
Sio kila siku ni siku ya suti.Siku zingine ni lazima ziachwe kwa mavazi mengine,mavazi maalumu kama anavyoonekana pichani Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr.Rose-Asha Migiro wakati alipohudhuria tuzo za Glamour Women of The Year huko Carnigie Hall jijini New York mapema mwezi huu.
Feedback / Comments
44 Responses to “AFRICA AND ITS BEAUTY”
Leave a Reply


sending...
Viva! mama Rose, I am proud of you lady
she just looks lovely..am glad she opted for african wear,to the likes of alexander mcqueen & valentino.u do us proud,mrs migiro.mwah
safi sana onyesha style mama !
jamani mama nampenda huyu,basi tu.
u r so so pretty n u look more than that…..
we love u mom
Heee mi nilikuwa nimemsahau.
Miongoni mwa viongozi wa kujivunia tanzania ni huyu mama jamani. Duhhh kumbe ni mzuri hivi nilikuwa sijamuona kwa karibu Big up mama
Mashost Pearl, mattylda, Bint mzuri, any, mmeona colour hiyo wanawane?
Mattylda vipi tena naona jina watu wamelifisadi duhhh hahahahahah
Duuu mama bado unalipa kabisa umri no. za viatu bwana utadhani ndo model wa sasa, rangi ya ngozi tu mimi hoi!
Huyu Mama ni swafi sana. Anajua mavazi na nafurahia mwonekano wake saana. M’toko wa hivi sijawahi kuuona na hakika umempendezesha saaana. Kila la kheri Mama Migiro katika kila jema utendalo.
Blessings
na kweli, sio kila siku kuhudhuria dhifa za kiserikali tu unasahahu na social life,jichanganye mama upate exposure.
Kapendeza sana,truly African woman
shavu…shavu, kumbe UN- kuzuri, hata Warioba anaweza kuwa na kitambi
“yeah big up umependeza! mamaa!!”
Kawaida lakini bomba, kama kawaida yako Katibu Rose Mingiro….huwa hujiandai kwa sana lakini unapendeza.
Matunda ya kwenda shule hayo! Reap what you sow Dr. Migilo! Anayekimbia umande shauri yake…
Matilda, Binti-mzuri, Pearl, Mama wa Kichaga, Halima, na kina dadaz wote….mpo hapo!
Nimependa make up zake. Na Personal Decision zake za kila kitu
It’s Great To Be Black………Mtazameni “Asha-Rose Migiro” alivyomzuri. Akikutizama utadhani anakuona hadi moyoni mwako, na kukuelewa unachokiwaza juu yake.
Tanzania tuna bahati ya kuwa na wanawake wazuri, ndiyo maana tumeshindashinda sana, katika mashindano ya wanawake wazuri na umodeli.
Tanzania kitu kilichotushinda ni michezo, anzia mpira hadi riadha. Lakini hata hivyo sio kitu sana, maana katika siasa za dunia tunang’ra. Asha-Rose anatuthibitishia hilo. Hongera Mama Migiro, JK hakubahatisha kukuchukua kuwa Waziri na hadi wewe kufikia hapo ulipo.
It’s Great To Be Black…………….Blackmannen
umetoka sex sana hongera
Hombie,
Usitie shaka na mimi nimo ile mbaya hadi naogopa kukuambia hapa haaaaaaa.
Mama Migiri tuwakilishe vema huko uliko. Weruweru hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Sio siri hii shule imelea viongozi wengi: Mongela, Nagu, Migiro madaktari ndoo usiguse kabisa maana mama yetu yule alikuwa anakomalia ujue
1. hesabu, physics, kemia, biologia au – mwendo wa PCM/PCM/PGM
2. hesabu, comm, econ na acc – Bcom, BBA, nk
3. hist, kiinglish, geo, kiswa, literature – mwendo wa sheria, ticha nk
4. combination p – kupika, kushona, arts – entertainment, maticha, tour operator. Hakuna aliyeachwa nyuma walahi!!.
So ukimaliza f-one tu matokeo yako ya mwisho wa mwaka automatically yanakulengesha mojawapo hapo juu kisha waalimu wanakomaa na wewe kisawasawa.
Ukitoka hapo umewiva kama kama ndizi ya kisukari vile na mwendo unaendelea kuwa mdundo hadi ufe maana ule msingi haukuwa mchezo hata kidogo!
Viva Maria Kamm Mungu akupe maisha marefu kwa kazi yako nzuri.
halima nipo dada,namuona mama alivyo nona.
hombiz acha tu hata mie nina njozi za kufika huko na ndo nina kaza buti sijakimbia umande aisee.
Lovely!Beautiful!
you look so so”"”"”"”"”"”"” prety keep it up hiyo rangi ni ya muafrika halisi jamani si waafrika ni balaaaaaaaaaaaa kwa rangi tulizonazo
Au vipi wadau
Halima, acha tu jina langu tamu mpaka linasarandiwa lol!
