Comment by piusmickys on
August 31st, 2008 11:52 pm
Hapo nimemkumbka DJ Ran Kim Ramadhani, Muzee wa ma chamukware!
Comment by gwiji on
September 1st, 2008 4:22 am
Kushoto Mike Mhagama na kulia Sebastian Maganga huyo wa kati simjui
Comment by trii on
September 1st, 2008 4:28 am
sijui
Comment by mweusi on
September 1st, 2008 7:37 am
kutoka kushoto, MikeMhagama yuko Marekani ila sijui jimbo ama mji gani, DJ Rankim, yuko hapa bongo alikuwa kituo nilisikia Magic Fm, halafu huyo wa mwisho ni sebastian Maganga, yuko Clouds FM
Comment by Matty on
September 1st, 2008 8:13 am
mm ndo siwakumbuki kabisa jamani nikumbusheni.
Comment by bdo on
September 1st, 2008 8:48 am
hata sikumbuki
Comment by hombiz on
September 1st, 2008 9:02 am
Mike Mhagama (kushoto) yuko Marekani, huyo wa kati simng`amui, Sebastiani Maganga (kulia) yuko clouds FM.
Comment by Kaka Poli on
September 1st, 2008 9:55 am
Hapo nampata Sebastian Maganga (kulia: mwenye shati la bluu), nadhani hawa ni wenzake katika kundi la “afro reign”.
Comment by Muh LUKAMBA on
September 1st, 2008 10:04 am
SIWAKUMBUKI NA SIJUI WALIKO
Comment by binti-mzuri on
September 1st, 2008 11:19 am
siwajui
Comment by msukule on
September 1st, 2008 12:57 pm
Hawa walikuwa celebrates.
I am not sure lakini I think sasa hivi ni fisad somewhere,who knows with tz!!!
We mchangiaji no: 11 kweli msukule.
Huyo wa katikati inaonesha wachangiaji wote hawajui aliko. mi nakumbuka alizamia meli kwenda ugiriki. sasa sijui alifika maana toka hapo hakuna mawasiliano. na mambo ya meli si mnayajua mazee.
hao akina maganga hachana nao ila rankim mimi ni ndugu yangu najaribu kupata habari zake kwa hiyo iwapo utaweza kunisaidia nipate mawasiliano naye nitashukuru sana waitu
Comment by Matty on
September 4th, 2008 6:23 am
Belinda are u serious???anyway u made ma day nimevunjika mbavu hahahahhahah!
SisterTZ they might have no chat in DAR but they can have chat another city, u never know….hata hivyo reduce touch arogant my dear!
Comment by piusmickys on
September 4th, 2008 7:06 am
Ran Kim yupo Bongo!! Mpaka mwaka huu January nimeonana naye na alinitengenezea CD ya Non Stop Mayenu (za zamani) alikuwa akipiga Dar Carnival au kama vipi wasiliana na fundi simu wa Azam anaitwa Mengi ndiye rafiki yake mkuu na mi tulikutana hapo!!
Comment by SAMCHOM on
September 7th, 2008 3:18 pm
Duh, nakumbuka that day tena walikuwa na interview Clouuz, na kukumbushia na kuwa na kam’bishano flani kuwa mwanzilishi wa jina la Bongo Flava ni nani, kama ni Steve au yeye Mike…sikumbuki solution ilikuwa n nini!!! but i guess stevie ndiye!!
BC umenikumbusha mbali sana kwa mara nyigine,nilikuwa nawahi saa nane mchana kuwasikiliza hawa jamaa.Mike na Seba ni jamaa wasioweza kusahaulika.Nilikutana na Mike muhagama Bongo mwaka jana nilipokuwa likizo aliniambia yuko Los Angeles kalifornia jamaa yuko safi na wala hana majivuno kama watu wengi wanavyodhania.
Seba yuko Radio ya watu Clouds kama Mkurugenzi wa vipindi pale naye mambo yake yametulia sana hivyo sisterTZ sio unaropoka tu.Hao sio watu wa dhiki toka wako bongo wametuliza maisha.
huo ubishi wa nani aliyeanzisha bongo flavour na mimi niliusikia na mike muhagama alifafanua vizuri sana kwenye kipindi halafu dj B12 akauliza wapi steve? na hata humu kuna article nilisoma BC alisema imeandikwa na mike kuweka ukweli,mwabie BC awawekee link.big up magic mike na DJ seba.HABARI NDIYO HIYOhalla.
Comment by TEACHER-DENMARK on
September 14th, 2008 12:44 am
SAFI SAAAAAAAANA NDUGU SIPHO NIMEPENDA NIMEFURAHI KWA TAARIFA YAKO MAAANA HUYO ANAJIITA SISTERTZ NDO WALE WABONGO WANAOPENDA KUONA WANZA WAMECHOKA HATA KAMA SIYOKWELI WANAPENDA KUPAKAZIA WEZIO NAONA….. KATATAHAYARI
Hapo nimemkumbka DJ Ran Kim Ramadhani, Muzee wa ma chamukware!
