Amezaliwa mkoani Shinyanga nchini Tanzania tarehe 27 Julai 1983.Ni miongoni mwa waigizaji wa kike nchini Tanzania ambao wanafanya vizuri.Safari yake katika uigizaji ilipata spidi alipojiunga na kundi la sanaa lijulikanalo kama Kaole Sanaa Group.Waigizaji wengi nchini Tanzania wamepitia katika kundi hilo. Jina lake halisi ni Blandina Chagula.Lakini kwa wengi anajulikana kama Johari.

Photo/GP

Be Sociable, Share!

Feedback / Comments

44 Responses to “JOHARI”

 1. Comment by Pearl on June 10th, 2008 1:59 am

  kazana dada na kazi yako,ila usijione umeshafika mahali pa u-excellence,u still have a lot to learn and achieve dont be overwhelmed by the success you have achieved so far because yet is about to happen,hold on and stick to ur dreams,
  wishing u all the success in the world.

 2. Comment by Amina on June 10th, 2008 3:28 am

  umeanza kujichubua ehhh..mkishaaanza kuonekana mbele za watu basi mnaanza na kujichubua mhhh

 3. Comment by matty on June 10th, 2008 5:32 am

  Unaigiza vizuri lakini utulivu ni zero kabisa sijui kwanini hutulii mtoto wa kike…halafu mimi jamani naona kama anafanana na Nora kidogo sura au??nasisitiza sura sio Mavazi pls!

 4. Comment by kapisi on June 10th, 2008 7:28 am

  sijapenda mkao wake,vilevile style yake ya nywele haijampendeza,kwa kifupi tu mi namuona bado sanaaaaaaaaaaaaaaa

 5. Comment by salma on June 10th, 2008 7:37 am

  mh! Amina anautafuta uarabu mwenzio

 6. Comment by kekue on June 10th, 2008 9:43 am

  Weupe dili

 7. Comment by SALLY on June 10th, 2008 11:30 am

  Haya dada si yetu macho tu endeleza sanaa yako

  all the best

 8. Comment by Friend on June 10th, 2008 1:04 pm

  Hi, what do you want?

 9. Comment by dinna on June 10th, 2008 4:19 pm

  I love u so much Johari. Najua yamesemwa mengi juu yako but hii ndiyo bongo. Uzushi kila kukicha ili mradi kuharibiana majina. But usijali wewe songa mbele na maisha yako. Napenda unavyoact ktk maigizo na bongo movies. Really u are talented. Keep it up Johari.

 10. Comment by Matty on June 11th, 2008 3:42 am

  Kekuu weusi ndo dili siku hizi sasa itabidi weupe waanze kupaka masizi na mkaa te te tetetetetet!!!!!!!!!!!!

 11. Comment by Catherine on June 11th, 2008 5:48 am

  Nyie wabongo mtaacha lini wivu?akipaka mkorogo ni yeye na maisha yake embu kueni wastaarabu nyie akinadada sio mnakurupuka tu,huko kwa tv ameanza kuonekana leo?km nyie mikorogo imewakataa tulieni endeleeni kupaka korie zenu ya wenzenu acheni,anyway all da best Blandina jali kazi yako na kuipenda Mungu atatimiza malengo yako usikate tamaa,mkumbuke,kua mvumilivu,jitume usichoke.

 12. Comment by binti-mzuri on June 11th, 2008 11:01 am

  weusi dili

  and friend what do you mean???ama unaongea na nani?haha

 13. Comment by kimamy on June 11th, 2008 11:34 am

  heheeeeeeeeeeee toto mwanya huo.nasikia siku hivi mwanya dili teteteeeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 14. Comment by masumbuka on June 12th, 2008 3:37 am

  Hii Pose inaitwa ‘ attacking from behind ‘.

 15. Comment by Adha on June 12th, 2008 4:13 am

  Yatawashinda!

