
Hatimaye mrembo Wema Sepetu ametoka lupango baada ya kupata wadhamini.Zaidi tembelea hapa.Pichani ni Wema akipewa pole na rafiki yake.Pia ukitaka kujua zaidi kilichojiri mahakamani unaweza kubonyeza hapa ambapo GP wamefanya coverage kubwa zaidi.
Feedback / Comments
40 Responses to “WEMA ATOKA KWA DHAMANA”
Leave a Reply


sending...
Pole wema ndio ukubwa huo.. sasa yule mwenzake vipi? yeye kashindwa ama. Kanumba wasaaaaaaamehe weeeeeeeeweeeeeeeeeeeh.
Tayari huyo kijana jike kimeshakuwa kiteja huhitaji utalamu kuligunduwa hilo lakini huo ndio uchaguzi wake wa maisha ameamuwa kuwa na maisha kama hayo na hakuna ni wakti ndio utatueleza nini na wapi amefanikiwa au ameharibikiwa lakini akumbuke tu walikuwapo wengi kama yeye na sasa they have been gone forever
Haya mrembo, umetoka sasa, tulia usome ramani upya, na ujue marafiki wa kweli na wa uongo..Ila siku kidogo tu uso umebadilikaaaa!! naona na uyo kaka rasta anaoneka ana uzuni kweli!
Ujue Wema bado ni mtoto mzuri tu, wala usogope maisha bado yapo na bado unanafasi katika maisha haya, kwani hayo matatizo yote ni maisha tu, ipo siku utayasahau yote.
Mimi nakutakia maisha mema na yenye baraka tele. Ukiona wanakuboa sana, nistue nije nikuchukue tuje kuishi uku dunia ya kweli, nikuingize ucheze ma movie na kina Katie Winslet au kina Nicole Kidman.
WEMA Unatia aibu.Yaani Umeshafikia hatua ya kumzarau mama yako mzazi pale mahakamani Mpaka wametumia nguvu kukupandisha kweje gari iliurudi nyumbani kwenu upumzike walau kwa siku chache. tunajuwa upo kwenye ndoa lakini haina haja ya kuonyesha kibuli kwa mama yako mbele za watu. maana huvumiliki mala kwa mala scandal mbaya zinakuangukia wewe tu acha upumbavu. hilo Dope analokupa huyo Jumbe ni kali sana huliwezi wewe. mwambie akubadilishie vuta japo kijiti cha morogoro,na kama hutaacha kuvuta kijiti naamini kabisa ipo siku utakuja Kumpiga makofi mama yako.na hapo ndio itakuwa the End of………
wewe mzee wa ££££ usilete u-shololo hapa. Toa point za kichwa. Wema Sepetu utawezaje kumpeleka kiwanja wakati wewe mwenyewe unabeba box huko?
Duuh! Sio siri. Kwenye hii picha wema anaonekana kama crack-head. I hope hajageuka teja huyu mtoto! Astakafululaaah!
So she has come out of jail? Good but has she learned any lesson whilst in there? I doubt not, she doesn’t look bothered at all. She is got that diva look, which tells all about her, and I bet you by the time this got out of your mind, she will do another one similar thing. That is her ‘thing’. My psychology tells me she is an attention seeker girl, and I think she planned it and therefore she is guilty even in her own belief. But she will not bother. Would you be stunned to hear that jail is now becoming a cool place where people/celebrities will want to go at least to spend a day or a week whilst sympathizing or publishing their whereabouts?
In fact where I live if you are tired of renting houses, having no one to talk to, paying bills, buying food, having no computers at home for playing games you want, and also tired of wake up and go to work life all you need to do is to do one little thing, which, if convicted will keep you in jail where you will have free meals, playing basket ball, football, weight lifting, and all sort of games and you don’t need to worry about anything rather your sleeps. However I have reservations if the same is in Tanzania and this is why I would like to ask this young lady ‘what is wrong with u’? Why fighting for nothing? And also why “choosing to end up your anger that way”? You could stand at ubungo, tazara, magomeni, or mwenge junctions and scream harder and yet be heard-please. What happened to working out things without having to bear this sort of yelp-yelp?
