
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu(pichani) na mwenzake aitwaye Asha Jumbe,wote wakazi wa Tabata Senene jijini Dar-es-salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na tuhuma za kuharibu mali.Kwa undani zaidi wa habari hii,bonyeza hapa.
Feedback / Comments
45 Responses to “WEMA ATUPWA LUPANGO!”
Leave a Reply


Kila mtu huvuna alichopanda. Bangi pia si sigara. Lakini mwishoe atapata msamaha wa Rais.
huo ugomvi wa kanumba na wema utaisha lini? sioni sababu mtu akifanyia unyama na wewe ulipizie sasa ona wema unaishia lupango na heshima ya umiss TX hakuna tena. Maana jamii unaifundisha nini. Ukitoka huko chuo cha mafunzo pamoja na kwamba hujahukumiwa nafikiri hutarudia tena.
hata huyo jamaa alitaka kumdhamini mumoja wapo nafikiri yumu katika wale wanao taka hawa warembo wasotee Lupango.
Ningefurahi kama Keko a jela kwa sasa tungewaachia watu wa EPA tu. kikwete angewasamehe watu wote na kuwatoa jela na kuingiza watu wote walioko kwenye chain ya ubadhirifu wa fetha Including my one time friend who I will never trust anymore-Ben Mkapa.
nini linatokea kwa macelebrity na walembo wetu! wao hili kubwa, nahisi wivu wa mapenzi ndio umesababisha hayo yote. mimi huwa nasoma blog saa tisa ya usiku kwa masaa yaa tanzania na huwa nakutana na habari nyingi za kufurahisha na kutisha lakini hihi ya mrmbo huyo mpya. trust me utakuwa ugomvi tu wa kimapenzi na mademu hawa walitaka kufanyizia. How comes wamekosa wadhamini au hata aliyetaka kuwadhamini alikuwa hana barua? mpya hiyo. je walitafuta mwanasheria? Wazazi wa wao wako wapi? ndugu na jamaa wako wapi au mula wote Kijana au mzee LUNDENGA yuko wapi. Najabu kumkumbuka huyo stephen kanumba???? nitatafuta file lake soon. Wema kama ulikuwa niongovi wa kimapenzi umekwama dear. Next time you will always remember that you all have learned a lesson. please find a lawyer and come down wema. Mzee sepetu huwezi kuachia hii kitu iendelee. Lsat itme nitoa ushauri wangu kwa TDI hakusikia na akaishiA JELA.
asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu na ulimwengu ni segerea.wewe kaka wa watu kumfanyia vurugu inahusu we si una maisha yako yake yanakushughulisha nini sasa kaimbe na papii huko msichana kwenda magereza aibu kwako na wazazi wazazi wako wanaheshimike mbona wewe mtoto unawavua nguo lakini wanaonekane wana doa mbele ya jamii.nenda kwanza huko ukapumzike.
Jamani me nakubaliana na wewe mwenzangu bangi sio sigara. Jamani huyu binti anahitaji counseling. Ni wazi amepoteza mwelekeo. Muhurumieni jamani.
Sijui hata niseme nini maana sijui chanzo hasa lakini nataka kumwambia huyu mrembo aache utoto wake,awe alivunja kioo/hakuvunja sijui ila wema ukue sasa angalia una….yea selo sasa na liyumba!
Ijumaa sexiest Girl!! teh! teh! Teh! Haya wanafiki mnasemaje hapo? mchangieni laki tano za dhamana si mmempigia kura ya kushinda nyinyi?
KUMBE UKO BONGO SASA NI MWENDO WA KUKOMOANA KAZI KWELI BADO MBICHI KILA KHERIII
Gari ya Kanumba? Inamaana Kanumba……………? Those speculations that they’re dating were rumours????!! Au its another RiRi and Chris Brown kinda of movie!
Mastaa wa Bongo bana……….!!!!
She ain’t the cup of my coffee though!
Aisee!she is too beautiful to be in jail.
