JENNIFER MGENDI

Ushasikia kwamba muziki wa gospel(injili) siku hizi unatamba sana nchini Tanzania.Mmojawapo ya wasanii wa muziki huo wa injili wanaotamba ni Jennifer Mgendi(pichani).Mbali na kuwa muimbaji wa nyimbo za injili, Jennifer pia ni mtunzi mzuri wa hadithi za filamu.Baadhi ya filamu alizowahi kutunga ni kama ile ya Pigo la Faraja na Joto la Roho.

Mgendi alianza rasmi kujishughulisha na kazi ya muziki wa injili mwaka 1995 na albam yake ya kwanza iliitwa ‘Nini?’. Baada ya hapo alitoka tena na albamu zake zilizokwenda kwa majina ‘Ukarimu wake’, ‘Yesu Nakupenda’,’Nikiona Fahari’ na ya hivi karibuni zaidi inayoitwa Mchimba Mashimo.

Photo/Global Publishers

 1. BLACKMANNEN, 26 August, 2008

  Hongera sana Jennifer Mgendi kwa kutupa kiburudisho cha mziki wa Injili na hapo hapo kutulisha neno la Mungu kwa njia ya nyimbo.

  Kitu ambacho naweza kukuambia wazi ni kwamba, umepanda haraka haraka katika fani hii ya muziki na kufikia hapo ulipo sasa, ni kutokana na sauti na uimbaji wako wa “Saida Karoli” wanna be!

  Jennifer, kama kungekuwa na “Haki Miliki” ya sauti, kwa kweli Saida Karoli ungemlipa japo kidogo, kwani moja ya kigezo cha mafaniko yako ni hiyo, copy write ya sauti yako na yeye.

  Hata hivyo, Jennifer, nakutakia kila la kheri katika shughuli zako za kutuburudisha na kutupa neno la Mungu kwa njia ya nyimbo.

  Blackmannen

 2. naila, 27 August, 2008

  huyu dada nampenda,ana sauti nzuri,mrembo na kind of exposed!

 3. Wakuvanga, 27 August, 2008

  Praise the lord

 4. mama jj, 27 August, 2008

  kweli nimeamini kuwa kipaji kipo, hongera sana jeny kwani wewe ni mzuri,unakipaji sana si cha kuimba tu bali cha utunzi. Kazi zako zinanibariki sana. Mungu azidi kukulinda uendeelee kutunga nyimbo zinazonibariki.

 5. Jose Jose, 27 August, 2008

  kwani wewe kabila gani?

 6. BABA DORIE, 27 August, 2008

  Bwana YESU kristo asifiwe

 7. solange, 27 August, 2008

  jamani huyu mdada ana sauti ya kipekee, napenda sana sauti yako haaa na nyimbo zako ni nzuri sana, mungu akubariki ma dia.

 8. any, 27 August, 2008

  Jamani huyu mdada mzuri,anajua ku act, nimemwona kwenye joto ya roho, hadi raha, mi mwenyewe nikapata joto ya roho kwa kuangalia. haaaaaaaaaaaaaaaaaa

 9. Matty, 27 August, 2008

  Huyu dada naye ni kisura jamani anavutia, ubarikiwe dada kwa kumuimbia Mungu na pia nakupongeza kwa sauti nzuri uliyojaliwa na mwenyezi Mungu!
  Naupenda wimbo wako “shimo wamenichimbia eee watatumbukia wenyewe humo”

 10. edgar, 27 August, 2008

  Hi jenipher , nakuaminia kwa kutunga nyimbo tamu sana za kanisani,

  nakuzimia sana

 11. binti-mzuri, 27 August, 2008

  ameen!

 12. Ze Mdau, 27 August, 2008

  Sasa kutuwekea huco kidole cha mkono wa kushoto tukione manake ndo KUTUPIGA STOP au?

  Sasa Dada TUMEKUSOMA.

 13. michelle, 27 August, 2008

  Bado kana sauti ya kitoto inabidi aweke msisitizo anapo imba
  otherwise kazi ya Mungu iendelee, all the best!!!!!!!!!!!

 14. Matty, 28 August, 2008

  AMEN wapendwa! hapa hawajaja wenyewe wakasema tupunguze ukristolaizesheni hahahaha hata hivyo Tumsifu yesu Kristo!

