
Kundi la muziki asilia la AFRIKALI (pichani) lenye makao yake makuu jijini Dar-es-salaam. Umeshawahi kuwashuhudia AFRIKALI jukwaani? Siku za nyuma tuliwahi kuandika kidogo kuhusu kundi hili.Bonyeza hapa usome tulichokiandika na mjadala uliozuka.
NB: Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,wiki hii hatukuweza kuwa na burudani ya kawaida ya ijumaa.Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.Ijumaa ijayo mambo kama kawaida.
Feedback / Comments
4 Responses to “AFRIKALI”
Leave a Reply


sending...
POA BC LIKIN IJUMAA IJAYO ISIWE HADITH YA MTOTO WA KUKUA,KUNDI LA AFRIKALI NI WAKALI HATA KWENYE PICHA WAMEPENDEZA SANA ONGELENI SANA.
CHAI GODA
nice!
sanaa kwa kwenda mbele
Hao mabinti walivyowakalia mameni inahitaji uhaba wa mihemko!
Hataaari kwelikweli. Ila nahakika mameni hao wana mitazamo tofauti ya BASATA.