
Tanzania huwa ina “zali” la kutembelewa na watu mbalimbali wenye umaarufu ambao unavuka mipaka ya nchi zao na hivyo kuwa na umaarufu karibuni sehemu zote za ulimwengu.
Mfano mmojawapo ni mwanamuziki Michael Jackson (Mfalme wa Pop) alipozuru Tanzania.Pichani ni MJ akipiga stori na aliyekuwa Rais wa Tanzania kipindi hicho,Ally Hassan Mwinyi. Maswali: Je unakumbuka MJ alifanya ziara hiyo lini? Alitembelea miji gani?
Feedback / Comments
25 Responses to “UNAKUMBUKA?”
Leave a Reply


Duh!!, nafikiri hapa nilikuwa bado kule kwetu kijijiniii!!. Hapo Mzee ruksa inaonekana anamuuliza…yakhe! ulitumia sh, ngapi kujibadili sura? …au “Unataka kununua mlima kilimajaro na wamaasai wake? ni ruksa tu.
1993, Dar Es Salaam.
Hi Guys kutoka helsinki-Finland
Masikini Michael Jackison enzi zake nafikiri ubaguzi wa rangi ulikuwa bado juu sana marekani na ulaya, wakati ule mambo hayakuwa ya sasa ya akina Obama, lakini bado anatisha,
kwenye picha nafikiri ilikuwa ni DSM lakini sina uhakika, ndiyo kipindi bongo kulikuwa hakuna Hotel kubwa za kitalii, tuliambiwa eti michael jackison alienda kulala Nairobi, sijui hii story uwa ni kweli wadau, naomba nisaidieni kuiweka sawa
good luck
frateline
sasa wewe frateline ndio unatujulisha kwamba uko finland ama? sasa kuandika unapoishi inasaidia nini kwetu tunaosoma comments? Toa ushamba changia mada hatutaki kujua ulipo na ukome
March 30 1990 kumbukumbu yangu inavyoonyesha lakini wengine wanaweza kutujulisha
hahahaha Ebwana dahh wadau apo juu mnanichekesha sana, bongo kulikuwa hakuna hotel Mic akaenda kulala kwa wa Keyyy???. Nafikiri zilikuwepo hotel jamani, ata YWCA au YMCA pale posta si angepumzika tu jamani.
Tinah ! hahahahahahaha duh ebwana umeniacha mbavu sina,jamaa anawakilisha pande alizoko jamani wadau, tulioko uku uswahilini Nyamisati tutajuaje umu kuna wadau wako mbele jamani???
Ebwana Tinah naona umemchana mchizi live atulie, sio kuwa apo Ufini ajue ndo kamaliza, Ufini kwenyewe Ubaguzi kila kona na kama ujui kifini ujue maisha yako yote ni wewe na fagio tu ndo kazi ilobaki.
Wewe Tina usihangaike kumjibu huyo jamaa anayejitia kuwa yuko huko Finland tunajuaje labda yupo tu hapa kigamboni.kama sikosei ilikuwa mwaka 1992 au 1993 MJ alipotembelea TZ.
MJ ALIFANYA ZIARA BONGO 1993 ILIKUWA KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA NGORONGORO LAKINI ALIANZIA DAR ES SALAAM NA KUKUTANA NA MH. RAIS ALLY H.MWINYI WAKATI HUO.PIA ALILALA HOTEL ILIYOKUWA INAITWA KILIMANJARO HOTEL. WAKATI HUO HOTEL ZA KITALII ZILIZOKUWA ZINA HESHIMIKA NI KILIMANJARO HOTEL,KUNDUCHI HOTEL, AFRICANA HOTEL, NEW AFRICA, BAHARI BEACH N.K. SIYO KWAMBA TULIKUWA WACHOVU.
Hi Guys kutoka Helsinki-Finland
Asante sana Dada Tinah, kumbuka kila mtu anastahili yake ya kuijitambulisha wengine wanatumia majina feki, wengine wanaficha sehemu walipo, mimi stahili yangu natumia majina yangu sahihi na lazima niandike ninatma msg toka wapi, nikiwa DSM nasema , na nikiwa Helsinki nasema, habari ndiyo hiyo wewe kama nimekuuma nenda kanywe sumu, kama ni ushamba hayo ni maoni yako kulingana na uwezo wako wa juu sana ka kfikiri, uko ndio ukoma wa akili yako na umeona huo ni ushamba kwahiyo shauri yako, kwa kukusaidia fuatilia hata media zote yawe magazeti,radio, T.V na internet lazima SOURCE inayotoa habari ijulikane kama kweli wewe unajua unafanya nini, wewe kama unaficha jina lako na sehemu ulipo shauri yako
Mwisho siandiki Helsinki-finland kwa sababu zilizokichwani mwako kwa sababu ya ufinyu wa mawazo lakini kupitia BC sasa hivi nimepata bahati ya kuwasiliana na rafiki na jamaa kibao na wengine sasa wapo kwenye face book yangu, wewe binti acha ujinga kukuruka kusema kabla ya kufikiria
good luck, It is me global citizen(Frateline), I have many friends,Chinese,Indians,blacks,whites and herefore, It is through internet, I stay connected.
