
Kama unafuatilia Bongo Fleva kwa makini bila shaka hivi sasa umeshalisikia jina la Sarah Kaisi au Shaa (pichani) kama ambavyo anajulikana kwa mashabiki na wapenzi wa B Fleva.
Shaa ameingia kwenye game kwa kishindo.Uwezo wake wa kumiliki jukwaa,kuimba na kwa ujumla kukidhi haja ya mashabiki wa muziki huo wa kizazi kipya,ndivyo vitu ambavyo vinamfanya azidi kupanda chati na hivyo kuungana na wasanii wengine wa kike ambao wanafanya vizuri.
Hivi sasa anatamba na nyimbo zake Zamu Yangu na Pambazuko huku akiwa anapika kitu kingine studio ambacho mwenyewe anasema ni zawadi aliyopewa na Judith Wambura aka Lady Jaydee.Tunasubiri.
Leo tunao wimbo wake Pambazuko. Katika wimbo huu amemshirikisha msanii maarufu wa B Fleva,Ambwene Yessayah au AY. Usikilize. Kama kawaida maoni yanakaribishwa(ila jitahidi kutoa maoni yanayojenga badala ya kubomoa au kuonyesha chuki na dharau).Umeupenda wimbo? Unasemaje.Shaa atazidi kushika chati?Karibu.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Shaa on stage!
Feedback / Comments
13 Responses to ““PAMBAZUKO”-SHAA Ft.AY”
Leave a Reply


keep it up baby girl u r hot.usipime hawa ndio nyota wa tz watakaongaa sana siku zijao.bado mdogo anamvuto kimuziki na sauti nzuri.i can see a bright future ndani ya huyu binti.huu wimbo hata hapa US uanaweza utakubalika maana unaeleweka halafu quality iko juu sana.she is good to go.am ur fan baby girl.lets make this happen for u girl
Shaa all the way!
Ebwana wimbo ni mkali, sana ilo bt ni full smash! na dada anaonekana ni mkali maana hiyo style naona kibongo bongo ni Unique, sema wengine watamuona chizy flani ila ukweli ni kwamba AT THE END OF THE DAY LIFE IS CHOICE. So lets see if she is gonna real make it realy in tha game.
Ila itakuwa poa sana, kama nakucheza pia anacheza maana wasanii wanaoimba tu na kusimama stejini kama milingoti wanaboa, inabidi mdada mkali kama uyo akatike jukwaani, yani awape mashabiki kitu realy kwani mashabiki tuki mfeel, ajue ametoka, Ila mi namuona uyu anakuja kufunika wasanii wakike wote bongo.
Keep it realy dada etu, Kitu kimetulia.
no comment simjui
Hi BC
Track Imesimama sana Me Nampa Pig Up Sana Dada Ametulia sana katika uimbaji we c umeona alivyoondoka yeye tu Wakilisha ikafa,wakabaki wakili lkn haijadumu ingawa walitoa wimbo wa No Chorus(bila Sarah) Big up Sarah! Kwa Chorus na kuimba Unatisha! Endelea kuoga usiogope hata kenge wakichafua maji!
Yeah good to go.
no doubt music bongo doesn’t any better than that
so big up that is a hella of a song and collaboration too.
real talk though.
Pretty cool hit, she rocks as well…I think these guys should think of reforming again their group as they were before as I believe they got talents while acting as a sole requires much support. I love the song
Hana lolote mvunja ndoa za watu
hamna kitu hapo,wimbo wa kawaida kabisa huo!
Nothing new! Kama nihayo ku mashairi ya ku shake, zungungusha kiuno tulishayachoka. Somebody gt to be creative! Common guys!
nakupa hongera.hongera,umependeza kwenye picha manzi wa kia afrika.kama wewe wamdharau,nikupe mikro phone waweza kuuimba au utataitapikia,wewe nini/.TOA MWIMBO WAKO TUKUSIKILIZE.KAMA mwanaume au mwanamke kweli.mark salamba australia sydney.
Daaah ebwana Shaaaa nimekukubali!unatisha dada
karibu huku london utuburudishe kwa shoo moja tu,mimi daktari lakini mziki napenda sana.keep it baby to persue to targets abudantly.
jamani izi sugurys zitaua watu iyo pua na mdomo mama utatisha