Mbunifu wa Mitindo maarufu,Khadija Mwanamboka, akiwa pamoja na Shamim Zeze,mmiliki na mwendeshaji wa blog ya 8020 Fashions,hivi karibuni jijini Dar. Khadija Mwanamboka ni miongoni mwa waanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali lijulikanalo kama Tanzania Mitindo House ambalo linajaribu kusaidia watoto yatima na wasiojiweza nchini Tanzania. Mwaka jana tuliwahi kuongea kidogo na Mwanamboka kuhusiana na TMH.

Feedback / Comments

17 Responses to “ZEZE NA MWANAMBOKA”

  1. Comment by DUNDA GALDEN on June 10th, 2008 2:22 pm

    SAFI TUNATAKA WANAWAKE WENYE UPEO WA NAMNA HII
    SONGENI MBELE ONYESHEN UWEZO WENU.NA NYINYI WENGINE MSIKATE TAMAA KWANI MNAWEZA PIA.DUNIA YA SASA KWENYE NCHI ZILIZOENDELEA KILA SEHEM MUHIM UTAKUTA MWANAMKE NDIO KIONGOZ WA MAMBO KADHA WA KADHA
    NDUGU ZANGU NI WAKATI WA MAPAMBANO KWENU..AMKENI NA MFUTE ILE KAULI YA KUWA GOLI KIPA
    HAYO NI MAWAZO YANGU LAKIN WAOSHA VINYWA WA JINSIA YENU WATAWAKASHFU LAKIN MSIJALI
    chaigoda

  2. Comment by Mitchez on June 10th, 2008 5:11 pm

    Sister khadija nakutakia mafanikio katika project unazozifanya umetoka mbali na umewasaidia beauty contest wengi na models wengi wa hapo nyumbani Tanzania.Nakumbuka first time nilikutana na wewe miaka ya tisini kilimanjaro hotel zebra bar nilikuwa na “Amina R.I.P”, Seven,Frank,Fina na mdogo wako ulikuwa umeandaa fashion show (Extra Vaganza)kwenye ukumbi wa Tanzania Room those dayz…

    Anyway endelea kuwasaidia beauty contest,models na sanaa ya mitindo kwa ujumla na muwape nafasi vipaji vipya vinavyoingia kwenye game ya modelling..

    Tupo pamoja sister all the best…….!

  3. Comment by Pearl on June 11th, 2008 2:14 am

    dada zangu Mungu azidi kuwasaidia muendeleze maono yenu na kuiua vipaji vyenu,msijisahau kwa mafanikio mliyopata au mtakayoyapata,treat others with respect regardless of the status bearing in mind that u will surely reap in due time.
    just be good.
    all the best.

  4. Comment by salma on June 11th, 2008 3:26 am

    mmependeza sana hapo mlikuwa katika kichen part ya salma da shamim n khadija m/mungu awajaalieni mzidi kushikamana inshaalha mahasidi wahasada wawaepuke.

  5. Comment by trii on June 11th, 2008 3:38 am

    the picture is cool

  6. Comment by Matty on June 11th, 2008 3:54 am

    Hongereni sana jamani wanawake na maendeleo, huyu dada wa 8020 fashions anajitahidi sana kuweka mavazi yanayokwenda na wakati dukani kwake safi sana.

  7. Comment by EdwinNdaki on June 11th, 2008 4:32 am

    Zeze baab kubwa.

    Hakika nakukubali kwa jinsi unavyopeleka jahazi la wajasiriamali.Endeleza libenele tupo pamoja.

    Pia nakukubali jinsi unavyojitahidi kuendesha kwa nguvu kijiji chako(blog)sio kazi ndogo ..unaweza endelea.

    Khadija natambua mchango wako hususani katika kuangalia watoto walio katika mazingira magumu.

    Usichoke haupo peke yako.

    Bc safi sana kwa kutuletea watu hawa kiwanjani kwetu.

    Naamini daima ..tutafika tu

  8. Comment by binti-mzuri on June 11th, 2008 10:50 am

    shamim hongera mdogoangu! long way kishenziii from waanzilishi wa darhotboard,to you getting married,and now a designer..wow!

  9. Comment by maryciana on June 11th, 2008 2:27 pm

    jamani wewe binti mzuri,ulizaga kwanza basi. shamim sio designa ana duka la nguo,basi.mi pi anina duka langu linaitwa fashion-fetish pale namanga,pay it a visit

  10. Comment by Mickey John Amos-Denmark on June 11th, 2008 6:51 pm

    Khadija na Shamim kwanza kabisa mmependeza,halafu mpo katika kipaji cha hali ya juu kuwakilisha maendeleo ya wanawake wa Tanzania, mnastahili kuwepo katika “Wall of Fame” hapo baadaye tukifikia na tupo karibu sana tutafika.

    mickey@mail-online
    Copenhagen

  11. Comment by juma mhando on June 12th, 2008 3:18 am

    maisha ni safari.nimefurahia kukuona dada yangu shamim kuwa una maendeleo mazuri. Ahsante hadija kwa kuwa karibu na dada yangu ampe tafu zaidi ende juu kama wewe. REAL I LOVE THIS!!!!!!!!!!!!. NINAHAMU KUWATEMBELEA NIWEZE ONA MAFANIKIO YENU. SHAMIM UNAKUMBUKA MKWAWA IRINGA? SASA HIVI NI CHUO KIKUU.MY E-MAIL IS juma.mhando@yahoo.com.
    BIG UP SHAMY AND HADIJA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  12. Comment by Amina on June 12th, 2008 3:20 am

    mi namkubali hadija mwanamboka sana..wa kitambo anajitahidi

  13. Comment by Simon Kitururu on June 12th, 2008 3:57 am

    Mie ni Mshabiki ingawa ni kisiri kwasababu MIMI CHICHEMI!:-)

  14. Comment by Joyce on June 12th, 2008 5:17 am

    cool

  15. Comment by XXX on June 12th, 2008 12:45 pm

    shamim iz a hot mama! she got style i like her

  16. Comment by MICKEY JOHN AMOS-DENMARK on June 16th, 2008 7:38 am

    Khadija na Shamim mmefanya vizuri katika eneo la maendeleo ya mitindo na maangalizi ya watoto yatima,tafuteni muda wa kutembelea nje (Ulaya) kupata mwelekezo wa soko la mavazi ya kisasa ya Khanga za Tanzania kwa sasa zipo katika “wide-Demand” zaidi wasiliana na mbunifu wa ki-Tanzania LONDON

    Chichia Mhando :- “ChichiaLondon”

    http://profile.myspace.com/index.cfm?fuseaction=user.viewprofile&friendid=205284370

    http://www.chichialondon.com/

    Lengo kupanua kipaji cha wanawake Tanzania na kuongeza soko la Khanga za Tanzania kwa mitindo ya kisasa,nina imani Khadija na Shamim ni majina ya kujivunia kwa wa-Tanzania wote “OUR NATIONAL FUTURE IMAGES”

    mickey@mail-online.dk
    Copenhagen

  17. Comment by binti-mzuri on June 17th, 2008 1:57 pm

    oh poa maryciana,na wewe jitahidi basi.

Leave a Reply