Ebwana duh si mchezo ila jamani, haya ni maisha na hizo jela na mahabusu, zipo kwa ajili ya wanadamu, kwahiyo si kitu cha kushangaza, kwani uku Utaborani watu na miela yao, nisome vizuri apo sio’viela’ ni mijiefweza, wanalala lupango kama kawaida, kwani ivyo ni vitu vinavyo mzunguka mwanadamu katika maisha ya kila siku… na huyo Wema Sepetu ni binadamu kama sisi, kwahiyo mi naona kawaida sana tu. Labda huo msala ukiisha ata behave herself. Wangu msimamo.
yani kweli mshahara wa dhambi ni mauti sijui uzuri na jina unapoteza muelekeo wa maisha taifa linakutegemea family inakutegemea na maisha yenyewe ndo haya dada umepotea sana na mungu akusaidie huna future tena wewe na i dont think hapo ulipo una msingi wowote zaidi ya hilo jina linalo kuchafua kila siku at the time you will be wake up na muda utakuwa umeisha nenda huko kafunzwe usubiri msamaha wa Rais
Jamani huyo demu kazidi sasa hivi kila kashfa anayo yeye, hivi huyu wema kwa nini hataki kutulia maana kawa na tabia za kichangudoa sana kweli hawa mademu wanaojiona warembo ni pasua kichwa, mimi ninachoomba huyo hakimu wala asimuonee huruma amfunge tu ili akajifunze jinsi ya kuishi katika jamii ukiwa kama staa ili akome hiyo tabia yake.
Wema mwnamke mwenzetu umetia aibu uliishakuwa kinara sasa umejiabisha. Mema yote yakutoa msaada kwa watoto yatima hatuuoni tena. Umeishatia doa utokapolupango jirekebishe dada. Hivi nyie Mamiss kwa nini hamtaki kutunza heshima zenu? Unapata bahati ya kuwa kinara, unatakiwa kuwa kioo cha jamii, matokeo yake unajiabisha. KUMBUKA MANENO ULIYOWAUSIA WATOTO YATIMA!!! Acheni hizo!!!
Mi nampa pole sana Wema.ila haiwezekani kuna kitu mpaka kufanya hivyo si dhani kama kisa ni hicho tu.ila si hatujui wanajuana hao.
sijui huyu binti ana taka nn hapa duniani.dunia itamfunza.alijua yeye miss hawezi kwenda lupango???
POLE SANA WEMA. KWANINI MLIFANYA FUJO HIZO ZA KUPIGA GARI LA MWENZENU? POLE NDO HALI YA DUNIA
je?uharibifu huo wa mali ulitokeaje?
mara nyigi subira inavuta kheri, msichana mwenye nafasi kama yeye anatakiwa awe mfano kwenye jamii.nampa pole misukosuko mtu yoyote yaweza kumpata,rumande sio sehemu nzuri atajifunza kuwa mvumilivu kuliko mateso atakayo pata akiwa rumande.
Kiburi dalili ya maanguko,mwenye busara atairithi nchi.
bye , Lute
HEHEHEHEHE UMENICHEKESHA SANA KAFURA
ASIYEFUNZWA NA WAZAZI ULIMWENGU UTAMFUNZA
AMUULIZE TOP IN JAIL ATAMWAMBIA YALIYOMKUTA HIVI SASA ADABU MOJA LUPANGO SI MCHEZO.
MTOTO MDOGO KUWA NA MAMBO MAKUBWA NAMNA HIYO SI MKOSI HUU WAJAMANI.
WASWAHILI WANASEMA HIVI
NGOMA IKIVUMA SAAAAAAAAANA HAIKAWIII KUPASUKA
HABARI NDIO HIYO.
Katika kipindi kifupi kilichopita kumetokea
habari nyingi za wasanii na warembo kupatwa na matatizo tofauti,tatizo linalohitajika kuwepo na uvumbuzi wa kimaendeleo.
