kanumba-richardbc1

Tarehe Juni 8 mwaka huu wapenzi wa filamu nchini Tanzania watakuwa na sababu nyingine ya kuketi mbele ya luninga kwa ajili ya burudani. Msanii Steve Kanumba akishirikiana na wasanii wengine kibao akiwemo Big Brother 2007,Richard Bezuidenhout watakuwa wanakuja na filamu mpya iitwayo “Fake Smile” au kwa kiswahili tunaweza kusema tabasamu la uongo.Itahusu nini? Bonyeza hapa ili upate fununu.

Feedback / Comments

33 Responses to “A SCENE FROM “FAKE SMILE””

  1. Comment by bm on May 27th, 2009 7:11 am

    kitu kinapokuwa fake kwa kiswahili kizuri inakuwa bandia. kwa hiyo hapo ni tabasamu bandia sio tabasamu la uongo kama ulivyosema. pamoja na kukaa kwangu ughaibuni lakini nakushinda kiswahili

  2. Comment by Nas on May 27th, 2009 8:40 am

    Duh,sasa naona Ina boa kiaina yani kila movie ya bongo Kanumba yumo…jamani ivi hamna waigizaji wengine? Alafu kuonyesha tu kiwango hafifu angalia mandhari ya hiyo movie@ kwenye masofa, yani hamna ubunifu ata kidogo….Iyo kwa upande wangu bado sana alafu wanaboa.

  3. Comment by halima on May 27th, 2009 10:54 am

    BM wala sijaona kosa la BC hapo kwani tafsiri yake ipo fresh kabisa tusijifanye tunajua sana jamani kisa tumekaa ughaibuni

  4. Comment by Bingo on May 27th, 2009 11:40 am

    Nas you are right, even me i have been loosing interest in Kanumba more each year, so hopeflly Richard does well to get the bongowood back into the groove of things. One thing i hate the most about bongo movies is when they always try to act and be like Nigerians, that sucks. You guys should be creative…
    Hope the movie sales soar. I salute…

  5. Comment by mwl wa kiswahili on May 27th, 2009 1:19 pm

    wewe uliyesema fake maana yake ni bandia hujui kiswahili kabisa, kwani huwezi kutafsiri kila neno la kiswahili kwa kingereza. huwezi sema tabasamu la bandia bali tabasamu la uongo upo hapo? utajiju

  6. Comment by sisterTZ on May 27th, 2009 3:48 pm

    Nas ndugu yangu hayo maadhanri ndio kwa bongo mazuri ha ha…Bingo you are right mambo ya kuwaigiza wa Nigeria hata mimi yananiboa sana..kwa nini wa Tz tusi-set standard zetu za movie ambazo ni nzuri zaidi, maana mie mwenzenu wala sio mpenzi wa movie za ki Nigeria…

  7. Comment by Danila on May 28th, 2009 2:01 am

    watu wengine bana kwa kujidai wanajua sasa kuna kusa gani hapo BC alilolikosea?

  8. Comment by Danila on May 28th, 2009 2:12 am

    kosa* na si kusa sorry

    hongereni washiriki wote wa hiyo fake smile

  9. Comment by mariana on May 28th, 2009 2:41 am

    jamani hv hamna wasanii wengine mbona ni hao tu kila cku wakati kuna watu wenye vipaji vyao………na tunaisubiria kwa hamu hilo tabasamu bandia na sio la uongo!!!!!!!!!!!!!!!