Sakata la Wema, Mtazamo wangu
Katika sakata la Wema Sepetu, nimesoma maoni ktk sehemu mbalimbali, kwa Michuzi, na magazeti mengineyo, na pia kamati ya Miss Tanzania.Katika maoni ya wengi hoja yao kubwa ni kwamba Wema ana matatizo ya “akili” kwa sasa, na anatakiwa apewe msaada wa akili, kisa kupendana na kijana Jumbe.Hapo mimi nakuja na hoja zifuatazo:
1. Mila za sisi watanzania ktk suala la mapenzi na ndoa. Inapokuja suala la mapenzi na ndoa, suala la hela, uchumi linapewa sana kipaumbele.Kila binti anapotaka kumtambulisha mwanaume wake ampendaje ili aje kuoana naye hapo baadaye, wazazi na ndugu jicho lao kubwa na swali la kuuliza kwa binti ni je, huyo mwanaume anafanya kazi gani???Hapo lengo ni kutaka kujua kipato tu, tusidanganyane.Na pindi binti asemapo mwanaume wake anafanya kazi mfano benki, au ni mwanasheria nk wazazi na ndugu na jamaa huwa na furaha flani, hata kama wasiposema wazi…na endapo mwanaume wake ni “kayumba” flani hapo mgogoro unakuja, hata wazazi na ndugu na jamaa wanakubali shingo upande.Hiyo mimi ninaiita ni ECONOMIC DISCRIMINATION, Ubaguzi wa kiuchumi. Sasa nikija ktk sakata hili la Wema, Wema wakati ana mahusiano na Kanumba, sikuona mtu aliyenyoosha kidole, si wazazi wake, si kamati ya Lundenga wala ndugu zake…mimi naona ni kwakua Kanumba ni maarufu na amerekebisha life kwa namna moja au nyingine.Na ninaamini kabisa wazazi wa Wema na ndugu na marafiki zake wangependa aidha Wema aolewe na Kanumba au mtu wa status ya juu kiuchumi au kiumaarufu.Pia sikuwahi sikia toka kwa kamati ya miss Tanzania ya Lundenga wala ndugu na marafiki wakilaumu, wakiponda khs uhusiano wa Faraja Kota na mbunge wa Singida hadi kuja kufunga ndoa. Sasa kwanini suala la Wema na Jumbe limezua utata??Na kwanini maoni ya wengi yanaelekea kuonesha kuwa Wema kachanginyikiwa??Je Wema hana haki ya kupendana na watu wa “kawaida”??Hapa watu wamependana na ni haki yao, wazazi na ndugu, jamaa tuwaache kwani wao wameamua kuwa pamoja, si zama za mzazi kumkomalia mtoto etu aolewe na mtu Fulani.Hivi Wema angekuwa kapendana na Ridhiwani Kikwete nani angesema Wema kachanganyikiwa??Naamini mama yake angekuwa ni mtu wa kuanika meno na kushangilia.Sasa mzazi unapomlazimisha hadi kupanda garini, kwenda kumfungia ndani, je akinywa sumu mzazi si utakua umehusika ktk kifo chake??Kisheria utakuwa huru, sijui, ila nafsi yako itakua inakuuma kila siku, mwenyewe unaona kama umesab abisha kifo tu.
2. Uwezekano wa Wema kuwa mjamzito, Mimba. Mimi si daktari..ila nashawishika kusema kutokana na hali iliyopo ya Wema kukatazwa na kulazimishwa kuachana na Jumbe, na tayari kaishatangza kuwa wanapendana na yupo tayari kufa kwa ajili yake….kwa wote wawili Jumbe na Wema, moja ya silaha ya kudumisha uhusiano wao ni kupeana mimba.Na Wema hatokuwa tayari kuitoa mimba hiyo..kama atakua anayo, ili kuweka mapenzi yao yaruhusiwe na wazazi wake.Tofauti na hapo wataachanishwa lakini watakuwa ni wazazi, hivyo kuwa na mawasiliano maishani mwao kote.Hili linakuaje??
3. Suala la kuponda kuwa Wema bila make up ni msichana wa kawaida. Mi nadhani binadamu yoyote bila make up hana lolote lile.Wewe acha kuoga wiki moja, na kula vyakula vya “hovyo”, kuwa na matatizo, msongo wa mawazo ni lazima upauke tu.Wema alikua gerezani, kila mtu anajua gerezani…mahabusu huko chakula kikoje, anakuwa na mawazo tele, kuoga ni kwa ku-beep inakuaje hapo. Liyumba mwenyewe mlimuona wakati yupo huko, ila alipotoka kwa siku mbili tatu kwa mdhana siku aliporudi mahakani aling’aa kinoma na kucheka kukawa kawaida.Hii ni sawa na kusema Mchezaji wa soka kama vile Ronaldo au Messi asifanye mazoezi itakuaje??Atakuwa kimeo tu naye, kwa mchezaji mpira, mazoezi ndio make up yake.Hivyo hoja zingine ziwe zinaangalia muktadha kwanza.
