Kama tulivyoahidi,huyu hapa ndio mwakilishi wetu huko South Africa katika shindano la Big Brother Africa III. Jina lake anaitwa Latoya.Ana miaka 21.Ni Katibu Muhtasi.Ukitaka kuwaona washiriki wenzake bonyeza hapa.

Feedback / Comments

123 Responses to “LATOYA NDIYE MWAKILISHI WA TZ BIG BROTHER AFRICA”

  1. Comment by jembe on August 24th, 2008 3:30 pm

    All the best mamaa…fata nyayo za Richard

  2. Comment by kwikwi on August 24th, 2008 5:31 pm

    jamani huko bigi braza mbona kuna utata.
    kila siku shombe shombe tuu ndo wanaochaguliwa hakuna ngozi nyeusi?
    kaupendeleo au kiini macho?

  3. Comment by mkataissue on August 24th, 2008 7:00 pm

    All the best,
    kamwe USIFUATE nyayo za Richard za kufanya yaliyo ya aibu mbele za kamera na ukiweza hata pasipo na kamera!

  4. Comment by msukule on August 24th, 2008 9:57 pm

    Kwikwi, Latoya ni majina ambayo yamechukua chati sana U.S.A.
    Najua atakuwa amekaa anga za juu, na kwa mantiki hiyo lugha ya dunia inapanda.
    Hawa wazawa kwa maana ya rangi wanataka lugha ya kufindishia iwe kiswahili ndio matokeo yake.
    Mi sioni tatizo,mashombe wanajua lugha ya watu na wanakwenda kulima na lugha yao, tujitahidi wakwetu wajue kiswahili ili waweze kuelewa somo la kilimo vizuri,watalima na kuuza mazo kiswahili,tofauti ni kuwa mmoja anafanya kazi juani na minyoka,mwingine anafanya kazi na kiyoyozi na waya za camera,lakini in the end wote wanavuna.

  5. Comment by Toto UK on August 24th, 2008 9:58 pm

    Mkenya huyu….

    latoya BBAIII

    GENDER: Female AGE: 21
    LOCATION: ,Tanzania
    HOMETOWN: Mombasa
    OCCUPATION:
    DESCRIPTION: The bubbly 21- year- old secretary loves to dance. A lover of fun, her fondest memory is the time she spent with her first love.

  6. Comment by michelle on August 24th, 2008 11:36 pm

    Huyo siyo shombe ni mkorogo na nywele za shangazi yake kama kawaida yetu kutaka nywele za wazungu na rangi, huo ni NKOROGOZZZZZZZZZZZ kwisha kazi

  7. Comment by michelle on August 24th, 2008 11:56 pm

    Matty upo hapo, mtoto ana pua nzito kidogo kama ya bata,au unasemaje lakini kazuri!!!!!!!

  8. Comment by ISMA KABENGO on August 25th, 2008 12:44 am

    HII KALI YAKE INAVYOONEKANA HAFIKI POPOTE KESHAANZA KUPAPATIKIA WAVULANA WA TZ SASA ZAMU YENU KAMA MSIPOPATA SHEMEJI TOKA ANGOLA BASI NIGERIA

  9. Comment by Jojo on August 25th, 2008 1:45 am

    Wana ume wa BBA mwaka huu watafaidi mrembo kutoka Tanzania. I hope atafuata nyayo za Tatiana huyu.

    Akiwa kama Cheris itakuwa bomba. Otherwise namtakia kila la kheri

  10. Comment by Steve Gondwe on August 25th, 2008 2:08 am

    aisee huyo dada mzuri!naomba c.v yake!
    lakini wangu hongera ingawa hatujui vigezo vitumikavyo kuwachagua! mi si mbaguzi wa rangi lakini trend inatisha,yaani chombe chombe wote!au ni kigezo?

  11. Comment by Heargy on August 25th, 2008 2:21 am

    sina la kusema!!!!

  12. Comment by wakuvanga on August 25th, 2008 2:51 am

    Jamani hiyo bigi brother ni uchafu gani unafanyika huko au ni sifa gani tunaipata Watanzania kwa kuuza sura zetu. Kamwe wewe dada usiende kufanya mambo ya huyo kijana aliyoyafanya kitambo kilichopita

  13. Comment by John Mongi on August 25th, 2008 2:59 am

    Huyu dada kweli mzuri ila atatia aibu tu huko, ni heri aende mwanaume .

  14. Comment by BLACKMANNEN on August 25th, 2008 2:59 am

    Heeeeee, Binti weye, haya! Kama inavyojulikana Tanzania ndiyo kisima pekee duniani kizalishacho mabinti wazuri. Ni mategemeo yetu sisi Watanzania kukuona wewe Latoya ukirudi na taji la ushindi kama walivyofanya Watanzania wenzako Mwampambe na Richard.

    Busara zako na matendo yako ndani ya jumba hilo, ndiyo yatakayokupa ushindi. Siri ya ushindi ni kuwa na tabia yako halisi, usiazime tabia ya mtu, yatakushinda. Usiogope kufanya kile ambacho wewe hukifanya nje ya jumba hilo.

    Najua wengi watakupa ushauri wao ambao wao wanataka uwe, usiwasikilize, kila mtu na tabia yake, ufuate moyo wako unavyokwambia kitu cha kufanya. Kama watazamaji hawatapenda, basi na iwe hivyo!

    Lakini mimi na kila mtanzania, tunakutakia kila la kheri Latoya, urudi na ushindi.

    Blackmannen

  15. Comment by tall d on August 25th, 2008 3:02 am

    I didnt like her behaviour day one some hours u sleep with a a stranger !

  16. Comment by tall d on August 25th, 2008 3:04 am

    Latoya umetia aibu siku ya kwanza tayali kinywaji kimekuchanganya na kujitosa kwa dume ulilokutana nalo masaaa!

