Tafadhali unaombwa kushiriki katika kupinga na kulaani mauaji ya wenzetu albino nchini Tanzania.Bonyeza hapa uone ni jinsi gani unaweza kushiriki.Kumbuka kwa pamoja inawezekana.Usisahau kumtumia link na mwenzako ili naye ashiriki.

Kampeni hii inaletwa kwenu kwa ushirikiano wa BC na Mwanaharakati Pius Pius.Tafadhali shiriki.

Feedback / Comments

8 Responses to “SHIRIKI KUPINGA MAUAJI YA ALBINO”

  1. Comment by Nandi on July 30th, 2008 2:58 pm

    BC,Naungana nanyi kabisa.Kwa kweli mmebeba sura ya kijamii.You guys knows what you are doing.I wish blogs zingine za watanzania ziwe zinaiga mfano wenu.Keep it up guys

  2. Comment by Matty on July 31st, 2008 4:50 am

    Napinga vikali sana haya mauaji kwakweli Mungu atawalipa enyi wauaji!!
    Namuomba Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani wale wote waliopoteza maisha kwa namna kama hii!!

  3. Comment by Gervas on July 31st, 2008 12:52 pm

    Mimi naamini kwamba watanzania karibu woote hatupendi kuuawa kwa mtu yeyote yule iwe kwa rangi yake au maumbile isipokuwa wachache sana ambao wanaweza kabisa kukamatwa mara moja nakuwa mfano. Kwa mawazo yangu sidhani kama utiaji wa sahihi kama huu mnaotutaka tufanye utasaidia lolote lile ni kama kelele za chura tu, maana waziri anayehusika na maswala mwenyewe anatokea mkoa ambao hawa ma-albino wanauawa sana hivo uzito wa swala zima anaujua. Either usalama wa taifa au kikosi flani maalumu kitumike kufanya uchunguzi hasa hasa kusaka soko la hivi viungo liliko na hao wahusika watasaidia kuzima chanzo cha haya mauaji. Hicho kikosi kinaweza kusaidiwa na wataalam wa kienyeji ambao sayansi za hawa watu wanazijua.

  4. Comment by Gervas on July 31st, 2008 12:58 pm

    Kama swala la EPA liliundiwa kamati chap chap na huenda ikawa imetumia mamilioni ya pesa, itakuwaje serikali hiyo hiyo ishindwe kuunda kikundi maalumu haraka kushughulikia swala hili sababu mauaji mengi yanafanyika vijijini na hali sasa inakuwa tete?

  5. Comment by hombiz on July 31st, 2008 8:35 pm

    I`m sooooo sick and tired of these crazy monsters who kill albinoz!. When they die i hope they will rot in hell!

  6. Comment by binti-mzuri on August 1st, 2008 11:08 am

    kwakweli,ni ukatili

  7. Comment by cutie on August 7th, 2008 3:53 pm

    Niulize kwanini wanawaua Albino maana niko behind kidogo, Ila for what ever reason you have no right to kill them as they are human being, what makes you think you are better than the them and start killing them, hawajafanya chochote masikini ya mungu, LEAVE THEM ALONE!!!

  8. Comment by cutie on August 7th, 2008 4:00 pm

    ooh masikini nimesoma hiyo petition, jamani hivi tunakoelekea huko wala sio kuzuri, sasa tangu lini viungo vya mtu vikakuletea utajiri kama si wendawazimu ni nini,anyways, mi nimeshaweka signature, i hope it will work you guys this makes me sick!!

Leave a Reply