  10. Comment by Nas on May 28th, 2009 4:08 am

    Yeah Bingo ujue nini, si kwa vile watu wako mbele ndo wanakosoa, kila movie mtu mmoja yupo kila kona, Hebu angalia iyo movie na movie za uyo jamaa zingine, Yaani wanachojua ni ku shoot movie kwenye mijengo yenye masofa kila siku, let be honest guys it sucks really. Some time we have to be Negative an thats how we learn from each other.If they real want to push their carier to the next level, outside our borders they have to be creative thats all.The way they acting any body can do it, even kids

  11. Comment by mkaku on May 28th, 2009 8:43 am

    Nimependa Richard alivyo kaa kama mtu anayegombezwa na anasikiliza kwa makini soo lake, sasa kama hakuna waigizaji wanao jitokeza Kanumba asiigize jamani? Mbona kina Rambo, Brad pitt, Schwaznegger walikuwa wanaigiza kila siku na mkawa mnaenda kuangalia? Mwacheni Kanumba wetu the great acheni chuki binafsi mbona nyie hamuigizi?

  12. Comment by Kweliman on May 28th, 2009 2:39 pm

    Ninavyofahamu mimi ni kwamba kuna aina kadhaa za ACTORS kwa ujumla ,lakini kuna aina mbili za waigizaji ambazo hutumiwa sana na maproducer ktk kubalance MAUZO MAZURI na UBORA WA SINEMA husika.Aina hizo mbili ni
    CHARACTOR ACTORS- Hawa jamaa ni wale wenyevippaji vya hali ya juu kweli kweli ktk kuigiza,hawandio wanaomsaidia mhusika mkuu awaeze kucheza nafasi yake vizuri au ili hero aweze ku-shine ktk nafasi anayofanya
    hapa unaweza kuta
    ofisa wa polisi,mlinzi,daktari,dereva,bosi, mke au kimada nk ni wengi sana ambao nafasi zao ktk sinema haziwafanyi ku-shine au ku-star kama hero wanacholeta ktk sinema ni BELIEVABILITY/COMPULSION/AUTHENTICITY KTK MTIRIRKO WA SINEMA NZIMA na si ajabu kabisa kwamba wanaweza kuonekana ktk sinema kwa muda mfupi tuu .Bila hawa actors star wa sinema hawezi kushaini

    COMMERCIAL/STAR POWER
    Aina hii ya actors ni wale masupastaa .Actor wa aina hii huwekwa ktk movie kwa sababu ya nguvu ya usupastaa wake, ili aweze kuvutia wengi,ili aweze kuipa sinema husika nguvu ktk soko mfano-Marekani ni akina Denzel washington,Tom Cruise,Morgan Freeman,Samwel l Jackson,Hugh Jackman,Nicholas Cage,John Travolta,Meryl Streep nk
    Hapa Nyumbani ktk kundi hili ni akina Kanumba,Bishanga,Rich, Irene Uwoya nk
    Wengi wa lio ktk usupastaa kama hawa haijalishi sana uwezo wao wa ku-act zaidi ni nguvu ya usupastaa wao na mwisho wa yote Charactor Actors watawasaidia kuiendeleza story.ktk kufanya ule mstari ha hadithi na kuaminika kwake kuwe ni kwa mantikiya kweli
    Sasa basi Nikirudi kwa Kanumba,Maoni yangu ni kwamba anahaki ya kucheza hata kama ni movie zillions.dont have issues with it.
    Pili naomba jamani labda tusubiri hiyo sinema itoke kwanza tuione kwanza b4 we decide storm them with criticism or crush’em flat, so to speak.Maoni yangu mimi ni kwamba nasubiri itoke kwanza na tuione ,who knows we might be in for a surprise this time around ,halafu nitai-criticise constructively without mercy and on the up side i’ll give’em credit where i think it’s worthy ,period