4. Suala zima la umiss. Kwa Tanzania hili limekuwa tatizo kubwa sana.Ma miss wetu, wengi wao hawana ujuzi mbadala au kazi Fulani kabla ya kuingia ktk u-miss huo.Na hata wakishakuwa ma-miss hawana kitu cha kufanya hasa muda wa taji unapokwisha.Hivyo kupata kwao kipato wengi wao ndio kuingia matatizoni.Ukichukulia mtu kama Anjela Damasi, Jokate Mwegelo huu ni mfano wa wachache tu…..utaona wamekuwa ni miongoni mwa ma-miss wenye mambo ya kufanya.Wamekuwa ma-miss aidha kipindi hapo vyuoni, mfano Jokate sasa ni mwanachuo UDSM, Anjela alikuwa mwanachuo pia, hiyo inafanya mtu uwe na kufanya nje ya masuala ya urembo.Hata kwa wenzetu ughaibni, ukiangalia profile za ma-miss wengi utaona huyu ni mwanasheria, mwingine daktari, mwingine mwalimu nk.Hii inawapa mambo mengi kufanya.Sasa kwa kamati ya miss Tanzania iwe inaweka project za msingi, sio tu kwa miss kwenda kugawa vyandarua hospitalini iwe na mambo mengine zaidi ya kumuendeleza miss huyo.
Note: Kuhusu zawadi ya Ijumaa Sexiest Girl.Hii imeshaingia kizungumkuti.Maana kura zilikua zimeshapigwa na mshindi atangazwe wiki iliyopita kama sijakosea, ila wakasema oohh sijui wanaweka mazingira mazuri ya kumtangaza mshindi, mazingira gani??Nashawishika kuwaza inawezekana SWema kashinda ila ndio hivyo anatakiwa kupigwa chini apewe Irene.Kama unaweka mazingira mazuri ya kumtangaza mshindi, kwanini kura ziendlee kupigwa tena, hii inaweka mazingira Wema baada ya kutoka selo, aonekane kachoka na zawaid apewe huyo Irene.Weka mambo wazi
Hayo ni maoni yangu
MAKULILO Jr,
West Virginia, Marekani
http://www.makulilo.blogspot.com
So she has come out of jail? Good but has she learned any lesson whilst in there? I doubt not, she doesn’t look bothered at all. She is got that diva look, which tells all about her, and I bet you by the time this got out of your mind, she will do another one similar thing. That is her ‘thing’. My psychology tells me she is an attention seeker girl, and I think she planned it and therefore she is guilty even in her own belief. But she will not bother. Would you be stunned to hear that jail is now becoming a cool place where people/celebrities will want to go at least to spend a day or a week whilst sympathizing or publishing their whereabouts?
In fact where I live if you are tired of renting houses, having no one to talk to, paying bills, buying food, having no computers at home for playing games you want, and also tired of wake up and go to work life all you need to do is to do one little thing, which, if convicted will keep you in jail where you will have free meals, playing basket ball, football, weight lifting, and all sort of games and you don’t need to worry about anything rather your sleeps. However I have reservations if the same is in Tanzania and this is why I would like to ask this young lady ‘what is wrong with u’? Why fighting for nothing? And also why “choosing to end up your anger that way”? You could stand at ubungo, tazara, magomeni, or mwenge junctions and scream harder and yet be heard-please. What happened to working out things without having to bear this sort of yelp-yelp?
pole WEMA,
But nakushauri sasa utulieeee,na kama unaweza jipange urudi shule au tafuta kazi ya maana ufanye.Thats life.
Makulilo Jr chukua 5 BOB Umeongea kila kitu yaani hapa nimekaukiwa maneno kwakweli!ila kitu kimoja naongezea hapo.
Wema anastahili ushauri wa ziada sio bure huyu mtoto pamoja na kuwa anahaji kupenda kama sie wengine lakini kazidi!!
