
Jina lake kamili ni Babu Sinare. Hivi sasa makazi yake makuu ni pale Columbus,Ohio nchini Marekani. Ni msanii mpya wa muziki wa kizazi kipya.Jina lake la kisanii ni Albino Fulani.
Hivi karibuni alifanya mahojiano marefu na jarida la Bang na kueleza kwa undani visa mbalimbali alivyopitia katika maisha yake na jinsi alivyodhamiria kuendesha kampeni ya kuelimisha jamii ili kuondoa mauaji ya albino ambayo yameigubika Tanzania kwa kipindi kirefu sasa. Ukitaka kusoma zaidi kuhusu mahojiano hayo,litafute jarida la Bang.
Miongoni mwa nyimbo zake,ni huu ambao ameutoa hivi majuzi ukiwa ni barua kwenda kwa mama yake ambaye alishaiaga dunia.Usikilize hapo chini.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
27 Responses to ““BARUA KWA MAMA”-ALBINO FULANI”
Leave a Reply


sending...
hi Babu,Hongera
nice ujumbe unatugusa wengi ambao Mama zetu hawako duniani.BC can i have contact za babu?tht my ex-classmate forodhani secondary(1996)
Pitt,PA
sorry ,my name is kristin.
eh bwane mtu wangu unakuja vizuri mno kama ni toleo la kwanza unafanya hivyo means una future nzuri.ila kaa na uandike mashahiri yako maana unajirudia halafu unaishiwa na ujumbe.to be honest i like the topic and the beat.u r good to go man keep tight.hope kusikiliza nyundo zako nyingine in the near future.God bless u and TZ.
NA HILI LIWE FUNDISHO KWA WASANII WA KIBONGO… KWA KIFUPI NIMEMVULIA KOFIA!! ALIKWA WAPI SIKU ZOTE????????.. ANA MIZIKI MINGINE???
JAMANI AMENILIZA KISHA AKANIPA HOPE!!!
Hot song! This song is now killing it in radio stations in bongo! Safi sana kijana!
the song is hot, U make me cry, It reminded so far, I couldn’t finish course it is so touching. Good Job Babu, trust me put your effort in this crisis about mauaji ya Albino if there is a way to start an NGO is now. write grants, then trust me you will get many supporters on this!
I MET THIS HANDSOME GUY IN ATL AND HE TOLD ME ANAFANYA ALBUM… I WAS LIKE YEAH RIGHT…. BUT NOW AM SPEECHLESS YANI NAONA AIBU… I FEEL BAD I DID NOT TAKE HIM SERIOUSLY OMG… HE IS BETTER ZAIDI YA MARAPPERS NA WAIMBAJI WENGI WALIO KWENYE MZIKI KAMA KAZI.
I AM SO IN LOVE WITH THE SONG… NIMESIKILIZA MPAKA NIKASINZIA. MUNGU WANGU!!!!!
ALBINOFULANI KAMA UNASOMA HII POST MIMI NI YULE MWENYE GREEN NA BLUE TULIPOKUWA SH……S. SAMAHANI!!! AM SURE W’LL MEET AGAIN DUNIANI KAMA SI DUNIANI BASI NI “UP IN HEAVEN, SOMEWHERE… ITAKUWA SIKU NJEMA”
Umeanza vizuri Babu. Ujumbe umetulia na unagusa mle mle..Pamoja na ukweli huo, naomba niungane na mchangiaji mmoja hapo juu ya kwamba ulihitaji muda wa kutosha kupanga mashairi/kuongeza mashairi katika wimbo ili kupunguza “marudio” ambayo yamejitokeza. Pia ingependeza sana katika “barua” hiyo ungemjulisha Mama yanayojiri nyumbani tanzania juu ya mauaji ya albino yanayofanywa na Madubwana yanayojiita “watu.” All in all, kazi nzuri mwana, imetutoa machozi wale tuliowapoteza mama zetu na imetukumbusha kuwajali mama zetu wale ambao mama zetu bado wako nasi.
i luv it!
I LOVE THE SONG! MAMA YANGU BADO YUKO HAI LAKINI UMENIFANYA NIMPENDE ZAIDI. WASANII KAMA HAWA NI HADIMU SANA SIKU HIZI. INANIKUMBUSHA UANDIKAJI WA REMY ONGARA, WAKATI ANATOKATOKA … ALIIMBA “NARUDI NYUMBANI”. ALIRUDIA MANENO MARA MIA KIDOGO ILA KWA WALE TUNAOELEWA MZIKI TUNAANGALIA CONTENT NA DHAMIRA YA MZIKI. HUU NI MZIKI WA “BARUA KWA MAMA” HATA ANGERUDIA MANENO MARA 1, 000, 000 ILIMRADI HAKUKIUKA KANUNI ZA MZIKI YUKO OKAY. KWA KIFUPI NIMEMKUBALI
KUWAKUMBUSHA WATOA MAONI WAWILI HAPO JUU, MZIKI SIO MANENO TOFAUTI, MZIKI NI KULETA FLEVA KWA JAMII EITHER KUELIMISHA AU KUBURUDISHA BILA KUKIUKA MISINGI YA KUCOMPOSE. ANGALIENI WASANII WAKONGWE KAMA ALI KIBA NA CHIDI BENZ, WANAUMBUKA WAKATI MASHAIRI YAO YAMEJAA MANENO MANENO TOFAUTI TOFAUTI, WAKATI HUO HUO ALBINO FULANI SINGLE NDIO KWAZA INAKANDAMIZA RADIO ZA HAPA BONGO, SIJUI WENZETU MKO PANDE GANI!!!
