
Kwa miaka nenda rudi,maua yajulikanayo kama maua Rose(Rozi)yamekuwa yakitumika kuashiria mambo mbalimbali likiwemo suala zima la mapenzi au mahaba.Bustani zilizojaa maua Rose zimekuwa ni vivutio kwa wapendanao au wanaotaka kuanza kupendana.
Pamoja na hayo wapo baadhi yetu,akiwemo msomaji wetu mmoja aliyetuandikia na kutuomba tumsaidie kuwauliza wanaojua, hatujui chanzo,historia wala maana ya Maua Rose.
Je maua haya kwanini yamehusishwa zaidi na mapenzi?Jambo hili lilianzia wapi?Kwanini?Na leo hii maua rose bado yana maana gani?Nini tofauti kati ya mpenzi anayempa mwenzake ua rose na yule anayempa mwenzake zawadi ya kitu kama vile gari,mkufu,hereni nk?Je ni kweli kwamba kwa wengi wetu haya mambo ya maua rose ni katika kufuata tu mkumbo?Hii ndio picha yetu ya wiki.
Feedback / Comments
38 Responses to “PICHA YA WIKI # 23/UA ROSE”
Leave a Reply


sending...
waridi
Mimi kwa ujumla siielewi hii elimu juu ya maua ya Rose na uhusiano wake na mapenzi. Nafikiri nimuachie dadangu Matty adadavue. Ninafikiri Rose kama zawadi inategemea na jamii husika, kwa jamii zetu naamini ni wachache wanaoelewa maana halisi ya rose ktk Mapenzi maana ni mapokeo toka ng`ambo. Nakumbuka kule kwetu Kijijini ukimnunulia mpenzi soda tu dukani, au muwa, au yeye akakununulia togwa, ulanzi ni zawadi kubwa saana.
Ha-ha-haa! Gervas, ulipoongelea togwa ulisahau na gimbi! teh-teh-teh!
Anyway, kwa habari zaidi juu ya rose, tembelea kiwanja hiki hapa http://www.angelfire.com/journal2/flowers/roses4.html
Kila la kheri kwa wapendanao.
Gervas ulisahau gimbi ulipoongelea togwa! ha-ha-haa!
kwa maelezo zaidi juu ya roses, tembelea wanja hili hapa chini
http://www.angelfire.com/journal2/flowers/roses4.html
ROSE FLOWER
Roses have been used for hundreds of years to convey messages without words OR as a symbol of confidentiality – the Latin expression sub_rosa (literally “under the rose”) means something told in secret. I do remember well how I felt when I found my engagement ring under that memorable ROSE!.
However, it is not widely used in our society although the culture is now growing bigger with an increased flower sending to friends & lovers during Valentine’s Day, holidays and sometimes for sympathy especially during loss of someone or in illness. If you’re looking for a way to add a little extra sentiment to your silent message of affection, see the list of the meanings associated with the different colors of roses (of course the receiver must also know the meaning of the color):
Red Rose
There’s nothing secret about the red rose’s symbolism of love especially on Valentine’s Day.
to y
White Rose
This is referred to as the bridal rose and is associated with young love
Yellow Rose
In Victorian times, the yellow rose symbolized jealousy, today it represents friendship, joy and caring.
Pink Rose
Symbolizing gentility, femininity, elegance and refinement.
Orange rose
orange roses symbolize enthusiasm and desire.
Colour Combination
Additional messages can be sent with your choice of bouquet. For example, a combination of red and yellow roses conveys gaiety and happiness, while a mix of red and white roses symbolizes unity.
NB: CREDIT TO MRS M. KAMM FOR TEACHING US THE MEANING & USES OF FLOWERS IN ADDING SCENT TO OUR LIFE!
Hombiz
The link is amazing & wonderful!
Thnx
# 4–asante kwa darasa,kumbe mtu unaweza kupewa rose yenye maana mbaya bila kujua unafurahi na kutangaza kuwa jamaa kafa kaoza kumbe maana ya hiyo rose is i hate u/i cant be with u anymore.kasheshe.
Aisee ua zuri sana!