Jingine kwa Kanumba na yeye anatakiwa akue pia!!!!!!!!!!!!!!inakera!
Unajua mengi yatasemwa. Ni kweli Wema anahitaji kusaidia. LAKINI JAMBO KUBWA AMBALO WENGI WANASAHAU KWA MAKUSUDI KULIONGELEA HAPA NI LA HUYU FALA KANUMBA. Kanumba na yeye si mwanamume kamili. Katika mapenzi kuna mambo mengi hutokea hasa pale mnapokosana. Na haya yametokea kwa wengi sio kwa Kanumba na Wema. Ila kinachohitajika ni busara. Kuachana katika mapenzi kunaumiza sana na watu wengi hasa wanawake huwa wanashindwa kujua washughulikiaje hayo mateso wanayopitia. Naomba nieleweke sisemi tabia aliyoonyesha Wema ni nzuri. Ni nachosisitiza hapa kutoa nafasi kwa busara itawale maisha yetu. Nimeshashuhudia mwanamke mmoja akitaka kukata kengele za mpenzi wake eti bora wakose wote. Lakini huyu mwanamke namjua katika maisha ya kawaida ni mtu wa busara sana. Na mpenzi wake hakumpeleka polisi na sio kwasababu alikumbuka busara za mke wake kwenye maisha ya kawaida lakini vilevile alijipa nafasi yakutathimini kwa kiasi gani na yeye amechangia katika kuchafuka kwenye mahusiano yao ambayo wote na hasa mke wake aliwekeza (invest) kwa kiasi kikubwa.Hakumpeleka mke wake polisi . Sembuse hicho kioo cha gari jamii ya kitchen party car. Kanumba amekuwa sio mwanamume kwenye mahusiano kama ambavyo Wema amekuwa. Kama mimi ningekuwa natoka na huyu FALA sahizi nafikiri ningetoka nduki kama vile nimefumaniwa. Kwasababu yalitokea kwa Wema yatatokea kwa msichana mwingine yeyote anaye date naye. Huyu jamaa si mstaarabu kabisa. Kanumba tumia busara na ukaifute hiyo kesi au la na wewe dunia itaja kukufunza busara kama ilivyochukua mkondo wake kwa Wema.
Oya chalii angu we Mzinguaji, unafikiri kila mtu aliyeko kiwanja kwa fikra zako anabeba boks?? umechelewa pole sana chalii anguu. Kama wewe unabeba boks ni wewe, mi nampa ushauri mtoto wa kike, akina bongo wana mboa anipe buzz ni mtie kiwanja, ata wewe ukitaka poa 2. Chalii angu unakaribishwa
Jamani, Mr. Makulilo amejitahidi kuangalia mbali katika swala zima la huyu dada yetu Wema ‘Isac’ Sepetu.
Kama nitakuwa na kumbukumbu nzuri za huyu mzee Isac sepetu, amewahi kuwa na nyazifa mbali mbali katika serikali zetu zotye mbili nikimaanisha ya Muungano na ya Mapinduzi Zanziabar akiwa kama Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, amewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Urusi miongoni mwa nchi kadha, mbali na hapo huyu mzee kama isingekuwa mambo flani flani leo hii angekuwa Makamu wa Rais, kwani katika mchakato mzima wa kugombea urais huyu mzee alikuwa mgombea mwenza wa rais wetu wa sasa ‘JK’kabla ya kubadilishwa kwa kuzingatia kuwa Mh. Shein bado alikua na uwezo wa kuendelea katika nafasi hiyo kwani wangemweka ktk nafasi gani kama wangemtoa!
Sasa swala zima hapa ni maadili, huyu bintyi anaonyesha madili gani kwa jamii? anaiweka familia yake katika nafasi gani kwa mambo yake machafu (nikimaanisha kuandikwa ovyo katika vyombo vya habari?)
Ni haki kabisa kwa kanumba kufanya hivyo, haijalishi kuwa hiyo thamani aliyoitaji ni sahihi au la! Hivi majuzi tuu tumesoma katika gazeti la Majiras jinsi mtoto wa naibu waziri alivyompiuga muuza mihogo pasi na sababu na swala hilo limefumbiwa macho. Tumekuwa tukisikia watoto wa wakubwa wakitishia amani kwa watanzania wenzao na wengine kufikia hatua ya kutumia silaha za moto, je swala hili linachukuliwa vipi?
