IJUMAA SEXIEST GIRL: NANI KUIBUKA MSHINDI?

uyowa2bc

Irene Uwoya

wemabc

Wema Sepetu

Kwa muda sasa jamaa wa Global Publishers,kupitia gazeti lao la Ijumaa,wamekuwa wakiendesha shindano lililojulikana kama Ijumaa Sexiest Girl.Kilichokuwa kinafanyika ni kwamba kila wiki mrembo mmoja alikuwa anatolewa baada ya kupata kura za chini kushinda wengine.Wapiga kura walikuwa ni wananchi,wasomaji wa gazeti la Ijumaa.Kulikuwa na namba ya simu +255 784 275 714 ambapo wananchi walikuwa wanatuma ujumbe mfupi wa maneno(SMS) wakimpendekeza msichana ambaye kwa mujibu wao anastahili kushinda.Jumla ya warembo 12 walishirikishwa katika shindano hili.Unaweza kusoma zaidi kuhusu shindano hilo kwa kutembelea tovuti ya Global Publishers na kisha katika Search andika Ijumaa Sexiest Girl.

Sasa baada ya mchakamchaka mzima,warembo wawili, Irene Uwoya na Wema Sepetu(pichani) ndio wamebakia na mshindi anatarajiwa kutangazwa Ijumaa ijayo. Inawezekana hukupata nafasi ya kupiga kura wakati shindano lilipokuwa linaendelea.Pamoja na hayo,hapa una nafasi ya kutoa maoni yako.Nani unadhani ataibuka mshindi?Kwanini?

 1. july, 24 September, 2009

  KWA MAONI YANGU MIMI NAONA WOTE HATUKA KAZI NYINGINE YA KUFANYA NDIO MAANA TUMEKALIA UJINGA TU SIJUI WEMA OOHH IRINE KWANI WANA KITU GANI CHA ZAIDI MBONA KUNA WAKULIMA WANAVUNA MAGUNIA ELFU KUMI YA MPUNGA NA WENGINE WANAFUGA MIFUGO KWA NJIA BORA NA ZA KISASA HAMUWASHINDANISHI ACHENI MAMBO HAYA HATUTAFIKA MBALI……..MIMI NA WAONA WAANDISHI Na nyie tunamashaka na elimu zenu…..

 2. maggie, 07 October, 2009

  irene,irene.irene

 3. hadija, 09 October, 2009

  wote hawana lolote’mzuri pesa tu’

 4. attt, 12 November, 2009

  uzuri wa mwanamke ni kujieshimu na ni mvuto kwa mwanaume.

 5. Munira Al-Marjibi, 07 December, 2009

  Wema ni mzuri na an umbo zuri sana, na mimi pia na shape, ningekua naishi huko labda ningeshinda kwa uzuri pia siwaficheni kikweli

 6. BABY JUNIOR, 15 January, 2010

  WOTE NYIE MAKALIO TU NENDENI ZENU, WAANZISHAJ MADA, WASHILIKI NA WACHANGIAJI WOTE HAMNA KAZ.

 7. francoiseiranyumva, 11 February, 2010

  habari nayishi hapo

 8. nelly, 03 March, 2010

  jamani nyie ni wazuri tena sana sana, tumieni uzuri huo for God’s glory guys..am happy to call you my sisters….God is grt…love you all guys

 9. tuyisenge, 03 April, 2010

  nataka tohonane kunimere nakupa imileyange
  tuyisengejackson39@yahoo.fr

 10. jackson, 03 April, 2010

  KWA MAONI YANGU MIMI NAONA WOTE HATUKA KAZI NYINGINE YA KUFANYA NDIO MAANA TUMEKALIA UJINGA TU SIJUI WEMA OOHH IRINE KWANI WANA KITU GANI CHA ZAIDI MBONA KUNA WAKULIMA WANAVUNA MAGUNIA ELFU KUMI YA MPUNGA NA WENGINE WANAFUGA MIFUGO KWA NJIA BORA NA ZA KISASA HAMUWASHINDANISHI ACHENI MAMBO HAYA HATUTAFIKA MBALI……..MIMI NA WAONA WAANDISHI Na nyie tunamashaka na elimu zenu…..

 11. avold, 15 April, 2010

  Hakuna,hakuna!!?

 12. munga, 22 April, 2010

  Katika ulimwengu wetu huu wa kisasa, mambo kama haya ni ya kawaida. Lakini, sisi kama binadamu na Watanzania. Mtu hutazamwa na kupewa heshima zake kutokana na kile alichonacho kichwani mwake – Busara zake mbele ya watu wengine.