 15. ma’reen, 28 August, 2008

  Beautiful and God fearing…what more can one ask for? Mungu akubariki dada. Huyu dada kaanza muziki wa injili siku nyingi na wala sauti yake hajaiga kwa Saida Karoli coz Saida kaingia mjini na kujulikana huku Jennifer kashakaa sokoni kitambo. Sidhani kama kuna kuigana sauti hapo! She’s simply blessed na sauti yake ameitumia kwa mema.

 16. debra, 28 August, 2008

  U mrembo dada mpendwa!!
  Bwana Yesu asifiwe !!
  Ubarikiwe mpendwa ktk bwana!!
  Amen

 17. adili, 28 August, 2008

  BWANA ASIFIWE DADA UNANIBARIKI SANA NYIMBO ZAKO NAOMBA MUNGU AKUBARIKI PIA KWANI NYIMBO ZAKO NI NZURI.

 18. prety girl, 28 August, 2008

  nampenda sn huyu mdaa coz yupo smart kimwili na kiroho pia,kwa kawaida mimi huwa napenda kusikiliza nyimbo zake kiukweli anaimba vzr sn.pia moja kati ya hizo filamu zake nimeiona kwakweli amejitaidi sn.keep it up my dia na MUNGU atakubaliki zaidi.Mwanakondoo ameshinda?2mfuate, AMEN

 19. kingo, 29 August, 2008

  wakti dada Jeny anaanza kuimba saida karoli nadhani hata kiswahili alikua hajui achilia mbali kuiona maiki!!!!!Mungu akubariki dada,kazi yako ni njema.

 20. gppmie, 29 August, 2008

  jamani mtu anaimba vizuri,hayo mambo ya kusema ameiga sauti ya mtu imetoka wapi? she is cute and humble to God. Big up sister Jeny and stay blessed.

 21. mkaku, 29 August, 2008

  Jamani Jennifer alikuwa anapenda muziki tangu yuo kisutu akingia kwenye muziki wa injili pia ni mwenyeji wa Singida na sauti yake ni ile aliyobarikiwa na Mungu haimbi kitoto ndio sauti yake ilivyo na anavaa vizuri sana i love her pia alikuwa room mate wangu ni mkarimu sana

 22. michelle, 30 August, 2008

  Jamani tukisema kwamba anaimba kama mtoto si tatizo ila ni maoni tu,kwamba ajaribu kuweka msisitizo atakuwa better than that, ni mzuri tunaamini anamsimamo wa kiroho, God bless you sister, all the best!!!!

 23. Jennifer Mgendi, 01 September, 2008

  Nawashukuru woooooote kwa maoni yenu na yanatutia moyo, yanatuonya na kutujenga. Mbarikiwe na Bwana!! Huyu anayesema ni roommate wangu ni nani huyu Mkaku, ni “Leah the Unshaken….?

 24. Matty, 04 September, 2008

  Afadhali dada Jennifer umejitokeza kutushukuru kwa maoni yetu,Mungu akubariki na wewe amen!
  Michelle umemsikia Jenniffer???anasema tubarikiwe na bwana!

 25. mambo, 04 September, 2008

  waibaji wengi wa injili wamejaa kashifa kibao, Lakini Jennifer yuko siku nyingi katika huduma na hatujasikia songombingo lolote. HONGERA SANA DADA. may God bless you

 26. mambo, 04 September, 2008

  I mean WAIMBAJI

 27. michelle, 04 September, 2008

  Matty,shost nimeipata sana hiyo baraka ya Jennifer, basi ndugu yangu Matty ubarikiwe na Bwana aishiye juu mbinguni!!!!!!!!!

 28. matty, 05 September, 2008

  hahahahah thanks ma dear Michelle AMEN!

 29. Daines Shartiel, 08 September, 2008

  Nakupa tano yaani nyimbo zako (tiki kubwa)

  Pia kila wimbo wako ni point huwa ninapata faraja sana ninaposikian wimbo wako wa “MOYO”

  Ninakuombea usiishie kuimba dunia tu bali uimbe hati mbinguni.

 30. Dory, 09 September, 2008

  Mimi nimempenda sana Jenifer kwa jinsi anavyoimba Mungu azidi kumbariki na kumuinua zaidi tunangoja kibao kingine cha nguvu kushinda kilichopita. Keep it up!!!!!!!

 31. Mama wa Kichagga, 11 September, 2008

  Jenny,

  Sikufahamu ila nyimbo zako zina upako! Ubarikiwe sana na Bwana na endeleza kipaji cha kumwinua Bwana siku zote.

