Comments on: “VIJANA WAJITOLEE,WAWE WAVUMILIVU NA WAAMINIFU”-NYIRENDA

By: Chabwela Nyirenda
Asante sana BC kwa kutuletea mahojiano haya ya mzee wetu Nyirenda. Pia asante sana wachangia wote hasa Hombiz kwa kutuletea majina ya watu muhimu katika historia yetu.

Mdau Azania Bitoz, Sambayawo uliyosoma naye pale St Josephs Convent hakuwa mtoto wa Major Nyirenda bali alikuwa mtoto wa kaka yake na Major Nyirenda aliyeitwa Robert Gwebe Nyirenda. Robert Gwebe Nyirenda ni mmoja wa watanzania wa mwanzo kabisa kuunda Tobacco Board na baadaye kuanzisha kiwanda cha Sigara. Nyirenda mkubwa naye Amefariki mwaka jana (2007) huko Afrika kusini kwa ugonjwa wa cancer na kuzikwa nchini Malawi. Sambayawo sasa ni doctor aliye specialize kwa magonjwa ya TB in one of the leading hospitals in Botswana.

R.I.P

By: hombiz
You are welcome, Azania Bitoz!

Peace and Love!

By: Azania Bitoz
Hombiz,

Thanks for acknowledging the other heroes of our struggle of indepence , which our new generation, sadly I might ,is totally unaware off. I am proud to say that as a five year old, I remember my dad hoisting me up on his shoulders in the stands of the newly built Old National Stadium, to watch the flag of Tanganyika being raised up while the Union Jack was being lowered.

I also had the pleasure of attending school with one of Major Nirendas daughter ( Sambawayo) , She was a year ahead of me at St Josephs Convent as it was known back then and such my deepest condolences to the family

Azania Bitoz

By: TIANDRA
IAM PROUD OF YOU UNCLE . KEEP ON FIGHTING I HOPE YOUR OK

By: hombiz
Blackmannen,

Asante kwa kuniunga mkono na kunipongeza 100% juu ya maoni yangu +ve juu ya nchi yetu Tanzania-ktk mada ya KUWAKUMBUKA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANZANIA.

Pia umegusia swala la kuandika mazuri na mabaya yanayojili nchini Tanzania ili kujua “rangi nyeusi na nyeupe” ktk kuchambua hali ya siasa na maendeleo ya Tanzania ktk safari yetu ndefu, na ngumu ya kulisukuma “Gurudumu letu la Maendeleo” Tanzania . Hapo nakubaliana na wewe 100% pia. Na naamini hiyo ndiyo imekuwa dhamira yangu siku zote.

Hata hivyo, umesema haupendezwi na kusifia vya wenzetu ktk nchi tulizolowea. Kwenye hoja hii, mimi naona siwezi kukubaliana na wewe. Mimi napenda kutoa hoja zangu kimataifa zaidi. Kwa maana hiyo, napenda kuzungumzia mazuri na mabaya ya nyumbani Tanzania , na kwingineko duniani. Na nnavyofanya hivyo, najitahidi kuwa wazi bila kuficha fikra na mtazamo wangu, kulingana na uelewa wangu, juu ya swala husika. Pia, kila ninapokutana na watu wa mataifa mbalimbali, hu-share mambo mbali mbali yakiwemo ya kiuchumi, kitamaduni na kijamii kwa kuwa mkweli na muwazi juu ya jambo ninaloamini kulifahamu kiufasaha. I believe this is one of the best ways to learn from each other.

Kwa watoto watanzania wanaoishi nchi za nje, mimi nadhani tuwafundishe juu ya nchi yao Tanzania kwa kuwaambia ukweli juu ya mabaya na mazuri bila kuficha. Na hii sio kwa watoto wa Tanzania peke yao bali hata watoto wa nchi nyingine duniani. Kwa mfano, ni muhimu sana kuwafundisha watoto kuwa kusema uongo, kutapeli na kuiba ni mambo mabaya sana yasiyokubalika ktk jamii . Hivyo basi hawapaswi kuyafanya hata kidogo maishani mwao. Wakati huo huo ni vema tufahamu, hatuwezi kuwaambia watoto wetu kuwa kufanya mambo hayo ni vibaya wakati sisi wenyewe tunayafanya kila siku. Tukumbuke kuwa watoto huiga zaidi yale ambayo wanaona wazazi wao wanayatenda kila siku na kuliko wasemayo. Samaki mkunje angali mbichi. Kama wazazi wanatabia ya kugombana kila siku, uwezekano ni mkubwa wa watoto wao kuwa na tabia mbaya mbele ya jamii. Hivyo basi mimi naamini kuwa watoto wakiona sisi wazazi, walezi (wakubwa) tunakemea maovu kama UFISADI kwa vitendo, nao watajua wazi kuwa hii ni tabia mbovu na haifai kuigwa hata kidogo na wataiogopa kama umeme wa radi. Na tunaposifia mambo mema, naamini itawapa watoto changamoto ya kujitahidi kutenda matendo mema ili jamii iwakubali kwa mazuri yao na kuwazawadia pale inapostahili na kubidi . Ni vema pia tukawahamasisha watoto kujisomea zaidi na kuwa watundu wa kutafuta maarifa ktk maktaba, internet, TV, Radio n.k. Hii itawafanya kujua kuwa unaposoma zaidi maarifa nayo yanaongezeka. Pia itawasaidia watoto kuwa wadadisi wa mambo mbali mbali yanayowazunguka ktk maisha yao ya kila siku. Let’s live through examples!