Hakuna zaidi ya kuwaombea na kuwapa pole
wote “Rose na Wema” katika hii “tuhuma” na kuongeza kiwango cha maendeleo kwa vijana wote warembo,wasanii na wana michezo.
mickey@mail-online.dk
Copenhagen
jamani hawa ma miss wetu ni wajinga…na huyo Wema Sepetu si nasikia anasoma Malasia ktk reputable university..sasa akirudi TZ ndio mambo anayofanya..stupid all of them
yaani hawa watoto hizi kesi zitawaharibia maisha yao..hawajua tu..wajinga sana..
Amezidi
Siku hizi kuingia lupango bongo rahisi rahisi… Sheria msumeno.
Miss top in Jail wakilisha dada kwani ukitoka najua itakuwa fundisho na kwa ma miss wengine wanaojifanya wababe wa tabia, ni poa kwani unapata experiance ya maisha tofauti ya kibongo. Ukitoka utatupa ishu hali ya uko ni gani.
She is a star! miss in Jail! mama mia absolutely wicked.
Jamani huyu kanumba mbona mshamba kama mwanamke hakutaki basi asilazimishe penzi la kwenda kumsweka Mrembo Wema kwa kusingizia eti kavinja kioo cha gari, huyo Wema sio mbeba vyuma mpaka awe na nguvu hizo za kuvunja kioo, kwanza Wema mwenyewe kukuangalia usoni ni issue ebu tuambiane ukweli jamanii eh!!!
Hi
BC Thanx A lot Msema Kweli Kwa Comment Zako Zilizoenda shule! Me Nadhani Kanumba ana mambo yake na co hilo kla kuvunja kioo! Yeye ana asira za kutoswa na demu then jamaa handsome kumzidi yeye kang’oa mzigo ndio maana inamuuma sasa ndo kaamua ngoja nimpeleke jela tukose wetu!
Wewe kanumba ebu tumia akili zako hata 0.001% ya ubongo wako kwani kitendo ulichofanya co kizuri me nauhakika c kweli kama wema kavunja kioo cha gari yako!
Pili Mzee Jumbe Umeshindwa kutoa Jiwe,Box tano kumpa bail wema,au mmefungwa wote? kama aujafungwa nakuomba mchange hela mumtoe mrembo wetu wema! Na Nyie haters co fresh kwani jela co kwa wema,TID na kina Liyumba ni kwa watu wote as long as unaishi ndani ya jamii lolote linaweza kutokea! kwani ulishawahi kufikiri kwamba Basil ataenda Jela?
Ni Hayo Tu-Wanaokwenda Jela co wote wana hatia wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa! Na Ndio kilichomkuta wema! Namuombea mungu atoke kwani laki tano co ishu kwao na atatoka aje kuwapiga fimbo mahaters!
Habari ndio hiyo! BYE HATERS U CAN C ME NOW!
Kidume kishafyoza Harafu kinatunisha misuri na Matusi juu kuwa yeye ndiye wa kwaza kuikuta Ha#$si kwa wema. Kamletea jeuri Akamtupa lupango. kweli mapezi hayana mzamini. shombo tupu hata kusikia habari zenyewe.
You spin ma head right round x2,when u go down, when you go down x2.
Holaa Is just a life Wema ukitoka tuwasiliane, nikupe uhamishi uje utulie na mimi uku Utaborani ukandamize ma good time.
Keep that… lucky is not cam twc.
well…hakuna cha reputable University….lol…kama UPSTAIRS kumejaa uji ndio hivyo maana yake…miye nafikiri majaji wa MISS TZ or whatever watusaidie kuficha aibu…MISS TZ anatakiwa awe a little bit intelligent….aelewe JINSI YA KUISHI KATIKA JAMII…maana ni kioo cha jamii….sasa ndio mambo hayo ya Wema….
