blu3-new-1

Wanaitwa Blue 3.Wanatokea nchini Uganda.Ni miongoni mwa makundi ya muziki yanayofanya vizuri katika anga za burudani na muziki katika ukanda wa Afrika Mashariki.Mara nyingi wamekuwa wakitoa burudani safi katika matamasha mbalimbali yanayofanyikia Afrika Mashariki ikiwemo hivi karibuni walipoalikwa kwenye utoaji wa tuzo za Kili.Nawatafuta kujua kwanini wanajiita Blue 3. Why Blue?

Feedback / Comments

10 Responses to “BLUE 3”

  1. Comment by chogo on April 28th, 2009 4:46 pm

    wanajua kuimba akina dada hawa,nawapongeza kwa hilo,ila kundi hili lilikuwa linanibamba sana wakati kabla cindy hajaondoka.

  2. Comment by FROM (OMAR a.k.a KIGWENDU FROM ITALIA) on April 29th, 2009 9:04 am

    lakini wazuri hao

  3. Comment by Flora on April 29th, 2009 10:15 am

    No comment unless otherwise if they were from within.

    Thanx!!!!!!!!!

  4. Comment by BToba on April 30th, 2009 2:01 am

    Ni noma hawa kina dada!

  5. Comment by mwaipopo on May 1st, 2009 4:47 am

    (B)lack (L)adies of (U)ganda who happen to be (3)three. hiyo (E) wamechomekea ili ilete maana.

  6. Comment by GIZZO on May 1st, 2009 7:43 am

    Beautifull Ladies of Uganda 3(meaning they are three)(BLU 3),London uk

  7. Comment by krissie on May 1st, 2009 7:14 pm

    BC hamna E kwenye jina lao ni BLU kama maelezo ya mdau hapo juu.Mbona kuna mmoja kabadilika? Hii sio original group wale walioshinda pop star na kina WAKILISHA from bongo.the girl with blue earing nadhani ni replacement hafanani na one of original member

    krissie

    Pittsburgh,PA

  8. Comment by chogo on May 5th, 2009 7:19 pm

    original members walikuwa lilian,jackie na cindy,cindy amejitoa kwenye hilo kundi ambapo kwa sasa ni solo artist ,so huyo unaemsema mwenye hereni za blue ndio replacement ya cindy alieondoka ktk kundi.

  9. Comment by berlein lukwesa on February 17th, 2011 11:45 am

    i like blue 3

  10. Comment by berlein lukwesa on August 21st, 2011 12:57 pm

    blue3, they kill me with where you’re. i like it so much!

Leave a Reply