maluwe

Majuzi wakati ulimwengu unasheherekea sikukuu ya wapendanao,mtangazaji maarufu nchini Tanzania,Michael Maluwe alihitimisha siku hiyo kwa kufunga ndoa na kipenzi chake Diana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi jijini Dar-es-salaam.

Pichani ni Michael na Diana wakati wa tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Sunset uliopo Mbezi jijini Dar-es-salaam.BC inawatakia ndoa bora yenye Baraka na maelewano tele.

Picha hii ni kwa hisani ya Father Kidevu ambaye kama unamuhitaji kwa shughuli yako unaweza kumpata kupitia simu yake namba +255 755 373999.

Feedback / Comments

29 Responses to “HONGERA MR AND MRS MALUWE.”

  1. Comment by mjanja on February 16th, 2009 10:22 pm

    mmependeza sana hongereni sana

  2. Comment by MapigoSaba on February 17th, 2009 1:02 am

    Shavu dodo!!

  3. Comment by Mattylda on February 17th, 2009 2:54 am

    HONGERENI SANA,kila siku kwenu iwe valentine sawa??mtangulizeni mungu kwa kila jambo!

    all the best!

  4. Comment by mr degree on February 17th, 2009 4:24 am

    alikua na kipindi chake cha michezo pale ITV, yeye alikua anatoa wacheza golf wa kihindi tuu mwanzo mpaka mwisho.sijui walikua wanampa mshiko ama vipi!

  5. Comment by Veila Nkya on February 17th, 2009 8:52 am

    Hallow Mr & Mrs Maluwe
    Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu Mungu awabariki kwa kila jambo mfanyalo.Sawa my dada Diana.Be blessed

  6. Comment by Josephat Ndulango on February 17th, 2009 10:17 am

    Poa sana Michael kwa kufanya jambo la busara na gumu katika kufikia kufanya maamuzi. Mungu aibariki ndoa yako na iwe yenye upendo zaidi. Ule utoto wa kigurunyembe uache kabisa.

  7. Comment by waooo on February 18th, 2009 1:52 am

    Hongera sana michael na bibie mungu awalinde msije mkatamani kutoka kama mimi ninavyo taka. the theory is true and has been proved that people who are in would like to get out whilst those who are out would like to get in. However, one group has lots of disadvantages than the other. Those who are in and want to get out know better the marriage secrects and they are safe or will be okay when got out, but those whonever have will go in no matter what> they do not know what is going on. keep up michael

  8. Comment by kindo on February 18th, 2009 2:49 am

    Congratulations na mmependeza sana! Ni vizuri kuwa wawili kushirikiana katika hii global financial crisis. God bless you.

  9. Comment by dan on February 18th, 2009 9:15 am

    Anafanana na Neema Mbuja!

  10. Comment by anita on February 18th, 2009 4:23 pm

    hongereni sana. na kikubwa ni we diana always mwanamke mwema huijenga nyumba yake yeye mwenyewe ucwe yule mpumbavu one… kinachotakiwa ni uvumilivu inawezekana hili neno umelickia sana mpaka limekuchosha lakini linamaana kubwa sana,,hivi ujifikilii we ninani mpaka mshakaji akawaacha wote tunaomuangalia kwenye tv kukicha akakuchagua wewe unafikili we unastahili sana au unafikiria shetani amelifurahia hilo nooo! sasa hapo kwa shetani ndipo yanakuja magumu uvumilivu unapo take place…kwa leo niishie hapa nimechoka na 9t shift, mungu we2 awabariki sana. wakatoke watoto kwenye kiuno cha michael na kwenye 2mbo lako, amen………………

  11. Comment by Kha on February 18th, 2009 6:24 pm

    Kha….this guy is hot..no joke!