  17. Comment by John Mongi on August 25th, 2008 3:10 am

    Kweli hata mimi siwaelewi ndugu zangu , kumbe shombe shombe mali??????????? ngozi ya goti(weusi) mbona hawachaguliwi ama ndio weupe weupe tu??????? ama weupe ndio wanaweza kuongea kingereza peke yao?

    haya bwana ngoja magorila (weusi) wabaki kiingereza chao yes yes , no, no
    kila la heri mrembo ila upige mswaki meno hayo dada, kutu hiyo!!!!!!

    sizani kama unajipya zaidi ya kugawa uroda huko. kwani wabongo starehe mbele na ndio ushindi wao.
    kila la heri

  18. Comment by naa on August 25th, 2008 3:40 am

    Dada hongera, tuwakilishe vizuri huko. hee dada hupo bomba angalia wakuda huko wasikufuatefuate ukasahau kilichokupeleka.

    I wish u all the best, take care.

  19. Comment by MWENDE on August 25th, 2008 3:55 am

    TUMESHAMPATA MSHINDI WA BIG BROTHER 3. TUNASUBIRI SHOWER HOUR

  20. Comment by msema kweli on August 25th, 2008 4:30 am

    Multchoice wamechemsha kutupelekea huyu dada kwenye hili shindano,
    anadhani kushinda ni kupiga makelele,
    by the way ametokea Mombasa huyu dada,so Kenya inawawakilishi wawili ndani ya Nyumba

  21. Comment by Matty on August 25th, 2008 4:50 am

    Ehhhh kazi kweli kweli Kwikwi ndugu and wat do you think if they have extra prospect??

  22. Comment by Matty on August 25th, 2008 4:57 am

    kumbe mwaka huu tunakisura haya tunasubiri mapokezi yako…pls yawe kama ya Richard!

  23. Comment by BRAYAn on August 25th, 2008 4:57 am

    Kazi tunayo maana hiki kifaa si mchezo ila Tuombe tuu isije ikawa ya TATIANA maana kazi kweli kweli.
    http://mazoezi.blogspot.com/

  24. Comment by mussa on August 25th, 2008 5:12 am

    Kwikwi, huyu siyo shombe babaanguee!! huyu ni Mchaa… Mchagga kweli… Latoya Lyakurwa

  25. Comment by mtanzania on August 25th, 2008 5:41 am

    Nikifiri kwa makini kuwa kwa nini wanaokwenda huko kutoka Tanzania wengi ni point 5 (chotara, shombe shombe) wa kizungu. Tujadili hili.

    Hawa chotara mara nyingi wana exposure tofauti na sisi watanzania ambao wazazi wetu wa tanzania halisi. Utofauti unatokea kwenye malezi, sisi ni watu wa kujisitiri na tuna ka uoga na aibu fulani kutokana na malezi yetu ya kukatazwa kuwa watundu. wao hufanya na hii kuwajengea ujasiri na pia kwa wazungu wenzetu mambo ya kuanika hadhari maisha yako si issue.

    Salaaam

  26. Comment by Federo Kent on August 25th, 2008 6:18 am

    Beautiful girls by the way, I don’t understand what you wrote up there as I don’t understand your language – but what ever that is, I think it might be something nice.

  27. Comment by jembe on August 25th, 2008 6:19 am

    mkataissue nlimaanisha na yeye awe mshindi kama Richard lol..!

  28. Comment by Edwin Ndaki on August 25th, 2008 6:38 am

    Binafsi ni mkweli.Haipendezi kujifariji ila sio vema kukata tamaa.

    Nimejipitia fasta fasta tu wasifu wa wahusika wote wa jumba na jana tu libeneke lilivyo anza..mmh sijui.

    Lakini safari hii tutatoka patupu.Simwombei ashindwe ila africa ni moja naona wapo wengie wenye nafasi ya kushinda safari hii.Ingawa mimi sio Shekhe yahya.

    Tutoe ushirikiano wetu kwa hali na mali akichemsha asije leta stori nyingi.

    Kingine namshauri asifuate nyayo za Richard.Maana vile vitendo vya “kungonoka ngonoka” wazi wazi hakika sio utamaduni wetu.Ni matumaini yangu atafuata nyayo za MR MORO..Mwisho.

    Kila la kheri kwa watao shinda maana Olimpiki tulikuwa watalii.

    Tutafika tu

  29. Comment by debra on August 25th, 2008 8:18 am

    Mhhhh hata sijaelewa mhhh….
    Kaaazi kwei kwei…..haya siku zitaeleza tuuu

  30. Comment by Dunda Golden on August 25th, 2008 8:37 am

    SONGA (kitchen) INAVYOELEKEA NDIO FAN INAYOKARIBIA NA BONGO SI OLMPIC WALA KUKIMBIZA UPEPO AU KABUMBU NA KULE ULIMBWENDENI
    chai goda

  31. Comment by Lukamba on August 25th, 2008 9:25 am

    Sura ya sister siyo mbaya,na sijali kama ni race gani,
    Ila anachoenda kukifanya ndo KIBAYA,
    sijui kama wadau wote mnajua nini maana ya shindano hili la big broher,na siju BASATA wanakubali vipi kutoa kibali cha kushiriki shindano chafu kama hili,huku,kila kukikucha wanasema wasanii wasivae nusu uchi,
    nafikiri kila mdau akifanikiwa kuona kinachofanyika kwenye shindano hili,awezi kamwe kushibikia hili shindano.
    Ukitaka nina picha chafu karibu zote za richard mshindi wa big borher last year,huyu dada mnatakiwa mumuonee huruma na siyo kumshangilia,nipe adress, nikutumia picha,yangu ni ellyjose@yahoo.

  32. Comment by SaLaMa on August 25th, 2008 9:57 am

    wanaosema afuate nyayo za Richard ni nyayo zipi haswa za kuwa wakwanza kuvua nguo au? na haya mashindano yanatufundisha nini Watanzania? mbona michezo inatushinda kule kwa wachina tumetoka watupu? fyuuuuuuuuuuuuuuu

  33. Comment by Sem on August 25th, 2008 10:33 am

    Jana kaanza si vema kama yalivyokuwa matarajio yangu. Nakutakia kila la kheri cheupe. Sielewi shemeji atakuwa yule mnaijeria au jirani yetu mganda, maana kote kote uliridhia baada ya pombe kukupeleka puta.