  Sura na mavazi ya mtu, hayafai, iwapo mhusika hana busara katika mambo ayafanyayo na yale ayazungumzayo mbele ya wenzake na hasa katika kadamnasi ya Watanzania.

  Habari za dada zetu hawa, tumezisikia kwa muda mrefu na vitendo vyao mbalimbali katika maisha yao. Leo hii tunapoambiwa kuwapigia kura kueleza nani kati yao ni “Sexiest”, mimi naona ni mchezo wa kitoto na njia mojawapo ya kufanya biashara.

  Lakini pia sisi hapa wanaBC, tunao tayari “The Most Sexiest BC-Ladies”, tunaowapenda, kutokana na kuona comments zao nzuri hapa, zilizojaa busara. Bila ya kuwaona sura zao, lakini, tunawapenda na kuwaheshimu sana.

  Lakini kwa kuwa “Irene Uwoyo” na “Wema Sepetu” wameletwa hapa kwenye Mahakama yetu ya BC, ni muhimu kutoa mchango wangu kama Mzee wa Baraza la BC, na hasa nikitilia maanani maoni ya dadaangu Matyllda alivyosema hapo juu. Pointi yangu iende kwa kimwana “Wema Sepetu”, mbali na kupakwa matope mengi Wema na wana habari wa GPL, ili kumwinua Kanumba, lakini mimi namwona Wema, ni kimwana bora. Habari ndiyo hiyo kwa leo!!!

 13. tuyisenge, 27 April, 2010

  nitumiye kwahiyo imere

 14. charles, ghana, 16 May, 2010

  Irene is the sexiest girl in the whole wide world!!!!!!!!!!!!!Absolutely no challenger!!Just go watch her again in OPRAH

 15. Muhulo, 19 July, 2010

  Irene Uuwoya mwisho wa mambo she deserve the tittle

 16. SIKUDHANI KHAMIS, 20 July, 2010

  MH JAMAN UWOYA ANATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

 17. brian, 16 August, 2010

  irene yupo juu.

 18. dominiquemungalutumika, 18 August, 2010

  kwangu mimi nigisema kama wote wako juu
  wataibuka mshindi.kwasababu ni wazuri sana na nachangaa kwa nini awakuwatchangula

  BIS MUNGADOMINIQUELUTUMIKA la merveille

 19. Neema, 30 August, 2010

  Mmh!jamani uzuri wa m2 uko machoni pa mtu

 20. Neema, 30 August, 2010

  Uyoya anatisha ile mbaya hata avae nn anapendeza 2.

 21. dominiquemungalutumika, 31 August, 2010

  Niwazuri sana

 22. erick bernard, 01 September, 2010

  irene naku upgrad mbaya!we mkali zaid

 23. Bissam Mustapha, 15 September, 2010

  Uwoya anatisha!!!!!!!!!!! ana Mvutto anapendeza anavutia!!!!!!!!!!!

 24. Bissam Mustapha, 15 September, 2010

  Kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza, mpeni sifa zake jamani aliyejaaliwa kajaaliwa tu haina haja ya kubana.

 25. Qt G, 24 September, 2010

  Uwoya

 26. irene, 12 October, 2010

  irene ni nomaaaah…!

 27. kulsoom, 12 October, 2010

  Wema ni mkali sana especialy umbo na lips zake..

 28. mako, 19 October, 2010

  ukweli katoto wema yupo njema kimtindo!! tabia kidogo noma kama magazeti yasemavyo ila nampa 85 asilimia !!!

 29. sweet gal, 21 October, 2010

  kwakweli wanamvuto ila waandalizi wangetakiwa kuweka shindano ambalo lingeweza kuwasaidia dadazetu kujijenga kiheshima na si kujipotoshacoz amini hata kama ingekuwa nimm nimeambiwa na jamii nimzuri na ushindi wangu umechangia kwasababu ya mavazi na kujiweka kwangu uchi mbele ya jamii amini kama nilikuwa navaa nguo inafika kwenye nagoti basi nitaipandisha hadi kwenye mapaja ili nionekane mzuri zaidi.

  ila kamawaandalizi wangekuwa wanaangalia tabia namwenendo wa mtu katika jamii hii ingesaidia ndugu zetu kujijenga vizuri kitabia na kusaidia kizazi kijacho kisipuputike.

  waandishi jukumu ni lenu katika kujenga jamii fanya kazi ukipima je nikimkuta mtoto wangu anasoma gazeti ambalo linautupu ningefurahi au ungependa wewe baba mwanao wakike avae robo vazi mbele yako??????????

  jamii jibu mnalo tafakarini.

  ila hakuna mbaya duniani.nimtizamo wamtu.