Frateline
ilikuwa mwaka 1992, tarehe sikumbuki na alifikia Kilmanjaro hotel.
Hi guys kutoka Helsinki
Kwako wewe binti unayejihita jina la bandia Tinah, wewe umeamua kuficha jina lako na anwani yako, lakini hapa BC wapo watu wengi wanandika anwani zao na mahali walipo kama vile Makulilo wa west Virginia USA, mwingine mwanamke UK, na list ni ndefu, bado sijaelewa kwa nini unishambulie kwa jambo la kijinga na unatumie neno UKOME, kweli wewe ni mjinga bahati mbaya haujui kama wewe ni mjinga, wake up my good sister, tupo karne ya 21st century, tunaunganishwa na dunia kupitia cyberspace, katika mzunguko wa maisha tokea primary mpaka unakuwa mtu mzima mwenye familia, unakuwa umekutana na watu wengi sana, wengi inawezekana msionane tena mpaka unakufa lakini kwa msaada wa cyberspace wengine tunaonana, ninaomba nikutumie na blog yangu Tinah ingawa wewe una roho mbaya mungu akusaidie,http://blogs.helsinki.fi/kashaga/
Frateline kutoka Helsinki
Tinah, mbona hivyo shosti, mbona wako wadau wengi tu wanapenda kuweka na sehemu wanazoishi tunawaona kila siku kwa michuzi, chemi, harusi yangu etc, sasa unapotoa comments za kutukana namna hiyo wewe ndio utaonekana mshamba. Hii ni blog na kuna uhuru wa opinions na uandishi pia as long as hajakutukania mama yako shida yako nini?soma comments unazozipenda usizozipenda achana nazo, sasa wewe kutaja kwake anakoishi ndio kumekuuma kuliko, je angesema anatoka udengelekoni ungemtukana hivyo ama una personal hatred tu isiyoeleweka, ndio maana wanawake tunaambiwa hatupendani kwa sababu ya kupayukiana hovyo, mtu humjui unampayukia, you definately have a lot of insecurities!
wewe Frateline
acha ushamba! hakuna sehemu inayozungumzia wapi ulipo,kuwa mstaarabu,kwa taarifa yako wote tupo nje ya bongo,lakini hatutaki misifa kama wewe .ukitaka kujua utajua kwa kuangalia hizo rangi pembeni,zinaonyesha ni wapi mtu alipo(ila uwe umesoma kidogo computer),kuwa na marafiki wa kutoka hizo nchi haimaanishi kuwa hapa tunataka urafiki na wewe kwa kuwa upo huko,nenda kwenye magazeti yenu ya kuomba urafiki.hapa tunataka comments..LOL
samahani wakuu,nimelazimika kuchangia kuhusu huyu mfini wetu.
by the way ,naungana na Kaiser kuhusu habari ya michael Jackson(kwa kumbukumbu zaidi,inasemekana aliziba pua alipokuwa pale kilimanjaro hotel,waswahili wakatafsiri tofauti) cheers
Hi Guys kutoka Helsinki
Mwisho nimefunga mjandara,mimi ninastahili yangu kwanza sibadilishi kama ni ushamba nimeukubali, asante sana, mimi sio photo copy, mimi ni Frateline, wewe ni wewe, mimi ninaweza kuamua staili yangu ambayo wewe uipende shauri yako, wewe ukifika maoni yangu wewe ruka, mama achana na mimi, naona mnaanza kuleta mambo ya uswahili hapa-tarabu,mmeshindwa kuchangia mada eti sasa mimi nimekuwa mada,
Mimi nitaendelea kuandika kwa staili hii, sikuanza leo, ni tangia mwaka jana mzima nilikuwa naandika hivi hivi,
usipoteze muda wako, achana kabisa na mimi, ulitaka mimi niwe kama wewe ambaye umeendelea sana na sio mshamba, wewe ni wewe, na mimi ni mimi,
good luck
kila mtu ana jinsi ya kutoka katika fani. Fratelin ametoka kihivyo na anapenda iwe hivyo na yuko huru kufanya hivyo.Kitu cha kuangalia ni substance ya comment kuliko kingine chochote.
