
Pichani ni wabunifu wa mitindo ya mavazi Farha(kushoto) na Ally Rehmttulah(kulia).Picha hii ilipigwa na Mpoki Bukuku wakati wabunifu hao walipokuwa wanahudhuria onyesho la mavazi lililoitwa Lady in Red hivi karibuni jijini Dar-es-salaam.Ukitaka kupata vitu zaidi kuhusu kazi za Ally Rehmttulah unaweza kuitembelea tovuti yake kwa kubonyeza hapa.
Feedback / Comments
13 Responses to “WABUNIFU”
Leave a Reply


sending...
Vipi jamani kwema hapo
??
Are these two a couple or?They look real nice together.
They are so beautiful!
mr and mrs Obama…
wajameni,siri ya mtungi haijuae kata,kuna mambo mengine huwezi kuyaweka barazani humu BC,hashakum si matusi
Ohh my GOd she looks like my 7 years old girl friend “phine” but I guess they have pinked their bodies for the picture, and therefore nonetheless attracts. But, hey keep up your good work in fashion.
wewe unayosema she looks like 7 year daughter wach unafiki wewe wacha mapepe! mmependeza
mie mwenzenu nina reservation zangu kuhusu wahindi so no comments on this one..
Ameoa huyo?
salama wanaooa ni wanaume tu sawa?
degree unaposema wanaooa ni wanaume tu unamaanisha nini? kwani hapo wote ni wanawake
jamani hao ni mastar wasikae pamojaa? Mshaaza maneno du bongo kwakuchonga mala huyo yupo kama bint wa miaka 7 hahahaaaaaa.
qarol siri ya mtungi aijuae ngata!kuna tatizo hapo!