Comments on: KEISHA

By: jimmy
she’s doing great!!

By: binti-mzuri
basi na wenye homa tuwaue … wenye vipele nao…. na wenye makomwe!

uzeruzeru is just a state of health.. upungufu wa pigments basi…

keisha we binti mzuri mwanawanee

By: mugasha
ukweli siku za mwisho ndio zimewadia maana haileti akili eti umuuemwenzio kisa utajiri na hao wanaowaelekeza kuua watu sio waganga ni wachawi wkubwa walaaniwe

By: sally
Big up Keish!!

Nasikitika pia na haya mauwaji ya maalbino. Kweli hata  nchi nyingine watu wanashangaa kwanini watu na akili zao wanawauwa viumbe wa mungu bila makosa. Tuombe mungu wastop hawa watu wakatiri jamani.

By: kijiwe
Bora ya hao MAFISADI wanatumia uwongo na akili kupata pesa,kuliko nyinyi mnaoua watu mpate pesa,hivi nyie waganga na wagangwa mko binaadam wa haina gani?mnajua kweli samani ya binaadam?i wish huko kiyma mungu atanipa kazi ya kuchochea moto wenu!

By: Frateline
Hi guys, kutoka Helsinki-Finland

Kwanza ninampongeza huyo dada kwa kweli simjui vizuri wala nyimbo zake sizijui lakini napenda kutumia nafasi hii kulaani mauaji ya maalbino nimesoma habari hizo kwenye internet ebu jamani angalieni hii video http://video.on.nytimes.com/?fr_story=f1cf6d2330fb3aa5aca8fc3d8d08ca128b1366b6

Pia waweza google ”(Albinos killings in Tanzania)” utapata picha ya ajabu, hivi kwa nini Kikwete asitangaze kampeni ya Kitaifa dhidi ya huu unyama wa kutisha, pia Albinos wanabaguliwa, dunia imekuwa inalaani ubaguzi wa rangi sasa Tanzania tunawabangua ndugu zetu kwa kuwa ni Albinos, Ninawaomba  watanzania na wapigania haki za binadamu tuungane na BC kulaani kwa nguvu sote, eti imani za kichawi kutaka kupata utajili, nimesoma eti wavuvi na wachimba madini ndiyo wanaongoza hasa hasa Mwanza na Shinyanga, nie wasukuma vipi?, mmetoka  kuwaua vikongwe na sasa mmehamia kwa maAlbinos acheni imani za kijinga za ujima na   uchawi nyie mnaishi dunia gani?Askofu Kakobe nenda kawaubilie habari za Yesu.

By: jdgndfhgh
Huyu ni mwanamke mwenzangu lakini acheni tu nikiri jamani huyu dada nimzuri. yaani kaumbika kibantu hasaaaaa na ana sauti nzuri pia. Kwa ufupi ni kajaaliwa. Ingawa ni aalbino, still ana sura mvuto “A” na ana roho nzuri sana.

By: hombiz
Mimi sijawahi kumsikia. Lakini maadamu wengi mnamsifia basi nampa hongera. Wahenga walisema wengi wape!.

Keisha! GOD BLESS AND PROTECT YOU FROM ALL THEM DEMON POSSESSED PEOPLE!.

By: Gervas
Ushirikina upo ila serikali inajidai haiutambui, na kheri umeshalitikisa Bunge tayari, Albino, ulaji nyama watu n.k,  Hawa ma-albino ni wachache saana kwenye Jamii yetu na inawezekana kabisa kuwalinda.  Narudia tena washirikina wanajulikana wananchi wakihusishwa. Hebu sungusungu irudishwe.  Elimu ya msingi mpaka secondary inatakiwa iwe bule na lazima, ni njia mahususi ya kutokomeza dhana hii ya ujinga wa kuwanga.  Nyerere kabla ya kufa alisema nawaachia maadui Ujinga, Umaskini na maradhi. Maadui hawa wamefugwa na wamenenepa na awamu zilizofuatia na sasa wamezaa adui mwingine Ufisadi……haki ya nani Bongoland.

By: Pantaleo
It is a shame on the Tanzanians who practice such uncouth and vulgar actions. Now, what a lovely lady! May I know if she has a fiancé, else I wish to propose her!!!