Kwa wadau mbali mbali wanaoingia ktk wanja la BC, “kama ulivyobainisha Blackmannen”,  wanakalibishwa kujionea mengi kujifunza, kuchangia, kurekebisha, kuelimisha, kukosoa hoja mbali mbali ktk kujenga sio Tanzania pekee, bali dunia nzima ambayo kwa sasa ni kama kijiji.

Long live BC with all it`s Blog memberz

That’s what’s up!

By: Simon Kitururu
Asante kwa mahojiano mazuri!

By: WABIKE
Vijana tuzingatie ujumbe. Wabike Iaty

By: Paul
Kweli  hii blog babu kubwaa. nimepata kusoma huyu shujaa ambaye nilikuwa nafikili atunaye tena. Asante kwa ujumbe Bwana Nyirenda, kwani tukizingatia hayo tutakuwa na mafanikio. Paul- London

By: binti-mzuri
ha ha ha..hii dawa ya migombaaaaaaaa aauu lol

By: BLACKMANNEN
Kwako Hombiz,

Kwa kile ulichoandika hapa, nakuunga mkono na kukupongeza 100%. Maoni +ve, juu ya nchi yetu Tanzania, ndiyo ninayokuwa nikiwaomba tujikite kuyaandika. Sio kusifia vya wenzetu katika nchi tulizolowea.

Mabaya ya Tanzania, pia ni muhimu kuyaandika. Hii ni katika kuonyesha “rangi nyeusi na nyeupe”, katika kuchambua hali ya kisiasa na maendeleo ya Tanzania katika safari yetu ndefu, na ngumu ya kulisukuma “Gurudumu letu la Maendeleo” Tanzania.

Lakini pia ieleweke kuwa, kila tunachokiandika hapa, kinasomwa na watu wa aina nyingi. Watu wa Mataifa mengine, wanasoma, wakitaka kutuelewa sisi ni nani, tunaokaa nao katika nchi zao. Au watu wa nchi zingine tunaoishi nao katika nchi hizo za kigeni, wanataka kutujua zaidi.

Watu muhimu kuliko wote wanaofuatilia habari za Tanzania, na wana hamu kujielewa wao ni nani, ni watoto wa Watanzania wanaoishi nchi za nje. Watoto hawa, ili waweze kuwa na maendeleo ya kiakili na kimaisha, kisaikolojia, ni muhimu wajielewe wao ni nani, kama Watanzania. Nafasi ya kwenda Tanzania, kujionea wenyewe nchi yao, ni ndogo sana, kutoka na hali halisi ya kiuchumi kwa Wazazi wao.

Kutokana na hali ya namna hiyo, ni jukumu letu Watanzania, watu wazima, kuwaelimisha vijana wetu, mambo mazuri na pia mabaya, yanayotokea Tanzania. Historia uliyoitoa hapa Hombiz, kwa kweli umenifurahisha sana, na ina manufaa kwa watu wote ambao walikuwa hawaijui historia ya Uhuru wetu na mashujaa wetu wa kututafutia Uhuru huu zaidi ya miaka 47 iliyopita. Hii ikiwa ni pamoja na vijana wetu wote, ndani na nje ya Tanzania.

Vijana wetu wanaoishi na kukulia nchi za nje. Tunawatisha sana tunapoiongelea vibaya nchi yetu Tanzania. Wanakuwa na picha mbaya zaidi kuliko tunavyoizungumza sisi. Hakuna mtu mwingine atakayewaelimisha kuhusu mambo mengi tunayoyaandika hapa, wanabaki na picha mbaya kuliko nzuri kuhusu Tanzania. Wanabaki na maswali yasiyokuwa na majibu wakati wote.

Hombiz, “dawa” niliyokuwa naitengeneza jikoni kwa ajili yako, sasa nitamnywesha ndugu yangu “Majita”, sijui ni kwanini. Lakini, na wewe nakushauri, “dozi” uliyokuwa umeitayarisha kuintasepti kombora langu, mpe “Frateline”-  mwanahistoria. Ili naye atuletee historia kama hiyo uliyotuletea wewe hapa, sio yeye, anatuletea bla bla za CCM.

Yeah!……It’s Always Great To Be Black………..Blackmannen