Katika tangazo hili la Fashion Show mbona huyo Remtula ametumia picha ya Rihanna?Mi nadhani ingekuwa vyema angetumia picha mojawapo kati ya fashion show alizokwisha fanya, ambapo kwanza angekuwa ametangaza kazi zake moja kwa moja.
Kitu kingine cha kujihami ni kushitakiwa kutokana na mambo ya Persoanl Data Protection, maana anatumia picha ya Rihanna kutangazia show yake bila kuonesha source ya picha hiyo au kibali maalumu.Kwakua Remtullah anafanya kazi ambazo zinatambulika kimataifa, awe mwangalifu na mambo kama haya asijefunguliwa kesi siku za usoni aseme kaonewa.Ni kuwa makini na vitu vidogo vidogo.
Pia napenda kutoa hongera kwako Remtullah.Kwa ujumla fani ya fashion show umejitahidi sana kuipa nguvu ukishirikiana na wengineo kwenye fani hiyo.Naamini juhudi zako na zitaweza kukufaanya siku za usoni kuanza kupeleka watu kwenye fashion show kubwa zaidi za Ulaya na Marekani, kwani tayari kwa Afrika umeshafanya show nyingi.Ni kutanua soko lako sasa.Naamini utaweza ndugu.
Natoa tangazo hili la kuwatafuta wadau wenzangu wote waliopotea hapa, mko wapi siku hizi?
Binti-mzuri, Matilda, Mama wa Kichagga, SisterTZ na wale wote ambao sikuwataja hapa kwa majina, mmkwenda wapi siku hizi? Mbona siwaoni hapa BC? Mnaiumiza sana roho yangu, maana ninawapenda sana.
Najua majukumu ya kimaisha ndiyo yanayosababisha mtu kupotea, lakini hata hivyo, nawaomba kitu kimoja muhimu sana kutoka kwenu popote mlipo. Mnirudishie ndugu yangu nimpendaye “Dr. Majita”. Maana mlipoondoka hapa BC, mliondoka naye. Kwa sasa, sijui aliko.
Nimewa miss sana nyote. Naomba mrudi tena hapa BC wapendwa wangu wote. Bila ninyi sijisikii kuwa hai.
This Is Black=Blackmannen
Comment by Kweliman on
May 24th, 2009 2:18 am
Brother Makulila,with all due respects you need to recognise that this is one of those exeptional cases with the highest degree of resemblence.There is nothing unusual here.How d’u get Rihanna on this ?
By the way,your website/blog is so phenomenal.
Kweliman

Mafanikio mema
MAKULILO, Jr.
http://www.makulilo.blogspot.com
Jeeee? Watanzania mpooooooooooooooooooooo????
Black=Blackmannen
That is not Rihanna
Wadau wenzangu, mko wapi?