Gervas mimi najua ua jekundu kama hili ni ishara ya upendo toka enzi za mababu na sijui nani aliwaambia babu/bibi zetu ua ni ishara ya upendo, mimi niliona picha ya bibi na babu yangu wamepiga pamoja babu ameshika ua jekundu anampa bibi yaani kanyoosha mkono kabisa anampa ua, sikupata bahati ya kuwahoji kulikoni na maua maana walishatangulia mbele ya haki (RIP my grandparents)may be walicopy kwa wakoloni.
lakini sasa dunia imebadilika sana sasa hv kwa baadhi yetu,hasa huu utandawazi ulipoenea, msichana akipewa ua pekee anaona halitoshi labda angepewa gari ndo upendo wa kweli! sasa hapo ndo huwa sielewi vizuri!
Thanx Hombiz for that link!…swali la kizushi nje ya topic Hombiz wewe ni dada/kaka???sorry maana majina mengine humu ni tata kabisa.
hombiz kashajibu maswali yote ukifungua hiyo website aliyotoa.
Matty sisi mawaridi tuwaachie wenyewe, makabila yana ishara zao za upendo, kama kwa kina Matty, ukipewa senene ni heshima kubwa sana umepata! Correct me if am wrong, maana sijatokea huko nimesikia mahali, yaani mtu akikupa senene kakuheshimu na ni lazima umpe zawadi or something. So kama ukirudi mke akakupikia senene ujue anakupenda sana, na hicho chakula huwezi mpa mtu ambae humpendi wala kumheshimu.
Matty eeh!. Hombiz ni kidume! Without a dought!
Mama wa kichagga na kiswanglish chake mh tutafika lakini.
Du ua zuri, na hiyo link ni bomba ile mbaya, asnt kidume without dought.
Any, ni kweli kabisa kule kwetu kaitaba tunathamini senene sana kuliko kitu chochote, sasa huku mijini ndo nakutana na maua ridi badala ya senene.(kwani Any kule marangu nyie wenzetu nini zaidi??? au mbege??)
Thanx Hombiz kaka!
Mi mgeni wa maua
hombiz ulimaanisha “dought” au “doubt”,sijaelewa!!!!
halafu matty hao “grand pa & ma’ wako walikua wameendelea sana,mi nijuavyo zamani kulikua hakuna picha za rangi au vipi matty fafanua kidogo best.
Pearl! Nilimaanisha “doubt”. Unajua tena mfupa hauna ulimi! uuups, ulimi hauna mfupa… teh-teh-teh!
Matty uchagani neno upendo halipo hazarani, meku hadi akutamkie nimekupenda, apo atakuwa msanii tu! Wachaga ishara zao za mapenzi ni kuhakikisha mnakula nyama kila siku, (kama mzee ana kashughuli ka kumwingizia pesa kila siku), chrismasi anakupiga nguo mpya na akikuzimia zaidi anakumwagia kalikiti ili ufanane na mke wa tajiri fulani mtaani! mfano mimi machame, wamama watasema aah mzee alinipiga kalikiti apo yaani hadi nikafanana na mke wa Mengi! apo masikini hata hawamjui mke wa Mengi anafananaje!
Poa, fanyakazi sasa punguza majungu na jali mambo na muda wako zaidi kuliko mtu au kabila.
ukifanya hivyo utafanikiwa. Iwapo wajua zaidi hongera sana la kama umespecilize kukosoa songa mbele utafika.
Any ww ni mpalestina?
Pearl, ni kweli zamani za kale kulikuwa na picha za black & white, lakini hao ndugu zangu walikuwa wamepiga picha kwenye maua na lile ua (kiua kilichochanua) aliloshika babu lilikuwa ni jekundu according to me yale maua nayajua yanachanua (red flower) sijui umenipata???
Hhahahahahahahahaha !!!!!aiseee Any huna kaka ambaye hajaoa nirushe ndoana maana upendo wa namna hiyo ni mzuri sana kila sikukuu nguo mpya na kalikiti khaaaaaaaaaaaaa!
Halafu kitu kingine Any, umekosea mbona unamuingilia mama wa Kichaga na personal decision zake????muombe radhi pls!!!!!!
hombiz hapo nimekuelewa sasa,because nilianza kupata maana ya tofauti kidogo.
matty mbona kimya kuhusu picha!!!!????
ee maa, kekue mimi mpalee! wewe je mwenzetu?
