nakaaya1bcKwa vipimo vingi mwanamuziki Nakaaya Sumari hivi karibuni ndiye mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki ambaye amekula ‘bingo” kubwa kwenye anga za muziki. Kama hujatambua au kusikia,nazungumzia mkataba wake na kampuni kubwa ya usambazaji muziki ulimwenguni ya SONY MUSIC yenye makao makuu nchini Marekani.

Hivi sasa wengi wanasubiri kuona ni jinsi gani Nakaaya atafanya ndani ya mkataba wake huo wakiamini kwamba kufanya kwake vizuri ndio kutakuwa kumefungua milango mingine kwa wasanii wengine wengi hususani wakizingatia vipaji mbalimbali vilivyopo nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hapo ndipo sote tunapomtakia kila la kheri.

Lakini wakati macho na masikio yakingoja kwa hamu, Nakaaya anazidi kuonyesha kipaji chake katika muziki. Mfano mzuri ni huu wimbo uitwao I am An African ambao ni toleo jipya likiwa lililofanyiwa ukarabati na maujuzi na producer mahiri Hermy B. Ndani ya wimbo ameshirikishwa Chid Benz ambaye bila kusita amenata na beats vilivyo. Usikilize I am an African kwa kubonyeza player hapo chini. Kila la kheri Nakaaya. The world is watching! Keep rockin’

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Feedback / Comments

45 Responses to ““I AM AN AFRICAN”- NAKAAYA”

  1. Comment by tina on May 14th, 2009 8:33 am

    UNAJITAIDI ENDELEA KUKAZA BUTI DA2 YANGU

  2. Comment by chogo on May 14th, 2009 9:29 am

    lovly jobly my love,keep on rockin

  3. Comment by Yoyoo on May 14th, 2009 11:57 am

    Girl, You rock! All the best:)

  4. Comment by obasitokumbo on May 14th, 2009 5:37 pm

    Hii ni recording, maana kuna kausanii humo, tupe ile live aliyoimba kule Danmark alikuwa anachemka ile mbaya, kama unabisha tuwekee hiyo clip yake tusikie hapo.

  5. Comment by MAKULILO, Jr. on May 14th, 2009 6:35 pm

    THE CLASSIC SONG – HONGERA NAKAAYA

    Nakaaya, huu wimbo umeupanga na ukapangika.Ni kitu cha kimataifa kabisa hicho.Kama kwenye tuzo za Kora na MTV msimu huu ukipeleka wimbo huu, tuzo unayo ndugu.Cha msingi hapo weka Video yake kali iwe na madhari ya kweli ya kuonesha YOU ARE AFRICAN sio yale mambo ya mamiss Tanzania kwenda kwenye mashindano ya miss world na kuvaa kimasai kama African Cultural Woman huku kichwani wamebandika nywele za wigi.Wanasahau kuwa mmasai mwanamke ananyoa nywele, hivyo wanaondoa uhalisia wake.Si uliona Flaviana Matata alivyotuwakilisha kwa kuvaa kimasai na kweli kichwani akanyoa kama wamasai, alikimbiza ile mbaya.

    Keep it Up Nakaaya.Upo anaother level ambayo CPWAA anaiita hiyo ni ADVANCED BONGO FLAVOR. Tunataka vitu vingi kama hivyo toka kwa wasanii wengi.

