
Maisha ya ndoa ni safari ndefu.Wengi waliomo ndani ya ndoa wanakiri kwamba ni safari ndefu,ngumu inayohitaji uvumilivu na umakini wa hali ya juu lakini pia yaweza kuwa safari yenye kila aina ya raha na mafanikio.
Ndio maana unapotimiza mwaka au miaka fulani katika ndoa,ni jambo la kheri na linalostahili kusheherekewa.Hivyo ndivyo ilivyokuwa hapo jana wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Salma waliposheherekea miaka 20 ya ndoa yao.
Sherehe hiyo fupi ilifanyikia Ikulu jijini Dar-es-salaam na kuhudhuriwa na ndugu,jamaa na marafiki wa karibu wa “First Family” ya Tanzania.Pichani ni Rais Kikwete akimlisha keki mkewe Salma kusheherekea kumbukumbu hiyo.BC inaungana na wote wanaowatakia kheri kuwapongeza na kuwatakia kila la kheri katika maisha yao.
Feedback / Comments
29 Responses to “CONGRATULATIONS MR & MRS KIKWETE!”
Leave a Reply


sending...
Wow!Our President and the first Lady are looking more than beauuutiful!!!…What a couple!
Duh! 20 Years za milima na mabonde na kila purukushani. Je na sie vijana wa sasa tutafikia hapa kweli?
mh hongera zenu na all the best ama kweli mvumilivu hula mbivu.
Tamu
wow!!wamependeza saaana jamaani…
hongera kwao.Wishing them long life.
Mungu awajalie maisha marefu zaidi jamani u look gud mama Salma with ur dress!!!!!!!
YES, CHEKI NA FIRST LADY MAMA SALMA ALIVYO SHYNEEE!!! Hiyo ndio inavyotakiwa banaaa.
what can i say…he is got it all; he is the president, handsome, sexy and salma on the other hand looks stunning, she is proudly african woman, you can tell from her size, sexy eyes, she is got the body and she is a dropdead gorgeous woman. anyway You guys look fabulous, in short…you rock!!!
Vizuri sana na Mwenyezi
Mungu awajaalie kila la kheri katika maisha ya ndoa yao wasiachane mpaka wahitimishane Amin.
Mashaallah, Mashaallah, Happy Aniversary.
Nimeipenda baba yetu na mamaetu.
Yap Yap Yap Yap eeeebwanaeee.Hayo ndo mambo.
Nawatakia heri katika ndoa hiyo.Saaafiii sana.
Yap Yap Yap Yap ebwaanaeeee.Hayo ndo mambo.Saaafiiiii saaana.Mwe wamependeza.
Nawapongeza sana miaka 20 ni mingi kwa kweli.
Ila nina swali ina maaana Rais alimuoa Salma mwaka 1989? Na kabla ya hapo mama wa wale watoto wakubwa Miraji,Ridhiwani,Salama n.k yuko wapi? Aliolewa akaachwa au ………
Nawaza tuu ila kwa sauti ya juu
hongereni sanaaaaaaaaaa
ujumbe;
Success is not a key of happness but happness is a key of success
your all happy always that is why you successed
keep it and be blessed,
mmh..sifieni vya kusifiwa basi! sio mnatoa sifa zingine hazilingani.huu ni ukweli bayana..i dont have to kiss ass,to be a minister
An extremely nice couple. Trouble with nice people is that,like kids, they can easily be susceptible to innocent irresponsibility. The president should not forget that the majority of his employers are having it pretty tough in villages,in slums,in bedless hospital wards and they paid for that cake and those jewels.
naona kama Mama Salma siku hizi ame-tone-up. Niependa saana walivyopendeza hapoo kwenye siku yao muhimu. MUNGU AWAPE HERI na furaha tele….wavione na vitukuu vyao….
…kuna tofauti kidogo na pale alipopanda tu kwenye u-celebrity wa U-first lady….amepungua vizuuuri saana…
ni mafano mzuri wa kuigwa…
jamani tujiunge gyms…ili ku-tone up…chonde sio kupunguza saana maana waume zetu wa kia-frica wanapenda a little bit of fresh….he he he he….
…sio lazima uende gym….penda kutembea…a little bit of jogging….kunywa maji ya uvuguvugu kwa saana….about one litre per day…kula matunda na mboga mboga…five portions a day…((he he he hapa najifanya eti nimekuwa dr…vidonge vitatu kutwa mara tatu…lol))
….jaribu pia kupunguza potion size za milo yako…ni bora ule mara nyingi nyingi kulikoni kula mlima wa ugali wa kwetu unyamwezini…lol
Nawasilisha…..
woooooow!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mama yetu u look mmmmwaaaaa 4 ur dress!.Nway wish u all the best.Mr president big Up saaana.
wow ! this is amazing what a nice couple,wish you best of luck.I admire you MR PRESIDENT AND THE FIRST LADY CONTINUE TO GIVE HIM ALL THE SUPPORT,I SEE A GREAT LEADER IN YOU
NAJUUUUUUUTA! KUANGALIA, maana inanitia uchunguuuu! lakini wa furaha. maana machozi yananitoka nikiwaangalia ndege wawili wakichombezana kimahaba na makuchkuch. YAANI RAHA ILE MBAYA.