  Amina.

 32. hs, 24 September, 2008

  Ubarikiwe sana dada “J” Ninabarikiwa sana na uimbaji wako kwani Mungu kaweka kitu cha pekee ndani yako
  Jehova akubariki na kukupigania ktk huduma yako

 33. hs, 07 October, 2008

  barikiwa

 34. Mary Mkwaya Malamo, 15 October, 2008

  bravo

 35. kwibisa seleman, 26 October, 2008

  nyimbo zako ni nzuri dada yangu na zinanibariki sana.

 36. CHANTAL MUKESHIMANA, 22 November, 2008

  Dadangu Jennifer hongera sana nyimbo zako zinanijenga kiroho Mungu akubarik na akuzidishie kipaji hicho cha kuimba.

 37. jeanine memba, 28 January, 2009

  Sister jennifer God bless you.
  I love you so much, I like to sing too when I was in Africa I was a singer (mwana kwaya) I like to praise LORD in songs.
  Just keep going to praise LORD!! Please E-mail me any time you want, I would like to have more informations from you.
  Thanks. Good luck.
  Yours jeanine from U.S.A(CoLORADO).

 38. kissa, 06 February, 2009

  jenifa ubarikiwe na bwana kwa kalama yako nzuri,kipawa ulichopewa kitumie sasa,mungu akubariki sana na udumu katika maombi na mungu akubariki maana kazi uliyopewa yahitaji maombi sana.barikiwa

 39. mariam, 23 February, 2009

  kwakweli Bwana Yesu aendelee kukupigania uendelee vema na kutunga nyimbo ambazo zinatubariki.

  mariam

 40. Eunia, 05 March, 2009

  We are happy to have you!

 41. Vennvictor, 18 March, 2009

  Asifiwe Yesu Kristo!!!!!!
  Nikupongeze dada yangu Jenny kwa kazi nzuri na kipawa kizuri ulichopewa na Mungu.Kazi yako ni njema na inatubariki sanamimi binafsi na wenzangu wote.Napenda kukushauri kuwa;NYENYEKEA CHINI YA MKONO WA MUNGU,Utashangaa jinsi Bwana atakavyokutumia ktk viwango vikubwa zaidi.Utunzi wako ni bomba saana.Naamini ukimtafuta Mungu zaidi pasipo kumwacha,Mwenyewe utashangaa.
  Ubarikiwe na Kristo Yesu.Go on never look backward——-step f-o-r-w-a-r-d!!!!!!!!
  Be Blessed.

 42. Mereweneza, 25 May, 2009

  Jennifer Nakumpenda sana nabenda Nanyimbo zako Akisante Kwakua Umetoa nyimbo Hizi Nakuomba Unipe Nimero Zako Zasimu Unipatiye Na Address Yako By Sindano
  Location:American Atlanta,GA
  Email:merewesindano@gmail.com
  PHONE:404-4848-5876

 43. Munira Al-Marjibi, 22 November, 2009

  Ameen

 44. Daniel Kioko, 04 December, 2009

  You bless me so much!!

  Baba Baba Wewe niwakuaminiwa milele…

  God bless you with you family wherever you are Jennifer.

 45. Anthos Pililo, 01 September, 2010

  Dada,
  Mungu mwenye haki akubariki kila siku , na azidi kukulinda wewe na kizazi chako chote, kazi ulimo siyo ndogo , bali faida yake siku moja utahipata na inatoka wapi, sina mengi ila Mungu mzima akufunuliye mengi na uzidi kutuombea sisi walio mbali na kizazi cha Mungu .
  Ubarikiwe wewe.
  Anthos pililo.

 46. jolly, 24 September, 2010

  jenifer may the Lord bless u abundantly for your work. Make sure you will do the same in heaven!

 47. EDITH, 13 March, 2011

  HI PRAISE DA LORD,AM FROM MSA NA HAKI DAA HUYU HUWA ANANIBARIKI SANA KWA NYIMBO ZAKE SAUTI YAKE NI YA (AJABU)NA HATA FILAMU ZAKE JAMANI NI MURUA SANA NAZILIKE WEE ACHA MUNGU AMUBARIKI TU HUYU NA AMUZIDISHIE KILA UCHAO.

 48. Brenda, 24 March, 2012

  Hi jenny am in nairobi.I hav a very small voice wich discourages me yet i hv songs writen.plz pray 4 me n advice me.BLESSINGS

Copyright © Bongo Celebrity