    MAKULILO, Jr.
    http://www.makulilo.blogspot.com
    West Virginia, USA

  6. Comment by kweliman on May 15th, 2009 3:09 am

    Nakaaya ,letme start with giving you my sincere complements.With this song,you sound nothing but fantastic.I was truely amazed with your talent.Dada you are way over the top. Gifted. I have listened to dozens of bongo flava folks before but let me tell you dada ,nothing ever gets any where close to this.
    It’s your vocal performance that has caught my attention,more than any thing else.Honestly i tell you
    The singing sounds fresh,unique, with some sense of professional touch to it.The thing is most of the bongo flava music turns me off.There is tonnes of reasons why but mostly is the vocal skills.There is virtually no vocal performance at all in bongo flava songs.Most of the time if you are listening, you kinda loose a focus on the overall song, that’s before you get swayed to listening the synthetic beats. Ofcourse the sounding of bongo beats has a different flip to it.It sounds bubble gum sweet but at the same time you get that feel of a good vibe if you listen to it often.But having listened to your song , i was seriouly blown away,The sounding of it does not follow anything like a typical bongo flava cliche .Nothing any where close to synthetic tone of bongo flava .Am not an expert in music, but that wont stop me to give you my comlements.The song (vocals mostly) is sounding very upbeat and professional,Very much up to the top pop music standard.The singing was flowing very effortlessly.Natural too.Now on the flip side,i have i got some issues with the rapping part of it.The rapping sounds so edgy and terribly cheesy.I would say ,personally, the song would sound greater even without incorporating rap into it.Having listened to the song over and over am very confiedent that with that great singing skills ,no rap would be necessary to to pull it off.You are smart Nakaaya.With such skills ,the steaming beauty,and your kind of appeal(likabilty) anything is possible.I don see why you cant pull off a great hit song all by yourself.Cause i feel that this song in many ways speaks for itsef.It has clearly defined you and your skills. No doubt.Now i know (probably) why the sony record executives had to sign you on the fly, after listening /seeing your performance.
    Nakaaya,you’ve got great potential.Great job .Enjoyed listening to your incredible song.
    Kweliman

  7. Comment by Ulrick on May 15th, 2009 3:22 am

    Big up Nakaaya, Good work we want creativity like this. Always try to give things with differet taste as this track can be listened even with swahili and english speakers and get the message in it. This proved that now ur growing internationally. Good work.

  8. Comment by Mama Zena on May 15th, 2009 4:06 am

    Nakaaya, upo juu binti, Congratulations

  9. Comment by gilbert in entebbe uganda on May 15th, 2009 6:38 am

    big up Nakaaya nimeipenda sna kuiona unajali sana kuwa muafrica sasa tujitaidi kurudi kwa majina ya mababu zetu tuache haya majina ya wazungu kama watu wa africa kusini walivyo anza

  10. Comment by gilbert in entebbe uganda on May 15th, 2009 6:40 am

    big up Nakaaya nimeipenda sana kuona unajali sana kuwa muafrica sasa tujitaidi kurudi kwa majina ya mababu zetu tuache haya majina ya wazungu kama watu wa africa kusini walivyo anza

  11. Comment by Kindo on May 15th, 2009 8:18 am

    Nakubaliana na Makulilo, Jr hapo juu.Video itakayotengenezwa inatakiwa iwe na uhalisia wa kiafrika,umuhimu ukiwa katika mandhari na mavazi yatakayotumika. Producer amefanya kazi nzuri sana na sauti zimepangwa kwani hazichushi masikioni. Good piece of work.

  12. Comment by malaika on May 15th, 2009 8:46 am

    YOU ARE SO SWEET LOVE YOU BIG

  13. Comment by annie on May 15th, 2009 11:31 am

    Big Congratulation mrembo!! i wish you all the best

  14. Comment by Isabela luiz on May 15th, 2009 2:24 pm

    Wish u best of luck love!!! god has already showed a way to success.. 4 sure u will make it HUN

  15. Comment by Rama on May 15th, 2009 5:31 pm

    Hi,

    Nakaaya, Yes u can take Mama Makeba, Place.

    Rama

  16. Comment by Mbizo jr on May 15th, 2009 7:35 pm

    Nakaaya you rock my sister,am so impressed na quality ya huu wimbo and i think i have a right to say this.Mara ya kwanza nimesikia huu wimbo ulikua umetengenezwa na makochali,sasa umerudiwa na hermy b and it sounds perfect kama quality ya mtoni. I think kilimanjaro awards wamefanya haki kumpa huyu producer award. Nilihisi wimbo umetengenezwa sony kumbe ni mtanzania.nafikiri ni vizuri producers wengine wakajifunza kwa hermy b na sio kumponda sababu inaonekana amewazidi kwa kila kitu hasa kama kazi ilimshinda makochali ambaye naye alipewa same award shame on you makochali.

