Feedback / Comments

29 Responses to “SINTA”

  1. Comment by any on May 13th, 2008 2:31 pm

    NI NANI HUYU? KAZURI LAKINI!

  2. Comment by binti-mzuri on May 13th, 2008 3:20 pm

    sinta keshachuja kimaishaa..enzi zake na necha ndio zilimpandisha chati,sasa ake pembeni..magazeti yamemchokaaa…

  3. Comment by DUNDA GALDEN on May 13th, 2008 3:29 pm

    kWELI BONGO SI MCHEZO MABINT KAMA MALAIKA BORA TULIACHE LILE GOZI GOZI LA UKAPERA.TUSISAHAU NGOMA (HIV)IPO KWELI HAINA DAWA YA UWAKIKA.LAKIN KATOTO KAMETULIA HOME TOTOZ
    Chafosa Darwin Australia

  4. Comment by Msanii on May 13th, 2008 7:02 pm

    Hicho kifua mbona tunakoseshana amani….

  5. Comment by David Douglas on May 13th, 2008 7:04 pm

    Kifua lol!!!!!!!111mmmmmmmmmnhhhhhhh………

  6. Comment by Andrew on May 14th, 2008 2:18 am

    Huyu naye ni celebrity?

  7. Comment by Amina on May 14th, 2008 2:39 am

    inaniuma sana kila nikifikiriaaa..huwaga ninalia inaniuma saaana!inaniuma sana demu amepima amekutwa ana……..

  8. Comment by kaduna on May 14th, 2008 4:07 am

    Nice! however she looks as if she is at the end of road of her carrier. If i am wrong pls correct me.

  9. Comment by Lisa on May 14th, 2008 5:31 am

    Kuna mijitu inalimbuka aswa tatizo la kukaa nje ya nyumbani miaka mingi mnazidi kulost rudi mtarukia msivyovijua.sinta aliwika sasa amebaki doro enzi za 200′s

  10. Comment by Pearl on May 14th, 2008 6:53 am

    huyu mtoto yuko wapi siku hizi jamani????? namuhurumia!!!!!

  11. Comment by Chris on May 14th, 2008 8:18 am

    BC mkipata picha yake anavyoonekana sasa tuonyesheni + her whereabouts… maana amepotea kwenye vichwa na macho ya wengi! Binafsi sitaki ku-conclude kama kishachoka au chuja! Maybe the current snap will let me conclude!

  12. Comment by Twaha Figo A-City on May 14th, 2008 8:22 am

    Ebwana hayo macho……………….Kifua…………..Sinta unatisha.Umejuchimbia wapi?

  13. Comment by Mathias on May 14th, 2008 8:38 am

    kutamani kubaya, hata kitabu cha Mungu kinatuonya juu ya kutamani.

  14. Comment by blackis is beuty on May 14th, 2008 9:29 am

    Hivi siku hizi kuonyesha chakula cha watoto ni fasheni?
    Shauri zenu maana mafiadi hawachagui cha kufisadi
    Take care mama!!!
    Au ndio style ya kurudi……..
    Kwa mazuri uliyofanya tunakukumbuka,mabaya tumesahau maana wanaotenda mabaya siku hz ni wengi mno
    Fanya kazi dada

  15. Comment by paperhandshakes on May 14th, 2008 9:57 am

    what?
    is she a singer or what?!

  16. Comment by Gervas on May 14th, 2008 10:27 am

    Heee, Naona kila mtu anamnyooshea kidole Sinta. Sinta we endeleza tu libeneke mwanangu, we learn through mistakes kitaeleweka tu mbeleni.

  17. Comment by sally on May 14th, 2008 10:47 am

    Sinta kwani yuko wapi jamani mi sifahamu hata sikuhizi anaishi wapi!

  18. Comment by Kasenene on May 14th, 2008 1:46 pm

    She did some featuring with this one guy I forgot his name. The song was called “SAFARI”. then she was one of the best actors in the country. Then she messed up a whole lot. Dated almost every celebrity in the country. The Paparaziz couldnt spare her and wrote nasty things about her almost two years straight. And I mean every morning. after that, I never heard about her again. May be she was tired of being trashed and decided to change her life style.
    Anyways, shes beautiful and very tallented.

  19. Comment by jasmin on May 15th, 2008 7:30 am

    mpenzi natamani urudi kwenye maigizo ulikua unaigiza vizuri sana,japo rudi kwenye filam napenda sana unavyoigiza.wala hujachakaa sema umekua kimya na una act the way a lady supporse to act,i love that habit,keep it up

    wengi watasema umechuja na wengine watasema umechakaa lakini mi naona sawa.najua hujali maneno ya watu kwani kama ndivyo hivyo basi ungeshajiua siku nyingi,endelea kua dis-minder ni nzuri zaidi hasa ukiwafungia vioo maadui zako kwani binadam hawana jema,hata uwafanyie nini hawana jema.fanya mambo kwa ajili ya maendeleo yako.

  20. Comment by Dinah on May 15th, 2008 10:27 am

    Alikwenda Kusomea Uandishi wa Habari Mwanza mara ya mwisho niliposikia habari zake. Ni kweli kwenye michezo ya kuigiza kwenye Luninga miaka ya 90 alikuwa akifanya vizuri sana.

  21. Comment by Gebo Arajiga on May 16th, 2008 6:54 am

    Daaaaaa……………. huyu mtoto sio siri ni mzuri jamani au nyie wadau wengine mampibga tu mtoto mzuri ila ile mitabia yake iliyokuwa ikiandikwa andikwa ndio imemchafuliaga sana lakini ni MZURI JAMANI

  22. Comment by queen on May 17th, 2008 5:23 am

    mh! upo juu mtu wangu mdomo wako bomba.

  23. Comment by emanuel on May 17th, 2008 7:00 am

    sinta bado unampenda nature

  24. Comment by TATU on May 19th, 2008 2:25 am

    Huyo ni Sinta aka nature.
    We Jasmin hiyo picha ya zamani sio ya siku hizi ila yawezekana hajachuja japo kuwa nasikia sijui kaolewa pia ana mtoto yuko kati ya kenya na Uganda .

    Inaniuma sana nikifikiriaaaaaaa huwa nalia
    Inaniuma sana demu wangu kapima kukutwa na ngo…

  25. Comment by thms. on May 20th, 2008 4:52 am

    he! huyo binti yuko wapi siku hizi? kaolewa? naomba awasiliane nami thoms.nelson@gmail.com

    thms wa ny.

  26. Comment by the blues on April 19th, 2010 12:48 pm

    heloo ma sister
    u’re a good singer
    i remember the song accompanied by some called as “pole sana mpenzi kwa safari bibie” BIG UP

  27. Comment by salum jumanne on November 16th, 2010 4:49 am

    Duh!! huyu demu mkali!!ila ndio hivyo tena, mabwana zao ni wabunge!!!

  28. Comment by salum jumanne on November 16th, 2010 4:53 am

    Ama kweli huyu Sinta alimuudhi Nature, maana Nature anaonekana alikuwa akimzimia sana huyu bibie!! ila ndio hivyo tena watoto wazuri kama hao mara nyingi kuolewa na wasanii ngumu!! coz wameweka pesa mbele. Na hapo ndipo Mapedeshee na Wabunge nafasi zao wanapozitumia.

  29. Comment by ester on November 17th, 2010 10:12 am

    mh!…………..

Leave a Reply