Kushoto Mike Mhagama na kulia Sebastian Maganga huyo wa kati simjui
sijui
kutoka kushoto, MikeMhagama yuko Marekani ila sijui jimbo ama mji gani, DJ Rankim, yuko hapa bongo alikuwa kituo nilisikia Magic Fm, halafu huyo wa mwisho ni sebastian Maganga, yuko Clouds FM
mm ndo siwakumbuki kabisa jamani nikumbusheni.
hata sikumbuki
Mike Mhagama (kushoto) yuko Marekani, huyo wa kati simng`amui, Sebastiani Maganga (kulia) yuko clouds FM.
Hapo nampata Sebastian Maganga (kulia: mwenye shati la bluu), nadhani hawa ni wenzake katika kundi la “afro reign”.
SIWAKUMBUKI NA SIJUI WALIKO
siwajui
Hawa walikuwa celebrates.
I am not sure lakini I think sasa hivi ni fisad somewhere,who knows with tz!!!
Toka kushoto ni DJ Mike Muhagama Pesambili(yupo USA), katikati ni Rankim Ramadhani Nyamka(sijui alipo), na wa mwisho sina uhakika ni nani.
MIE SIWAJUI NDO AKINANANI NA WANA UMAARUFU UPI?
MZEE WA KUKOLOGA MUSIKI MCHANGANYIKO NA RANKIM RAMADHANI ENZI ZILE ZA KTK UKUMBI WA TWIGA CEMENT NA RADIO NANI HII.WENGINE SINA UWAKIKA NAO
no idea
joti.mpoki na masanja….
Mimi nadhani wote watatu hawana chati DAR kwa sasa..
yaani kwa kifupi wamechoka kimaisha..poleni sana..
na huyo kaka Rankim was so talented ila kama kawaida ya baadhi ya vijana wa Bongo hakutilia maanani kazi yake… pole kaka yangu…
nakukumbuka sana ulivyokuwa unakaa mwenge ulitesa majirani kaka yangu ila kwa sasa hao ulikuwa unawatesa ndio wanatesa au sio ..
KUTESA KWA ZAMU BWANA haluuuuuuuu
We mchangiaji no: 11 kweli msukule.
Huyo wa katikati inaonesha wachangiaji wote hawajui aliko. mi nakumbuka alizamia meli kwenda ugiriki. sasa sijui alifika maana toka hapo hakuna mawasiliano. na mambo ya meli si mnayajua mazee.
hao akina maganga hachana nao ila rankim mimi ni ndugu yangu najaribu kupata habari zake kwa hiyo iwapo utaweza kunisaidia nipate mawasiliano naye nitashukuru sana waitu
Belinda are u serious???anyway u made ma day nimevunjika mbavu hahahahhahah!
SisterTZ they might have no chat in DAR but they can have chat another city, u never know….hata hivyo reduce touch arogant my dear!
Ran Kim yupo Bongo!! Mpaka mwaka huu January nimeonana naye na alinitengenezea CD ya Non Stop Mayenu (za zamani) alikuwa akipiga Dar Carnival au kama vipi wasiliana na fundi simu wa Azam anaitwa Mengi ndiye rafiki yake mkuu na mi tulikutana hapo!!
Duh, nakumbuka that day tena walikuwa na interview Clouuz, na kukumbushia na kuwa na kam’bishano flani kuwa mwanzilishi wa jina la Bongo Flava ni nani, kama ni Steve au yeye Mike…sikumbuki solution ilikuwa n nini!!! but i guess stevie ndiye!!
BC umenikumbusha mbali sana kwa mara nyigine,nilikuwa nawahi saa nane mchana kuwasikiliza hawa jamaa.Mike na Seba ni jamaa wasioweza kusahaulika.Nilikutana na Mike muhagama Bongo mwaka jana nilipokuwa likizo aliniambia yuko Los Angeles kalifornia jamaa yuko safi na wala hana majivuno kama watu wengi wanavyodhania.
Seba yuko Radio ya watu Clouds kama Mkurugenzi wa vipindi pale naye mambo yake yametulia sana hivyo sisterTZ sio unaropoka tu.Hao sio watu wa dhiki toka wako bongo wametuliza maisha.
huo ubishi wa nani aliyeanzisha bongo flavour na mimi niliusikia na mike muhagama alifafanua vizuri sana kwenye kipindi halafu dj B12 akauliza wapi steve? na hata humu kuna article nilisoma BC alisema imeandikwa na mike kuweka ukweli,mwabie BC awawekee link.big up magic mike na DJ seba.HABARI NDIYO HIYOhalla.
SAFI SAAAAAAAANA NDUGU SIPHO NIMEPENDA NIMEFURAHI KWA TAARIFA YAKO MAAANA HUYO ANAJIITA SISTERTZ NDO WALE WABONGO WANAOPENDA KUONA WANZA WAMECHOKA HATA KAMA SIYOKWELI WANAPENDA KUPAKAZIA WEZIO NAONA….. KATATAHAYARI
OMG.. Rankim.. kweli yuko wapi!
b12 cyo dj ni matangazaji umesikia we sipho
mi nawafagilia wote. big up kwenu
me nawapa hi sana hao washikaji
my uncle yupo ila he z xo stubborn nw dayz alikuwa na issue ya kuibiwa gari ya rafiki yake alikabidhiwa i dnt km dat case km imeisha