  17. Comment by f on May 15th, 2009 8:05 pm

    Huge congratulations sister!!!
    Huu ni mfano wa kuigwa Tanzania.
    Endelea hivyohivyo pia unatupa ujasiri wa kutembea kifua mbele kama watanzania. God bless you babe!

  18. Comment by george on May 15th, 2009 8:57 pm

    hehe chidi benz kaandikiwa na nani last verse.lol

  19. Comment by mbavu on May 16th, 2009 6:21 am

    Hi wajameni! Sijui nisameje! Yaani familia ya Sumari imejaaliwa! Mdogo wako Nancy ni musuri…! Na wewe mwenyewe una sauti musuri…! Ishi wajameni!

  20. Comment by Moranii on May 16th, 2009 7:30 pm

    Eroo nakaya (makaaya) uko juu!!
    Nyimbo zako zote zinaonyesha ni jinsi gani ulivyo mbunifu. Mr politician, sister na huu mpya. Dada uko juu!I’m always happy and proud of you!!

    In you I see a great future in TZ music!!

    Big up mama

  21. Comment by m2m2 on May 17th, 2009 1:17 am

    kuimba unajitahidi ila sijapenda video zako, au performance zako, I think unavyocheza na kuimba huwa unafake sana, unajiweka kama mmarekani fulani hivi, na slaing kimarekani for example dude, u know, you know nyiiiingiiii why???? not only that, even facial expression, be as you, usipende kuinga then utakuwa juu. good job

  22. Comment by Nas on May 17th, 2009 9:03 am

    What elc can I say!! she may be become one of the Talented singer in Africa.That tune is wicked but more things have to be done so she can be up in the next level, she sound stunning.
    much love 2 you Nakaaya xx

  23. Comment by chapombe on May 19th, 2009 8:45 am

    mwingine huko juu anaomba awekewe video clip ya norway,sasa sijui tueleweje.we siulikuwepo huko,kwanini ukuchukua video uangalie nyumbani kwenu

  24. Comment by mily on May 19th, 2009 9:13 am

    big up nakaayay,usiwe kama dada yako.bora wakulaumu ku-act kama mmarekani,kuliko kuwa mvuta bhangi

  25. Comment by Flora on May 19th, 2009 10:51 am

    Ohooooooops…….! What a JOKE of the day?

    I though she were told that she is an INDIAN,AMERICAN,GERMANY……….but……
    She is AN AFRICAN.

    I am also an AFRICAN

    So what?????????????????????????

  26. Comment by obasitokumbo on May 19th, 2009 6:05 pm

    waliwahi kuweka clip ya hiyo video humu humu kipindi alikuwa Danmark,na alikuwa nje ya key anaanza na hii anamaliza na nyingine kwa hiyo wewe hilo lisikutatize utakapoiona hiyo video ya huko Danmark ndo utaelewa ninachozungumza ebo!!!!!!!!wakishakuwekea sasa hata we waweza kuchukua na kuangalia kwenye apartment yako! teh teh tehhhhh

  27. Comment by obasitokumbo on May 19th, 2009 11:42 pm

    wee Chapombe nenda youtube type nakaaya sumari in Danmark halafu usikie kama hutaanza kutukana tena, ukitaka ukaangalie kwenye apartment yako, siajabu hui hata tofauti ya sauti hujui wapi na toka wapi yupo sawa.

  28. Comment by mariana on May 20th, 2009 10:47 am

    you u luk gud gal kip t up,love ur music big tym………..

  29. Comment by obasitokumbo on May 21st, 2009 1:34 pm

    Mambo ya studio hayo, twende youtube nakaaya sumari in Danmark tusikie live flat kibao.