 16. Comment by binti-mzuri on June 16th, 2008 2:31 pm

  hahaha masumbuka ndiyo yatamshinda.nimecheka walahi

 17. Comment by furaha on June 17th, 2008 3:50 am

  Watanzania siku zote hawapendi kumpa mtu moyo badala yake watamkatisha tamaa lakini cha kushangaza huyo anayemponda mwenzake akiambiwa ajaribu hawezi Johari kwa kweli unaekti vzr na nakupa big up make effort,we angalia life lako ya walimwengu hayana ishu walitamani wawe wao ila ndo hivyo vipaji hawajapewa ndo kinachowashinda.
  u look mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa good photo

 18. Comment by kahindi on June 18th, 2008 2:06 am

  we furaha acha kumsanifu Johari,ati gud photo…mhhh kweli ni gud photo hiyooo?hebu chek ya Kelly ufananishe na ya Johari…

 19. Comment by Amina on June 18th, 2008 3:11 am

  mi nikisema nabaniwa..chichemi kitu

 20. Comment by kapisi on June 19th, 2008 3:42 am

  mhh..attacking from behind…masumbuka umenivunja mbavu,hahaaa hahaa

 21. Comment by Matty on June 19th, 2008 6:29 am

  Catherine na Furaha,
  Acheni watu tuseme kile tunachoona bwana kwani picha imewekwa hapa ili tufanyeje????
  Amina anza kutumia lugha ya tasfida kidogo labda BC hatayabana maoni yako!!!

 22. Comment by Gebo Arajiga on June 19th, 2008 6:34 am

  KWA KWLI JOHARI UNAFANYA VIZURI BIG-UP

 23. Comment by Amina on June 20th, 2008 8:17 am

  matty..nitajaribu

 24. Comment by kachua on July 4th, 2008 6:01 am

  sister!we mkali,mchizi nakuzimika niaje?usipimie wala,nimeaza kukuona tokea ukicheza kaole,we mkali na una zidi kuwa juu.usijali maneno kawaida ila upo safi,kaza but dadaake

 25. Comment by anonymas on January 27th, 2009 7:28 am

  Big up Johari wewwe uko juu sana ila mjaribu kufanya kazi pamoja nyinyi mastaa wa movies let say muwe na idea ya kutengeneza movie itakaoeashirikisha nyie magwiji watupu kama nora mona kanumba ray swebe mama mwenda, mainda, thea, zawadi,natasha kemi hata kama si wote lakini asilimia kubwa iwe ya hao niliowataja hapo juu ahananeni na majina pekee angalieni vpaji mtupe raha kwani uwezo mnao

 26. Comment by chris on May 9th, 2009 8:22 pm

  nina kupendaga sana na michezo yako mimi nakaa belgium watu wa belgium wanakufagilia sana

 27. Comment by godlisten on February 21st, 2010 9:16 am

  mama kaza kambatusonge mbele wewe waache wanga waongee mchana lakini usiku watalala mimi nakupa bib up kwa sanaa zako nzuri na pia zinawavutia wengi na wala sio tz tu mama.tukaze mwendo.
  WE WISH A LONG LIFE TO YOU.

  MAY THE GOD BLESS YOU.

 28. Comment by Hellen on February 22nd, 2010 6:56 am

  Waswahili bwana amchoki kusema m2 akifanya vizuri wameshazoea wa2 wakiaribu tumpe moyo ili kuinua vipaji vyao, kwakweli huko juu johari ila usibeteke kaza buti usifate ya walimwengu wanamengi ya kusema hao.

 29. Comment by Byona on July 25th, 2010 7:03 am

  Johari huku kwetu Congo, kila mtu anasifia akikuona kwa movies…wewe ni star wa nguvu saaaana asiyejijua!!!acha wenye kukusema mbaya, we endelea kufanya mzuri zaidi…lakini pls mutumike pamoja kama mulifanya kwanza mbele kwa movie ya “JOHARI” Steven akuwe na Vincent naye na wewe…kwanini kugawana!!!!!!!

 30. Comment by audh on August 17th, 2010 7:07 am

  safari ni ndef dad na wasannii ni wengi wanwibuko so kuwa makin kwa kubadil namna ya uigizaji ili uwavute watu

 31. Comment by Denis Lwenye on September 14th, 2010 10:23 am

  Dada Blandine, mimi ni mkongomani alisi, lakini nataka kuelewa, maana kuna ubishi kuhusu wewe na kijana Ray Vicent Kigisi, je ni mume wako ao nyinyi ni wa sanii tu?