….Inatia aibu na uchungu pia maana ni binti mdogo saana kuanza maisha ya Lupango…
Bless her…!!….Na kwa ushauri tuu…Wema tafuta mwanasheria ili akusaidie mambo ya mahakamani…
….thats what i think…stnad to be corrected…lol
Wema alitakiwa awe na upeo wa ku-scan ni wanaume wepi ajuhusishe nao…hapa sisemei mambo ya penzi….you need to be careful in choosing what kind of people u do socialise with…hii inasaidia saaan kuepukana na UNNECESSARY hassles….lol
…..kuna wengine ustaarabu kwao ni shida….na wengine ukimkataaa anakufanyizia…e.g kukuharibia your reputation ili kulipizia kisasi….
….hatuwezi jua kama kweli Wema alivunja hicho kioo ama laa….Ila my common sense inanipelekea kuhisi ni mchezo mchafu wa Kanumba…..
Ni mawazo yangu tuuu
Ningefurahi sana kuona msichana kama wewe kuwa mfano bora katika jamii ili jamii inayokuzunguka iweze kuiga mfano toka kwako hasa mamiss wanaotarajiwa.
Jaribu kuiga mfano wa Hoyce Temu.
Jirekebishe,badili tabia utaona mafanikio yake.
laki tano tu. mume mmesema anauza madini au unga? cna cha kuendelea, asiyesikia la mkuu huvunjikaa guu ndio hilo. Maana wki iliyopita nilisoma gazeti Wema ana bifu na mama ake kampokonya gari anaogopa kumpeleka polisi atapata laana ya mama. kumbe maneno huwa yanarudi? kajilaani mwenyewe. habari ndio hiyo.
She’s just a confused kid, anahitaji msaada wa wazazi/jamii ili ajitambue haiwezekani kila siku scandals yeye tu. Kanumba nae nimemdharau…I b’liv that a real gentleman can’t just send a lady to jail…hayo ndo maoni yangu.
Ujue nini @ mwanamke wa shoka (UK)nashindwa kuelewa hawa ma miss wanachaguliwaga kwa kutumia vigezo gani maana, wamejiachia sana kwenye press, kwa kufanya mambo ya ajabu ajabu, kama vipi bora wapumzike waachane na hayo mashindano, kwani jamani ata kushinda kwenyewe hakupo duhhhhhhh, lakini ngoja tu niishie apa maana, uo umiss unamambo, sasa ina maana hakuna ata m2 wa kumuwekea zamana jamani, kweli miss mzima anaenda lala lupango!! ndio maana unatakiwa uku duniani kuwa na marafiki wa kweli, mtakao juana kwenye shida na raha sasa inaonekana uyu miss hana marafiki kabisa jamani Ohh dear God bless her.
its amazing,kwa watu wanaomjua wema wataniunga mkono ni binti wa academia,huo umafia wa kupasua vioo kautoa wapi?ama kweli sijawahi sikia mwanaume mzembe km kanumba,ingefaa awekwe lupango for bing absolutely mzembe,na wakati anapasuliwa gari ye alikua wapi?alikimbia akaacha gari?alimkimbia wema?kanumba learn how to be a man!..
Nashangaa!,kumbe hata wanawake wanawish mwenzao akae jela.Hata kama kavunja vioo vya gari hiyo ilikuwa kesi ya kumaliza nje tu! haikustahili kumpeleka x-g wake selo as hiyo itasababisha chuki isiyoisha milele.Na nyie mnaojifanya mko perfect mjue kwamba mabaya anayoyafanya Wema ni ya kawaida kabisa kufanywa na msichana wa rika lake,tofauti ni tu kwamba Wema ni famous na magazeti yanauza kupitia scandal zake.Ila kilichonishangaza zaidi ni Wema kukosa mdhamini kwa masharti hafifu kama hayo.
people r just using u Wema.wamejifanya wanakutaka kwenye movie,maproducer cjui nini na nini,wamekutumia at the end of the day wamekuchafua.
Go back home mpenzi!Ur too young and beautiful to be in jail u dont deserve that at all.