Nyie Mnaozozana hapo juu, Kumbukeni Kuna style nyingi za kumtambua mtu kuwa anatokea sehemu gani ya Tanzania …. ukishalijua hilo basi hapatakuwa na ugomvi maana ni kitu kinakuwa ndani ya damu. inifuact, nafikiri mmenielewa. Nawasilisha.
oii! kuhusu jamaa aliuliza kuhusu wacko jacko kwaufupi nilikuwapo kwy mapogezi na nilifatilia ratiba yake wacko alilala kilimanjaro hotel enzi hizo gorofa ya saba alikuwa anawachungulua watu kupitia dirishani ila kuna wabongo walibahatika kupiga picha nae,anyway program nyingine ilikuwa watoto yatima sinza na chakushangaza alivaa jezi za ccm kijani na nyeusi kama chipikizi,nadhani mdau wa finland umenisoma,one lov
watu bwana pumbaaa..,sasa kama Frateline akiandika yupo ufini,goms,kigamboni,manzese nyie kinawauma nini?kama we unapenda kande usinilazimishe na mimi nipende kande,mi napenda mpunga.kama mi napenda kuandika nilipotoka its me & not u,so what?!fuck off,do what ur suppose 2 do n mind ur own business ma men.blog hii imewekwa kwa watu wa aina zote wajinga,wapumbavu,mafala,wenye akili kuliko na wengine wengi.na unauhuru wa kuandika chochote upendacho as long as mwenye blog akiaprove akiona kipo alright anakiweka.so shut up n work hard in lives shwain
Hi Guys kutoka Helsinki
NIMESTAAFU-NIMENGATUKA-NITABAKI MSOMAJI WA MAONI YETU
Nimeamua kuanzia leo nimeachana na kutuma comments zangu hapa BC mimi nitabaki msomaji uswahili ni mwingi-majungu-matusi-kejeli-sio mambo ambayo watu wastaarabu wanafanya kwenye dunia huru yenye uhuru wa maoni na mawazo,
zipo njia nyingine za kutuma maoni jamii forum, UDASA-Club hata michuzi huko sijakutana na watu wenye tabia kama za Gervas, Tinah,Akihito na wengine wenye kupenda mambo ya uswahili-taarabu na mipasho
kumbuka sio kila anayetuma maoni ni mjinga au ajui anachofanya, wapo watu wengi wenye heshima zao na hiyo hawezi kuendelea kurumbana kwa swala dogo kama hili,wengine unafikiri kutoa maoni ni kutukana kumbe hii ni sehemu kama DARASA au shule ambapo tunaelimishana
NITABAKI MDAU MSOMAJI NIWAPE NAFASI SIPENDI MATUSI MIMI NINAHESHIMU UHURU WETU SITAKI KUWAKERA.
hongereni and good luck
Frateline
Fratelin huna sababu ya kuacha kutoa comment kwa ajili ya mtu mmoja/watu wachache…mbona wengi wetu tumekuelewa na tumesisitiza hilo. Ukiachia ngazi ina maana umepoteza uhuru wa kutoa mawazo…..kwanini ufanye hivyo? just be cool! be free! Endeleza libeneke….
Naungana mkono na wewe Chogo, huyo kaka angesema anatokea mashenzini wala wasingemtukana hivyo, kwasababu kasema anatoka Finland watu wanadhani anajigamba kumbe ni uamuzi wake kusema hivyo, kweli insecurity ni kitu kibaya sana, get a life people, mimi kudeal pia na waswahili siwezi, blog iliaanza vizuri zamani sikuhizi imevamiwa na waswahili na washamba tu, bora na mi nianze zangu, uswahili mi haupandi kabisa, wameniboa kishenzi. Kweli ushamba ni mzigo mpaka uje uutue kazi ipo, hamna mpango wowote hapa. Nitaangalia tu picha lakini kutoa comments ziwe level moja na hao wajinga hapo juu sitaweza.
flateline anasemwa JK sembuse wewe ??dont listen 2 them bwana, we endelea kutoa comments as usual,maneno hayauwi ndio yanazidi kukupa nguvu so usiwasikilize we tumwagie mambo hapa watu tusome tufurahi,weka na manjonjo yote cz this is the free world.pc
kweli nimekubali wabongo 2ko juu.lakini samahani huyo ni mzee ruksa au wazir msuya? kwafaida ya wengi
Kashaga Fretline nimekupata wangu,tangu UDSM mpk Ufini,wewe mkandamizaji i mean mtafutaji hehehe.tuwasiliane wangu chukua email hii.lee.monica85@yahoo.co.uk.
achana na wanyela wasiokua na issue wanatamani kufika ulipo lakini hawajabahatika.hehehe raha kweli kusoma comments za watu maana hapo unapata ufahamu kuhusu uwezo wa kufikiri wa wanadamu.kashaga baba ulisoma pyschology sasa unababaishwa nini.