
Pichani kulia ni Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Eve E akizungumza mbele ya waandishi wa habari leo jioni kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempisk kuhusiana na onesho lao linalofanyika usiku huu ndani ya gymkana club, na shoto ni mmoja wa waratibu wa onesho hilo kutoka Prime Time Promotions/Clouds Fm Gerald Hando.Eve E amesema kuwa yuko fiti kwenye makamuzi ya leo na ameahidi kuwa wengi waliobahatika kufika uwanjani hapo hawatajutia kiwango cha pesa walichoto kulishuhudia onesho hilo
Feedback / Comments
47 Responses to “Niko fiti-Eve E”
Leave a Reply


sending...
Eve is the BOMB! I love a lot of her old school hitz.. I hope she you guyz gonna let her blow your mindz
Hi Guys kutoka Helsinki
I have no comments about Eve.
Tafadhali ninauomba uongozi wa BC tuleteeni mjadala kuhusu East Africa Federation naona wakenya wako juu na lugha za matusi na kutaka Tanzania ifungue milango, ningependa kusikia kutoka kwa wadau wa BC kama vile Mama wa kichaga, Ross, Blackmanne, Hombiz na wengine wengi. BC ebu mlete waziri wa Africa mashariki halafu ninajua ataweza kupata maoni yetu kupitia BC maana tukilala wakenya wanataka kutuletea mabalaa yao, Kwanza Kenya ni nchi corrupt kuliko zote za Africa mashariki-google Kenya corruption-Transprency International hata kwenye YOU TUBE kuna documentary kibao za uozo wa kenya na Rushwa, Pili wakenya wanafikiri kuongea Kiingereza ndiyo elimu na ndiyo maana watu kama Gitau Warigi, Kamau na Kenyata wanaandika mambo ya kijinga wanadiriki kumtukana hata RAIS wetu bwana, ebu naomba BC kusikia kutoka kwa wadau kabla mjadala huu haujaisha. Tatu ujambazi kenya ni kama kazi, kuliko nchi nyingine za Africa mashariki, kwanini wakenya wanalilia muungano wa Africa mashariki???naomba kuwasilisha.
Frateline
katoto rangi ya chokolate kwlei ngozi yake sio edited kwenye video mtoto natural cute
Nafikiri either Wizara ya Utalii na Utamaduni Imelala fo-fo-fo, ama sijui vipi. Hawa ma-celebrities wanaomiminika bongo kwa nini Wizara isifanye kama promotion flani either kuwapeleka kwenye Mbuga zetu za wanyama, Serengeti, Mikumi, Selous, Ngorongoro….Maana siajabu wanaondoka bongo bila hata kujua kuwa Mlima kilimanjaro upo Tanzania, ila somewhere in Africa. Mastaa wa Hollywood wanakuja Bongo lakini wanaishia Kempiski tu au wanawapeleka Zanzibar ambako kuna Beach tu za kawaida kama sehemu nyingine duniani. Najua hamna kipya wanachokiona cha kuwavutia hapo Dar isipokuwa tu joto la kwetu Bongo.
Serikali imetumia sijui Milioni 800 kutangaza utalii UK mwezi uliopita, je wasanii au watu maarufu wanaokuja bongo hata kwa bahati mbaya Wizara inafanya nini? najua wako busy tu kwenye seminar, sijui warsha kila wiki kwenye Five Star Hotels, hivi hamna Halls za kuhosti hata watu 20 mawizarani?
Hilo jicho la Gerlad hando linaangalia wapi jamani wadau nisaidieni
Daaahhhhh!!!! Mtoto “Eve E”, katulia………!!!!!!!! Karibu Bongo yetu ndo hii!!!!!
Blackmannen
Kudadadeki mtoto ameshine kama moon mhhhh sio mchezo wabeba box haya sasa osheni vinywa maana hamkosagi kutoa kasoro.
duuu mtoto no pimpoz aiii jamani utani kando Eve is cute!