  12. Comment by Jerome on February 19th, 2009 3:29 pm

    Aisee mmependeza.Kila la kheri

  13. Comment by kitumang'anuy on February 20th, 2009 12:52 am

    mmmmmmh kaka kitu mang’anyu tuseme nini sasa? ha ha ha ha ha haha ha ha h nazani hatajuta kukufahamu mmependeza

  14. Comment by kitumang'anuy on February 20th, 2009 12:56 am

    KAKA KITU MANG’ANYU,NAOMBA UMFANYE ASIJUTE KUKUFAHAM,MMEPENDEZA SANA

  15. Comment by kitumang'anuy on February 20th, 2009 12:58 am

    KAKA KITU MANG’ANYU MFANYE ASIJUTE KUKUFAHAMU TAFADHALI MMEPENDEZA SANA

  16. Comment by IMMA KISASI on February 20th, 2009 1:45 am

    hongera sana Mike,Mungu kakupa mke bora, hakika kakuchagulia kifaa, mhh!inaelekea ulisafa sana! nakuaminia.

  17. Comment by MIMA on February 20th, 2009 5:35 am

    4 God sake! Wat a beautful wife U gat? Hongera sana Brother.

  18. Comment by BLACKMANNEN on February 20th, 2009 6:57 am

    Kwa kweli mmependeza sana.

    Michael, tunataka kumwona Diana akiwa katika hali yake ya unene wa kawaida, kama anavyoonekana hapo. Amependeza sana.

    Unene wa kuvutia wa Diana unaweza kutoweka mara moja kama utamletea mke mwenzie. Na hilo utakuwa umefanya kosa lisilosameheka.

    No small house, no hawara wa kujirusha naye nje. Mambo yatakuwa mswano. Ushauri wangu mdogo kwenu.

    This Is Black=Blackmannen

  19. Comment by Simon Kitururu on February 20th, 2009 11:41 am

    Hongera Bwana na Bibi Harusi!

  20. Comment by Mattylda on February 24th, 2009 1:58 am

    Sina mbavu hahahaha eti najuta kukufahamu lol wewe Kitumang’anuy uko very funny lo!!!!!!

  21. Comment by toandra on February 24th, 2009 1:05 pm

    mwanamke diet ukiongezeka hapo unalo

  22. Comment by mafwedha on February 24th, 2009 7:00 pm

    hey nimesoma nae huyo shule ya msingi unmkumbuka ndosi

  23. Comment by mage on February 25th, 2009 6:04 am

    Hallow Mr & Mrs Maluwe
    Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu Mungu awabariki sana. Mkumbuke kusali siku zote za maisha yenu hiyo peke yake ndio itakuwa silaa yenu ya maisha. Diana mdogo wangu simamia mistari ya Biblia iwe ndio nguzo yako. Simama na mungu na yeye atasimama na wewe katika kila jambo. Nakutakia maisha mema ya ndoa.

  24. Comment by Zegembe on February 26th, 2009 2:18 am

    Nimewapenda sana, mmependeza na mnavutia.
    Nawatakia maisha mema marefu yenye amani na upendo daima.
    Nitawaombea mem siku zote za maisha yangu.
    Munge awabariki sana.

  25. Comment by vicky on February 26th, 2009 5:02 am

    eeh bwana eeh mmependeza mbaya.Maisha Mema.

  26. Comment by leah-moshi on February 27th, 2009 7:43 am

    mmependeza sana ila mike yule dem wako wa moshi umemwacha?dah mlipendezeana sana ila hata huyo ni funika mana ni bonge bonge so atoto watakuwa na mashav kama mama yao

  27. Comment by simona maluwe on March 9th, 2009 4:52 pm

    hello mr and mrs maluwe, i would like to wish you all the best in life and always love and cherish one another thru good times and the bad, like the vowels say…YOU HEARD ME.?
    from your one and only sis….love you bro

  28. Comment by simona maluwe on March 9th, 2009 4:54 pm

    hello mr and mrs maluwe, we would like to wish you all the best in life and always love and cherish one another thru good times and the bad, like the vowels say…YOU HEARD ME.?
    from your one and only sis and brother in law Jerry….love you brother

  29. Comment by CHAMMIE on July 10th, 2009 9:01 am

    YO GOT A BYTFUL WIFE MAN,,RESPECT HER!!!!!!!

Leave a Reply