  30. Comment by Bingo on May 22nd, 2009 5:25 am

    I am freaking dancing to this music. You can sing girl, no doubt. Whether you do goispel, blues or rhythim & soul album, it will be much better music than anything we have on the radio today. People may not think you are a commecial sell-out but the music industry needs your presence more than they realize. We pray that you get offers like crazy baby…

  31. Comment by Bingo on May 22nd, 2009 5:34 am

    Guys!! There is something about Nakaaya that really turns me on. Her full lips and killer looks along with her hot body just make me wanna……well you know….hehehehe! Have you people tried to examine this woman in that tight dress? Her body puts most women to shame; not Flora and Mariana though. Just one night with you Nakaaya is all I ask!!! For the love of all that is merciful Nakaaya!!!……JUST ONE NIGHT PLEASEEEEE…I’M BEGGING YOUUUU!!!!! 1

  32. Comment by Flora on May 22nd, 2009 8:16 am

    Bingo I think you are those types of men who goes in the Bar without their partners looking 4 single ladies in the midnight

    I assure you that you will never get Nakaaya for your info she is occupied already.

    Mind your bussiness

  33. Comment by chapombe on May 22nd, 2009 9:26 am

    sasa wewe obositokumbo ndo unashindwa kunichekesha kabisa,sasa ulitaka wakuwekee video clip ya norway wakati ulishaiona huko youtube,sa sijui tukueleweje.halafu unasema hoo mambo ya studio,sasa watu huwa wanarekodi nyimbo bar?unajifanya unajuuuuuuuuuuua wakati
    ujawahi kutoa single hata ya ngoma ya kinyumbani kwenu.huko hapo kwa chuki tu,tena huyu naaya watu sijui kakukosea nini

  34. Comment by obasitokumbo on May 23rd, 2009 2:07 am

    Halafu wewe chaulevi sijui chapombe, mi sikuwa naongea na wewe sijui unashida gani na mimi kuimba najui wewe unajua nini mbwira nini!

  35. Comment by Bingo on May 23rd, 2009 2:35 am

    Flora… Nakaaya is beautiful, sexy, gorgeous, etc. underneath and above all she can sing, she is got the lips, she is got the body, I mean she is got it all. Then what is wrong to die for a woman like her??
    Whether she is single or occupied I still have that constitutional right to love whoever I feel damn good about. Don’t deny me and other men that crucial right.
    And I am not the kind of man you said I am. I am a good person and I love women including you, that’s all. You have tarnished my image in front of all these people sooo I need public apology girl…

  36. Comment by Flora on May 26th, 2009 10:37 am

    Bingo! What appologe are you demanding from me??? If you cannot handle what you have started you better stop mentioning peoples name in this Blog I have realised that people goes beyond the topic and start attacking others forgeting that we got different thinking capacity and how one analyse things.

    It sound vise versa me to appologise what for? it is impossible for me to smile with sound

    You get me?

    Good for you and Good luck!

  37. Comment by Flora on May 26th, 2009 10:48 am

    If laughing would make a person die then CHAPOMBE AND OBASITOKUMBO conversation would have killed me. What a such wonderfully CHITCHAT?

    Haya wadau wa BC kuna mambo

  38. Comment by BLACKMANNEN on June 7th, 2009 4:52 am

    Flora

    Unatuchefua sana. Tafuta tovuti za Wajeluo, Waacholi, Wanyarwanda, Warundi au Wasudani wa Kusini wenzako, wanaoongea kirengesa=kiingereza kama wewe!

    Sisi hatukutaki hapa kwetu wewe Flora, na kirengesa chako hapa. Sisi lugha yetu ni kiswahili hapa.

    Hata ujitetee kwa vipi, lakini sisi hatukutaki na hatukupendi hapa, maana tunakuona unajiona sana. Wewe ni “bishororo” sana. Unaringa, na mshamba sana.

    Watu wengine pia wanaijua lugha hiyo, lakini hawaing’ang’anii lugha hiyo kama wewe unavyoing’ang’ania kama wewe.