Jamani Gerald Hando hilo jicho. Naona udenda unamdondoka tu! VUmilia vumilia huyo dada ataondoka tu kurudi kwao na ugonjwa wako utapona.
clouds mmetuangusha sana!siku ya onyesho hakuna tickets,ukienda mtaani zinauzwa 40000 mpaka 70000,the same time mnatangaza tickets zinapatikana,mi nimewaona kama mmechoka kuitwa the people station!mmeishiwa!
hahah halima. mtoto eve katulia,watu leo kimya… sio siri,kapiga bao
comments zenu za huyo gerald zimenichekesha
Bidada jicho lipo kifuani hilo, Eve kifua chake bado saa sita….mshikaji haamini dada 30+ lakini kifua msimamo!
Next time clouds andaeni ticket mapema’ like a month b4 onyesho kibongo-bongo(utapeli mwingi si mnajua) japokuwa wenzetu wanauza ticket a year b4…….
She is cute, I also like her attitude, I remember “Who drunk my apple juice” haaaaaaaaaa, sina mbavu mie, go GAL! (as if anasomaga BC, apa si tunajifurahisha tu, hakawii mtu kuanza kumpa ushauri EVE! haa)
no comment
duh!!!! jamaaa mate yanamtoka s not fear the way anavyomwangalia eve duh maskini
mdau usishangae sana,watu walishanyaka labda tickets zimekwisha,hivyo wao wakaamua waanzee kuuza zao kwa bei hiyo..mbona haya mambo yapo kila sehemu.watu kwa pesa bana – hawachezi mbali
Dinah
thanks i was real don’t know what is gerlad hando looking
,hivi atakua amepona kweli , cos hilo jicho la uchu au mawazo ya kifua? cha Eve
Tuiteni wabeba mabox!! Lakini mmeona rangi hiyo ya Eve. Angekuwa bongo mnamwita mwarabu
Jamani jamani RAIS JK PAMOJA NA VIONGOZI WA TZ,TUNAWAOMBA NA KUWASIHI SWALA LA HAWA MANYANG’AU WAKENYA, lisijekuruhusiwa kabisa kumbuke hata unyama waliyowafanyia watz wakati umoja wa Afrika mashariki ulipovunjwa watz waliuwawa kikatili huko Kenya wakati sisi watz tuliwaruhusu watu wao kuondoka wa amani,TAFADHALI KILA MTU AKAE KWENYE NCHI YAKE WAKENYA SI WATU MSIRUHUSU HICHO KITU,MWALIMU NYERINYERI KAMBALAGE ANGEKUWEPO ASINGERUHUSU HUO UJINGA HATUWATAKI HAO KILA MTU KWAO.
Eve is great karibu sana bongo..mimi naomba kuwaunga mkono Gervas kuhusu UTALII WA TANZANIA jamani ndugu zangu mlioko TZ hivi hawa wageni mastaa wanaenda mbuga za wanyama au ndio wanaishia Kempinski kama mdau alivyosema hapo juu??..Mimi mwenzenu naishi Ujerumani yaani serikali kwa kweli hajafanikiwa kabisa kuitangaza Tanzania hapa ujerumani.
Kila wiki kuna vipeperushi vya `Vacation destinations` hapa Ujerumani na Austria pia..hauwezi kuamini Rwanda ipo, South Africa, Mosambique, Kenya ndio ipo kila wiki ect..yaani hata siku moja sijawahi kuona TZ ..jamani wadau nothing against Rwanda but nchi kama Rwanda ambayo haina vivutio vingi inatangazwa na TZ haipo jamani mwenzenu ROHO inaniuma sana…Wizara ya Maliasili na Utalii NA Tanzania Tourist Board mnafanya kazi gani jamani ??? yaani na sisi tunashindwa kujinadi kwa kweli mimi mwenzenu sielewi kabisa …anyway wadau kama nimekosea naomba mnielimishe wadau mwenzenu roho inaniuma sana… Au kama kaka Frateline alivyosema BC wekeni issue ya utalii na East Community…
Jamani hiyo issue ya ticket na clouds ni aje..duhhhhh Clouds mmeboa wadogo zetu..jirekebisheni
NI E.V.E sio eve e
Jamani salamu kwa wote… nimefurahishwa na kitendo cha wasanii wengi mahiri kutoka pande zote za dunia, kuja Tanzania na kutpa furaha kwa muziki wao nina waungamkono wote walio andaa hio kamati ya kuwaleta Joe Crack an Eve……
Lakini jamani pia nawaunga mkono “Dada A” na “Gervas” hapo juu kweli mna point….. mimi nina ishi Marekani huku hawana utalii wowote wakutuvutia sisi na pia kama utalii tulio nao ungekua Marekani mama yangu sijui ingekuaje.. but sisi tuna Mbuga mali asili tunazo za ku mwaga but still we don’t know how to use what we have till siku moja tusikie kwamba labda mbuga flani imebinafsishwa kwa mtu fulani ndio tuta furahi??