Hombiz kaka, nipo mpaka hapo!!kwa kweli ni hazina tamu sana we are proud of u mama Migiro!!kwa kweli shule muhimu tena sana!
mi namuona katoka kawaida tu! sasa hii misifa sijui inatoka wapi! na kuhusu hicho cheo chake umoja wa mataifa wala sio cha kujivunia kihivyoo! kwani ni wangapi wanamjua aliyekuwa anashikilia cheo hicho kabla migiro? kama hujui basi ndo ujee hicho cheo sio ishu ki vilee ni kwamba yeyote anaweza kupewa tuu!
ametoka fresh sana
ha ha ha Mr Degree unanivunja mbaavu….
Mbona ameanza kujisiliba kama hajasoma tema?
Anna wachana na Salma….
dada umependeza sana kumbe bado unadai ee?
To be honest, her make up is a way too much for her age! look at her eye shadow na wanja, umekoa kupita kiasi.
I just like her natural look, was better than this. Washauri wa mama mko wapi jamani.
nafikiri:- makeup should be sparingly applied……pia ili isionekane so artificial…
angechagua lipstic yenye ku-oana naturally na rangi ya lips zake…..
yep…her natural look is cracking….
…anyways….
watu wengine wivu tu unawasumbua. kama mr degree na any. kama cheo chake sio kikubwa tukusaidiaje kama hajapendeza tukusaidiaje sio lazima wote tukomenti wengine mnaweza kupitisha macho tu
Jamani BC leo mumenipatia
Nmapendaga sana huyu mama mweh!!
Big up mama!
any unaonekana kujichanganya na comments zako ulizoandika #16 and # 29,sijakupata vizuri.
ha ha ha any umechemsha.
namba 16: Nimependa make up zake. Na Personal Decision zake za kila kitu
namba 29:To be honest, her make up is a way too much for her age! look at her eye shadow na wanja, umekoa kupita kiasi.
I just like her natural look, was better than this. Washauri wa mama mko wapi jamani.
umeibiwa pasiwedi au?
Jama……. ni “Migiro” sio “Migilo”……heeee!!! Jamani, someni hapo juu BC walivyoandika! Au hata macho hamna???? Ni vipofu??? Wacha tujaribu kuwaeleza kwa lugha mnayoikumbatia. Her surname’s last consonant is “R” not “L”, i.e “Migi(r)o” not “Migi(l)o”!!!!!! Duhhhhh jama!!!!!!
Black=Blackmannen
Haaa, wala sio bahati mbaya, hii msg ni kwa wote wanaolewa maana ya kupenda personal decision ya mtu! haa, Matty original na wengine wanaojua mapersonal decision nisaidieni, Pls dont take it literally! nikisema nimependa, there is more than that! haaa, apo nilikuwa navuta attention ya watu waone, then nikaandika my opinions! asanteni.
maryciana njoo na jina lako la kiukweli tucheze ngoma, why hiding behind the scene? Bring it on! sawa?
Pearl na Marciana,hapa kuna VIRUS jamani wanaiba majina ohhhh huwezi jua!
Any ni aje mtu wangu???au na wewe watu wa EPA /MAFISADI WA MAJINA washakupitia nini??maana jina langu mimi lilipitiwa ila sasa muhusika anajipanga upya!
yes any, kwa comment ya mwanzo mm nilielewa kabisa mambo ya personal decision hayo!
Pearl ni aje?umeshasahau hata matty wa kale navaa kipersonal na kidecision!
Maryciana mama hilo vazi +make ups za mama migiro pia ni personal decision yake sijui kama tuko pamoja shosti!
Mattyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy, upo? weekend wapi?
I always like your personal decision! haaa. nicheke mie.
Any, aiseee nipo mamy! sema tu weeknd hii nilikuwa na kina eve, fat joe, joe thomas na boyz 11 men,yaani ni full kujiachia!!!!!!!!!!!!!
matty mama, una heri wee unawaona hao kina fat joe live, wengine wanaishi nao jirani kabisa lakini wanaishia kuwaona kwenye tv na magazeti ya udaku! alafu matty uwe unakujaga kule sawa?
Any bana, wanaokaa nao jirani na kuishia kuwaona kwenye TV mhhh labda nao ni personal decision zao hahahaha, halafu Any kule nakuja mwakani mbona ucijali lazima tukale mbuzi choma wapi tena pale???
Huyu Gisela sijui kanitokea wapi, kama Gisela kweli sawa, kama ni mwingine kaja kupitia mlango wa gisela i dont give a ****. I just said I like her natural look better than what i see in the screen. Sasa kama sijapenda niseme tu nimependa kisa mama wa watu ni nyota apo New York au mnataka kila mtu amwage sifa! Mr degree kasha summarize apo juu kuwa ni cheo cha kawaida, so tusitegemee maisha ya mtz yatabadilika through cheo chake, nadhani tutasikika tu kwenye Tv wakimtaja jina lake and not more than that! Hana uwezo wa kihivyo kuisaidia Tz peke yake, UN wana policy zao na priorities zao, unaweza kuta hatuko hata kwenye first five priorities, so, dont expect her presence in the UN itatuletea miujiza, apo ni h………….. NO!ni mtazamo wangu lakini, na sio wako! na kutoa mtazamo sio kwamba namwonea wivu, wivu nimwonee wa nini mama wa watu, na mie I dont do women?