    So Kanumba anonekana kwenye sinema nyingi kana kwamba hakuna actors wengine hapa tz LABDA ni kwa sababu ya aina yake ya actor yaani COMMERCIAL SUPERSTAA quality kwa viwango vya nyumbani
    Mwisho wa yote nasema hivi, soote hapa tuna watakia mema wanasinema wetu hapa Tanzania
    Na tunahamu kweli watengeneza sinema bora ,lakini pia tusisahau kwamba sinema hapa nyumbani ni uwanda mpya. GETTING A GOOD HANG OF IT na GETTING TO A PERFECTION definately comes with time .itachukua muda kuperfect it.Imeanza hivi majuzi tuu(achia mbali enzi za kizamani -akina kawawa,Fimbo ya myonge nk) hapa nazungumzia utengenezaji wa sasa.
    Pia tusisahau kwamba hii sinema mpya ya kanumba na richard bado haijatoka au hatujaiona bado .give them space for now .
    Kwa kusema haya sina maana kwamba ninafurahia sinema zao mimi binafsi ,NO,
    Sijawahi kuridhiswa na viwango vyao vya uigizaji,upigaji picha wao na mtirirko mzima wa hadithi zao za OBVIOUS.Pathetic!
    Any way, any criticism /insult/attack is welcome .
    Kweliman

  13. Comment by Kweliman on May 28th, 2009 2:45 pm

    Ninavyofahamu mimi ni kwamba kuna aina kadhaa za ACTORS kwa ujumla ,lakini kuna aina mbili za waigizaji ambazo hutumiwa sana na maproducer ktk kubalance MAUZO MAZURI na UBORA WA SINEMA husika.Aina hizo mbili ni
    CHARACTOR ACTORS- Hawa jamaa ni wale wenyevippaji vya hali ya juu kweli kweli ktk kuigiza,hawandio wanaomsaidia mhusika mkuu awaeze kucheza nafasi yake vizuri au ili hero aweze ku-shine ktk nafasi anayofanya
    hapa unaweza kuta
    ofisa wa polisi,mlinzi,daktari,dereva,bosi, mke au kimada nk ni wengi sana ambao nafasi zao ktk sinema haziwafanyi ku-shine au ku-star kama hero wanacholeta ktk sinema ni BELIEVABILITY/COMPULSION/AUTHENTICITY KTK MTIRIRKO WA SINEMA NZIMA na si ajabu kabisa kwamba wanaweza kuonekana ktk sinema kwa muda mfupi tuu .Bila hawa actors star wa sinema hawezi kushaini

    COMMERCIAL/STAR POWER
    Aina hii ya actors ni wale masupastaa .Actor wa aina hii huwekwa ktk movie kwa sababu ya nguvu ya usupastaa wake, ili aweze kuvutia wengi,ili aweze kuipa sinema husika nguvu ktk soko mfano-Marekani ni akina Denzel washington,Tom Cruise,Morgan Freeman,Samwel l Jackson,Hugh Jackman,Nicholas Cage,John Travolta,Meryl Streep nk
    Hapa Nyumbani ktk kundi hili ni akina Kanumba,Bishanga,Rich, Irene Uwoya nk
    Wengi wa lio ktk usupastaa kama hawa haijalishi sana uwezo wao wa ku-act zaidi ni nguvu ya usupastaa wao na mwisho wa yote Charactor Actors watawasaidia kuiendeleza story.ktk kufanya ule mstari ha hadithi na kuaminika kwake kuwe ni kwa mantikiya kweli
    Sasa basi Nikirudi kwa Kanumba,Maoni yangu ni kwamba anahaki ya kucheza hata kama ni movie zillions.dont have issues with it.
    Pili naomba jamani labda tusubiri hiyo sinema itoke kwanza tuione kwanza b4 we decide to storm them with criticism or crush’em flat, so to speak.Maoni yangu mimi ni kwamba nasubiri itoke kwanza na tuione ,who knows we might be in for a surprise this time around ,halafu nitai-criticise constructively without mercy and on the up side i’ll give’em credit where i think it’s worthy ,period