Je! ingekuwa kanumba ndio aliaribu mali ya Wema, leo tungekua tuna hadithia nini!
Hakika mzee Isaac Sepetu hakushindwa kulimaliza hili swali tangu likiwa kituo cha polisi magomeni, ila kwa mtizamo wangu alimwacha ili ajifunze kuwa na maadili mema.
Kwa leo ni hayo tu mjomba.
MAKULILO, Uliyo sema ni kweli lakini Ujuwe kuwa Uchungu wa mwana Aujuae? malizia mwenyewe.
1. Wema kashakua Teja yaani ile kinoma dope ndio usiseme kelele zote hizo unazosikia kutoka kwa wazazi wake ni kubadilika ghafra kwa tabia ya mtoto wao. Wema wa jana sio yule wa leo ndugu yangu wazazi lazima wawe wa kwanza kukemea maovu ya mtoto pale wanapona anakwenda kinyume na tabia yake.
Asipo rekebishika ndipo Usemihuu Unachukuwa nafasi yake (Dunia hadaa Ulimwengu? maliza wewe.
kama Miss Bongo nini anachoifundisha jamii hivi sasa na haswa mabint wanaotaka kufata nyayo zake?
Wema amefanya scandal nyingi chafu amefikia hatua ya kumsema mama yake kwenye vyombo vya habali eti Mama ananinyima gari yangu sasa huwo kama si wehu kitugani. Hainingii akilini eti kuwa Mama yake wema anataka kumgeuza Wema kuwa Kitega uchumi wake ikiwa huyo mama ana biashara zake mwenyewe zilizo mfanya wema Alelewe vizuli asomeshwe mpaka kufikia hapo alipo.
kama kweli unafuatilia hayo magazeti unaweza kukumbuka pale Miss.Irene Uwoya alipowaalika wageni kwenye Birthday yake na baada ya kwisha ile sherehe mama yake Irene. Alisema nini? alikuwa mkali kwakutaka kujuwa wapi alipo kwenda mwanaye.
2. kuhusu ndoa zipo zaaina mbili kuna Love marriage, na arrangements marriage, kuna kujichagulia mwenyewe Au wazazi wakuchagulie sasa Alichofanya Wema ni Love marriage hili sidhani kama Wazazi wana pingana nalo ila kuna baadhi ya vyombo vyahabali vinadai hivyo na Mda si Mrefu Jamaa ataanza Kumshindilia Mzigo asafirishe.
Na madai eti kanumba yupo njema ndio maana wazazi wamemmaindi hiyo si kweli Kwa wasanii wa bongo wote mlemle tu Ila dadazetu wanababaishwa na majina kama unavyojuwa tena nimetembea nafurani kwake ina kuwa ishu ya kutosha.Peace.
kubalini au kataeni lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya Umiss na bangi,pombe na Umalaya so nashangaa watu wanavyomshangaa huyo binti wakati waliomtangulia(ma miss) wanafanya upuuzi zaidi ya huo wa kuvunja vioo vya magari!
pichani wema alivyomshika teja wake ni kama anaonekana anaigiza kwenye filamu alizofundishwa na kanumba!
MAKULILO kwa kweli umeongea point..ku compliment tu mawazo yako kwamba hawa ma miss na pia wandaaji wa Miss Tanzania inabidi wabadilike na siku tutoe miss ambae anaheshima…maana wengi jamani hawa mamiss ni wajinga sijui kwa nini..
na vile vile ukiosoma hii story ya Wema…kama mzazi ni kweli hautakubali mtoto wako ashiriki ktk hizi miss fake ambazo watoto hawajifunzi vitu vya maana but umalaya, scandal na kutotaka kwenda shule kwa ajili ya maisha yao… Mimi nilikuwa sijui kumbe huyo WEma ameolewa na Jumbe tobaaaaaaaaaaa. Yaani huyo WEma kaacha shule huko Malaysia anaona shule ngumu, yeye alidhanni ndoa ndio rahisi?? Wadau huu sio utoto bali ni ujinga na mdogo wangu hiyo shule yako ya Malaysia kuna siku utaikumbuka na hautaweza kurudi huko). kilichobaki ni maombi tu hapa hamna jingine..