  Denis Lwenye
  Kalemie/ DRCongo

 32. Comment by jenipher grace on September 22nd, 2010 2:15 am

  ccta johari don’t listen any bad idea from some body b’se wengine wanakukatisha tamaa jari maisha yako mambo ya kujichubua waambie wakuache kwa nini wao wasijuchubue mdogo mdogo mtu wangu wakikutosha waambie wajikatae au sio big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 33. Comment by jenipher grace on September 22nd, 2010 2:17 am

  ccta johari don’t listen any bad idea from some body b’se wengine wanakukatisha tamaa jari maisha yako mambo ya kujichubua waambie wakuache kwa nini wao wasijuchubue mdogo mdogo mtu wangu wakikuchosha waambie wajikatae kimpango, au sio big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 34. Comment by nyota issa on November 8th, 2010 12:07 am

  Nimefuraiya maneno yawatu wako.kazana nayako ili wazidi kusema.naikiwezekana wengi wao watakunywa sumu kwa wivu.nakupenda sana

 35. Comment by berite on December 10th, 2010 11:55 am

  h ni hari zako uko muzim kama muko wazima tumepe bwana utukupfu

 36. Comment by noella aziya on January 7th, 2011 5:21 pm

  wawo girl you look so nice my name is noella aziya ilive in america iwante you call me to thes number (513)541-0840 PLEASGIRL IAM FROM TANZANIA DARSRAM

 37. Comment by Denis Lwenye on January 10th, 2011 5:22 am

  Dada aksanti sana kwa kunikumbuka, kweli bado moyoni mwangu ningali na utata, sababu ya swala langu ambalo nimekuhuliza, je tayari una mume? Neno lingine, mikanda yako pamoja na cd vcd na mengineyo; unifurahisha sana, babi endelea usikatishe tamaa maana wako watu wengi hawataki maendeleo.

 38. Comment by AZZA on March 10th, 2011 5:52 am

  Mambo vip dada johari wa kuache asili ya bi damu nikusemwa kwasababu namimba yenye kuwa tumboni inasemwa itakuwa wew ao semao usijali maneno yawo big up sana laki johari hausikilizik siku hizi umezimika

 39. Comment by ciza papa on June 4th, 2011 7:53 pm

  Keep doing what’s u doing.

 40. Comment by debora on June 5th, 2011 11:11 am

  Duniani hakuna jema! Kaza buti, wakusemao onyo watachoka. usijali maneno ya watu, na ukitaka kufanikiwa usitake kumfuata binadamu atakacho, songa mbele Mammy, Big up.

 41. Comment by Sandy (DRC) on August 6th, 2011 7:28 am

  Kazi njema Dada… Endeleya hivyo… Sahihisha makosa fulani fulani na usonge mbele.Usijali maneno maneno za watu… Apa Congo tunawapenda sana… Courage !

 42. Comment by odette niyonsaba on September 29th, 2011 11:46 am

  habali johari, napenda filme yenu. niko malekani sasa naomba uniambie full names ili nikutumie hela zakukusaidiya. asante kwaheli

 43. Comment by Kambale on October 9th, 2011 11:08 am

  Binti huyu ana jiza hongera dada.

 44. Comment by esther joao monga mangala on March 19th, 2012 2:17 pm

  jambo dada blandine chagula mimi ni esther joao monga mangala ni muzaliwa wa congo Rdc ni na pima pima kufanya filamu kwa kikundi ambao ina itwa ushindi production nilipenda kuasiliana na wewe ya ani wewe ni mwana filamu unaye nivutia sana. nilipenda nipate numba yako ya cimu na adresse email yako kwaku asiliana. adresse email yangu niiyi estherjoaomm@yahoo.fr
  ama estherjoemm@yahoo.fr
  numba yangu ya cime ni +243997711885
  ndashukuru sana nikapata jibulako. ni na miaka ichirini namunane 28

Leave a Reply