    So Kanumba anonekana kwenye sinema nyingi kana kwamba hakuna actors wengine hapa tz LABDA ni kwa sababu ya aina yake ya actor yaani COMMERCIAL SUPERSTAA quality kwa viwango vya nyumbani
    Mwisho wa yote nasema hivi, soote hapa tuna watakia mema wanasinema wetu hapa Tanzania
    Na tunahamu kweli watengeneza sinema bora ,lakini pia tusisahau kwamba sinema hapa nyumbani ni uwanda mpya. GETTING A GOOD HANG OF IT na GETTING TO A PERFECTION definately comes with time .itachukua muda kuperfect it.Imeanza hivi majuzi tuu(achia mbali enzi za kizamani -akina kawawa,Fimbo ya myonge nk) hapa nazungumzia utengenezaji wa sasa.
    Pia tusisahau kwamba hii sinema mpya ya kanumba na richard bado haijatoka au hatujaiona bado .give them space for now .
    Kwa kusema haya sina maana kwamba ninafurahia sinema zao mimi binafsi ,NO,
    Sijawahi kuridhiswa na viwango vyao vya uigizaji,upigaji picha wao na mtirirko mzima wa hadithi zao za OBVIOUS.Pathetic!
    Any way, any criticism /insult/attack is welcome .
    Kweliman

  14. Comment by Mama Annet on May 29th, 2009 1:23 am

    Nawapongeza waigizaji wa kiTz wote ila ningependa wawe realistic kuigiza sinema natural nikiimanisha zile za kivillage ni nzuri mno k.m watu wanaenda kuigizia kwenye milima ya uporoto,umasaini ndani hata rufiji vijijini zinapendeza kweli. Kutangaza natural beauty yetu. Kanumba anajitahidi sana angeanza kuwaza kwenda kutengeneza filamu huko sikonge vijijini.

  15. Comment by Mama Annet on May 29th, 2009 1:26 am

    ok

  16. Comment by Danila on May 29th, 2009 3:13 am

    WAIGIZAJI WAKO KIBAO NA SI KANUMBA PEKE YAKE MWAMBIENI BC AWAWEKEE MOVIE ZA WATU WENGINE HIYO NI YA KANUMBA MBONA HIVI SASA WASANII WALIOJIKITA KATIKA MOVIE WAKO KIBAO.SEMA HIYO IMEWEKWA HAPA KWA SABABU NI MPYA.

  17. Comment by Bingo on May 29th, 2009 4:19 am

    fellas Nas, Mariana, makaku, sistertz, na wengineo, i salute. Mi nahisi sisi wabongo tuna opportunity ya kutengeneza movie nzuri ambazo zinaweza kuuza kimataifa lakini nahisi tatizo kubwa ni kutokuwa creative. na ndo maana nikamuunga mkono Nas kwa sababu scenes zoote zinazoonekana kwenye masebule na makochi tu, na haya mambo ya makochi ni ya wanigeria. then ina maana tunatenegeneza sinema za aina moja. kitu kingine ni kutokuwa na proffesionals, kwa sababu unaweza kuona movie ukaizimia njiani kwani inakuwa inatia kichefuchefu. sasa unajiuliza hakuna aliyeona haya makosa kuanzia kwenye screenwriting, production, Directing, Acting mpaka kwenye Editing. Most of the time unakuta scenes haziendani na locations, hata sisi watizamaji tunaona hayo makosa kwa nini hao wa movie making hawaoni?
    ushauri wa bure kwa waigizaji kama wanasoma BC, wawe wajielimishe kwenye suala zima la movie making/production wanapopata vjicent kidogo au la sivyo wataishia hapo hapo walipo. peace out…

  18. Comment by kingo on May 29th, 2009 8:28 am

    Even Nigerians themselves are now loosing interest in their movies coz hakuna sura mpya!kila siku ni ramsey,desmond,iyke,emeka na mademu wao ni walewale.sasa kirusi hiki kinaanza kutafuna tasnia hii adhimu hapa kwetu pia.kila siku masofa na vi-prado vya mtumba,matukio yanajirudia kila filamu utafikiri hadithi za shigongo bana!!hebu badilikeni huko!!!