    Watu wanaoielewa vizuri lugha hupewa kazi za kuwavua “Nepi” wazee wa wakizungu. Kwa hiyo, ipende lugha hiyo, maana inakuletea manufaa kimaisha.

    Lakini, kama niningekupa kazi kama hiyo Bongo yetu, wewe najua ungeruka kimanga. Maana ningependa uwahudumie waswahili wenzako kwa kuwavua na kuwavalisha “nepi” kama unavyowafanyia wazee wa kizungu huko uliko wewe Flora. Wewe Flora kama “Nesi” wanavyokuita huko.

    Unajua, nilitaka kukujibu maneno yako siku nyingi, lakini, sijakuwepo hapa muda mrefu hapa. Wewe Flora, kama kweli wewe unaielewa lugha ya kirengesa=kiingereza, mbona hujaandika kitu kutoa maoni yako kwa Dr. Kyaruzi? (Ujasiriamali Part I & II).

    Wewe unapenda kutoa maoni yako kwa mambo ya umbea kama haya. Kwa sababu huna lolote kichwani mwako isipokuwa umbea tu. Tazama maoni yako yote uliyoyatoa ni kwenye mada za umbea tu. Utukome na kirengesa chako hapa. Sisi tunayo lugha yetu tunayojivunia ni “K I S W A H I L I” bwana.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  39. Comment by Flora on June 8th, 2009 3:16 am

    Blackmannen! You sound stupid to me it seems like you got nothing important to do? Who told you that people are interested to read your nonsense comment of attacking me?

    You are a bogus leave me alone whatever I do or I am its none of your business. Do you know me or do I have attacked you? Do you feed me or my family why are you after me?

    How many people make their comments in english? you only see me in this blog? Take you time bro otherwise you are wasting your energy to think about how you are going to attack FLORA through out your day and night. I am free to do what I want

    I am a proud Tanzanian no matter what
    You cannot change me. You have no rights to choose for me what topic I should comment on or not. Whats wrong with you? You should think twice before you start writting you NONSENSE HERE.

    Wake up!!!!!!!

    I AM VERY CREVER THAN YOU MIGHT THINK. You are even Jealous because I make good comment than those nonsense of yours

    Blackmannen Utajaza I keep moving! upo hapo?

  40. Comment by Bingo on June 8th, 2009 7:20 am

    blackmannen, that was too rude dude…

  41. Comment by Bingo on June 8th, 2009 11:28 am

    Flora that was too much for a woman, you are affended and have negative feelings, yes, but, just be a lady and choose your words wisely.

  42. Comment by Flora on June 15th, 2009 7:51 am

    Bingo thanx 4 your advice I do appreciate that. I am a good lady but one should make no mistake to reach in my inner angers or annoye me when I know I have rights on something I know very well where I stand.

    Best of luck Bingo hope you will keeping advicing people who are going beyond

    I remain proud Tanzanian Lady!

  43. Comment by haha! on September 19th, 2009 5:02 pm

    Hahahaha!! you guyz are too funny..im speechless by how weird your arguments are,how ignorant you all must be! please take your nonsense some other place cuz we are here to talk about nakaaya..she is africa’s finest!May God continue to bless her as she represents us internationally..

  44. Comment by G.South on April 16th, 2010 11:57 am

    im so impressing with Nakaaya.She can do it,4 those who think nakaaya is singing flat,tafadhali tuwachangie ili wakarekodi zao zifanyiwe computerizing tuone kama zitafikia level hizo,Watanzania tukumbuke hili We learn through mistake’”She’s hot,intelligent,and vocalist wa ukweli hajapata tu mazoezi ya ukweli,YA DENMARK HATUYAJUI WALA HATUTAKI KUYAJUA UKITAKA NA WEWE NENDA UKAIMBE FLAT,ACHA WIVU,UTAKUFA MASKINI,Emsouth A.

  45. Comment by G.South on April 16th, 2010 12:01 pm

    thanks pamoja lv.nilihitji mjibu huyo anayemponda sisterwangu,ni mchimba chunvi nini?

Leave a Reply