
Sanaa ya ubunifu wa mitindo ya viwalo nchini Tanzania inazidi kukua.Leo hii sio jambo la ajabu kusikia habari za maonyesho ya mavazi.Pamoja na hayo, sanaa hiyo bado inahitaji kuongezwa nguvu kwa kuungwa mkono na wananchi na pia serikali. Tuipende mitindo ya kwetu na pia tununue mitindo na bidhaa za kwetu.
Miongoni mwa wabunifu ambao wanachangia kukua kwa sanaa hiyo ni kama wanavyoonekana pichani,Fatma Amour na Mustafa Hassanali.Hapo walikuwa pamoja wakati wa onyesho lililoandaliwa na Fatma na kuitwa Kakakuona.Onyesho lilifanyikia pale Dar Alive wiki iliyopita.
Photo/John Bukuku.
Feedback / Comments
7 Responses to “FATMA AND MUSTAFA”
Leave a Reply


sending...
Vizuri sana..nawatakia kazi njema, kwani ni vizuri wazawa kuwa wabunifu.Maana nimeona picha zenu, mpaka kule pande za kwetu Arachuga, mmewakilisha mafasi ya asili, ile ya kimayoyo na baba yoyo, tukulu sidai babalaye.
kila la kheri na mumtangulize mungu(Engai) pamoja na maombi katika kazi zenu.
mwambie hiyo huyo mzawa hapo juu aoe mswahili ndo utaujua uzawa wake wa hapo Bongo hummmmmmmmmmmm utashangaa.
good work,u play a big role in promoting our culture,keep it up.
asante!
Good for you!napenda kazi zenu,Keep it up.
bint-mzuri upo?nakusalimia tu mrembo!
masio mjuwa huyo Binti Ndio Fatma amour ! mmbunifu wa mavazi mzuri sana , pia na kazi zake zinasifika kote na zinakubalika fatma big up dada!