Sijui serikali inalichukuliaje hili jambo cz ukiangalia kama alivyo sema “Dada A” hapo its true hata huku Marekani Rwanda inatangazwa Kenya ndo usiseme South Africa, Zambia Egypt na misehemu kibao Africa but ukizi compare na Nchi yetu their nothing kulingana on what we have.. but inaniuma sana ukicheki mbuga ya Serengeti kuna aina ya Antelopes na Mbogo fulani ambao hawa patikani mahali popote duniani angalia Giraffes wetu tunge watumia hao kama kivutio kama wa Marekani wanvyo ringa na Aligators wanaopatikana Carlfornia sijui tunge kuwa wapi.
Ukija kwenye kabla la Wamaasai hao ndio tunao takiwa tujivunie nao But instead tunabaki kusema kuwa oh niwashamba na hawafai.. Tuangalie kabila la Native Indians wa Marekani linavyo chukuliwa yani hawa ndoo kivutio cha utalii wa Marekaniwatu wana fly kila siku kuwaona hawa watu historia zao kwamba waliishije kwenye snow wakati hawakua na nguo za joto kama Mablanketi, Ma Jacket na kadhalika.. sasa nasisi tunge iga huu mfano tuka fanya vile vile kwa wa maasai na vivutio vingine tungekuwa mbali kimaendeleo, na kiuchumi pia. cz tunge waelimisha hilo kabila then tuka jenga ofisi za hifadhi pale Serengeti najua ofisi zipo but tungejenga za kihistoria kuhusu hawa watu walivyo ishi zamani na waka himili kuishi na wanyama wa kali na watoto wao wali chunga porini watalii wangevutiwa sana.. sijui ingekuaje
Jamani ni hayo tu ni maoni nilio nayo kama nime kosea nielimisheni cz tuna jifunza kwa makosa hapa tuna elimishana but sio kupigana ma bango…. Tanzania daima “Mungu ibariki Tanzania”………………..
yes eve ni mzuri lakini mimi sioni utofauti na madem wengine wengi tu bongo hata dada zetu wazuri nyie sema wana kiu na njaa sana ndo inawaangusha au sio. ila hiyo miwani to be honest sijaipenda hata kidogo sometimes haya mablack americana nayo mashamba miwani ya jua usiku huo si ulimbukeni sio kila kitu kinachofanywa na hawa watu ni sawa sometimes wanachemka hapo E V E kachemka sana
22# inamaana waandishi wote wa habari hawajui kuliandika hilo jina?
Gerald umeanza kutumia ARV? mbona ivyo?
E bwana madada zetu wazuri kweli sema njaa ndo zinawaponza.
Ndo maana Demu mmoja anakuwa na mabasha zaidi ya 3 ili akilakusanya mapato yawe fresh kidogo!
Mabinti tulieni hela aitafutwi hivyo!
sasa wewe bob sambeke mbona hueleweki..hiyo stori inhusiana nini na eve e sijui E.V.E
she is hot ….!
Bob Sambeke ushauri wako tumeupokea kwa mikono miwili lol!hahahaha!
Hi binti-mzuri……Story yangu inausiana sana na eve!
Heading:Niko Fiti(Yupo gado,yupo bomba(cute))….Ndo Me Naongezea co tu yeye ndo yupo fiti hata madada zetu wa kiafrika na wenyewe wapo fiti sema Njaa ndo inawakwamisha! Hapo vp Umeelewa au? kama Bado nikuandalie Notes,uende prepo then nikutungie mtihani! Thanx Mattylda 4 appreciation!