  34. Comment by masesa on August 25th, 2008 10:56 am

    she is ceuty so anafaa sana kutuwakilisha bongo kwanini asiweze dada ye2 huyo.ila asituabishe na mambo kama haliyoyafanya kaka ye2 richard kwani sasa hivi kuna pichachafu kibao kwenye neti zinazo mdisi bro.uer so sex bt wastahili heshima yako.

  35. Comment by binti-mzuri on August 25th, 2008 11:48 am

    kama mkenya kwanini anaiwakilisha bongo? job true true.. ila meno ya kichaga

  36. Comment by bb3 on August 25th, 2008 11:52 am

    Huyo binti Latoya ni Mchanga wa Rombo, na anaishi na Familia yake Arusha, naona labda kwenye profile yake wamekosea kuandika mji, badala ya A town, wameandika Mombasa…! Mtoto amemaliza Mawenzi Sec,2006. Kwa hiyo acheni maneno na lawama…..! Watanzania bwana, ndo maana hamufikigi mbali, Badala ya kumusapoti tayari mushaanza kumukandia.

  37. Comment by mimi08 on August 25th, 2008 12:25 pm

    Kaka yangu hapo juu sawa hawa mashombe wana a bit of exposure ila kuna weusi halisi kibao ambao wanamaexposure hata kushinda hao mashombe wa bongo…

    Ila inaonekana mashombe ndio Englishi inapanda makubwa hayo..mimi sio mbaguzi in such but i would like a mtanzania halisi to participart on the BB3

    Ushauri wa bure: Dada Latoya kama ndio umefanya ngono siku ya kwanza we hope ulikumbuka kuvaa condom maina ukimwi siku hizi nje nje

    Otherwise goodluck…

  38. Comment by nja9 on August 25th, 2008 12:50 pm

    BB3, hapo juu.. sasa kama huyu dada ni Mtanzania mwambie awaambie BB3 wabadilishe details zake katika profile yake kwa kweli mimi ni mzawa na sipendi aonekane kama ni mkenya inaelekea wawe unajua so send her this note sawa??

    BB3…acheni utani katika utaifa wa mtu bwana…sawa??

  39. Comment by anuary on August 25th, 2008 12:58 pm

    Bigbrother ni reality show richard alionesha jinsi tabia yake ilivyo kwa hiyo msimponde, huyu Latonya tumuache aende ili kikuba asi act aonyeshe tabia ya halisi ndipo atashinda. hakuna mtu aliye na sawa wakati wote ni vema tukaheshimu tabia ya mtu panapo na ulazima tumshauri

  40. Comment by anuary on August 25th, 2008 1:02 pm

    Bigbrother ni reality show richard alionesha jinsi tabia yake ilivyo kwa hiyo msimponde, huyu Latonya tumuache aende ili kikubwa asi act aonyeshe tabia ya halisi ndipo atashinda. hakuna mtu aliyesawa wakati wote ni vema tukaheshimu tabia ya mtu panapo na ulazima tumshauri

  41. Comment by TAMASHA on August 25th, 2008 1:04 pm

    SASA APELEKWE NGOZI USHINDI UTATOKEA WAPI HEBU ANGALIE DADA ZETU WAMEKUWAMSTARI WAMBELE KUCHUNA NGOZI KWA HARA YOYOTE ILE HALAFU NYIE WENGINE MNASEMA ETI NGOZI HAWACHAGULIWI SIO HIVYO AKICHAGULIWA NGOZI SASA HATA YEYE MWENYEWE ATAJIKUNYATA KWA UNYONGE NA WACHA HIVYO TU KAMA TULIVYO UMBWA NA MOTO MIDOMO YATE NI YA KIBANTU SASA KAZI INAKUWA HAPO NI BORA TUPELEKE HAO MASHOMBE ANGAU TUPATE USHINDI HONGERA WACHAGUWAJI WA BIG BROTHER MSIPELEKE RANGI ZA KANIKI USHINDI UTATOWEKA HAPA KWETU TZ

  42. Comment by TK on August 25th, 2008 2:06 pm

    Congratulations La toya! You finally made it!… Go girl!

  43. Comment by Chris on August 25th, 2008 5:10 pm

    Mpira dakika tisini! Uzuri au ubaya mnayosema hatayasikia hadi siku akitoka! Ushauri wenu au mnayokosoa yaonyesheni kwa kura!

  44. Comment by michelle on August 25th, 2008 5:59 pm

    JAMANI HUYO SI SHOMBE NI NCHAGA WA ROMBO MASHATI ANAKAA A TOWN NA WADOGO ZAKE,MBONA HAMUELEWI SI SHOMBE HUYU.

  45. Comment by uejfuewthfiu on August 25th, 2008 10:15 pm

    Huyu anaitwa Latoya James. Kwao kijenge Arusha na ni mchaga wa rombo. Na si kwamba ni shombe. Mama na baba yake ni weusi pure. Hakuna cha mchanganyiko hapo. Hizo ni rasta tu kasuka. Tuulizeni tuliyesoma nae. Binti katulia na darasani vinapanda.

  46. Comment by b on August 25th, 2008 11:04 pm

    Ni kweli tushikalie kuzungumzia rangi za watu, lakini pia si dhambi kuuliza mbona kila mwaka mashombeshombe?.
    Aliyeuliza mbona Tanzania kila olympic tunakuwa kichwa cha mwenda wazimu alikuwa ameuliza swali la msingi, lakini BBA ndio huko tunapokimbilia, nadhani kuna umuhimu wa kupea kipaumbele michezo kama jinsi tunavyoipa BBA kipaumbele.
    Sasa tukirudi kwa huyu dada, mimi nimepata kusikiliza hayo mahojiano yake na Big Brother wa hilo jumba na nilishangazwa na yeye kuwa mtu wa kulalamika, na hata hakuonyesha moyo wa kuraha kuwa hapo alipo, kama alikuwa amelazimishwa. Kwa hilo mimi ninaamini hata chukua muda mrefu humo. Hasa ukizingatia tayari ameshaanza kujudge wenzake na kusema ni yupi anaona hatapatana nao. Nilishangazwa na wiki ya kwanza tu tayari ameshaanza na mwendo wa namna hiyo, nadhani atakuwa wa majungu.. Naweza nikawa nimekosea kwenye analysis yangu ya huyu dada lakini kwa jinsi alivyorespond maswali ya big brother simpi muda mrefu humo ndani..