‘Komenti’ za Sofia hapo juu ni za mfa maji na huonyesha mtu asiyejiamini na kujishusha. Mali ya mtu ni mali ya mtu dada hata kama ni chupi kama hiyo uvaayo wewe bado ni mali yako hakuna ruksa kwa mtu mwingine kuishusha thamani kwa vitendo vyovyote vile. Kitendo alichoonyesha Wema hakikuwa kwa gari tu bali kwa Kanumba na jamii nzima. Huyo Wema anaonyesha jinsi gani jeuri za watu wasiostaarabika zilivyo. Kama Kanumba angebaki tu bila hatua alizochukuwa asingekuwa mstaarabu hata kidogo maana angevimbisha vichwa vya apuuzi wengine kama Wema ambaye hata haendani na jina lake. Dada Wema na Sofia unayemtetea hamuitendei vyema jamaii ya watu waliostaarabika. Matendo yenu yanastahiki tu kwenye jamaii ya wapuuzi kama nyinyi.
Wema keshaungia uteja, angekuwa na akili zake timamu wala asingemfungia safari kanumba na kumvunjia kioo, ila kwa vile aliamua kwenda kumpiga na kumvunjia kioo ina maana alikuwa na nia mbaya ya kumuaibisha mpenzi wake mbele za watu kuwa amepigwa na wanawake can you put yourself in kanumbas situation? unakuja kuvamiwa na wanawake wawili kupigwa mbele ya wanaume wenzio what a humiliatio?
Vitendo anavyo vifanya ni dalili zote za mtumia madawa huyo jumbe amemharibu mtoto wa watu ndio maana mama yake anafanya juhudi zote binti yake asizidi kuwa mwehu.
Kwa kanumba ulichemsha ulipoanza kuusikilizia usupa staa wa bongo moyoni, kuwa kama ulivyo kuwa zamani. Siku hizi kila birthday party za mamiss umo. Ulichofanya kwa kumshitaki wema ni kwasababu alikushambulia na si kuwa una chuki binafsi wala nini kwa mtazamo wangu mimi.
Mwisho kabisa Wema apelekwe rehab kabla hajatutembelea kama alivyozaliwa barabarani na Kanumba unatakiwa ungalie upya mustakabali wa maisha yako kama unavyojiita the great. Ni bora ugreat wako ukasaidie watoto wa mtaani na yatima kuliko umaarufu wa kijinga na kukushushia hadhi. So far sijawahi kusikia umeisaidia jamii kwa umaarufu wako zaidi ya upuuzi so grow up!
siri ya mtungi aijuaye kata,nawapongeza senior,makulilo jr na wengine.mzee ££££ usijali watu wanadhani wote tuliokuwa huku ni wabeba mabox,wape pole ila wakumbuke,tunasoma,tunakula,tunasaidia familia kwa hili BOX.
kuhusu kamati ya miss TANZANIA kubadili mfumo wa uchaguzi wa washiriki,nakubali ila kusema ukweli umalaya ni tabia ya mtu,mbona kunamamis wengi tu wanavisomo vyao ila ni malaya sana na wengine malaya wa kichini chini?hawaridhiki na wanachokipata,na mamiss wengine makwao wanauwezo wanapewa kila kitu ila bado malaya?
nafahamu mapenzi ni hisia mtu alizonazo kwa ampendae,ila mi ushauri wangu kwa WEMA,arudi nyumbania atulie,akae aombe msamaha kwa wazazi wake kwa lolote baya alilotenda kwao,ajiepushe na marafiki wabaya,amuombe MUNGU,amsaidie katika kipindi hiki kigumu alichonacho na mambo yakika sawa baada ya muda awaombe wazazi wake arudi shule,akasome.sababu yeye bado ni msichana mdogo na ananafasi ya kujirekebisha na kuwa mfano katika jamii.js the matter of time.wanaume wapo,huyo jumbe kama kweli walikuwa wamepangwa kuwa pamoja watakuwa tu bt kama haikupangwa atagombana na wazazi wake na watu wote cz of him.kaa tulia mama.
Mhh!!! Pole yake huyo Wema Sepeto, mtoto wa kike huyu anahitaji ushauri sana, huu umaarifu wanaopewa bila kutarajia unakuwa unawabomoa sana tu. Lakini najua kutakuwa kuna ki2 kati ya Wema na Kanumba. Akome, kwani si alishaolewa huyo? sasa anahangaika nini?????
Shule ndio mkombozi wa maisha yake.
