MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

valentino

Leo ni siku ya wapendanao duniani au maarufu kama Valentine’s Day.Ni sikukuu ambayo zamani ilikuwa ya “kimagharibi” zaidi kabla ya kuenea ulimwenguni kote.Sina mengi sana zaidi ya kuwaambieni wasomaji na watembeleaji wote wa BC kwamba tunawapenda na tunawatakia sikukuu njema.Enjoy!

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

7 Responses to “HAPPY VALENTINE’S DAY”

  1. Comment by BLACKMANNEN on February 14th, 2009 12:59 pm

    Mimi nawatakia “Valentine” njema” wanaBC wenzangu wote hapa. Nawaomba tuzidishe Mapendo na Maelewano. Tuheshimiane katika utoaji wetu wa maoni. Vidole vyetu vya mikono yote miwili havilingani kwa urefu. Kwa hiyo, tunapotofautiana katika maoni, tusiweke chuki mioyoni mwetu. Ni Tofauti ya mawazo tu.

    Cha maana zaidi ni kwamba, tuweke mbele “more love” na “under standing”. Vyote hivyo vikifuatiwa na ile kubwa yake RESPECT, katika kuelewa mambo. Mimi sijui wewe na wewe sikujui mimi. Juu ya nini chukia mimi?????

    This Is Him…… I mean The Great Black…. Blackmannen

  2. Comment by mwandiga on February 15th, 2009 7:44 pm

    Thanks Blackmannen maneno yako sheria,hats off to you dude.
    BC members ‘one love’.

  3. Comment by Mattylda on February 16th, 2009 3:10 am

    Jamani mimi ndo nimechelewa kuwatakia hiyo Happy valentine ila ilikuwaje???nasikia ni siku ya fumanizi Blackmannen unasemaje?

  4. Comment by mr degree on February 16th, 2009 7:34 am

    Mimi sijui wewe na wewe sikujui mimi. Juu ya nini chukia mimi????? ha! ha! haa! it sound like a chorus!

  5. Comment by kindo on February 18th, 2009 2:41 am

    Thanks Blackmannen. Nimependa mistari yako…”ukweli mtupu”…..Happy belated Valentine kwa wote.

  6. Comment by kelvino_h on February 20th, 2009 2:05 am

    wana bc valentine ilikuwa bombaa kwa upande wangu,lakin swala la msingi ni kwamba watu waliitumia vibaya siku hii,kama ndo siku ya ukimwi kuenea Tanzania basi ndo siku ambayo watanzania wengi waliambukizwa, so tuwe makini sana na ngonjwa hili wana bc

  7. Comment by sisterTZ on February 24th, 2009 10:33 am

    kaka yangu Blackmannen i love your comment..keep it up..Wadau happy very belated Valentine (better late then never au sio). Kwa kweli Valentine ilikuwa nzuri..Kelvino i agree with you kwamba Valentine ina mambo mengi sana (fumanizi,na waume za watu siku hiyo walikuwa ´safari za kikazi` kumbe wapo sinza gesti hii tabia ishindwe kabisa ect) otherwise kama unavyosema huu ugonjwa unaoitwa Ukimwi utatumaliza

Leave a Reply