  19. Comment by Nas on May 29th, 2009 11:27 am

    SisterTZ, ujue nini, hawa jamaa,inavyoonekana wao ndio wamiliki wa Hollywood ya Bongo. Nacheka sana ebu angalia uyo mwanadada aliyesimama mlangoni yani, inavyoonekana movie haina ata mvuto.
    Inaboa kichizi.

  20. Comment by rasto on May 29th, 2009 2:49 pm

    mbona kazini kuponda tu.ingekuwa bora kuona filamu baadaye kutoa maoni.tujivunie tulichonacho

  21. Comment by Nas on May 29th, 2009 6:50 pm

    Wadau apo juu nawapa Gwala.(5)
    Ivi katika hao waigizaji wetu wa movie kama unavyosema Kingo sidhani ata kama kuna ambaye anafanya movie akiwa na professional ata ya apo chuo cha sanaa cha Bagamoyo, Ila wajue kama wanasoma maoni ya wadau, wabadilike la sivyo watakuwa hawana future, maana izi movie za sebuleni na kwenye masofa, na kwenye mijengo ya watu Tumezikinai.
    We need change kama Obama

  22. Comment by Benjamin on May 30th, 2009 6:45 am

    kuna siku moja rafiki yangu kanipa DVD ya huyu kanumba, aisee niliboreka kupita kiasi.mziki mmoja unapigwa ktk scene karibia tano???? na tena mziki wenyewe umekokotwa kutokea ktk Piano? why? mbona tuna wanamziki wengi tu Mbongo? harafu kwa nini kuoensha magari ya kifahari ktk kila Movie? sijawahi kuboreka na movie kama za hawa jamaa.Nawashauri kuwa kabla ya kusambaza na kuuza movie zenu tafuten wasomi waliosomea mambo ya Filamu”Film Critics” wawape ushauri, chuo kikuu wapo kina Dr Nyoni. na Bagamoyo chuo cha sanaa.kupata ushauri siyo mbaya na si lazima ushuri uutumie.Acheni kuiga maneo,hilo Tollywood linaboa pia.kwa nini msiite Bongo Filamu? au jina jingine?
    Acheni kuboa

  23. Comment by sisterTZ on May 30th, 2009 3:06 pm

    Nas, nimekuelewa sana ila sasa sijui kwanini ma director wa hizo movie hawajifunzi..mimi binafsi naona movie nyingi za Tz yaani ma actor wana-act na hawaonyeshi ku act real, sijui mnanielewa wadau, yaani kiwango chao bado ni cha chini sana..na hata hizo movie za wa Nigeria ndio kabisa ma actor wana over do all the actions (mama Annet hapa naungana mkono na wewe ktk point yako)…Hivi wadau kwanini wale wanafunzi wa pala UDSM au Bangamoyo wa performing Arts, ndio wasi act kwenye hizi movie jamani, maana mie mwenzenu niliendaga kwenye maonyesho ya hao wanafunzi kwa kweli it was SUPER, sasa kwanini hizi movie wasichukuwe professional Actors wa huko? Wadau naomba ni elimishwe jamani..maana kwa mwendo huu hii Movie business hapa bongo wala haitaka hiyo safari yake..

  24. Comment by sisterTZ on May 30th, 2009 3:14 pm

    Nas ndugu yangu huyo mdada kasimama ndio mapozi ya bongo haya ha ha..kwa kweli wadau msinishambulie mie naona kwenye movie making sisi bado sana tena sana…Na pia wadau mimi na miss sana DOCUMENTARY MOVIES za kitanzania na zilizotengenezwa na watanzania. Maana utakuta wazungu wanakuja bongo na kutengeneza documentary movies za Tembo au Simba na zikipelekwa ugaibuni utakuta huyo Director anapata AWARD kupitia wanyama wetu (binafsi inaniuma wadau sijui nyie)..so ingekuwa vema na sisi ktk hii movie business tuweke movie za documentary ect jamani kuna issue kibao Tz ambazo movie directors wanaweza kutengenezea documentary so kazi kwetu jamani..