  47. Comment by Matty on August 26th, 2008 3:09 am

    Michelle shosti nipo!jamani jana tu maoni kibao ila mh! ngoja waosha vinywa wafanye kazi yao!

  48. Comment by Mchunguzi on August 26th, 2008 6:50 am

    We b hapo juu, kazi yake si sekretari?
    Kwani hujui Ma sekretari na madereva walivyo wambea wambe humu maofisini?

    Unashangaa nini na majungu yake?

  49. Comment by polisi on August 26th, 2008 8:47 am

    Our tanzania bebe sio mbaya wa sura mashallah ameumbika vizuri tu, the problem is wat she has tried to mase with her complaction. Its not real. it makes her luk so fake, and not presentable.Anyway she is wat they thought can represent TZ. All Tz ians sould supprot her fully. since she carries our flag for months in the house.
    All the best Latoya. and a piece of advise. Be yourself.
    Cheers

  50. Comment by Lukamba on August 26th, 2008 8:49 am

    Tanzania siyo nchi ya kupeleka mtu kujifunza Kufanya NGONO south africa,Kuweni wazalendo,jua akishindwa ina maana dada zetu awajui KUFANYA NGONO !!! shindano hili focus yake kubwa ni kuigiza ya adam na Hawa simply means NGONO !!!mbaya zaidi ni ngono ZEMBE,hakuna matumizi ya condom,maana mnatengwa ili muishi kama mke na mume.
    Tanzania bado inanafsi kubwa ya kuendeleza vipaji kibao vya michezo,suala hili naomba mwenye akili timamu asishabikie kabisa,nashangaa hata vyombo vya dini vimetulia tu !!
    Nimepe mail adress nikutumia PICHA za AIBU ZA RICHARD ili ujue hasa huyu dada anakwenda kufanya nini ,
    Mail yangu ni ,ellyjose@yahoo.com

  51. Comment by dejompo on August 26th, 2008 9:15 am

    mimi sijali kama ni shombe au la? alicho boa ni kulala na dume siku ya kwanza tu, huyo muangola nahisi anataka kulipiza kisasi.

  52. Comment by hombiz on August 26th, 2008 9:19 am

    asije kuwa kicheche tu huyu!

  53. Comment by kahindi on August 26th, 2008 11:27 am

    mhhhhhhhhhhh……atachemka tuuuu

  54. Comment by kahindi on August 26th, 2008 11:30 am

    we TK hapo 42 ni yupi wewe?yule uliyekuwa unatangaza kwe luninga ya etv?kama yes,basi nimekumiss sana,,,

  55. Comment by kahindi on August 26th, 2008 11:35 am

    bint mzuri,kweli meno ana meno ya kichaga,haha haha…watani zangu hawa bwana,sisi tunayaita meno ya bisi..

  56. Comment by tanya on August 27th, 2008 2:19 am

    hey guys wat ever hapnd last nty we stl hv faith atamake it, she jst nid 2 watch her steps, otherwise……………..

  57. Comment by juma mhando on August 27th, 2008 2:26 am

    kumradhi watanzania wenzetu.

    Sifa zote duniani katika michezo tumekosa lakini big brother ni ya kwetu. WaTZ ni wataalamu wa uasherati weangalia olmpiki tumeenda tumeangukia pua lakini big brother kama sio wa pili basi wa kwanza.

    Kwa hiyo bibie sifa kubwa ya hapo yaani waonyeshe kicheni party za magomeni na ilala. Lazima uchukue hizo faranga.

    USIFANYE NGONO NA KILA MTU, rukusa wa tano tuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  58. Comment by Pearl on August 27th, 2008 2:27 am

    mi hata huwa sielewi maana ya hiyo big brother ni nini hasa.
    ukichunguza sana inaonyesha mtu anavyoweza uza utu wake kwaajili ya pesa kwasababu mambo ambayo mtu huwa anafanya kwa kujisitiri sasa anaambiwa ayafanye hadharani kwenye tv then atapewa pesa.
    hakuna tofauti na Esau wa kwenye Biblia alipouza uzaliwa wake wa kwanza kwa ajili ya dengu.

  59. Comment by Matty on August 27th, 2008 3:02 am

    Mkorogo style!

  60. Comment by tanya on August 27th, 2008 3:55 am

    guys it gona b hot in there jst cnt wait 2 see!!!!!!1

  61. Comment by bigsis on August 27th, 2008 6:23 am

    wewe hapo juu namba 45, umepatia mambo yote, isipokuwa anapokaa! anakaa Sakina.

  62. Comment by Mzalendo on August 27th, 2008 6:26 am

    Jamani huyu ni mdogo wake Gladness wa Arusha aliyeshirikigi Miss Arusha nafikiri 1996, pia aliandaaga Miss Arusha na Saida Kessy na Mona Koja. Gladness ni mweupe natural kwa hiyo huo weupe uko kwenye Familia!

  63. Comment by bb3 on August 27th, 2008 6:33 am

    Hapo juu 38, sidhani kama Latoya ana njia ya kusoma haya maoni hapa kwenye mtandao. Hawaruhusiwi simu, magazeti wala Computer, lets pray labda producers wataona kosa lao na kulibadilisha.

  64. Comment by tanya on August 27th, 2008 8:41 am

    binti huyo ni wa arusha.ila sidhani kama atafanikiwa coz ana ma pozi fulani yasiyo na maana,ni wa kawaida wala si shombe,shepu kwa karibu ni manyama uzembe

  65. Comment by binti-mzuri on August 27th, 2008 12:08 pm

    hahaha kahindi mii thimoooo.. shauri zakooo.. uko mwenyewee

  66. Comment by john on August 27th, 2008 1:56 pm

    i know this girl from A town,she’s got personality and very inteligent.i remmber she used to go out with one of my mates Mr dk now in UK back in a days.

    go go girl,i know u can do it.

  67. Comment by paka mkolofi on August 27th, 2008 4:02 pm

    ISIJE IKWA UMEKWENDA KUTALII KAMA WALE KENGE WALIOTOKA BEIJING

  68. Comment by tanya on August 28th, 2008 1:44 am

    No 61 ur very rit, she s stay in sakina an we a majirani so dat s ril, thn she also compete 4 miss Arusha r smthg b4, bt not very sure,cn sm1 tell me all an more?

