zake ni mgando unaotoa uchachu ambao umekaribia kuharibika kabisa. japo anaweza kubadilika kama atakubali kusikiliza hekima za wengine. Kwanza fahamu Tanzania ni Nchi na Si Taasisi fulani na ndani yake kuna watu mbalimbali wasomi na wasio wasomi Bado wote kwa pamoja wanaitaji muwakilishi wao Bungeni.wezee kwa vijana,

pili Mnyika ni Kijana mwenye MAONO kitu ambacho mtu hakipati shuleni tu na hicho unachodai akakiongeze shule kitakuja baada ya haya aliyo nayo kukamilika kwanza. Ikiwa kwa Mnyika unasema haya vipi kwa Mganga wa jadi So called Pro.Maji Marefu?

Na ikiwa elimu ndo kigezo cha uonngozi bora kwanini CCM walimpa Kikwete na si Mwandosya? vipi kuhusu Masha kuwa waziri mwenye Dhamana ya dola wakati hata sheria za manati hazijui? kwanini hakuwekwa ingawa Capt. Mkuchika? wewe! huenda unakatbia cha kiswahili cha majungu kabaya hako.Taifa linamuhitaji Mnyika ni Uwa zuri ndani ya Bunge lijalo tena ni uwa la ajabu kwakua pia ni mwiba mkali kwa wasio itakia mema Tanzania yangu. Tanzania Nakupenda nalia unavyo nyanyasika jinsi unavyo kamuliwa bila huruma mpaka sasa unatoa Damu badala ya maji na jasho Mnyika John yatibuni majeraha ya Tanzania. Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Mnyika. Zitto! Mnyika huyo! Lema huyo! Mbowe huyo! Mrema mh!!!? huyo! Mdee anakuja hata wakibana. Sugu huyo! sasa ninyi ni madaktari iponyeni Tanzania kwa msaada wa Mungu.Nawatakia afya njema.

By: Mkulukulu
Mmesema sana lakini leo hii Mnyika ni Mheshimiwa Mbunge.

By: Mkulukulu
Yote kwa yote, roho mbaya zenu na kujifanya nyie mmesoma sijui vyuo gani. Mnyika ana upeo wa hali ya juu kuliko hata nyie mnaohoji elimu yake na ana uthubutu. Leo hii ni mheshimiwa mbunge. Endeleeni kusema alikuwa anapoteza muda.