Asteria Tm, mdau hapo juu..kwa kweli umesema cha maana -shule ndio ukombozi wa maisha-. Huyo Wema mbona mimi nasikia anasoma Malaysia?? Au ndio shule kaacha ili aje kuwa na huyo mwanaume..hivi hawa watoto akili wamepeleka wapi jamani?? Aibu kwa mzazi wake jameni…ila kwenye hii picha anaoneka amechoka..kwa kweli sara ndio zitamsaidia
Haina noma kamanda wangu Watubwana, si unajua kuna ma chalii wanajisahau, wanafikiri kila aliyeko kiwanja mbeba box, hawajui kuwa watu wako busy na mambo yao, na ata kama ni box, si box kama box la kibongo. Uyo dada etu wajanja washa mtumia sana iliyobaki apumzike tu asome ramani upya mbona maisha bado ya kumwaga, akiamua kubadilika.
Mimi nampa pole sana mama WEMA,mama ni mama kwa mzazi yeyote yule iwe baba/mama lazima utakuwa na uchungu na mwanao,nimesoma kwa michuzi watu wanasema mamake wema alitakiwa amuache mwanae ajichagulie what life she want,kwakweli nimesikitika sana,mimi ni mzazi natambua umuhimu wa mtoto hasa wa kike,asipopata elimu ya kutosha hasa nyumbani na ktk jamii basi atasumbua walimwengu kama si kukuaibisha mzazi.
Ameolewa na jumbe ni sawa mapenzi hayachagui masikini wala tajiri mradi upendo wa dhati je aliolewa kwa ridhaa ya wazazi??ie.anabaraka za wazazi wa pande zote mbili?au ni internal force za penzi analopewa na jumbe ndo zinamfanya ajifanye kadata??jingine mume alomuoa (jumbe) kashindwa kumtolea dhamani mkewe na dadake inaingia akilini kweli???hana ndugu huyo jumbe?walishindwa kufanya table of discussion pande zote 2 za familia ili wawatoe warembo selo???picha nayoipata hapa ni kwamba hawa watu wamejiozesha tu bila ridhaa ya wazazi wa pande zote mbili!
Pili mama wema kajikakamua kwenda kumtoa mwanae halafu mtoto anatoka selo anamkimbilia mwanaume?????hata ningekuwa ni mimi mama wema ningetafuta extra power ili kuondoka na mtoto wangu i swear ili tukamuwekeee kitimoto hasaaaa tena this time itakuwa ya ukoo ili tujue kama mtoto anatusikia wazazi au la!!!!!!!NAKUPONGEZA MAMA WEMA KAZANA USIKATE TAMAA MPENDWA MUNGU ATAKUSAIDIA KWAKWELI MTOTO WAKO ANAHITAJI UPAKO!
Wema wazazi wake wanampenda tatizo ni hilo la kutaka kujionesha mrembo bab kubwa na anao uwezo wa kumrusha roho kanumba picha halisi inaonekana wema bado anampenda kanumba ndo maana akaanzisha zali na huyo kanumba nae bado anampenda wema na hakubali kutoswa!!!!!kioo cha gari bei gani kanumba ulitakiwa hii issue uimalize kifamilia sio mpaka mahakamani never!!!!!!!ulitaka kumuonesha wema kwamba wewe nae ni supa star zaidi yake au?
JINGINE KUHUSU UREMBO/UMISS,NAOMBA NIWAAMBIE KITU WADAU UMALAYA/UHUNI NI TABIA YA MTU KWANI KUNA WAREMBO WANGAPI UMRI WA WEMA NA HAWANA SCANDAL ZA AJABU KAMA HIZI??WAANDAAJI WA MISS TZ WANATAKIWA KUSTAAFU NADHANI UNLESS OTHERWISE ILE KAMATI YA MISS TZ NAYO UOZO MTUPU!!!!!!!
Mimi nashangaa sana watu wanavyo mlaumu kanumba kwahiyo mlitaka kanumba achekelee tu eti kwa sababu alikuwa mpenzi wake hakuna kitu kama hiko bwana.
Kama amekosa lazima sheria ichukue mkondo wake, kwani kumbukeni leo amefanya uharibifu wa kioo cha gari kesho atachoma nyumba ya mtu mara nyingina anaweza hata auwe mtu makusudi akijua yeye ni supa star.
Mimi namuunga mkono kabisa Kanumba alichofanya ili kiwe fundisho kwa wote hakuna usupa staa kwenye sheria.