 30. salum jumanne, 24 November, 2010

  Irene ndiye mkali,wema hana lolote huyo!!!!!!!

 31. abajaro, 26 November, 2010

  atakayehonga sana ngono kwa watu wengi ndo atakaeshinda, najua wote watatoa ila atakyemzidi mwenzake ndo huo huyo atashinda.

 32. musa juma, 01 January, 2011

  kiukweli Uwoya yupo juuuuu sanaaaaa.

 33. PURITY, 11 January, 2011

  mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh mi naona mmekosa kazi yakufanya kwani wote hawajatulia machangudoa.Angalieni ni jinsi gani ya kujenga TAIFA na kuweka maadili mema.

 34. prince, 04 February, 2011

  muwe na amaini katika mioyo yenu, YOU MUST AGREE TO DISAGREE.

 35. dominiquemungalutumika, 04 February, 2011

  hiiii hiiii

  hmhm misijuwi kwa nini muna jikoronga

  wote ni wazuri na wote wata chaguliwa kama kawa,
  musiwe nachaka, kwa iyo una tu gisi wako wazuri kama mapenzi inayo staree kwenye mulima Kilimandjaro hiihiiiihiii love you mamy do

 36. SAMSON CHRISS, 06 February, 2011

  HUO SIO UJINGA BALI NI MITKASI TU YA KUTAFUTA MONEY MJINI.NI KWAMBA MJINI HAKUNA SHAMBA LABDA KUWAIBIA WAJINGA.HATA KWA OBAMA ISSUES KAMA HIZI ZIPO,SIO UCHUMI 2,NDIO MAANA HAWA NAO WAMEIGA HUKOHUKO.MBONA MKIAMBIWA MCHANGIE MADA ZA MAENDELEO HUWA MNAISHIA KUILAUMU SERIKALI NA CO KUISHAURI?KUNA WA2 WANAOPENDA MADA HIZI MUWAACHIENI WACHANGIE KAMA MIMI VILE.NI MTAZAMO TU MSIJENGE CHUKI.

 37. FORTU, 03 April, 2011

  mmmmh! Uwoya anatisha so sexy keep it up!

 38. yustina nyama, 10 April, 2011

  Mmmmmmmh!
  jamani acheni kuponda hapo mmeambiwa mchague mtu mmoja nyie mnaaza kuingizia mambo ambayo yapo nje kabisa na maada, irene upo juu

 39. RICHARD GEORGE, 08 May, 2011

  DAAAAAA UWOYA YUPO JUU KISHENZ NINGEMPA MM NISINGETAMANI MALAYA YEYETO.

 40. nicolaus, 13 May, 2011

  MI BIG UP SN KWA UWOYA BUT NIKUKUMBUSHE SIKU ILE,PALE MILLENIUM TOWER STUDIO WAKATI KIJANA AKIKUREKEBISHIA PICHA HIZI KUMBE NDO ILIKUWA KAZI? POA!

 41. tom, 18 May, 2011

  Kiukweli m nampa shavu Wema n wa ukweli.

 42. naomi, 01 June, 2011

  kwa ukweli wote wazury, but wema nae moto mkali tatizo hajieshimu2

 43. florance hizza, 13 June, 2011

  wote hao ilkua zamani, sa iv con k2 coz wanaaply mchna, i mean wanajchbua na wanajdunga cndano, so they are no longer natural

 44. vesm e, 18 June, 2011

  wema ana lips nzuri na tako zuri
  irene ana matiti mazuri sana na sura pia

  mm huwa napenda lips kwanza hivyo naona wema amekuwa mshindi

 45. FORTUn, 20 June, 2011

  UWOYA NI MKALI! I ALWAYS ADMIRE U BABY GAL MUNGU ALIUMBA.

 46. wema, 16 May, 2012

  ukweli wema nimkali haswaa her voice

 47. nanzia mshana, 22 May, 2012

  uwoya anatisha ile mbaya mpeni haki yake.

 48. lily, 13 October, 2012

  uwoya ur de best in a
  ll way

  .

Copyright © Bongo Celebrity