God Bless all y’all BC Members
Dinah!! si ungesema 2 macho yako kwenye mayonyo!!! hahaa, kwani kuna ubaya hani!!!
black americans tunawaitaga Waswahili tu wa uswazi. wengine hata english is not reachable, so kuvaa miwani ya jua usiku kwao ni sawa tu. Namshukuru Mungu nimepata muda wa kuwaona Live maana wale niliokuwa nawaonaga kwenye magazeti ya Ebony sijawahi kuwakuta mtaani! mh wengine wanakunywa pombe za kienyeji tu kama kawa, hamna cha nini wala nini! na pia wana attitude fulani juu ya waafrika kutoka africa, ndio maana hawataki kuitwa waafrica wanataka kuitwa people of color, eti wanadai tuliwauza. ila sio wote, wapo wachache wanaojivunia uafrika na kichwani wana akili zote ila waliobaki! akisikia kuja africa anaona atakufa in two minutes akishatua! mfano mzuri ni kwa rev jackson aliekuwa anaonekana yuko fair ila behind the scene alimtukana Obama matusi ya nguoni ambayo yeye kama black, reverend alipaswa kuelewa zaidi ya apo! it was too cheap! cheap mind i mean, haaaa, kiswanglish kimenigomea,. anyway,
GODBLESS OBAMA AND THE WORLD!
lol bob sambeke..nshakupata pata,ila nitungie mock exam kwanza unitest ka vipi..before the final lowdown au sio! afu just to tell u,hiyo ya mademu kuwa na ‘mabasha wa3′(in ur own words) is soemthing thats probably more common kwa nchi za watu more than even in TZ. ni tabia ya mtu as well. dont wekea eti ‘mademu wa kibongo’ wana njaa.. si muikate hiyo njaa kwa kuprovide basi!
lol injinia..bongo ukishakua mweupe upe we mwarabu tayari..but a lot of african americans are a mixture of loads of races.. they dont only descend from africa.. ancestors wao ndio walikua original africans walipoletwa US,obviousli wakajichanganya na watu wengine na kuzaa watoto..ndio maana wengine rangi zao zinakua kama hivyo..like beyonce. i think its right for them to celebrate each race that they’ve got..its very rare kukuta a black american thats fully african..most of them are like creole,native n black. why dont u call them natives and insist on calling them africans.. jamani, races za watu tuwaachie wao.
wamerekani weusi wako kwenye dillema, they dont know their origin, apa au Africa. na wamerekani wabaguzi, ukizaliwa mzazi mmoja mweupe mwingine mweusi wewe ni black, hawana cha halfkasti wala nini, na kutojua where they belong ndio inawasumbua, hawajui wajiite nini. period.
yah thats true..mixed races are classified as blacks.. na they really descend from a lot of background races..they shud stick to calling themselves americans mi naona coz they are citizens of america..its sad they r called african americans while white americans are just called americans!.america belonged to wahindi wekundu..kwani wakianza kutafuta origins zao yani they’l take decades..its very hard to trace back… i do encourage them if they want to..ila ndio ivo sasa.they are not fully africans,wana mixtures kibao sana hawa african americans.
Hi Binti-mzuri,Tunavyosema Mabinti wa kibongo wananjaa i mean hawaridhiki na wanachokipata,wapo kama njaa ukila asubuhi na kushiba mchana njaa inauma tena na tena! Kwahyo hata tukiprovide vp bado tu atamegwa tu ili kuengeza papers!
Pili,Hivi mnaelewa kwamba Wazuri wa Duniani ni Mablack..Ebu tujaribu kujisifia kwa uzuri tuliojariwa na mwenyezi mungu…
BLACKMEN Naomba Unisaidie Kuwaelimisha wapendene Color Zao,espcially mabinti hawapendi sana kuwa na rangi nyeusi!
Why,Kwanini,Endelea Blackmen!!!!!
Hapo umenena binti mzuri. IDENTITY INASUMBUA SANA NDUGU HAWA.’
Peace be with you and merry xmas.
ok bob sambeke..kwenye mchubuo i support you..some girls need to stop using creams..ngoja nimsubiria kakangu blackmanen manake si unajua tena hubiri lake lilivo
Bob Sambeke, kwasha mbee! I am black mpingo and am proud of moi color, blacklishiazi oyeeee! angalao nikipita mitaani sirudi bila kuchokozwa, aaaaaaaaaaaaah rangi adimu hiyoooooooooooooooooooooo maana wengi wamejipura/chuna, so hatujui origino nyeupe ni ipi na ya jiki ni ipi!
wellCoMe BACK e.V.E
uKIrUdI state mPe hi dMx, aSkOnDE AtATOka tU.