  69. Comment by Amwa on August 28th, 2008 3:01 am

    Latoya ur such cute and precious women!I like people like u who can stand in front of the and express their ideas!…that what u do Latoya,ur have strength,power and ability…u deserve the best madam,and all who wish good to u,are eager 2 see that u come with $100,000.

  70. Comment by Matty on August 28th, 2008 3:22 am

    hahahahahahahahaha jamani sina mbavu hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa teteteteteteteteeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe Juma mhando unamshawishi akaoneshe kitchen party za ilala na Magomeni kule hahahahaha!
    mhhh hata kutalii nako ni fani Paka mkorofi ilikuwa hujui??
    Tanya pls relax and reduce touch arrogant to her!

  71. Comment by Lukamba on August 28th, 2008 9:07 am

    Who care kwamba anaishi A-Town? who care aliwai fanya nini??
    Mi na care,kitendo cha kwenda kufundishwa UFUSKA kwa kulipwa ujira !!! dont care kama ni mdogo au mkubwa.
    pia na care suala la utaifa !!! eti Tanzania inajiwakilisha kwenye shindono la UFUSKA !!!Noma babu,
    komaa kuwa mzalendo !!michezo iko mingi,akitaka aende kimpango wake na siyo abebe bendara au jina la Tanzania.

  72. Comment by Matty on August 28th, 2008 9:55 am

    no 61 na wewe na kiswanglish chako mhhh tutafika!

  73. Comment by Matty on August 28th, 2008 9:56 am

    no 61Sorry pls i mean no 68.!

  74. Comment by msema kweli on August 28th, 2008 11:23 am

    nyinyi watanzania mnachekesha sana.. who said big brother ni ngono, kuuza utu etc just for money. Big brother is a program that is very famous here were i am. whatever a person decides to do on big brother,thats how they are like in real life. huyo richard,inaelekea hiyo pia ni tabia yake. mtu huweza kujicontrol,if you cant control yourself those are the consequences. its a reality show,wich is like a challenge: can you live with strangers?can you share bathrooms?can you live without your mobile phone,tv,etc?

  75. Comment by michelle on August 29th, 2008 1:28 am

    BC sijui unakatabia kakukata maoni ya watu wengine kuna watu hutoa maoni hata ya maneno machafu na unayaweka humu wengine sisi tukitoa ukweli una mute, maoni yangu umeyatoa sasa hivi tukwani sasa? tafadhali naomba yarudishe acha zili mambo bwana!!!!!!!!!!

  76. Comment by levina on August 29th, 2008 4:47 am

    What i think is that we should not focus on excuting Latoya but rather support her in the best way needed. Remember, this is the fisrt time we have a lady representative in the house. Lets hope that she will make it to the best like how Richard & Mwisho did & more.

    However, the whole issue of the colour, YES! i also think it should be given a thought. may be the “shombeshombe” thing and their manners is true, but have we tried the true black “goti” african colors manners, may be they would bring agreat positibe better impact, WHO KNOWS!!!

  77. Comment by Lukamba on August 29th, 2008 7:09 am

    we no 74 unaongea nini?? Bb3 ni fomous in what sense??alafu kuwa hapo south unaona big deal ?? au unaona tv program kuwa fomous hapo manzese basi ni issue kwa wabongo??
    Unasababu zipi za msingi za ku share bathroom na stranger kama siyo msukumo wa hela??
    Hakuna kiumbe aliyezaliwa na simu mkononi,kwa hiyo kuishi bila sim wala hiyo siyo big issue vilevile.bibi yako ana simu wewe??pengine naenda mbali kwa bibi,baba yako ana sim wewe??
    si tumefanya kazi makampuni makubwa ya Tv,hakuna tv program isiyo na muongozo hata siku moja,labda iyo ya bb3.
    kwahiyo washiriki wanfanya kufuata muongozo,bila muongozo uta air out vipi kipindi wewe?? unajua kweli unachoongea??FYUUUUUUUUUUUUUUUU

  78. Comment by binti-mzuri on August 29th, 2008 11:27 am

    dah,nomarlly siingiliagi personal opinions,but somehow i see ‘msema kweli’s point.. hasa kutokana na comment yako wewe Lukamba no. 71 .. hivi nyie mkipewa $100,000 mtakataa?mnajua mtanzania akishinda hizo pesa,pia inaongeza uchumi,kama atarudi nazo huku.

    halafu tusiwe quick kujudge kwamba ni shindano la ufuska..mi sijaona big brotha zingine za africa zaidi ya ile big brotha ya mwisho mwampamba… kwani alifanya nini cha ajabu. tabia ni ya mtu bwana..hata mlokole angeweza kupelekwa… you choose what you want to do..msiihukumu tu. bongo ndio maana tunashikaga mkia kwenye maendeleo..mnakazaniaga mambo ya mababu zenuuu tuuu,haya yamewapeleka wapi?hata kwenye mashindano ya ngoma hamshindagi. theres so much negativity in tanzania,and a lot of know-it-alls. habari ndo hiyoooo….sio muhtasari huoo..ni full news cnn!

  79. Comment by matty on August 30th, 2008 2:46 am

    mhhhh ndugu wananchi ninalazimika kusema kuwa zama za ukweli na uwazi muacheni latoya afanye alichoendea as long as hamkujitokeza ninyi kuiwakilisha TZ sasa bwabwaja za nini??? haya…. swali la nyongeza hivi ashinde asishinde wananchi mnafaidikaje???
    Give her a beak plssssssssssss!

  80. Comment by ma'reen on August 30th, 2008 4:13 am

    Jamani jamani jamani this is a reality program kama zingine. Housemates are made to live their lives in the open. Mi nazipenda coz unaona true colours za watu…chuki, back-biters, urafiki, usaliti, obviously mapenzi, name it! U see how people can be positively/negatively influenced by others etc.Nina uhakika wanaoponda hii kitu they do even worse katika uficho. Ndo ambao wanaishi kwenye siri hadi mkewe akishika simu yake ananaswa kibao. Kwa asiyeipenda halazimishwi kuangalia na hata mzazi unaweza ku-restrict watoto kuangalia by parental control option kwenye decoder. Kwani ngono tu ndo mmeona? Mbona wafanya vitu vingine tu vizuri kama kutangaza their respective countries etc.

