
Miongoni mwa wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya ambao wamefanikiwa kudumu na umoja wao kwa muda mrefu ni vijana wajulikanao kama Mandojo na Domokaya.Vijana hawa ambao pia wamewahi kutamba na vibao kadhaa ni mfano wa kuigwa linapokuja suala zima la “umoja wa wasanii”.
Hapa katikati walikuwa kimya kidogo kiasi kwamba baadhi ya watu,wakiwemo mashabiki na wanazi wa bongo fleva,wakatabiri kwamba huo ndio mwisho wa Mandojo na Domokaya katika anga za muziki.Walikosea.Hivi karibuni wametoa kibao kinachokwenda kwa jina la Boss/ Masimango wakiwa wamemshirikisha katika chorus mwanadada Maunda Zorro.Sikiliza kibao chao hapo chini.Bado wanaendelea kuweka mambo ya ‘banjo” katika miziki yao.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
5 Responses to ““BOSS”-MANDOJO NA DOMOKAYA”
Leave a Reply


mimi bado nna tatizo na upande wa mistari ya hawa wasanii wa bongo flavar. Mistari yao wengi ni mbofu mbofu! Haijatulia.
jifunzeni toka kwa malenga wetu!
Good day!
Just a note to wish all fathers a HAPPY FATHERS DAY.
Have a good time with your family be responsible as usually for your dearly ones.
Enjoy your w-end!
Till next time
Proud Tanzanian lady
Jamani acheni korosho, hawa watu wanasauti nzuri sana na wanajua kuzipangilia hakuna wimbo wao hata mmoja ulio mbaya, regardless ya vina na malenga ujumbe ni mzuri kuwa tenganisha kazi na mapenzi. Vilevile wanajua kupiga vyombo na kuunda melody iliyo nzuri ya kusuuza moyo, silikiza nyimbo zao kuanzia dingi, wanoknok utafurahi mwenyewe
Kuna mtu anajikosha kwa kujiita M-TZ. Wabongo wote wanaijua lugha yao, usituletee longolongo yako hapa, tumekushitukia wewe!
This Is Black=Blackmannen