MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

miss-tzbc

Mbio za kumsaka mrithi wa taji la Miss Tanzania zimeanza tena.Wadhamini wa shindano hilo,kampuni ya simu za mkononi Vodacom,wameingia mkataba mpya na Kamati ya Miss Tanzania.Kwa habari zaidi unaweza kusoma hapa.

Pichani kutoka kulia kwenda kushoto ni Hashimu Lundenga,Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International ambao ndio wasimamizi wakuu wa shindano hilo,Miss Tanzania 2008,Nasreem Karim na George Rwehumbiza,Mkuu wa Kitengo Cha Udhamini na Mawasiliano Vodacom.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

8 Responses to “ONCE AGAIN…MISS TANZANIA”

  1. Comment by Jamila on March 21st, 2009 9:16 am

    Hawa nao tumeshawachoka.Mngepumzika japo mwaka mmoja ili mjifunze kutoka kwa wengine.Mnaletea taifa aibu tu.Na nyie vodacom mmekosa vitu vya kudhamini?

  2. Comment by Mwanamke wa shoka (UK) on March 22nd, 2009 6:11 pm

    yaani we acha tuuu….hatiujanywa hata maji baada ya soo la yule ex-miss-TZ…nao tena hawa hapa….lol…

    Lundenga atutafutie MISS-TZ mwenye staha…sio tena mambo ya aibu…miss anatakiwa awe na UPSTAIRS kunako-changanya…Nasisisitiza hapa BRAINS…na pia personality….(sio LOOKS too…)…uzuri unapocnganyika na BRAINS mambo yanakuwa cool….

    Cheer up!!

  3. Comment by nino lovington on March 23rd, 2009 1:12 am

    please wajameni kuweni watu wazima for heavens sake more practice make better prformance au wa bongo mnategemea zali la mentali never does it come real further more ina tokea once in ablue moon kama huna shape ya kua miss we are sorry kama we ni mzuri and fit to compete dont waste another minute join the compettion

  4. Comment by Mattylda on March 23rd, 2009 1:52 am

    nasikia kichefuchefu mie waandaaji puuuuuuuuu its time now u must resign lol!!!!!!!!!!!nyuso fupi bila haya!!!!!!!

  5. Comment by chuwa on March 23rd, 2009 2:04 am

    nawapongeza sana. Mmewafanya wanawake wamepanda chati, wanatambulika kote ulimwenguni ila naomba muwafunze nidhamu zaidi wengi wasiishie kuwa kama Wema sepetu

  6. Comment by sisterTZ on March 23rd, 2009 10:55 am

    Kwa kweli mimi binafsi naona hizi miss TZ hamna lolote..yaani tangu tuanze kupeleka Miss 1994 mpaka leo hii hamna kitu. Hivi jamani lini tutajifunza??

  7. Comment by sisterTZ2 on March 23rd, 2009 10:57 am

    Lundenga hii kazi hawezi kabisa jamani kwa nini hii shughuli asiingizwe mtu mwingine, kama Maria Sarungi hivi ili kuwe na mambo tofauti? Maana hao maMISS wote ni TAABU TUPU

  8. Comment by dada Euro on March 23rd, 2009 10:58 am

    wewe CHUWA acha uchagga hapa, yaani maMISS wamepanda CHATI kwa vipi?? Maana wengi wao chati yao ni uhuni tu sasa wewe kwa akili yako unadhani haya ni mambo mazuri kweli

Leave a Reply