Be care sana na wanaume si kila anakutaka anakutaka kwa mema,wengine wanakutumia ili wapate umaarafu.
Kingine umaarufu umekuponza.Kabla hujawa miss hakuna alikutafuta ukafanye movie!
U have time to make ur life.
Tafuta chuo usome!
‘Wadau mimi kwa kweli nashindwa kuelewa hii issue..huyu WEMA either ana tabia mbaya sana au kuna watu wamempania kumuharibia maisha yake pamoja na reputation yake…(namuonea huruma sana). Kuna mdau hapo juu amesema vizuri tu inabidi huyo binti apewe counselling au kitu kama hicho (ila hosia kama huo si unapewa na wazazi ndugu na marafiki sasa sijui huyo mtoto hasikilizi wazazi au wazazi hawaongei nae nashindwa kuelewa kabisa, maana mtoto mzuri na mrembo)..yaani nisikitika hizi scandal za mamiss namkumbuka sana Shose Sinare ambae mpaka leo hii hatujasikia scandal hata moja..young Miss jifunzeni ktk kwa walipita (wenye tabia nzuri). Maana mpaka sasa watu wengi wakisikia mamiss wanajua ni umalaya tu bec mamiss wenyewe hawataki kujiheshimu… kwa kweli huyo mtoto ni wakupewa pole
tuliza wenge mdada umaarufu utakupeleka pabaya haya sasa ona unaenda jail maskini pole sana
Hongera dada naona si wote wanaokuchukia wasamaria wameamua kukutoa. Lupango.
Wish you all the best in ur life na umtangulize mungu katika kila ulifanyalo.
One love
You are talking too much!!! Nonesense!!!!
Hi
BC
Kama Nilivyosema B4 kwao hio laki5 co issue mmeona mahaters kazi kwenu mtoto ndio huyo katia maguu uswazi haya Msiache Kuongea!
Chorus
Msiache Kuongea,Ongeeni Mnavyoweza
Na kila Mkiongea sifa Zinaongezeka(x2)
Lady JD
Msiache Kuongea,Ongeeni Mnavyoweza
Mwana FA
(eh eh eh eh eh eh )
Na kila mnapoongea sifa zinaongezeka
Verse(The Don..B..Sese..FA)
Nimewekeza miaka kibao kuwa hapa nlipo mwana
sikuzaliwa kwenye mali ilibidi kuangaika sana
sio mambo safi pua zangu zinanusa mkwanja
husler kama ali scooper natimba kila kiwanja(eh)
im the magnifical piga kazi za hatari
siogopi tena mkisema yote nimeshasikia tayari
Maneno hayawezi niua yanafanya niwe ngangari
Nasema ewala kwa kila kheri na shari wengi mmeferi
Mnatamani maisha yangu mnatani mmngekuwa mimi
mnatamani husle zangu,nawaona kama ndugu zangu
nawachukulia wenzangu,kumbe wenzangu mkikata kona
mnageuka maadui zangu,acheni uoga sio lazima uwe na hoja
Ni diss kama Inspector, Dandia treni kwa mbele msiojua
ndio mnavyotoka kifua changu kina mengi ambayo hamuwezi kuyabeba
Mikifahamu ninavyofikiri mtatamani kuniita babu….
E bwana Haters kazi ipo siongei sana nadhani
mwana FA kanisaidia njie msiache kuongea mtoto ndo huyo katoka! Kaza buti mrembo wema usikate tamaa,tafuta wimbo wa mwana fa utakujenga sana ,nimekuandikia verse hiyo ili iweze kukuinua ili uwe ngagari!
Love all! Its me Bob Sambeke!
FETTY , huyo binti mbona alishapelekwa Chuo huko Malaysia sasa wadau wanasema hapa eti aliacha sasa sijui ni kweli…kama aliacha ili aje kuolewa basi mimi nashindwa kuelewa anyway ndio mambo hayo mimi binafsi nampa pole sana..