”Jimmy drunk yo’ apple juice” kwa wapenzi wa movie hiyo ni Babershop, hope unakumbuka statement hiyo ya Ricky…. boyfriend wa Eve (Terry)…..
Bob Sambeke comment # 37,
Katika maelezo yako, kitu cha maana sana ulichokisema ni ile sababu yako namba mbili.
Hakuna binadamu mwenye rangi nzuri duniani kama mtu mweusi. Hili halina ubishi. Wazungu wenyewe wenye rangi nyeupe wanalijua. Lakini katika kuwaghiribu watu wao ili wasimkasirikie na kumkufuru Mwenyezi Mungu, Muumba wa watu wote, walifanya kampeni ya kuipaka matope rangi nyeusi.
Kupitia vitengo vyao mbalimbali. Rangi nyeusi imepewa sifa mbaya sana na watu weupe. Kupitia imani za kidini, wanasema kuwa, Malaika wote wa Mungu ni weupe. Shetani na wasaidizi wake wote ni weusi.
Ili kutilia msisitizo zaidi katika ubaya wa rangi nyeusi. Wakaongeza kuwa, Shetani ni mweusi, ana mapembe kichwani na makucha marefu. Wasaidizi wa shetani ni vizee vyeusi, vichafu vyenye mapengo na nguo zilizochanikachanika. Usafiri wa Shetani na wasaidizi wake ni mifagio inayotumika kusafisha uchafu.
Ili kuzidi kuwatisha watu na hasa watoto ili wakue wakiwa na imani yenye chuki kwa rangi nyeusi. Wanaambiwa kuwa, shetani na jeshi lake, hutembea nyakati za usiku au penye giza tororo. Ili uepukane na mashetani katika kiza kama hicho, mwombe Mungu, atakuangazia mwanga na kulitoa giza la shetani mbele yako. Kitu chochote kibaya kikapewa rangi nyeusi. Utapeli (Blackmail), biashara chafu(Blackmarket) n.k.
Kitu kibaya kama vile hali ya hewa inayokuwa na ubaridi mkali (Winter), kwa vile iko kwao weupe. Winter ni kitu kizuri cha kufurahiwa na kila mtu. Kama hali ya hewa ya baridi (Winter), ingekuwa kwa watu weusi hapo sijui tungesemwaje na watu hawa? Tungekoma ubishi. Ni Mungu pekee anayetupenda alituepushia balaa la Winter.
Ardhi nyeusi, yenye rutuba, inapendeza sana inapokuwa inastawisha maua ya rangi mbalimbali. Rangi nyeusi inapendeza zaidi inapochanganywa na rangi zingine. Ndiyo maana mtu mweusi aliyechanganya damu na mtu mweupe, pia hupendeza zaidi, kuliko kuwa mweupe kamili.
Watu wote wanaojibadirisha rangi, pia hupendeza wanapoiacha rangi nyeusi ionekane katika ngozi zao. Weupe wanapoingiza rangi nyeusi katika michanganyo yao, pia hupendeza sana. Hii ni kuthibitisha kuwa rangi nyeusi ni nzuri.
Mtu aliyejaliwa kupewa rangi nyeusi na Mwenyezi Mungu, sherti ashukuru sana tena sana. Maana kapewa kitu adimu kupata duniani. Mtu anapewa kitu adimu, ni yule anayependwa zaidi na mzazi. Ahsante Mwenyezi Mungu Kwa Mapenzi Yako Makubwa Kwangu Blackmannen. Umenipa Rangi NYEUSI!!!
Bob Sambeke, binti-mzuri, any, Mattylda, mpooo hapoooo????
It’s Great To Be Black…………,Yeah, I mean Black=Blackmannen
blackman, inabidi uanze course ya short hand, bana pc za kuibia hizi alafu wee unaangusha utenzi kama huu tutamaliza kusoma kweli, bosi akitutokea kwa nyuma, haaa
i like ur ideas though!
Nauliza huyo Gerald Hando kaoa? Manake hilo jicho mmh. Pole sana kaka yangu ni maisha tu. Hali ya hewa ya kwao ni tofauti sana na ya kwetu.
eva ur a diva
imetulia hiyo, nimekubali