
Katika picha hii kuna wake mbalimbali wa viongozi wetu.Unaweza kuwatambua na kutaja majina yao?
Feedback / Comments
20 Responses to “UNAWATAMBUA?”
Leave a Reply
sending...20
Comments
→ June 3, 2009 → Tags: Swali kwa Jamii →

Katika picha hii kuna wake mbalimbali wa viongozi wetu.Unaweza kuwatambua na kutaja majina yao?
Feedback / Comments
20 Responses to “UNAWATAMBUA?”
Leave a Reply
Aliyevaa nguo ya PInk ni Mama Wema Shein,Mke wa dr.Shein MAkam wa Rais,then anayefuata na Mke wa Mzee Ally Hassan Mwinyi,wa tatu Mke wa waziri mkuu BI Tunu Pinda,Aliyevaa nguo ya buluu ni Mama Anna Mkapa na the last one ni Mama Lowassa.
Asha kesha taja hapo juu na mie ndio najua hivyo hivyo
mama mwanamwema shein(mke wa makamu wa rais dk. shein), mama siti mwinyi (mke wa rais mstaafu awamu ya pili mzee ruksa), mama tunu pinda (mke wa waziri mkuu mizengo pinda), mama anna mkapa (mke wa rais mstaafu awamu ya tatu ben mkapa) na mama regina lowassa (mke wa waziri mkuu aliyejiuzulu edward lowassa
Big up Asha. Umepatia haswaa
Kutoka Kushoto mstari wa mbele ni Mke wa Makamu wa Rais – Mwanamwema Shein; Mke wa Rais Mstaafu Ali H. Mwinyi – Sitti Mwinyi; Mke wa Waziri Mkuu – Tunu Pinda; Mke wa Rais Mstaafu Ben Mkapa – Anna Mkapa na Mke wa aliyekuwa Waziri Mkuu – Regina Lowasa.
well said Asha umepatia kabisa!
Mimi namjua MAMA alie sifika kwa wizi TANZANI mke wa Rais msthafu.
Najua wote ni wake wa Wezi.
wake za MAFISADI! Daaaaaah!
BC sasa jamani unataka kutuambia nini na hii picha?
He he he he he kazi kweli kweli hapa, lakini, akina mama hawa ni wake wa viongozi wetu na waliokuwa viongozi wetu.
Tuwaheshimu kina mama hawa, kama tunavyowaheshimu viongozi wetu na wale waliokuwa viongozi wetu wakati ule.
This Is Black=Blackmannen
where is Maria Nyerere??? She reminds me of the most honest president ever, even the prince of darkness was unable to corrupt him.
Maria nyerere ,hataaki kujichafuria jina kwa kukaa karibu na bahazi ya ao watu
ukimtoa mke wa DR. Shein waliobaki wote ni wake wa viongozi wanaotiliwa mashaka hasa LOWASA ambaye hata Nyerere alimwita….???wabongo wanamjua, je nyie wanawake huwa mnatoa ushauri kweli mbona waumme zetu hawana huruma ktk rasilimali za umma watanzania wanakufa masikini kwa ubinafsi wa wachache
Simjui hata mmoja,
ha ha ha…!!…wadau hapo juu mmenifurahisha saana!!
I wouls like to ask again…Where is Mama Maria Nyerere????
Yes…Mwanamke wa shoka, Maria was a strong first lady who did her homework and did her job as the wife of the president and the female leader of the country. We miss her, BC could you pleaseee post her photo!!!! Just her and her alone, probably with with shen’s wife…what do you guys think?
Mama Maria safi????????????????
Ndiyo safi tena safi kabisaaaaaaaaa
kweli watanzania wote mnakubaliiiiiii???
Ndiyo tena kwa sauti mojaaaaaaaaaaaa
mama Lowasa je? No.MMMMMMMMMMMMMMM
Hongera MAMA WA TAIFA-MARIA NYERERE
ah hao wengine wauza tausi na wafanyi biashara ikulu tulishawachoka tena wanaweza wakakufanya uka-throw up….what a shame….
mhh huenda tausi siku wamezaana tena….lol…