    Dada wa watu mmemsema wee mara shombe mara kajichubua sasa which is which. Kuna watu wanamfahamu kuwa ni mchaga wanajua hadi kwao. Kwani wachaga kuwa mweupe haimo? Ina maana sisi weupe sio waafrica/watanzania? Jamani mnakuwa na chuki binafsi hata kwa mtu msiemfahamu? Kwani hizo nywele si kashonea au mtanzania halisi inabidi awe kipilipili/kipara? Stop hating jamani kwa mnaoweza support her kwa kura zenu ashinde then akimaliza mumfuate mtoe maadili yenu yatamsaidia baadae ebo!

  81. Comment by BLACKMANNEN on August 30th, 2008 11:42 am

    He he he heee Beautiful-Binti=binti-mzuri, hapo umesema kweli dadaangu, na watu katika kila mashindano wanaingia katika kinyang’anyiro cho chote kwa madhumuni maalum, kujulikana ama kutajirika.

    Mambo ya maadili ni jinsi mtu alivyolelewa na jinsi alivyo na tabia yake, akiwa yeye mwenyewe nje. Wewe binti-mzuri unayo tabia ya kwako ambayo unaiona ni nzuri na mimi “Black” ninayo ya kwangu ambayo mimi naiona ni nzuri, sio lazima nikulazimishe ufanane tabia yako na yangu.

    Ushindi wa watu hawa katika kinyang’nyiro hicho na hasa “Bigbrother” ni wa kwao wao washiriki wa shindano hilo, na wala si nchi isijisifie ushindi huo, kwa sababu nchi haitupi malezi ya aina hiyo, anayokuwa nayo mshiriki wetu katika jumba hilo la “Bigbrother”.

    This Is Black=Blackmannen

  82. Comment by BLACKMANNEN on August 30th, 2008 6:13 pm

    Pole sana “ma’reen”, kama kuna watu wameku-Offend kwa ajili ya rangi yako NYUPE. Lakini kwa maoni yangu naona watu wengi wanazungumzia rangi yao nyeusi, mimi nikiwa mmoja wa watu hao.

    Sijaona kama kuna watu wametaja rangi nyeupe, na wala mimi sijaitaja rangi hiyo. Baki na amani, hakuna mtu aichukiayo rangi nyeupe wala njano au kijani. Peace!

    This Is Black=Blackmannen

  83. Comment by Muh LUKAMBA on August 31st, 2008 2:36 am

    Sisi atupondi kivile,Tunachangalia ni Positive na negative impact ya yeye kushiriki kama mwakilishi wa Tanzania.
    tanzania jina kubwa wewe !!! Ala !!!Mtanzania maadaili wewe !!
    alafu Kuna umihimu gani wa kushiriki shindano hili kama mtanzania kwa jamii na kwa nchi kwa ujumla??Olimpic kila mtu anajua umuhimu wake,world cup hivyo hivyo,je bb3 kuna ni???kwanini asiende kimpango wake (private) na siyo kama mwakilishi wa nchi???ili la kumpata limpate yeye??? na siyo nchi kwa ujumla???

  84. Comment by River camp soldiers on August 31st, 2008 6:37 am

    wewe latoya cha kuonesha uchi wako waziwazi ndo nini,any way 2umeishakuzoea. lakini mi naona bado wa2 hawakujui vizuri sooon wataona vi2uko vyote na sijui utarudije nyumbani hadi nakuonea huruma dada wewe. lakini 2upe flavour 2upate uhondooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  85. Comment by ma'reen on September 1st, 2008 2:27 am

    Blackmanem worry not wala sijawa ofended hata kidogo…Nashangaa watu wanaosema yeye ni shombe ni kwa sababu ya weupe wake au? Maana mimi ushombe sijauona na kuna watu wamejitokeza kusema ni mchaga pure. Was wondering if whoever is light skined ni shombe ili tuanze ku-trace origin zetu hahaha…otherwise Peace iko pale pale usijali!

  86. Comment by Matty on September 1st, 2008 6:04 am

    River camp soldiers, that is what we call touch arrogant,in which fluke you can encourage the majority to blv that blah blah as long as u know her, its enough you haters!
    u didn’t compete then forget about what she will do!!

  87. Comment by ma'reen on September 2nd, 2008 2:49 am

    Well said Matty!

  88. Comment by Mr.KT on September 2nd, 2008 4:02 am

    Hivijamani, mshajiuliza kwanini kila BBA nchi zinzoshiriki ni zile zile?? Vipi kuhusu SUDAN, EGYPT, ETHIOPIA,MALI,ALGERIA,MORROCO,LIBYA,MOZAMBIQUE,CHAD,IVORY COAST,SIERRA LEONE,ERITREA,SOMALIA,NIGER n.k?? JIULIZENI mbona nchi ni zile zile kila siku?? ukipata jibu utajua BBA ni shindano la aina gani,nchi makini na zenye viongozi makini ambao hawako brainwashed, watu walio na uelewa,na kuthamini utu wao–haziwezi kuruhusu huu upuuzi.

  89. Comment by Naomi on September 2nd, 2008 8:48 am

    wazima wapenzi, huyu binti ukimuona tu unahisi kuchanganyikiwa maana anaonekana lazima ataharibu tu, anaonekana (ANAKAUPROSTITUTE), anaweza akatoka wa kwanza kwenye jumba lile.(I DONT BELV… HER KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA)

  90. Comment by Muh LUKAMBA on September 2nd, 2008 9:36 am

    Mr KT Big up baba ake !!! nchi yenye umakini hata siku moja uwezi kubali Use#######e wa bb3 na ndo maana mi napinga kuwakilishwa kwenye shindano ili,
    ona comment zangu no,31,50,71,77 na 83 nazungumzia nini.
    alafu soma global pulishers ona magazeti ya udaku bongo yansemaje,
    pia nitakupa blog maalum uone use%&$ e unafanyika,eti
    unawakilisha Flag la Bongo,Dah

  91. Comment by dina on September 2nd, 2008 10:22 am

    Kama maoni yangu yangekuwa yanamfikia, I would beg her to be focused basi, kwa sababu for now anaonekana ana papara na hana msimamo na hajui anataka nini. Whenever I watch BBA III, I crosses my fingers na kujisemea…Mungu wangu sijui atafanya nini cha ajabu leo?!!!