Matty nina kaka hajaoa, ila sasa sijui kama atakubali kuunganishiwa au atausikiliza moyo wake au ataisikiliza personal decision yake, haa, ila tunaweza tukajaribu kuunganisha lakini huwezi jua, mgodi unaweza ukatema au ukadunda ni kujaribu tu, si umeona Banana anajaribu kuigiza japo yeye ni mwimbaji (ndio kipaji chake watu walishamuamulia, kama vile walimwona tangu utotoni akikua na kipaji chake, haa). Sasa unasemaje? tujaribu Matty!
haa, kuhusu personal decision ya mama wa kichagga wala sijamuingilia, i was just wondering! ila bahati mbaya ikaniponyoka nikaandika, i wasnt suppose to think loud, nilitereza. Samahani mama wa kichaga naona umemind na ukanijibu apo juu kwa vijembe fulani!
PS: Maua yana wenyewe na sio zetu hizo, ila bongo tumekurupuka nayo na kuona ndio inavotakiwa. Valentine mtu asipoletewa ua ana mind na asira juu! huku hata maana ya maua hatujui. Ila acha tukurupuke ili wale street vendors wapate biashara na wao wapate kula yao! haaa, to me maua hayamaanishi chochote, ni SURVIVAL MECHANISM tu ya baadhi ya watu! anyway, yanaongeza ajira na kupunguza vibaka kiaina. Mimi mtu anipende kutoka moyoni, maua ni biashara tu. limtu limetoka kucheat umelistukia linakuja kukuangukia na maua, alafu ukishamwambia nimekusamehe linarudi huko huko kesho yake, aah, Correct me if am wrong. PEACE!
Na kwa mama KAM hoyeeeeeeeeeeeeeeee kwa kuwafunza wanaweruweru kuwa romantic.
Hata mie shost ni mpalee…!!!!
matty nimekupata fresh kabisa.
Hahahahahahahahaha Any wewe nirushie tu ndoana kwa kakako kwani kitu gani bwana tukipendana wenyewe BC mtakula pilau la harusi!
Any mama wa kichaga atakuwa kashakusamehe as long as umejua kosalako safi sana endelea na moyo huo!
Matty mi sipendi biashara ya maua, nikiona jamaa kaleta nitaanza kuwaza kacheat na nani hadi naletewa maua. So akiyaleta nitamwambia haya JIELEZE UPESI, what happened? haha.
si unajua wapalestina tunavopenda mafao? kubembelezana tumeachia watoto wa high school and college seniors, haha.
jamani wa arusha wapo!?!?!? roses in arusha are just amazing!!… mi nikigombana na mr. akiniletea bouqet of roses i feel sooo goood…saying that, a dozen roses doesnt prove love,but it ”conveys feelings”(nakukwoti mama wa kichaga!) .. yu know…actions speak louder than words
Binti-mzuri,
Job true true haaaa. Taratibu tunaelekea huko tuendako.
Ok, Pearl tuko pamoja.
Any aisee mimi kwa maua ndo napenda sana…yaani hata home nimepanda maua ile mbaya!!
Kila Uaridi(Rose) lina Miba yake.Every Rose has Thorns.Chunga sana! tny.
matty mie na prefer mchicha vs maua! unajua wengine hatukubahatika kwenda kwenye shule ya mama KAM! so sad eeh!
I hate nobody, I respect everybody’s opinions because we differ in our way of thinking, up-bringing, religious, cultures and things llike these.
NB: Though we didn’t go to the same school, together we can make a difference in the lives of each others. Hombiz has made easier for whoever wants to learn about rose flower (But think the big problem we do not have reading culture, although we are very good at blamming other’s mistake) .
And you think that u respect people’s opinions? I dont think so, If that is the case u should respect those who dont have the habit of reading. What u just said was judgemental. Haya tuendelee:
“(But think the big problem we do not have reading culture, although we are very good at blamming other’s mistake)” .
haaaaaaaaaaaaaaaaaa! ngoja nikalale/lwe mie.
MAJUNGU SI MTAJI!!!!!!!!!!!!!!!!!!
AMEN MATTY!
Hi!
Matt ni mgeni kwenye safu ila nimefurahi sana kupata watu wakubadilishana mawazo. Ni kweli maua yana watu wake ila inategemea na mtu mwenyewe una ya feel vp bila kuiga toka kwa watu. kwa upande wangu huwa nayapenda sana mauwa ila sina muda na uwezo nao huwa unachangia, ningekuwana uwezo nadhani kwenye nyumba yangu kungekuwa na kila aina ya
mumea wa ua. but wat bwana inashindikana.
When poverty come in the door, love goes out the window