  25. Comment by chogo on June 2nd, 2009 7:37 pm

    lol waTZ kwa kuonda nawapa pongezi jamani lol!!??sasa movie zinaboa,mbaya,waigizaji wale wale si msiangalie??mmelazimishwa??na sio hicho tu,JAMANI SHULE SHULE MUHIMU,movies zetu mbaya leteni basi mawazo yatakayo wasaidia waigizaji wetu,wafanye nini ili wainue kiwango chao??sio ooh kila movie kanumba,basi njoeni nyie muigizee.msituwekee usiku hapa.leteni vipound,vidola,viuro vyenu huku kuinvest katika filamu na vitu vingine vya kimaendeleo.shwainxx

  26. Comment by msafiri on June 5th, 2009 2:28 am

    it is true that bongo artists need to concentrate in their own styles and stop trying to be like nigerians. also to much is hurmful! we are fed up with kanumba,ray,johari,etc. we like to se new talents which i am sure they are available but they dont get opportunities.

  27. Comment by kweliman on June 6th, 2009 11:21 am

    This one goes to The comment made by CHOGO.The fact that you mentioned viyuro,pounds,vidola etc tells me a lot more bout you than the point you trying to get accross.It wont take a geneous to figure this out.Personally,ithink you got some personal issues with oversees Tanzanians.With that kind of tone ,its so obvious to me that you gotta deal with your insurities first,the next time if you ever want to get on the forum.The hell makes you assume that comments are being made by oversees Tanzanians.Even if thats the case, does it matter?.Really? .Pal, if you got issues with it get yourself some cool aid.
    On the flip side however, Chogo,I agree with most of the points in your comment.Certainly not everything.
    In my perspective,as much as we dislike the crappy quality of actors or the movies altogether, it would be great ,i think, to criticise and attack’em fairly.Notice that there’s got to be some degree of efforts or creativity put into the making of those movies.Whatever happened to that? P’se somebody correct me if am wrong on this.Am i alone on this? Has anybody ever noticed something?Realistically,it would be irrational to blast them completely without recognising the least effort they are making.Ofcourse, you would have to be retarded to bring their efforts (creativity) any where close to the standards but folks,we’ve got to recognise the least effort they are making.They deserve it however limited it might be.
    Pals ,am not suggesting here that they are making “all that” kind of movies.I certaily agree with most comments here that they’ve got a long way to go b4 they can ever get any where close.Obviously the issues that i see in our movies are way too mach to list.
    My suggestion to our actors is that, learning is a continous process,there is no shame in learning anything.I can’t quite figure out how you could possibly perfect your acting skills without learning from the real masters.It certainly does not take a university degree to be a good actor.Not necessary , but go get it,if given the opportunity. If you dont have a talent or atleast some artistic potentials,don see why a university degree? especially given all these non traditional learning resouces
    There is plenty of resources to learn from these days, such as WORKSHOPS,ACTING/INSTRUCTIONAL DVD TUTORIALS,SHORT COURSES,BOOKS,INTERNET ETC.
    South africa is one of the places i would highly recommend being fairly close from home and the fact that they conduct lots of professional workshops (ranging from 2wks to 3 months ) in vitually every area of film making .Check out with (safilm.co.za) not so sure bout this ,but ewont hurt to give a shot.
    Recomended lesson ( DIY)- do it your self:
    My last suggestion is that,please please, please learn from holly wood,watch as many hollywood movies crtically and very closely, very likely you gonna learn something under any circumstances possible.Please learn to watch movies with a purpose other than enetetaining youself . This is the cheapest and posibbly the easiest way of learning.Let me give you a caution here ,if you ever choose TO GO this way pay less attention to the story ,or the excitement of the movie.Try to focus (could be tough ofcourse) on the acting elements such as RAPPORT,EMPATHY,DIALOG,SUBCONSCIOUS plus may other stuff, check out how possibly are these elements adding to bring on a compelling or believable scene.
    Also,try to relate how these elements are helping to elevate the story line at the same time .And to get the most out of this technique i would suggest you watch atleast not less that 3 movies perday . Watch’em repeatedly and critically, i must insist.A lot of times , watching it with sound muted would greatly help you to focus better on the body language/emotions etc .Also remember every actor is known for his or her style.For example Samuel L jackson is has built his repetore and career mostly on “CONTROVERSIAL SITUATION HANDLING” Remember movie like TIME TO KILL,THE NEGOTIATOR,RULES OF ENGAGEMENT,BASE/BASIC,SHAFT(remake),SWAT and ofcourse most phenomenal is his voice too etc
    So it would be more effective to focus on one style of your choice, and focus on the movies that are relevant to your style/genre
    Dont confuse yourself with every movie you could ever have access to.pick , choose and focus, would be the best way to go.In other words if you are an aspiring actor,learn to watch good quality movies with a purpose.
    Folks, sorry for such a lengthy ,boring and possibly a cliche comment
    Open to criticism,insults and any issues
    Kweliman