Hongera baba na mama
Hongereni sana
Inapendeza sana kuona watu wanaweza kukaa miaka mingi kwenye ndoa zao km walivyoahidi mbele ya Mungu wao,ila kuhusu mavazi,km ningekuwa mama kikwete leo designer wangu angekuwa hana kazi.Ilikuwa ni siku special yake na alitakiwa awe mwaa as she looks always,lkn leo mmmh sitaki kusema mengi,kuanzia kichwani mpaka kwenye nguo yenyewe kwa firstlady wetu!? hapana,na ukizingatia ni 20th wedding annivessary we expected more.Anyway naomba kuishia hapa
Siri nyingi sana hapa hatuwezi kuzisema…anyway
HONGERA MMEPENDEZA “HANDY & BEUTY” NA MFANO MZURI WA NDOA NDEFU YENYE MAELEWANO.
Watanzania tumebahatika kupata kiongozi mwenye sifa zote za uongozi wa nchi na
kukubaliwa ndani ya nchi na kimataifa.
Tumebahatika kupata “first Lady” mwenye kipaji cha kuzaliwa kuwepo mstari wa mbele wa kumpa “mawazo ya uongozi” bora kwa jamii yetu ya watanzania,kwa wale yatima wasio na wazee,walemavu wasio na uwezo.
Hata kwa wale wenye “akili timamu” lakini wana msimamo tofauti wa kisiasa au kidini, kuwasikiliza na kujadiliana kimisingi ya maelewano badala ya malumbano ya kuharibiana kisiasa, sifa kama hizo ni “first lady” wachache ulimwenguni wanazo.
mickey@mail-online.dk
DENMARK
Hivi Kikwetu ana mke mmoja tu?? hmmmmmmmm
Congrats! Mr. and Mrs. Kikwete, u have shown the good example to the couple although it not easy to know what is happening behind the closed door. If you both are in good “FAITH” OR? If so “MARRIAGE” it not an easy task to be together for 20 years its not a JOKE but all in all BEHIND THE SUCCESS MAN THERE IS ALWAYS A GOOD WOMAN. May God blessings be with you in your intire life let Tanzanian people who are in marriage live with example as you have shown us. Wishing you all the Best and strong heart as you know you are the ENGINE OF THE REPUBLIC OF TANZANIAN PEOPLE
Cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!
Hongera muheshimia na sie tutajifunza ujasiri wako hongera sana na ninawatakia maisha mwma
Mr President & The First Lady!
Hongera zenu nyingi kutoka kwangu na wenzangu wote wanaowatakia maisha mazuri yenye furaha na upendo mwingi katika ndoa yenu na hata katika kazi zenu za kila siku.
Kazi uifanyayo sasa Mh. Kikwete, ni ngumu sana. Ili ufanikiwe kuifanikisha, unahitaji upendo na kutiwa moyo na sisi Watanzania, na zaidi ya yote, mapenzi ya kweli na ya hali ya juu ya Mama Salma.
Katika kusoma maoni ya wenzangu hapo juu, nimeona swali la “Jaramba” hapo juu, lina umuhimu wa kujibiwa. Maana maneno ni mengi huzungumzwa mitaani na wambea.
Lijibuni katika hali ambayo ninyi mtaona linafaa kujibiwa, maana najua hamwezi kujibu hapa BC, japo nina hakika ya kwamba, ninyi pia hutembelea hapa, katika kijiwe chetu Watanzania, na hasa Mr President.
Maneno yangu hayo hapo juu, ni katika kuipalilia “Bongocelebrity” yetu, ili izidi kusomwa na watu wa rika zote na wenye nyazifa mbalimbali na wengi.
It’s Great To Be Black=Blackmannen
mh watu bwana,wanafki looo!!! haya ngoja nami nitoe pongezi, MR president hongera zako,ukweli unaujua mwenyewe bana si watizamaji tu.bi salma hongera sana.
Wake wanaweza kuwa wengi lakini 1st lady ni mmoja na ndio Salma.
Hongera sana kwa miaka 20 pia kwa kupunguza uzito.
mshamba tu huyo yeyey namkewe wametutia njaa ndani ya nchi hatutambuani