Ukitaka kujua huyu bint amepinda ni vitendo vyake alivyo onyesha mahakamani kweli mtu ana akili zako timamu unaweza ufanye vitu kama vile, Kama huyu kibaka wako alikuwa anakupenda kwa nini asikuwekee dhamana.
Kwa mtazamo wangu sidhani kama mama wa Wema alishindwa kumuwekea dhamana siku ya kwanza kabisa lakini inaonyesha ni jinsi gani huyu mama na yeye amechoshwa na tabia za bint yake akaona ngoja akonje joto ya jiwe kwanza ili akitoka awe na adabu na aheshimu kila mtu.
…..mie nafikiri ukiwa super star hauna immunity yoyote kwa vyombo vya sheria…..sheria itachukua mkondo wake….lol
….cha maana hii kamati ya kutafuta warembo itatafutiage warembo wenye IQ kubwa kidogo….ILI KWELI wawe KIOO CHA JAMII….
aargh hawa nao.. NEXXXXXXT!
Wema kaonewa kama alivyoonewa TID katika Mahakama zetu. Mahakimu wanatakiwa waende shule. wema angeweza kujidhamini mwenyewe. Lakini mbona Jumbe hatumwoni akijishughulisha na Mupenzi wake?
Lakini jamani kabla sijasema mengi, hebu njooni huku kwanza, nyuma ya nyumba ili niwaulize kitu. Shhhiiii, “Hivi Mama Wema ana mtoto wa kike pekee yake huyo Wema???? Mbona Mama Wema na kimwana “Nsia Swai” wa SAUT, ni copyright???? Shhhhiiiiiiii, msipayuke, shauri yenu, mimi natoka!!!!
Bond=James Bond………No, I mean Black=Blackmannen
Nimewekeza miaka kibao kuwa hapa nlipo mwana
sikuzaliwa kwenye mali ilibidi kuangaika sana
co mambo safi pua zangu zinanusa mkwanja
husler kama ali scooper natimba kila kiwanja(eh)
im the magnifical piga kazi za hatari
siogopi tena mkisema yote nimeshasikia tayari
Maneno hayawezi niua yanafanya niwe ngangari
Nasema ewala kwa kila kheri na shari wengi mmeferi
Mnatamani maisha yangu mnatani mmngekuwa mimi
mnatamani husle zangu,nawaona kama ndugu zangu
nawachukulia wenzangu,kumbe wenzangu mkikata kona
mnageuka maadui zangu,acheni uoga sio lazima uwe na hoja
Ni diss kama Inspector, Dandia treni kwa mbele msiojua
ndio mnavyotoka kifua changu kina mengi ambayo hamuwezi kuyabeba
Mikifahamu ninavyofikiri mtatamani kuniita babu
jamani wema aache utoto.wanaume wapo tu si aje Arusha nimtulize na cha arusha kama ni bangi huku ndio kwake,si amemuona Ray c alivyotulia baada ya kukutana na N2N wa arusha,au mnasemaje wadau
MMMMMhhhhhh!!! haya! unajua kila mtu anamatatizo yake ukiwa na umri fulani kunavitu unafanya ambavyo hauisi kama umefanya jambo tofauti katika jamii… hata hivyo she still have a time to Kubadilikaring…. MwenyeziMungu Amuongoze… its all about life.
jamani mapenzi yana nitatizaa eeh,kulala silali,chakula sitaki nakionaa sumuuuu!!….wema our dear mapenzi yasingekuwepo duniani haya yote yasingewakuta wewen na mama yako!!…
mi namwonea huruma tu huyu dada wa watu.sasa na huyu mama yake ni nini tena kwenda kuvuruga mambo mbele ya watu mahakamani.mwanae yupo kwenye matatizo,anatakiwa yeye ndio amtulize,sio kutaka kugombana nae,hapo ndio atambomoa zaidi.lakini yote maisha tu,iko siku yote yatapita.pole sana,siwema.
Pole sana dada maana kama una tafuta wakukuowa kwanguvu hilo ningumu maana tambia njema husababisha hata uendako utaweza kuishi vizuri
she nids prayers……….
i would say neeeeexxt
don’t worry those are small isues just pray they will be over all the best and luck
pole sana wema sepetu njoukubwa huo. ila usikate tama namunahiyo kunahabari zako tunazo zataja kama wewe unavuta bangi hiyo siyo ungwana.