Habari za kusikitisha zinapasha kwamba Rais wa Zambia , Levy Mwanawasa amefariki dunia akiwa hospitali jijini Paris nchini Ufaransa alipokuwa amelazwa takribani miezi miwili sasa baada ya kuugua alipokuwa akihudhuria mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika huko Sharm El Sheikh nchini Misri.Ugonjwa wa kiharusi ndio umesababisha kifo cha Rais Mwanawasa ambaye aliingia madarakani mwaka 2001. Huu ulikuwa msimu wake wa pili madarakani.Alikuwa na miaka 59.Mungu ailaze pema roho yake.BC inatuma salamu za pole kwa raia wote wa Zambia.
Feedback / Comments
13 Responses to “RAIS WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA”
Leave a Reply













POLENI KWA MSIBA WANAFAMILIA, NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA WANANCHI WOTE WA ZAMBIA NA AFRIKA NZIMA KWA UJUMLA. MOLA ALITOA, MOLA AMETWAA. MWENYEZI MUNGU AMREHEMU APUMZIKE KWA AMANI.
such a great loss to africa and the people of zambia rip comrade we will miss you so bad.
Washa mnyorosa na huyu, watu wa kusini bwana , poleni sana Mungu awatie nguvu!!!!!!!!!!!
NAWAPA POLE SANA FAMILIA YAKE MAREHEMU PIA WANANCHI WA ZAMBIA NAWAPA POLE SANA WAWE WAVUMILIVU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.
R.I.P
LEVY MWANAWASA
RIP Mwanawasa
RIP MWANAWASA!
Tangulia Mwanawasa
Jamani watu wabaya jamani nyinyi!
Nani huyu aliefanya hivi!
Robati au Fredriki?
Khaa!
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
Jina la bwana lihimidiwe
R.I.P
Rest in peace L. Mwanawasa
TUTAKUKUMBUKA MWANA TANGULIA MZAZI