    Anyways wapendwa, we seems to be concerned, lakini hamna kinachoweza kubadilika kwa sasa, already she is in the house! And everybody who watch BBA III, when you speak of TZ basi wanamuona bibie, tunalo? Wenye lugha yao wanasema ‘we are caught by the……’

    Ila laiti BBA III wangetusaidia hizo hela kwa ajili ya kutengeneza barabara ya kuingilia uswahilini kwetu mbona wangekuwa wametuokoa! Mmh hapa lazima watu waniambie niende Wizara ya miundo mbinu….Jamani ni dreamz tu….

  92. Comment by matty on September 3rd, 2008 7:20 am

    thanks Ma’reen, unajua pipo wanaboa sometimes!

    Eeeeh Naomi wacha weeee!! kauprostitute tena??

  93. Comment by Olive on September 3rd, 2008 9:03 am

    Hey,Matty sijakupenda kwa kumkosoa NO.73 KiswEnglish chake kinakuhusu nini wewe ,communication is two way traffic so long as message delivered.

    Just put comments dats ol ur concern,hatupo class hapaaaaaaaa,kazi ya Auditing inakufaa sijui kwa nini hukuomba tempo kushuhulikia BOT,EPA,RICHMONDULI

    Knowing English isnt a big deal,we ndo waleeeeeeeeeeeee!!!!

    Latoya,be urself n behave..!!!! Mwisho hakusanua akapata ushindi,do ur best way to get the best..!!!

    Ukitumia main road and aliye tumia feeder road wote mtafika waendako

  94. Comment by matty on September 3rd, 2008 9:58 am

    OLIVE dear u get me wrong!sikumaanisha vibaya ni just jokes nadhani hujanijua vizuri, wenzako wamemezea tu wanajua ni jokes na nilifanya hivyo kwa kukumbusha one day kuna watu walilumbana humu kuhusu hicho kiswanglish so rejea topic zilizopita utanipata!
    Hayo yote ya Richmond,Epa na Richmonduli yametoka wapi ndugu yangu???au una agenda ya siri na mimi??pls leave me alone!kilichokuleta hapa ni kuchangia hoja kama ulivyodai sasa nilipozungumzia kiswanglish umekerwa na nini???huna mpya!
    Jeff naomba usibanie hii!

  95. Comment by Mzalendo on September 4th, 2008 6:21 pm

    Watu jamani acheni wivu, huyo binti anacheza tu mchezo, kumbukeni kuwa its a Game, and she is there to win the money . So kama hakuvutii then just change the chanel, no one is forsing you to watch it. Maneno mengine mnayoandika ni machafu, je nyie mnafundisha nini jamii? Kumbukeni kuwa LATOYA ana WAZAZI!!!!!!!!!!!!!

  96. Comment by Mama wa Kichagga on September 4th, 2008 8:58 pm

    Mmmmmmmmmm watu kwa kujadili na kuwatolea wenzenu maamuzi hamjambo!

    Hivi kama kila mtu angeishi kulingana na mashauri wanayowapa wengine si Bongo yetu ingekuwa tambararee?

    Tupunguze kuchonga jamani na tuwape watu nafasi na pumzi ya kuishi wapendavyo hata kama hatutaki. Tuzuie kulaani na kuwatolea wenzetu hukumu kwani hakuna mwenye dhamani hiyo hapa duniani.

    Bora watu wapewe live wakome kuchonga chonga hasa wale wanaoamini wachaggaa ooooooooooo wachovu oneni live basi! Haaaaaaaaaaaaa mpaka ashinde au atolewe kwenye hilo jumba kuna watu zitawatoka nyongo hapa. Mimi simo kila kitu kwangu mswano tuu ni aina ya mchezo!

  97. Comment by Olive on September 5th, 2008 4:54 am

    ok,matty…!!!!

  98. Comment by Matty on September 6th, 2008 4:53 am

    your welcome Olive, peace to you!

    Mama wa Kichagga asante though…….malizia basi!

  99. Comment by retistuta on September 7th, 2008 6:16 am

    jamani watanzania tutaacha kufanya makosa mpaka lini ,huyu latoya si mtanzania ni mkenya mbona watu tunamjua.

    kwenye miss tanzania nia pia yule nasreen mama yake ni mkikuyu wa kenya na baba yake anatoka morogoro, kwahiyo hata sio mtu wa mwanza kama watu wa mwanza wanavyofikiria.

    mwakilishi wa mkoa wa mwanza halisi alikuwa ni angella lubala kwasababu baba yake na mama yake wote ni wasukuma wa mwanza.

    lakini mbali ya yote turudi kwa latoya,tafadhali naomba watu mfatilie hili,tumechemsha jamani huyu baba yake ni mkenya na mama ni mchaga.lakini kwa baba siku zote ndio kwenye nguvu.

    silumbani na mtu yoyote kwani huwo ndiop ukweli

  100. Comment by BLACKMANNEN on September 8th, 2008 5:07 am

    He he he he heeeeeeeeeeeee duh, Mama wa Kichagga, umeniacha hoi. Lakini yote uliyosema ni kweli!

    This Is Black=Blackmannen

  101. Comment by Geras on September 8th, 2008 7:17 am

    Anafaa sana na ikiwezekana atuwakilishe kwenye miss would.

