THT NA MAKAMUZI YAO KATIKA FIESTA

Pichani ni wasanii wa Nyumba ya Vipaji Tanzania maarufu kama THT au kwa kirefu Tanzania House of Talent wakiwa jukwaani kwenye tamasha la Fiesta Jirambe 2008 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki.Tamasha hilo la Fiesta ndio kwanza limeanza wikiendi iliyopita na linaendelea mwisho wa wiki hii huko A-Town au ukipenda Arusha.

Page 1 of 3 | Next page