MAMA NA MWANA

richabc

Wakati mbio za kumsaka mrembo wa Tanzania(Miss Tanzania) ndio zimeshaanza kupamba moto, nadhani utakubaliana nasi kusema kwamba miongoni mwa warembo ambao Tanzania iliwahi kutoa na kisha kukazuka mjadala mkali ni Miss Tanzania 2007,Richa Adhia.Rangi halisi(true colours) za wengi wetu zilijitokeza pale.

Pichani ni Miss Tanzania 2007, Richa Adhia(kushoto)  akiwa na mama yake mzazi,Maria walipokuwa wakifuatilia uzinduzi wa video za muziki hapo juzi jijini Dar-es-salaam.

Picha kwa hisani ya John Bukuku

Page 1 of 3 | Next page