  102. Comment by Mh Lukamba on September 8th, 2008 9:46 am

    We ReTISTA,unasema ulumbani wakati unatuambia point less,kwa baba ndo kwenye nguvu kasema nani???
    sheria inasema wazi,kama wazazi wako ni wamataifa mawili tofauti,basi mtoto unakuwa na uraia wa nchi mbili mpka ufikishe miaka 18,hapo ni lazima UUKANE uraia wa nchi moja,
    kwahiyo hakuna cha baba au mama ana nguvu,jukumu ni lako.
    kama Latoya akuukana uraia wa kenya basi ni mkenya,hilo alina ubishi,
    Au kama baba yake akuukana uraia wa kenya basi mtoto anakuwa na uraia wa nchi 2

  103. Comment by boby on September 8th, 2008 12:46 pm

    Jamani kwanini tuna tafute malumbano kila siku,tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha mshindi au mwakilishi wa taifa katika mashindano yoyote (miss tanzania,bb,face of tanzania e.t.c ni lazima baba na mama awe mtanzania,amasivyo tutakuwa tuna wakuza wakenya.

    kwani jamani hakuna wasichana wazuri ambao ni watanzania halisi?

    Nakuunga mkono retistuta,angela ndie aliyekuwa mwakilishi wa mwanza halisi.wazazi wote ni wasukuma na wazazi wote ni watanzania.

    huyu latoya mama lucy kiwele umechemsha,na lazima suala hili litakuwa kubwa baadae.

  104. Comment by matty on September 9th, 2008 6:43 am

    un expected empty bone!
    waosha vinywa tafadhalini hayawahusu!

  105. Comment by mzalendo on September 9th, 2008 10:53 am

    Retistuta, shame on you! kwanini kuprint uongo, kama jambo hulijui si uulize upatiwe majibu. Nyie ndo wale wanga wa mchana lo, huna hata aibu? Asante sana Mama wa Kichagga, msapotini mshiki o Mashati Rombo….! Baba Mrombo na Mama( Marehemu for more than 10yrs) Mmarangu. Mi naangalia maoni wa Nnchi zingiwe na wanafagilia Latoya vizuri tu, acheni wivu jamani….! Yaani Wananchi wenzake ndo mnamwangusha….! si mngeenda nyie mnajua basi au watanzania original? kwani fomu za appl si zilikuwapo multchoise? Mbona hamkuzichukua kama nyie ni Malaika?

  106. Comment by retistuta on September 10th, 2008 4:50 am

    Na wewe mzalendo nenda zako,unajifanya unamjua sana latoya,na sisi tuna mjua vilevile ndio maana tumechangia maoni.

    Halafu mkiwa mnachangia hoja please andikeni majina yenu halisi kama tunavyofanya sisi.

    sio unakosoa watu tu huku una jiita mzalendo.weka wazi jina lako kusudi hata huyo latoya ajue kama kuna mtu anajifanya anamjua saaaana.

  107. Comment by matty on September 10th, 2008 8:15 am

    mhhh Mzalendo haya sasa mchuano ndo huo!

  108. Comment by binti-mzuri on September 10th, 2008 12:29 pm

    hahha matty mie nipo,nasomaa in ze kona

  109. Comment by matty on September 11th, 2008 3:21 am

    haya shosti Binti-mzuri naona Any nae anasoma tu bila kuacha ujumbe sikuhz!
    peace!

  110. Comment by mzalendo on September 12th, 2008 6:30 am

    Retistuta, unamjulia wapi Latoya? Waswahili bwana! Na wala usijali kwani Latoya akiona Mzalendo atajua maana hilo ndo jina langu. Ujumbe wangu kwako ulikuwa kama jambo hulijui basi acha umbea, maana huu sasa ni umbeya! Kama unaweza panda juu na zege ukazibe.!!!!!!!

  111. Comment by mzalendo on September 12th, 2008 6:33 am

    Matty wala usijali ! hao wote ndo wale wasiopenda kumwona mwingine kapata, mtu hamjui lakini anachonga kwa uhakika utadhani yeye ndo mama yake latoya? Shame on you all.

  112. Comment by retistuta on September 12th, 2008 12:29 pm

    Wewe (mzalendo sijui),Kumjua mtu sio mpaka uwe mama yake,Na wala hakuna mtu anaye mwonea wivu latoya.kama mafanikio tayari watu tunayo.tunachokifanya hapa ni kuchangia hoja kwa kitu ambacho nakijua.

    kinachotakiwa watu watoe maoni ya kweli kusudi jamii au wasomaji wajue ukweli,sio kupamba mambo tu kwa faida yako mwenyewe.

    kama huyo latoya anakujua mpaka jina lako la utani basi kumbe ndio maana una mpamba tu kwa faida yako mwenyewe lakini ujue watu wana mjua vizuri sana.

    haya ndio maoni yangu ya mwisho.nafikiri utakuwa bado mtoto sana wewe.

  113. Comment by mzalendo on September 13th, 2008 7:10 pm

    haya mama UBARIKIWE we unayemjua sana Latoya.

  114. Comment by Matty on September 15th, 2008 2:50 am

    MAJUNGU SI MTAJI YOU GUYS,UMJUE /USIMJUE SHE DON’T CARE!!!WENGI WAPE LATOYA MCHAGA FULL STOP!

  115. Comment by sendela on September 16th, 2008 12:43 pm

    latoya nasikia anatoka wiki ya kwanza

  116. Comment by latty on September 17th, 2008 6:11 am

    Hamna kitu hapo hashindi na akishinda huyu dada ni mwisho wa dunia habari ndio hiyoooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  117. Comment by halima on September 18th, 2008 5:27 am

    wew latty acha roho mbaya kama ya mkaanga sumu siunge shiriki wewe kama unaona latoya hatashinda?

  118. Comment by Matty on September 18th, 2008 6:53 am

    Latty huvumi lakini umo!lol! hasira za nini bimkubwa??ashinde asishinde unafaidikaje???

  119. Comment by jeff on November 4th, 2008 3:26 pm

    mbona mmeacha kutoa comments?

  120. Comment by Matty on November 12th, 2008 9:41 am

    Jeff jamani tushamchoka Latoya ndo maana tumesitisha mjadala!

  121. Comment by semboni on August 3rd, 2010 7:15 pm

    jamani mwacheni mbona hamko kama wazungu

  122. Comment by fizzy on August 22nd, 2010 12:22 pm

    watanzania wengine tuachane nao japo ni watz wenzetu! wengine ni wivu tu umewajaa, hebu wafikirie wangelikua wao. bt i think the best thing to do is to give more suport to our fellow Tanzanians.

  123. Comment by NDANU on January 11th, 2011 8:45 am

    dada uko powa sana

Leave a Reply