USHAURI WA BURE:
TUSIFATE MKUMBO, KILA MSANII ANA STAILI YAKE YA KUFIKISHA UJUMBE.
ALBINOFULANI WEWE NI #1 WANGU SASAHIVI UMENIGUSA NA NNAKUOMBEA HERI NA FANAKA KWENYE UTENGENEZAJI WAKO WA ALBUM.
Albinofulani mzukaaaaaaaa. Beats imesimama, muimbazi usipime, ujumbe na staili mpya. Mimi ni mpenzi wa mziki wa kizazi kipya na nnauwezo wa kutabiri msanii atakuwa tishio. Kama mnabisha subiri, aminia huyu jamaa!
Zena nimekubali.
Pamoja!
wimbo wa kawaida tuu au kwa sababu kaimba albino?
hamna lolote hapa!. Mashairi iko mbofu mbofu. Haijasimama.
jifunzeni toka kwa malenga wetu!
haha,duh jamaa wa mwisho huyo ni seal hater..ninglet above wats ur contribution in our tanzanian society??,i bet nothn,so shut the f**up n start to appreciate the real talents.period
I never knew there is racism in Tanzania.
But…………….?
Take it easy Babu and step ahead. Ignorance it the medicine for all your haters
hahahahahaha… nakubaliana na George… kwanza jina la huyo mtoa maoni hapo juu pekeyake linakuhabarisha ni mtu wa aina gani.
Huu Mziki umesimama… ila kuna watu wana agenda zao tofauti au za kibinafsi!! Kwanza siku hizi msanii wa maana hatungi
mashairi ya kizamani… ndio maana wasanii wanaotunga mashairi mtindo wa malenga wanasound kama wanaimba kwaya.. Jamani acheni mikumbo!!! Wana maana yao wakiuita mziki wa kizazi kipya!
WOOOW BB Big UP ,I real apreciate da song espec the contents,u make Me crrrrrrrry But Then I Get Comfo from this Song.KAZABUTI BB no mater what situation.
Dah!! yaani umeniliza sana mama yangu yupo mzima lakini barua hii ya mama hapana ni mwisho
Maneno mazuri sana ujumbe 10/10 kaka kaza buti kama udau hapo juu alivyo sema kama una fikiria kuanzisha NGO ya ALBINOS huu ndiyo muda “tumia jiwe moja kuua ndege wawili” ITS YOUR TIME TO SHINE
Dada yangu Flora hapo umekosea- racism is completley different from witchcraft or witch-killings-. Albinos are killed in Tanzania not because of racism, it is because of the so-called witchcraft belief,some people do believe that the body parts of albino has magical power which can make someone rich. To eradicate this problem education is highly needed.
therefore-big up my brother Albino fulani, music is a very powerful means to educate the public to abandon such unthinkable and outdated belief system.
produza amemix sauti vizuri. Ujumbe(idea) aliotoka nayo sio mbaya ni nzuri. flow ya maneno na mpangilio wa mashairi kidogo ndio umemuangusha. lakini mwanzo ndivyo ulivyo akiendelea kuimba atapata uzoefu..
Albinofulani wewe sio chipkizi you really know the music perfect heshima kwako……!
hey Babu..on behalf of Dakawa high school students of ’99 to 2000..am giving u Two Thumbs Up on this song man..ur killing it…good job n keep it up.WE R PROUD OF U.
Ebwana nimekwenda concert ya Babu hapa columbus, yani jamaa yuko juu sanaa.. tofauti na msanii yoyote niliyowahi kumuona live. Halafu haringi wala nini, alisalimia kila aliyekuwa mbele yake!!!
BIG UP BLAZA!
Shabiki wako.
wow , BABU , congratulations – great Job , am sure you can make a difference in TZ society through ur talent.
Frateline! Thanx a lot 4 ur point of correction I do admit that.
I wrote racism simply because I read some comments stating that what Babu did its not something people to be proud of.
I don’t know how?
Albino Babu umeaua, yaani hapo asikuambiie mtu wangu, single imesimama mbaya. Keep it up mkuu