  28. Comment by Mkongwe on June 14th, 2009 5:13 pm

    Filamu inaitwa “Fake Smile”, si ajabu lugha inayotumika humo ni kiswahili! Kama hii ni kweli sioni mantiki ya kuipa jina la kiingereza filamu ya kiswahili. Vinginevyo ni kuendekeza ulimbukeni wa lugha. Au wadau mwasemaje?

  29. Comment by Flora on June 23rd, 2009 9:06 am

    According to my photo interpretation The FILM title was suppose to be FATHER IN LAW “WARNING” SON IN LAW
    I don’t see any FAKE SMILE as a title states. Thats my person view

    Stay Cool!

  30. Comment by ANNY ASSEY on June 24th, 2009 4:07 am

    Wabongo kweli mmebarikiwa kuongea, tena c kwa mazuri ni kwa kukandia. Wacfu wa wabongo ndo huo na pia kujifanya 2najua. Jana nimelala saa 7 ucku nilikuwa naangalia cinema hiyo. Kwanza nimshangae Flora kwa comment zk kuwa ingeitwa Father in law warning son in Law. Hv Flora kweli umeangalia hii muvi au umeona hiyo picha Kanumba akiwa na bakora na richard amenywea. Baadhi ya wadau wamesema iangalieni kwanza but wa2 mmeanza kutoa comment wakati ht kuangalia hamjaangalia, sasa ona Flora na kundi lake walivyochemka, Kanumba aliporwa mchumbaake na Richard ss hp Father in Law ametokea wapi. Wabongo punguzeni viherehere. Naomba kuwauliza kn m2 amelazimishwa kuziangalia filamu za kibongo! Hujalazimishwa hutaki acha kuangalia ndio maana zipo nyingi au vi2 vya kukuburudisha viko vingi. Nashangaa wengine wanatuma msg hata kuandika kiswahili wanashindwa, sehemu inayohitaji h mfano hapa, hapa, n.k. wanaandika ata. apa, sasa na wao 2anze kuwakosoa. Hapo 2narudi kule kule Nyani haoooooooooooni….

  31. Comment by Flora on July 24th, 2009 11:29 am

    Anny Assey!

    I did not watch the movie then what want? I did not ask you any favor to correct me. That is my person interpretation for the photo. Just write your own comment not trying to add or phrase in any how my comment.

    You can talk your garbage I have no time for nonsense.

    If you think you are “CLEVER”…..take it to others not to me

    Mind your time

  32. Comment by nice on November 26th, 2009 2:59 am

    kanumba huku juu sana achana na wapambe nuksi watunge zao tuzieone

  33. Comment by sarah on December 18th, 2009 4:04 am

    jaribuni kuwe filam zenu katika kutizama online ili muongze soko zaidi.

Leave a Reply